📂 Kwa wanaoshindwa kufanya applications, karibu tuhudumie kwa bei rahisi kabisa! ✅ Tumeamua kuwaelekeza bure ili mtu akishindwa atatuchangia gharama ya bando la kumsaidia application yake tu. ⭕ GUSA LINK HII KUWASILIANA NASI MOJA KWA MOJA WHATSAPP ➠wa.me/message/KPBYLKDN6LF5B1 ⭕TAFADHALI FUATA MUUNDO WA MESEJI ULIOWEKEWA ILI KUHUDUMIWA KWA URAHISI ✍️KARIBU SANA
Samahanii kwa usumbufu,, mm naitwa NASRA JUMANNE HAMISI nilituma cheti changu kuhakikiwa nimeletewa cheti Cha mtu mwengine na sio Cha kwangu tafadhali nisaidieni,, nilikuwa naomba mnitumie cheti changu,,
Habari Yako kaka, samahani Kwa usumbufu ila Nina jambo langu naomba unisaidia kujua ni ipi namba ya Cheti cha kuzaliwa na kimekaa upande gani ktk Cheti changu.
Salama, Bila Samahani, namba ya cheti inaandikwa entry number ipo katika ma-box ya taarifa zako ambapo ndipo yaliko na majina yako! Huandikwa katika ki-box cha mwanzo kabisa kwenye cheti!
Nmekosea tarehe ya kuzaliwa na nlisubmit rita wamerudisha na wakasema tarehe ya kuzaliwa ipo tofauti na ya kitambulisho cha kura je nafanyaje??? Au nianze maombi upya tena??na nilipie upyaa tena???
Inawezekana ni aina ya simu unayitumia au browser unayotumia! Hapo ilitumika chrome! Na pia kama simu unayotumia itakuwa haifanyi kazi vizuri kwa kutumia chrome tumia browser nyingine kama vile operamini!
@@myfuraha936 hapo jaribu kurudi tena kwenye mobile view! Disable desktop mode na ujaribu kupreview, japo kuna muda huwa inashindwa kupreview na majibu hurudi, Cha msingi hakikisha document ilikua uploaded kweli!
@@utumishiportal nisaidie tena nimelipia vyeti ila muamala haukufika nisubiri pesa irudishwe au nilipie tena kama haitokatwa mara mbili? Masna muda unaenda. Na pia control number ya rita inakaa muda gani?
Subiria kwanza watakupa jibu kama kuna makosa watakupa access ya kubadilisha kwenye obi hilo hilo moja bila kufanya malipo mengine! Ila mara nyingi huwa majibu yanarudi bila tabu yoyote hata kama umekosea baadhi ya taarifa, cha msingi uwe unaingia kwenye account yako kuangalia majibu.
Kuna mabadiliko ya bei yamefanyika hivi karibuni kama week moja nyuma, ➠Bei ya kuomba cheti ni 20000 kutoka 10000 ➠Bei ya kubadilisha (marekebisho) ni 9000 kutoka 6000 ➠Na bei ya Kuverify ni 6000 kutoka 3000.
Entry number ipo kwenye cheti chako ndugu! Kwenye kibox cha kwanza kabla ya kibox cha jina lako la kwanza kuna sehemu imeandikwa entry number ndio hiyo!
Mimi nilikuwa nataka kumuombe cheti mwanangu lakini Sina tangazo na sijui naanzia wapi Ili niweze kukamilisha hili zoezi kaka nilikuwa naomba muongozo wako
Maana nilienda leo Lita wakaniambia wamebadilisha mfumo wa makaratasi na sasa tunatumia simu kuombea vyeti sasa sijui nawezaje kukipata nimejaribu nimeshindwa mkeli mpenzi wa mungu nisaidie kaka kunipa maelekezo yako
@@HammyDuke hii video ni ya kuhakiki cheti ambacho unakuwa nacho tayari! Video kwa ajili ya kuomba cheti kipya ni hii hapa chini iangalie, kwa kubonyeza hii link hapa ⬇️ th-cam.com/video/7yoPHppMVtk/w-d-xo.html
Mother information pale kaka wanataka No of pregnancy No of children No safe delivery No of deaths before delivery Month of pregnancy prenatal care began Kaka sijui hata moja ndio nilipo ishia Mimi na mtoto wangu anamiezi mitano nataka cheti
Kwenye majina wakati wa kujisajili?! Kama ndio, angalia mwishoni mwa kila jina usiweke nafasi! Yaani kuna space inakuepo mwishoni ndo maana unaambiwa name must be valid!
Sijakuelewa ndugu, hard copy kwa maana ipi? Maana ili kuhakiki lazima ukiscani cheti kiwe kwenye soft copy ndio uweze kuki-upload na kama unakitaka cheti kilichohakikiwa in hard copy, utasubiri majibu yakija unakidownload cheti chenye muhuri unakiprint! Labda kama kuna namna sijakuelewa!?
Samahan, ninatumia simu na nimejaribu kuiweka mfumo kutumia desktop lakini napo inaniambia please attach at least 1attachment kila nikijarb kuendelea baada ya kuattach Chet. Nifayaje bro???
Bila Samahani, Hapo kuna mambo kama mawili ya kufanya, - Cha kwanza hakikisha cheti chako kipo kwenye format ya pdf! - Cha pili angalia size ya hiyo pdf iwe sio zaidi ya 500kbs. Inawezekana kimoja kati ya hivyo vinazuia cheti chako kuwa uploaded!
Usijali, itabadilika, na uzuri kama tayar umeshalipia na umehakiki control number, kuchelewa kubadilika status haiathiri siku za kurudishiwa majibu! Hapo ratizo linakuwa tu kwenye mfumo wa feedback ila kwenye maombi kudanyiwa kqzi haliathiri! Mimi kwenye huu mfano nloonesha ilikaa siku tatu kabla ya kubadilika!
Asante. Ila nimefungua account na Google wameniletea notification kuactivate lakin nikibonyesha hyo link naambiwa email confirmation failed! Tatizo liko wapi??
@@naswiraab-bakari2495 itakua umechelewa kuacticate? Jaribu kurequest tena kisha haraka confirm email, au copy link ukafungulie kwenye browser nyingine !
Samahani nmejaza taarifa vzuri ila nilipofika stage ya kuupload cheti cha kifo ikagoma kuniletea control number inaandika an error occur while executing your request
Samahan naona nikifika sehemu ya attachment ya file wananiambia attache atleast one lakin apo nilikuw nimesha attach but nikiminya continue inagoma kuendelea mbele
Hapo kuna uwezekano kuwa document yako ina size kubwa zaidi ya 512kbs! Jaribu kuki-compress cheti chako kisha upload tena! Na pia hakikisha kiko kwenye pdf format!
Nimejaribu tena ila nikifika kwenye attachment ya cheti inaniandikia invalid extension. Allowed extension include application /pdf Arafu neno lingine inasema insert atleast one sasa sijui nifanyaje ila natumia ni simu kufanya uhakiki
Sorry vipi kama chet chako herufi mojawapo ya jina lako lipo tofauti kidogo na la shule je Rita itakuhakikia cheti au itakukataa! Na isitoshe umeenda kuapa na kupata cheti cha kiapo herufi uliokosea kwenye cheti na jina lako mmiliki ni wewe mfano seif na seiph yote ukaapa mmiliki ni ww je ni lazima kuhakiki na je inakuaje kwenye kuapply mkopo napata confusion kdg apo
Rita ina hakiki cheti chochote bila kutaka kujua kama majina yako yamefanana na sehemu zingine! Kwa ufupi rita watahakiki cheti chochote utakachokiweka bila oujali usahihi wa majina yako! Kuhusu kuapply mkopo ndipo unapokuja umuhimu wa hiyo affidavit uliyoapa kwa kukubali kutumia Majina yote, hapo ndipo utaambatanisha cheti chako kikiwa pamoja na affidavit! Sio issue complicated sana hata isikupe mawazo wala wasiwasi! Endelea na applications, tumia hizo documents!
Inawezekana tayari ulisahatumia hiyo email kujaribu kufungua account! Au inawezekana unakosea email yako kwa kuacha nafasi mwishoni baada ya .com. angalia wakati unaandika email usiache nafasi mwishoni yaani .com( ).
@@HawaWaziri-w3s ikiwa kuna ulazima wa kubadilisha uwezekano huo upo! Unaweza ukafanya online kama hii ya iuomba cheti kipya ispokuwa wewe utaingia sehemu iliyoandikwa "CHANGE FROM OLD TO NEW" Pia unaweza ukafika ofisi za rita wakusaidie kubadilisha cheti ikiwa online utapata ugumu wowote! Gharama zake nadhani ni 12,000/= kwa sasa!
Jw ukijaribu kulogin inakubali au inakwambia account inactive?! Kama inakubali basi itakuwa ni shida ya kimtandao tu ilitokea kama haikubali jaribu oucopy link ya activation kisha kaifungulie kwenye browser moja kwa moja!
📂 Kwa wanaoshindwa kufanya applications, karibu tuhudumie kwa bei rahisi kabisa!
✅ Tumeamua kuwaelekeza bure ili mtu akishindwa atatuchangia gharama ya bando la kumsaidia application yake tu.
⭕ GUSA LINK HII KUWASILIANA NASI MOJA KWA MOJA WHATSAPP
➠wa.me/message/KPBYLKDN6LF5B1
⭕TAFADHALI FUATA MUUNDO WA MESEJI ULIOWEKEWA ILI KUHUDUMIWA KWA URAHISI
✍️KARIBU SANA
Mm nilihakiki cheti changu Kwa laini ya ndugu yangu Sasa Kwa bht mbaya amepoteza cm na celew kuhusu hzo code nitazipataje
Samahanii kwa usumbufu,, mm naitwa NASRA JUMANNE HAMISI nilituma cheti changu kuhakikiwa nimeletewa cheti Cha mtu mwengine na sio Cha kwangu tafadhali nisaidieni,, nilikuwa naomba mnitumie cheti changu,,
Mungu akulipe
Allahuma amiin
Habari Yako kaka, samahani Kwa usumbufu ila Nina jambo langu naomba unisaidia kujua ni ipi namba ya Cheti cha kuzaliwa na kimekaa upande gani ktk Cheti changu.
Salama,
Bila Samahani, namba ya cheti inaandikwa entry number ipo katika ma-box ya taarifa zako ambapo ndipo yaliko na majina yako! Huandikwa katika ki-box cha mwanzo kabisa kwenye cheti!
@@utumishiportal Asante nashukuru
@@salmaamani7328 karibu sana,
Nmekosea tarehe ya kuzaliwa na nlisubmit rita wamerudisha na wakasema tarehe ya kuzaliwa ipo tofauti na ya kitambulisho cha kura je nafanyaje??? Au nianze maombi upya tena??na nilipie upyaa tena???
Umekosea wapi? Kwenye kuomba cheti kipya au kwenye kuverify?
Samahan mm nikifika kwenye kuattach chet inaniambia an error occurred while raising remote steam cjuiii nifnyaje
hapo inawezekana cheti chako kina size kubwa zaidi ya 512kbs, jaribu kucompress cheti chako na kiwe kwenye pdf format pia!!
Mbona mm nikifka kwenye dashboard vle vimistar vitatu havifunguki tatz nn??
Inawezekana ni aina ya simu unayitumia au browser unayotumia!
Hapo ilitumika chrome! Na pia kama simu unayotumia itakuwa haifanyi kazi vizuri kwa kutumia chrome tumia browser nyingine kama vile operamini!
Asante ila natumia simu kila nikifika kwenye attachment inagoma
Kama unatumia simu weka desktop mode kwenye browser yako ili iwe rahisi!
@@utumishiportal sawa asante
@@utumishiportal asante nimefanikiwa ila nikipreview ili nikione hakifunguki niendee hivohivo Au itakuwa empty file?
@@myfuraha936 hapo jaribu kurudi tena kwenye mobile view! Disable desktop mode na ujaribu kupreview, japo kuna muda huwa inashindwa kupreview na majibu hurudi,
Cha msingi hakikisha document ilikua uploaded kweli!
@@utumishiportal nisaidie tena nimelipia vyeti ila muamala haukufika nisubiri pesa irudishwe au nilipie tena kama haitokatwa mara mbili? Masna muda unaenda. Na pia control number ya rita inakaa muda gani?
samahan je naweza kulipia na kutuma cheti zaidi ya mara moja kama nilicholipia mara ya kwanza kilikosewa kwenye entry number au informant details zake
Subiria kwanza watakupa jibu kama kuna makosa watakupa access ya kubadilisha kwenye obi hilo hilo moja bila kufanya malipo mengine!
Ila mara nyingi huwa majibu yanarudi bila tabu yoyote hata kama umekosea baadhi ya taarifa, cha msingi uwe unaingia kwenye account yako kuangalia majibu.
Habari mie nikipress amount activate inaandika email confirmation failed
Ulichelewa kuifungua link? Au umeigungua mara mbili?
Jaribu kulogin ikakubali kulogin ndo tayari upo registered
Nimefika hadi Kwenye kurequest control number then inaniambia request control number in progress ila control number haijaja
Huwa inachelewa kidogo Kwa siku hizi! Hopefully ilikuja!
Nimefanya verification, Lakin Control number imekuja na Malipo ya Tsh.6000.
Naomba kufaamu Kawan Malipo yanatofautiana maaan najua Ni 3000
Kuna mabadiliko ya bei yamefanyika hivi karibuni kama week moja nyuma,
➠Bei ya kuomba cheti ni 20000 kutoka 10000
➠Bei ya kubadilisha (marekebisho) ni 9000 kutoka 6000
➠Na bei ya Kuverify ni 6000 kutoka 3000.
@@utumishiportal 🙏
Entry no kaka ndio ipi hiyo Mimi sina
Entry number ipo kwenye cheti chako ndugu!
Kwenye kibox cha kwanza kabla ya kibox cha jina lako la kwanza kuna sehemu imeandikwa entry number ndio hiyo!
Mimi nilikuwa nataka kumuombe cheti mwanangu lakini Sina tangazo na sijui naanzia wapi Ili niweze kukamilisha hili zoezi kaka nilikuwa naomba muongozo wako
Maana nilienda leo Lita wakaniambia wamebadilisha mfumo wa makaratasi na sasa tunatumia simu kuombea vyeti sasa sijui nawezaje kukipata nimejaribu nimeshindwa mkeli mpenzi wa mungu nisaidie kaka kunipa maelekezo yako
@@HammyDuke hii video ni ya kuhakiki cheti ambacho unakuwa nacho tayari!
Video kwa ajili ya kuomba cheti kipya ni hii hapa chini iangalie, kwa kubonyeza hii link hapa ⬇️
th-cam.com/video/7yoPHppMVtk/w-d-xo.html
Mother information pale kaka wanataka
No of pregnancy
No of children
No safe delivery
No of deaths before delivery
Month of pregnancy prenatal care began
Kaka sijui hata moja ndio nilipo ishia Mimi na mtoto wangu anamiezi mitano nataka cheti
Mbona nikibonyeza kwenye birth application haifunguki
Inawezekana kulikua na shida ya kimfumo!
Jaribu tena kama bado, ikigoma tafadhali wasiliana nasi WhatsApp au kwenye Instagram page yetu!
@@utumishiportal eti unafanyaje ili cheti kiwe below 512kb
Mim nikijaza taarifa zang apo kweny majina naambiwa invalid tatizo n nin???
Kwenye majina wakati wa kujisajili?!
Kama ndio, angalia mwishoni mwa kila jina usiweke nafasi! Yaani kuna space inakuepo mwishoni ndo maana unaambiwa name must be valid!
Mbona sehem ya attachment ya chet kila nikifanya attachment then continue inanigomea kiongoz! Shida ipo wapi ndugu
Itakuwa issue ni format ya document!
Hakikisha cheti chako kiwe na size ndogo chini ya 512 kbs, na pia kiwe PDF
Oky thank pia ukitumia simu kwenye sehemu ya attachment nayo changamoto
@@phidolineprivatus9078 ni kweli, ili kuondoa changamoto hiyo huwa nashauri utumie desktop mode hapo hapo kwenye simu! Unakuwa umesolve!
Sawa kiongozi nashukur na la mwisho msaada video ya application za vyuo
@@phidolineprivatus9078 tutaweka leo application za Vyuo baadhi, unaweza ukapedekeza pia chuo kipi ungetamani tuamze nacho!
KWA UPANDE WA HARD COPPY INAKUWAJE KIONGOZI, NAOMBA UNISAIDIE HAPO
Sijakuelewa ndugu, hard copy kwa maana ipi? Maana ili kuhakiki lazima ukiscani cheti kiwe kwenye soft copy ndio uweze kuki-upload na kama unakitaka cheti kilichohakikiwa in hard copy, utasubiri majibu yakija unakidownload cheti chenye muhuri unakiprint!
Labda kama kuna namna sijakuelewa!?
Sorry mbona me baada ya kupress account activation nkaambiwa email confirmation is failed cjaelewa why but tayr niko registered
Ukijaribu kulogin inakubali?
Mimi pia inanambia ivo ivo
@@utumishiportal Samahani mm chet changu kwenye JINA la mama waliandika langu haiwez ikaniletea shida?
@@neemadede3457Habari, Samahani kwa kuchelewa kujibu!
Kwenye kuhakiki vyeti haina mambo mengi! Cha msingi andika majina kama yalivyo kwenye cheti!
Hizo code ambazo zitatumika kweny kuomba mkopo unapata wapi? Similarly, kweny kuverify cheti cha kifo ni hivyo hivyo au kuna utofauti
Namna ya kupata verification code angalia hapa
th-cam.com/video/XuntFpRVQMg/w-d-xo.html
@@utumishiportal
Samahan, ninatumia simu na nimejaribu kuiweka mfumo kutumia desktop lakini napo inaniambia please attach at least 1attachment kila nikijarb kuendelea baada ya kuattach Chet. Nifayaje bro???
Bila Samahani,
Hapo kuna mambo kama mawili ya kufanya,
- Cha kwanza hakikisha cheti chako kipo kwenye format ya pdf!
- Cha pili angalia size ya hiyo pdf iwe sio zaidi ya 500kbs.
Inawezekana kimoja kati ya hivyo vinazuia cheti chako kuwa uploaded!
Aha sawa kaka
Brother thank you so much, GOD BLESS sYOU, nimefanikiwa... Barikiwa sana na Bwana akuwezeshe uishi miaka Mingi na Yenye mafanikio. Ahsante
Amiiin, karibu sana ndugu @@SaimonMwatwabana
Ahsante Kaka tuatazid kukaribia tukion changamoto sehem zingine, uwe na Siku njema
Mbona huoneshi majibu yakija tutayasomea wapi??
Angalia majibu hapa ⬇️
th-cam.com/users/shortsmaB6W0xLn7o?feature=share
Kila Nikita kujiregister ina niambia invalid name shida nn
Usiache nafasi mwishoni mwa jina lako au email yako!
Sijaelewa usiache nafasi vipi?
Control number aiji kabsa mkuu nifanyaje nimesubir san
Itakuja tu. Inaweza ikafika hata Baada ya masaa 12
na kwenye verification ya death certificate pale kwenye informant details nini inapaswa kujazwa pale
Pqle unatakiwa kujaza taarifa zako wewe unayeomba hicho cheti kwa aajili ya mzazi wako! (Taarifa za mtoaa taarifa za aliyefariki)
@@utumishiportal asante
Samahani mbona mm nikifika hapo kutuma cheti baambiwa no file choosen hata nikiclik inagoma
Hakikisha pdf yako ina size ndogo, isiwe zaidi ya 300kbs!
Mimi niliappy af certificate yang ikawa rejected sasa sijui shida ni nn
Uliweka viambata vipi?
Je? Naweza kufungua account moja then nikatumua kusajili vyeti vya watu wengin?
Ndio inawezekana, account moja inaweza ikafanya maombi mengi ya watu tofauti tofauti!
Nili lipa tangu asubuhi ala adisasa haija badilika kuwua imelipwa
Usijali, itabadilika, na uzuri kama tayar umeshalipia na umehakiki control number, kuchelewa kubadilika status haiathiri siku za kurudishiwa majibu!
Hapo ratizo linakuwa tu kwenye mfumo wa feedback ila kwenye maombi kudanyiwa kqzi haliathiri!
Mimi kwenye huu mfano nloonesha ilikaa siku tatu kabla ya kubadilika!
Asante big
Mkuu kila nikiweka entry number inaniambia **required maana yake nini
Maana yake kuna sehemu hujajaza na ni lazima zijazwe
Samahani, email inayotumika ni lazima iwe ya muhusika au ata kama ya mtu mwingine anayemsaidia kuapply Cha muhimu tuu iwe active???
Unaweza ukatumia email yoyote cha muhimu iwe active, na pia account moja unaweza ukafanyia verification vyeti vya watu wengi tofauti tofauti!
Asante.
Ila nimefungua account na Google wameniletea notification kuactivate lakin nikibonyesha hyo link naambiwa email confirmation failed!
Tatizo liko wapi??
@@naswiraab-bakari2495 itakua umechelewa kuacticate? Jaribu kurequest tena kisha haraka confirm email, au copy link ukafungulie kwenye browser nyingine !
Nashukur sanaa kaka
@@naswiraab-bakari2495 sawa Ndugu, karibu sana!
Vp ukitumia majina kwa erufi ndogo na kwenye cheti ni erufi kubwa kuna shida yoyote itajitokeza mbelen
Hakuna tatizo lolote, kinachosumbua ni kutofautiana herufi katika jina au jina zima
🙏
Majibu yanachukua muda gani?
Huchukua siku kumi za kazi maximum! Ila mara nyingi hurudishwa majibu kabla ya hizo siku kumi!
Samahani nmejaza taarifa vzuri ila nilipofika stage ya kuupload cheti cha kifo ikagoma kuniletea control number inaandika an error occur while executing your request
Jaribu kurudia application nyingine upya inawezekana ni shida ya kimfumo tu!
Okay Shukran
Kila nikilogin inanambia these credentials do not match ni kwann
Utakuwa unakosea password au username!
Nimelipa lakini bado ina onyesha haijalipwa kwenye status
Mara nyingine Huwa inachukua muda kidogo kubadilika, ipe muda kidogo.
Sawa nililipia tangu asubui najina liliku sahihi
Samahan naona nikifika sehemu ya attachment ya file wananiambia attache atleast one lakin apo nilikuw nimesha attach but nikiminya continue inagoma kuendelea mbele
Nifanye nini apo
Hapo kuna uwezekano kuwa document yako ina size kubwa zaidi ya 512kbs! Jaribu kuki-compress cheti chako kisha upload tena! Na pia hakikisha kiko kwenye pdf format!
Saw ngoja nifanye hivyo
Nimejaribu tena ila nikifika kwenye attachment ya cheti inaniandikia invalid extension. Allowed extension include application /pdf
Arafu neno lingine inasema insert atleast one sasa sijui nifanyaje ila natumia ni simu kufanya uhakiki
Au niambie hicho cheti niscan kwenye simu au stationary na iwe page A4 au
Sorry vipi kama chet chako herufi mojawapo ya jina lako lipo tofauti kidogo na la shule je Rita itakuhakikia cheti au itakukataa! Na isitoshe umeenda kuapa na kupata cheti cha kiapo herufi uliokosea kwenye cheti na jina lako mmiliki ni wewe mfano seif na seiph yote ukaapa mmiliki ni ww je ni lazima kuhakiki na je inakuaje kwenye kuapply mkopo napata confusion kdg apo
Rita ina hakiki cheti chochote bila kutaka kujua kama majina yako yamefanana na sehemu zingine! Kwa ufupi rita watahakiki cheti chochote utakachokiweka bila oujali usahihi wa majina yako!
Kuhusu kuapply mkopo ndipo unapokuja umuhimu wa hiyo affidavit uliyoapa kwa kukubali kutumia Majina yote, hapo ndipo utaambatanisha cheti chako kikiwa pamoja na affidavit!
Sio issue complicated sana hata isikupe mawazo wala wasiwasi! Endelea na applications, tumia hizo documents!
Samwel
Nseso
Masanja
Kila nikijaribu kufungua account naambiwa email already exist or invalid....lakini email yangu ipo active, shda nn
Inawezekana tayari ulisahatumia hiyo email kujaribu kufungua account! Au inawezekana unakosea email yako kwa kuacha nafasi mwishoni baada ya .com. angalia wakati unaandika email usiache nafasi mwishoni yaani .com( ).
Majibu natumiwa kupitia nini
Namna. Ya kuangalia majibu ni hivi 👉th-cam.com/users/shortsmaB6W0xLn7o?feature=share
Mbona Hadi sahizi sijapata majibu
Majibu ni siku ngapii
@@AmaniAbel-y9d siku 10 za kazi
Mungu akulipe
Amiiin!
@@utumishiportalnilikosea mwezi wa kizaliwa mwanangu Kaka unanisaidiaje
@@utumishiportalnirudie Tena upya au naweza kurekebisa maana wameshanipa na control number tayari
@@HawaWaziri-w3s ikiwa kuna ulazima wa kubadilisha uwezekano huo upo! Unaweza ukafanya online kama hii ya iuomba cheti kipya ispokuwa wewe utaingia sehemu iliyoandikwa "CHANGE FROM OLD TO NEW"
Pia unaweza ukafika ofisi za rita wakusaidie kubadilisha cheti ikiwa online utapata ugumu wowote!
Gharama zake nadhani ni 12,000/= kwa sasa!
Sorry mbona me baada ya kupress account activation nkaambiwa email confirmation is failed cjaelewa why but tayr niko registered
Jw ukijaribu kulogin inakubali au inakwambia account inactive?!
Kama inakubali basi itakuwa ni shida ya kimtandao tu ilitokea
kama haikubali jaribu oucopy link ya activation kisha kaifungulie kwenye browser moja kwa moja!
@@utumishiportalprocess zote zimekubali kasoro apo tu