Mtumishi hakika Mungu alive ndani yako anatenda makuu, nilikuwa nasikiliza haya mafundisho nikiwa nimekaa nje ya duka ambako nikaribu na mlango wa fundi cm ambae ni waimani nyingine, mim nikiwa naenderea kusikiliz nikashangaa ametoka na kuniambia unatupigia kelele na hiyo cm yako wakati sauti ilikuwa ndogo na yeye yuko ndani na kunamakelele mengi ya miziki lakin sauti ya Mungu imemfata mbaka ndani aliko, Kifupi ninambariki sana huyu Mungu alie juu, Sauti ya Mungu ilio ndani yako inanguvu sana
Asante YESU wangu.nisaidiee🙌🙌. sijawahi kuchoka Wala kukinai kusikiliza mafundisho yako, pastor Dad Sanbella kyando..I wish cku moja nitakuja dar.Reality .japo on line tuko pamoja... GOD bless you pastor Sanbella.🙏🙏🙏🙏🙏🙏
ka story kangu...kafupi.ninaijua REALITY OF CHRIST SINCE 2016,frm victoria to sinza mori.NIMEFANYIWA MAOMBI NA NIKAPATA BREAKTHROUGH namshukuru MUNGU,ila sasa kazi niliyopata nashindwa hata kuja ibadani..ni mara moja moja sana ,so sad bt im trying kusikiliza u tube masomo mbalimbali.mengi yananichoma.PRAY FOR ME SO THAT I CAN GET JOB ambayo itanifanya niudhurie ibada.moyo unaniumaa mno.BABA YANGU PASTOR SUNBELLA .plz pray for me.
Kuusu Vyumba vya naombii umeongea Point kubwa sana Tena sana Sio sili wew ulitumwa na Baba yetu wa Mbinguni Blessed 🙌
Duuuhhh Amen Amen Baba Nimependa mpaka laha jameniii Nimegushwa sehem kubwa mno tena sana Baba Soon Nakuja Dar es salam Japo niko nyuma ya tz Asante
Mtumishi hakika Mungu alive ndani yako anatenda makuu, nilikuwa nasikiliza haya mafundisho nikiwa nimekaa nje ya duka ambako nikaribu na mlango wa fundi cm ambae ni waimani nyingine, mim nikiwa naenderea kusikiliz nikashangaa ametoka na kuniambia unatupigia kelele na hiyo cm yako wakati sauti ilikuwa ndogo na yeye yuko ndani na kunamakelele mengi ya miziki lakin sauti ya Mungu imemfata mbaka ndani aliko, Kifupi ninambariki sana huyu Mungu alie juu, Sauti ya Mungu ilio ndani yako inanguvu sana
Asante YESU wangu.nisaidiee🙌🙌. sijawahi kuchoka Wala kukinai kusikiliza mafundisho yako, pastor Dad Sanbella kyando..I wish cku moja nitakuja dar.Reality .japo on line tuko pamoja... GOD bless you pastor Sanbella.🙏🙏🙏🙏🙏🙏
No more DARKNESS in my Family e.t.c in yesus mighty Name.
Amina
Amen mtumishi
Amen Amen Amen
Tunakupata vema Kenya barikiwa sana
Narudia Tena hili somo naamini kunajambo juu yangu
Barikiwa sana pastor🙏🙏🙏
Asante Mungu kwa kunena nimi..naomba rehema zako YESU
AMINA
ka story kangu...kafupi.ninaijua REALITY OF CHRIST SINCE 2016,frm victoria to sinza mori.NIMEFANYIWA MAOMBI NA NIKAPATA BREAKTHROUGH namshukuru MUNGU,ila sasa kazi niliyopata nashindwa hata kuja ibadani..ni mara moja moja sana ,so sad bt im trying kusikiliza u tube masomo mbalimbali.mengi yananichoma.PRAY FOR ME SO THAT I CAN GET JOB ambayo itanifanya niudhurie ibada.moyo unaniumaa mno.BABA YANGU PASTOR SUNBELLA .plz pray for me.
Mshukuru Mungu kwa ajilj ya kazi and try as hard as you can kwenda Ibadani, Mungu akupe njia
Mungu akusimamie jifunze pia namna ya kukabidhi mambo yako madhabauni na kuachilia sadaka uone kama Mungu atokupa kaz nyingine
Good news
Somo tamu Sana, Mungu awabariki Sana watumishi wa ROC. We are learning
I connect in Jesus mighty name,no more darkness in family, career,destiny, health, financial in JESUS MIGHTY NAME...More Grace Man of God Sunbella ...
Asante Yesu,no more darkness in my family God bless you man of God
Umenigusa mtumishi....mwanzo nilikuwa hakuchukua Sana nilivyokuwa naona mume wangu anakufuatilia chomoza clouds tv🤭
Asante BWANA kwa ufunuo huu
True naelewa sanaaa
AMINA MUNGU wangu
Asante sana mtumishi kwa haya mafundisho
1 Thank God
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Asante Mungu kwa ufunuo huu ni funguhe bint yako AMEEEN
Amen 🙌🏿
Ameen mwalim
Daah Ee Mungu !!
tuned from Nairobi this a big revelation
Asante Mungu kwa ufunuo huu
Amen
I connect with this anointing by faith in Jesus name
😭👏👏👏👏👏😭😭🙏🙏AMEEEEN
Mtu kuomba asubuhi mchana na usiku anapo omba anafaidika zaidi kwa upande upi ata kama imani yake ni ndogo??
Amen