📂 Kwa wanaoshindwa kufanya applications, karibu tuhudumie kwa bei rahisi kabisa! ✅ Tumeamua kuwaelekeza bure ili mtu akishindwa atatuchangia gharama ya bando la kumsaidia application yake tu. ⭕ GUSA LINK HII KUWASILIANA NASI MOJA KWA MOJA WHATSAPP ➠wa.me/message/KPBYLKDN6LF5B1 ⭕TAFADHALI FUATA MUUNDO WA MESEJI ULIOWEKEWA ILI KUHUDUMIWA KWA URAHISI ✍️KARIBU SANA
Unakumbuka login credentials zako na una access ya kulogin kwenye account yako ya TIN? Kama ndio, ukiangalia registered TIN NUMBERS Utaona sehemu ya kubadilisha! (Ku-upgrade)
Je ukipata non business tin unaweza kuja badilisha badae, na ni gharama au ni kama hivi hivi tu? Lakini mpaka hapa nashukuru kwa video yenye maelezo mazuri ✊🏿
Pole, naona jibu letu halikukufikia! Residential ndio ya wakazi wa TANZANIA, non reidential wanatumia wageni au raia wa nje ya nchi wanaohitaji tin number hapa TANZANIA.
Kuna muda mfumo waonunakuwa chini, ingia kwenye hii link hapa chini kisha angalia sehem imeandikwa START THE PROCESS Bofya hapo uendelee na steps kama ilivyooneshwa kwenye video hii www.ajirampyazone.com/2022/09/how-to-get-tin-number-online.html
Ikiwa kuna taarifa ambazo hauna au haukumbuki ukawa umejaza, mfumo utakuuliza maswali mengine ili kujiridhisha kuwa ni wewe! Taarifa hizo ni ikiwemo namba ya simu, hivyo utatumia namba nyingine uliyonayo kwa sasa!
Pole ndugu, mfumo umebadikishwa juzi juzi, hawaletu muonekano huo ila link hii hapa chini inakupeleka kwenye mfumo sahihi www.ajirampyazone.com/2022/09/how-to-get-tin-number-online.html "Angalia palipoandikwa START APPLICATION HERE " KISHA ENDELEA NA HATUA KAMA HAPO KWENYE VIDEO
Sijakuelewa! Unamaanisha kuomba tin number ya chama cha ushirika? Kama ndio! Nadhani njia rahisi ni itumike TIN namba ya mmoja wenu katika hicho chama. Lakini inabidi kwenye kuchagua aina ya TIN iwe ni BUSINESS TIN NUMBER. Vinginevyo nadhani itabidi kufika tra kwa maelezo zaidi!
Link ipi inagoma ndugu! Kwenye description ya video hii kuna link ya kukupeleka kwenye post yenye maelekezo kwenye website yetu! kisha kwenye post hiyo kuna link ya kuanza kujisajili moja kwa moja! Karibu kama kutakuwa na sehemu unapata shida zaidi!
📂 Kwa wanaoshindwa kufanya applications, karibu tuhudumie kwa bei rahisi kabisa!
✅ Tumeamua kuwaelekeza bure ili mtu akishindwa atatuchangia gharama ya bando la kumsaidia application yake tu.
⭕ GUSA LINK HII KUWASILIANA NASI MOJA KWA MOJA WHATSAPP
➠wa.me/message/KPBYLKDN6LF5B1
⭕TAFADHALI FUATA MUUNDO WA MESEJI ULIOWEKEWA ILI KUHUDUMIWA KWA URAHISI
✍️KARIBU SANA
Asante sana kaka nimepata TIN kwa haraka sana 🎉🙏🙏
Karibu sana ndugu! Nafurahi kusikia hivyo!
@@utumishiportal nikitaka kuangalia NAMBA YA NIDA mbona inazunguka tu!!!
Good
Vip nikiwa South Africa ninaweza kuutengeneza nikaitumia huku
Shukran sana broh
Karibu sana @jeff !
Mm nimefika Hadi kweny change password nikichange password ndy inaishia hapo haiendi mbele tena
Habari, nataka kubadilisha kutoka non business iwe ya biashara nafanyaje, Asante
Unakumbuka login credentials zako na una access ya kulogin kwenye account yako ya TIN? Kama ndio, ukiangalia registered TIN NUMBERS Utaona sehemu ya kubadilisha! (Ku-upgrade)
Mm ninayo lakini imepotea naipataje make sijaikalili
Nashukuru saana leo nimeweza kupata tin yangu maana nilishajaribu nikashindwa lakini umeelezea vizuri kabisa nimefanikiwa.
Ahsante sana kwa mrejesho Ndg. Sara! Karibu sana uendelee kutufuatilia! Tunafarijika sana😁
@@utumishiportal Nashukuru saana
5:31
Yes?
Kaka mimi nataka nipate tin number ila nikiingia apo kwenye paytax portal inagoma
Ili kupata till za hudum za kifedha natumia Aina Gan ya tin number I mean bissness or non
Kwa till za uwakala wa huduma za kifedha non business pia inafaa!
Mimi nikiingia inaniletea resident na non resident je niingie ipi.kati ya izo,, na kama nikiingia non resident ni apply kwa ipi nida au without nida??
Nimeingia telegram sijahudumiwa nisaidieni kwa swala langu lakuendelea na maombi ya tamisemi. Namba bado inaandika NIN not found.
Je kama huna namba ya nida na unahitaj TIN Namba ya kuombea kazi inakuwaje?
Unaingia sehem ya 'register without NIN'
Mbona kwangu inasumbua
Pole kwa changamoto, inasumbua kipengele gani?
@@utumishiportalkwangu aiji ivyo
Na kama ninayo ila nimeisahau?
Je ukipata non business tin unaweza kuja badilisha badae, na ni gharama au ni kama hivi hivi tu? Lakini mpaka hapa nashukuru kwa video yenye maelezo mazuri ✊🏿
Unaweza kuja kubadilisha, na ni bure pia! Kikubwa ni taarifa zile za business TIN uwe nazo!
Karibu sana!
Kama namba ya simu nliyojisajilia NIDA imepotea je naweza nikaweka namba nyingne?
Ndio, unaweza ukatumia nyingine na utaulizwa maswali kadhaa kuthibitisha kuwa wewe ndio muhusika mwenyewe wa hiyo namba ya nida
Naingia arafu inakuja jinsi ya video ya kunionesha nakosea wapi
Sijakuelewa ndugu, uliza tena
Tin number yangu ni ya muda sasa nahitaji kuilipia ili kuepeuka usumbufu
Unaweza kufuata hatua unazoziona kwenye account yako!
Mimi nimepoteza simu yenye nimetumuwa Tin number yangu nafanyaje kuipata tin number yangu?
Nenda kwenye mfumo, fanya kama unajisajili, jaza namba yako ya nida kisha utaiona TIN number yako ambayo iko registered na hiyo NIDA yako
@@utumishiportal Asante sana. Imenisaidia.
Nimesahau tin namba yangu naipataje
Residential na non Residential ni vitu gani ndio kwangu inakuja ivo
Pole, naona jibu letu halikukufikia! Residential ndio ya wakazi wa TANZANIA, non reidential wanatumia wageni au raia wa nje ya nchi wanaohitaji tin number hapa TANZANIA.
Kaka samajani mimi nikiandika iyo link haikubali
Kuna muda mfumo waonunakuwa chini, ingia kwenye hii link hapa chini kisha angalia sehem imeandikwa START THE PROCESS Bofya hapo uendelee na steps kama ilivyooneshwa kwenye video hii
www.ajirampyazone.com/2022/09/how-to-get-tin-number-online.html
Kaka kiukweli haikubari maana ata ilo jisajili haipo asa ata uko kwakingereza halipo
Mkn
Ikiwa nilipoteza namba yangu ya cm niliyojiandikishia kweny mfumo wa nida
Ikiwa kuna taarifa ambazo hauna au haukumbuki ukawa umejaza, mfumo utakuuliza maswali mengine ili kujiridhisha kuwa ni wewe! Taarifa hizo ni ikiwemo namba ya simu, hivyo utatumia namba nyingine uliyonayo kwa sasa!
@@utumishiportal na je non business huwez fanyia biashara ya kuuza tu duka mf. Duka la vyakula
Mbona hiyo link inagoma
Asa mbona huwaniletei hivyo
Pole ndugu, mfumo umebadikishwa juzi juzi, hawaletu muonekano huo ila link hii hapa chini inakupeleka kwenye mfumo sahihi
www.ajirampyazone.com/2022/09/how-to-get-tin-number-online.html
"Angalia palipoandikwa START APPLICATION HERE " KISHA ENDELEA NA HATUA KAMA HAPO KWENYE VIDEO
oya mbn mm nimetafta sna lkn bado inazengwa
Kama ni Chama Cha Ushirika Amcos kuomba tin mtandaoni
Sijakuelewa! Unamaanisha kuomba tin number ya chama cha ushirika? Kama ndio!
Nadhani njia rahisi ni itumike TIN namba ya mmoja wenu katika hicho chama. Lakini inabidi kwenye kuchagua aina ya TIN iwe ni BUSINESS TIN NUMBER.
Vinginevyo nadhani itabidi kufika tra kwa maelezo zaidi!
Ya Sasa mbona haiji ivoo au nakosea wapi
Kwamba TIN number imekuja format nyingine?! Au kuna step njiani imekua tofauti hivyo ukashindwa kuendelea?
Leseni ya biashara jee cio lazima au
Kwa Tin number ya biashara Kinachotakiwa ni jina la biashara na registration number ya biashara! Leseni haijazwi popote kwa mfumo huu!
mbona inagomsa link
Link ipi inagoma ndugu!
Kwenye description ya video hii kuna link ya kukupeleka kwenye post yenye maelekezo kwenye website yetu! kisha kwenye post hiyo kuna link ya kuanza kujisajili moja kwa moja! Karibu kama kutakuwa na sehemu unapata shida zaidi!
Kama umewahi jisajili umesahau no unapataje
Login kwenye account yako kisha nenda sehemu ya my TIN au active TIN.
Nataka tini namba
Apply ndugu, tumia mwongozo tulioonedha kama kutakuwa na swali uliza hapa!