DAR ES SALAAM kama Ulaya, Barabara ya Juu 'FLY OVER' yakamilika Ubungo,Wananchi Wafunguka haya

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 481

  • @hanclove7631
    @hanclove7631 4 ปีที่แล้ว +146

    Watanzania wenzangu tumpe likes magufuli ❤💯

    • @saadarashid8174
      @saadarashid8174 4 ปีที่แล้ว +1

      Yeap he did mashallah

    • @siromyhemed9464
      @siromyhemed9464 4 ปีที่แล้ว +5

      Unazungumzia maendeleo ya watu... utaachaje kuzingumzia rlimu bure...hospitali....barabara....unategemea miundombinu mibivu foleni masaa matano utafikia maendeleo ya watu....? Maendeleo ni neno pana sana ....kama elimu yako ndogo na hujawai hata kutembelea nchi zilizoendelea huwezi kujua maendeleo ya watu bila kuanza kuweka miundombinu mizuri .....JPM Alisoma UK Masters yake ....natumaini alijifunza kwamba bila miundombinu bora huwezi kufikia maendeleo ya watu.. Ili ufanye kaz kwa haraka upate kipato chako hauitaji kukaa masaa barabarani.... Jpm na Tanzania kwanza ....wengine wasubir kidogo.

    • @mao9622
      @mao9622 4 ปีที่แล้ว +4

      Tumpe kuraaa

    • @jacobsumaye8560
      @jacobsumaye8560 4 ปีที่แล้ว +4

      @@siromyhemed9464 kweli kabsaaa mitano Tena kwa Magufuli

    • @kenethfanuel9195
      @kenethfanuel9195 4 ปีที่แล้ว +4

      JPM OYEEEEEE

  • @shaluissa3184
    @shaluissa3184 4 ปีที่แล้ว +17

    Wow home sweet home I miss you 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @miriamkafwila98
    @miriamkafwila98 4 ปีที่แล้ว +7

    Where our President goes wrong ...Edgar Lungu come and see

  • @samuelhenry9194
    @samuelhenry9194 4 ปีที่แล้ว

    Changamoto alizozizungumzia miss Chaulaya zizingatiwe kikamilifu kwa kuweka alama za wenda kwa miguu na kuweka kituo cha mabasi mahususi kwaajili ya wanafunzi wa chuo kikuu cha mabibo na ikiwezekana kuwepo na road bumps kwa maeneo ya watembea kwa miguu

  • @مارثاتنزانيا
    @مارثاتنزانيا 4 ปีที่แล้ว

    Najivunia kuzaliwa tanzania,napia najivunia kuwa na mzee magu

  • @adamally8791
    @adamally8791 4 ปีที่แล้ว

    Tanzania my country 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @haithamsleiman9127
    @haithamsleiman9127 4 ปีที่แล้ว

    oooyooo tanzania ya sasa mamaaaaa🤗🤗

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 4 ปีที่แล้ว

    Bora wasiruhusu kukatiza kwa miguu .

  • @janatahmad7048
    @janatahmad7048 4 ปีที่แล้ว +65

    from burundi walahi hii barabara ni noma jamani magufuli oyeeee

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 4 ปีที่แล้ว +73

    HALAFU JITU LINATOKEA ETI BARABARA ZINA FAIDA GANI #MAGUFULI MITANO TENA NA UTASHINDA KWA KISHINDO💪✊

    • @diahemedsalumdia6594
      @diahemedsalumdia6594 4 ปีที่แล้ว +7

      Umeonaeee 5 tena

    • @nubianqueenn830
      @nubianqueenn830 4 ปีที่แล้ว +7

      Ewe mola tupe rais kama magufuli Kwetu Congo

    • @joezeno8
      @joezeno8 4 ปีที่แล้ว +3

      Eti Jitu 😂😂😂😂😂😂

    • @erastomazela8962
      @erastomazela8962 4 ปีที่แล้ว +3

      Tano tena

    • @yunglintz9377
      @yunglintz9377 4 ปีที่แล้ว +4

      @@nubianqueenn830 iyoo kweli kabisa my country 🇨🇩

  • @amosmalaba5
    @amosmalaba5 4 ปีที่แล้ว +36

    Huyo lissu aendelee kuhibiri lisasi zake za mguuni MAGUFURI speed kwa sana mbele 5 lazim.

  • @Juma_Content
    @Juma_Content 4 ปีที่แล้ว +39

    bro mm naishi marekani akuna utofauti wa bongo na uku tena kw barabara bige up sana rais wetu wa awamu yta tano

    • @seltricking26
      @seltricking26 4 ปีที่แล้ว +3

      Acha ujinga wewe unaishi marekani gani iyo ?? Ao upo porini ya marekani 😂😂😂 umeshaga ona siku gani highways za marekani kuna watu wana walk kwa mguu 😂😂 acheni ujinga bana

    • @abuuramadhan8093
      @abuuramadhan8093 4 ปีที่แล้ว

      Makonda ndo anaiweza Dar

    • @abuuramadhan8093
      @abuuramadhan8093 4 ปีที่แล้ว

      Toka makonda ondoke Dar imepoa

    • @abuuramadhan8093
      @abuuramadhan8093 4 ปีที่แล้ว

      Wawekewe Daraja la kuvuka kwa miguu

    • @seltricking26
      @seltricking26 4 ปีที่แล้ว +1

      Abuu Ramadhan kaka kwenye highways hapakuwaki daraja la miguu kwa sababu magari yanakuwa kwenye high speed na watu wana weza kuwa nafuka na accidents sana

  • @anahna6788
    @anahna6788 4 ปีที่แล้ว +63

    SWEET HOME JPM KWAZA VILAZA BAADAYE SANA

    • @henryjohn2913
      @henryjohn2913 4 ปีที่แล้ว +5

      Tena iyo badae km umewapendelea sanaa saiv elimu bure watu kama magufuri tutawapata wengi tu kwaiyo vilaza watafute pakukimbilia hawana nafasi

    • @taslimanyange2850
      @taslimanyange2850 4 ปีที่แล้ว +4

      Magufuli kafanya kazi kubwa jamani lkn kuna mijitu haioni tumpongeze kwa kweli

    • @jenyyusuph4973
      @jenyyusuph4973 4 ปีที่แล้ว +1

      Ha saa hiyo baadae mm pia sitaki kusikia maana mbiligiji kasha Sema Bara Bara meri leri TRENI bandali vimejengwa na mkoloni Sasa baadae akipata atawa danganya watu vya mkoloni Kisha ang,oe AWAPE mabeberu

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv 4 ปีที่แล้ว +36

    MBELIGIJI HAYA MAENDELEO NI YA VITU AU WATU AU WATU+VITU 🤷‍♂️ MBELIGIJI ANA VITUKO.... NA UTAKOMA KWENYE SANDUKU LA KURA WAJUMBE TUTAKUPONYA MIGUU KAMA ULOFANYIWA MAOMBI KWA MWAMPOSA....... KURA LAKI2 TU ZINAKUTOSHA KISHA ITISHA MAANDAMANO..... NA HUPATI MTU THIS TIME

  • @mukaplatnumz2313
    @mukaplatnumz2313 4 ปีที่แล้ว +36

    Magu anazidi pamba moto wapinzani matumbo joto😜😜😜 wataweza Kweli AAA wapi kushindana nasi AAA wapi ATA wakiungana AAA wapi MATUSI kututukana AAA magufuli baba Lao.

  • @jovinathasavoie8018
    @jovinathasavoie8018 4 ปีที่แล้ว +21

    That is really nice,tukirudi tanzania tutajivunia big up mr president.hi from USA 🇺🇸

  • @mkakampole7802
    @mkakampole7802 4 ปีที่แล้ว +26

    Naipenda Tanzania yangu. ProudlyTanzanian, nitakuwa mtanzania mpaka kiama

  • @lilymammpayo8072
    @lilymammpayo8072 4 ปีที่แล้ว +31

    Magufuli 5 tena.oyoooooooo!!!

  • @rogerioathumani9084
    @rogerioathumani9084 4 ปีที่แล้ว +19

    Halafu eti tusimpigie kula jpm itakuwa zambi kubwa kwa mungu

  • @getitdoneright1938
    @getitdoneright1938 4 ปีที่แล้ว +11

    Japo alipingwa vikali na both houses, Congress na senete, Raisi Eisenhower alijenga barabara kuunganisha states zote za USA. Sasa uchumi wa marekani unatokana na matumizi ya barabara hizo. Tunampongeza Raisi JPM na serikali yake kwa uongozi bora. Mungu amlinde na ammpe afya bora iliaendelee kuwatumikia watanzania wote. Amen 🙏🏽.

  • @michaeleustach9769
    @michaeleustach9769 4 ปีที่แล้ว +6

    From Lois angel USA magufuli is the rock of africa magufulification of africa congratulations of Tanzania dar es salaam is a smallest of Europe

  • @Best_wolframmusichub
    @Best_wolframmusichub 4 ปีที่แล้ว +30

    Mungu ibariki Tanzania,Mungu ibariki Afrika na viongozi wake wazalendo kama mhe dkt John Pombe Magufuli.

    • @johnmlay4759
      @johnmlay4759 4 ปีที่แล้ว +2

      Amina

    • @sampeter4693
      @sampeter4693 4 ปีที่แล้ว +2

      Wajinga wengne wanao mpinga magufuri wanakwama wap sasa

  • @sampeter4693
    @sampeter4693 4 ปีที่แล้ว +10

    Tz yangu.. God bless u JPM wajinga wanakupinga ila tumeona kaz yako, tulio kuwa tunayashanga kwenye movie za mbele now yametufikia,. 5 mingne chukua

  • @kailomsewa2258
    @kailomsewa2258 4 ปีที่แล้ว +35

    Waooooooo home km home🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @zennakailo8106
    @zennakailo8106 4 ปีที่แล้ว +37

    Home km Home naipenda Tanzania yetu 🇹🇿🇹🇿🇹🇿NAJIVUNIA KUWA MTANZANIA

    • @yusuphally1380
      @yusuphally1380 4 ปีที่แล้ว

      Eeeh! Sawa, na kwetu tutajenga tu😥😥

    • @zennakailo8106
      @zennakailo8106 4 ปีที่แล้ว

      @@yusuphally1380 😂😂😂nichokoze

    • @yusuphally1380
      @yusuphally1380 4 ปีที่แล้ว

      @@zennakailo8106 nakwambia na sisi kwa mama njerii tutajenga tu😂😂😂, karibu kwetu Kenya

    • @zennakailo8106
      @zennakailo8106 4 ปีที่แล้ว

      @@yusuphally1380 😃😂😂😂😀😀😀kwa mama nani 😄😃😃😃😀😀😀kwenu kwanza

    • @yusuphally1380
      @yusuphally1380 4 ปีที่แล้ว

      @@zennakailo8106 kwetu kenya mandheee, tupeaneni hiyo pombe tuwape Uhuru

  • @safiyatheonlything7848
    @safiyatheonlything7848 4 ปีที่แล้ว +14

    Mashallha hapa kazi tu na imeonekana magufuri mitano tena nasikia raha nikiona nchi yetu inazidi kupendeza kira pande ata uku tulipo nchi za wezetu tunajifunia rais wetu l love 🇹🇿🇹🇿five tena kwa magu

  • @mavuzijiwe6805
    @mavuzijiwe6805 4 ปีที่แล้ว +22

    Jembe letu JPM mungu Akupe Maisha Marefu, Watanzania Tumpigie kura John pombe Magufuli, Tundulisu shoga Tupa kule

    • @emanuelmwanga4
      @emanuelmwanga4 4 ปีที่แล้ว

      Shoga baba yako hiyo ni kwa faida ya darslam na kwa kwenye magari

    • @sanyolee1396
      @sanyolee1396 4 ปีที่แล้ว

      @@emanuelmwanga4 wenye magar sio watu kwani

    • @emanuelmwanga4
      @emanuelmwanga4 4 ปีที่แล้ว

      @@sanyolee1396 sijasema siyo watu ila sipendi mnavyoropoka mambo ya ushoga alikufira wewe ukajua ni shoga fara wew

    • @sanyolee1396
      @sanyolee1396 4 ปีที่แล้ว +1

      @@emanuelmwanga4 kwani nilikwambia habar za ushoga, wewe si ulisema kwamba hiyo flyover wenye faida nayo ni wenye magari ndio nikakujibu kwamba kwani sio watu, na haina maana kama hauna Gari bas ndio halina faida kwako utapanda hata daladala na hautakaa kwenye foleni na utawahi kazi zako, na pia jifunze kuwa na ustaarabu wa maneno na domo lako kama Choo cha baa

    • @emanuelmwanga4
      @emanuelmwanga4 4 ปีที่แล้ว

      @@sanyolee1396 kunguru wew daladala nani wa kupanda daladala wew labda mafuta yafike laki kwa liter

  • @hafsaali4423
    @hafsaali4423 4 ปีที่แล้ว +20

    Hongera sana watz na raisi wetu kweli sahizi natamani kurudi tz kwa sasamaana kumenoga dubayi ndogo hiyo mwakani nakuja huko

  • @bellabakera
    @bellabakera 4 ปีที่แล้ว +20

    Dah huyo mama kaonge vizuri mno. Anaonekana tuko makini

  • @tabumussa6705
    @tabumussa6705 4 ปีที่แล้ว +5

    Magufuri ongoza mpaka kiama.jamaniii sitaki niswagwe naenda mwenyewe kulipa kodi.

  • @neemakilomoni4258
    @neemakilomoni4258 4 ปีที่แล้ว +14

    5 tena kwa Magufuli Oyeeeeeeeh 🇹🇿❤️

  • @venancephilbert9397
    @venancephilbert9397 4 ปีที่แล้ว +5

    Home sweet home gonga likes kwa JPM

  • @fatmaalhabs6939
    @fatmaalhabs6939 4 ปีที่แล้ว +17

    Ila waache kutupa uchafu mabarabarani

    • @michaelsiweya6500
      @michaelsiweya6500 4 ปีที่แล้ว +3

      Kweli kabisa..shida ya baadhi ya wabongo..akili zimepinda..utakuta anakunywa energy yake akisha maliza analitupa kopo lake katikati ya bara bara huko huko juu..Mbwangala..Halafu pia utashangaa watu wanagonga kingo za flyover huko huko juu kwa juu..Tunahitaji itolewe amri kali sana..Naongea hivi kwa sababu nilishashuhudia uharibifu kwenye daraja la kigamboni...Lori la mafuta lilishagonga nguzo za zege..sijui lilitaka liende kuogelea mara baharini..hilo..sijui..wakati mwingine mtu mpita njia unashikwa na hasira aise..unapoona watu wanakosa ustaarabu

    • @gosbertrwezahura3645
      @gosbertrwezahura3645 3 ปีที่แล้ว +2

      Kabisa. Lazima Watanzania tuwe na utamaduni wa usafi. Mtu akikamatwa anatupa uchafu ovyo faini elfu kumi.

  • @asinathasinath5090
    @asinathasinath5090 4 ปีที่แล้ว +20

    Loveeeee You Tanzania 🇹🇿 ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @petermwantole9433
    @petermwantole9433 4 ปีที่แล้ว +1

    hatari sana ,,ipati picha miaka mitano ijayo ya JPM Tanzania itakuaje,, viva NGOSHA,,TANO TENA

  • @iradukundamike5370
    @iradukundamike5370 4 ปีที่แล้ว +20

    tz mumu ongeze kura raisi wenu kiukweri ame badirisha inci yenu kiukweri pongezi nyingi kwa raisi wenu 👌

    • @johnmlay4759
      @johnmlay4759 4 ปีที่แล้ว

      Kabisa

    • @epnyagawa
      @epnyagawa 4 ปีที่แล้ว

      Itafikia muda utakokota begi toka stendi hadi majumbani kwetu

  • @subrynerysegerow1323
    @subrynerysegerow1323 4 ปีที่แล้ว +6

    Yeeeiyooooooo Tanzania ya sasa mamaaaa malizieni hukooo👂🏽

  • @mayellowjr2869
    @mayellowjr2869 3 ปีที่แล้ว +1

    Only 4 years tz imebadilika hivi Muhishimiwa Rais magufuli nimekupa salute am from kenya i like tz

  • @anahna6788
    @anahna6788 4 ปีที่แล้ว +41

    NA HILI JIJI ANALUWEZA MAKONDA PEKE YAKE WENGINE WATAFUTIWE KAZI NYINGINE

  • @kamalissabig2429
    @kamalissabig2429 4 ปีที่แล้ว +2

    Acha uchamba ww Fly Over sio barabara za juuu hvyo n vivuko vifupi tuu mjinga ww. Ni kama madaraja tuu hayo hananga ww

  • @khadijaomar8427
    @khadijaomar8427 4 ปีที่แล้ว +12

    Hivi nauliza hawa viongozi wetu wa Kenya haya maendeleo anayofanya magufuli waona ama ni kupiga domo bunge na kuiba mapesa ya wanachi

    • @aliciafields-worldtravelle8248
      @aliciafields-worldtravelle8248 4 ปีที่แล้ว +3

      Hizi barabara zilijengwa Kenya 20 years ago..tazama thika road..kenya sasa inajenga Express ways to be completed in 2022.

    • @linkedozone2857
      @linkedozone2857 4 ปีที่แล้ว +2

      Wakenya hamjipendi nyinyi sio nationalists kama watanzania ama wasomali. Tz wakijenga choo kimoja headlines zote "kama ulaya". Kenya mna kila kitu lakini kujianika nje for likes. Uhuru mwenyewe as corrupt as his government is amejenga more kilometers of modern roads than Magufuli in 20 yrs. Think of kungekuwa bila corruption? tungekuwa ata mbali zaidi. Appreciate that part.

    • @aliciafields-worldtravelle8248
      @aliciafields-worldtravelle8248 4 ปีที่แล้ว +3

      @@linkedozone2857 tell them..Kenya is 30 years ahead of Tanzania..in infrastructure, HDI, Healthcare, et al

    • @linkedozone2857
      @linkedozone2857 4 ปีที่แล้ว +3

      @@aliciafields-worldtravelle8248 Funny how Kenyans hate themselves and worship everyone else. That's why it's easy for external people characters to troll us. Look at how Tanzanias praise their little efforts

    • @News254Kenya
      @News254Kenya 3 ปีที่แล้ว

      Kenya hatujipendi. Yaani hata haya mafly over tunazo zaidi ya ishirini hadi kwa majiji madogo na bado kunajengwa 30km expressway ya juu kwa juu Nairobi lakini kazi yetu ni kukashifu tu. Tz ikisonga mbele KE ikisonga ni maendeleo kwa East Africa. Tuache ubishi.

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 4 ปีที่แล้ว +2

    Waoooo Amazing,yaani 👌🏿najivunia kuwa Mtanzania 💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻,najivunia Rais wetu magufuli popote niendapo 💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻

  • @nasraabdallah850
    @nasraabdallah850 4 ปีที่แล้ว +7

    Mashaallah jmn mueshimiwa maguful kajitahid kias chake anaitaji pongez sio sir

  • @htx1873
    @htx1873 4 ปีที่แล้ว +12

    JAMANI KWA SISI TUNAOISHI MAREKANI TUNA VOTE VIPI , I’m going to vote for MAGUFULI ONLY and that’s FINAL... am so so proud to be TANZANIAN 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @sampeter4693
      @sampeter4693 4 ปีที่แล้ว

      Ur are welcome brother together we can

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 4 ปีที่แล้ว +1

      Kwani hamna ubalozi uko??

    • @itshaluastyle
      @itshaluastyle 4 ปีที่แล้ว

      Wafanye tuvote throung online
      Mi pia nilishawahi kufikiria sana wengi hatupo tz
      th-cam.com/video/hF6BD9gwqyU/w-d-xo.html

    • @zawadix9574
      @zawadix9574 4 ปีที่แล้ว +1

      Come home be patriotic and build your country

    • @htx1873
      @htx1873 4 ปีที่แล้ว +1

      Zawadi x I will definitely come home , am getting my education together and my business then I bring home .. 🙏🏽🙏🏽 pray for me .

  • @gockoomzawa3389
    @gockoomzawa3389 4 ปีที่แล้ว +11

    Magufuri 4 ever

  • @jerryignarce4898
    @jerryignarce4898 4 ปีที่แล้ว +1

    mi sijasoma ila najiona nna akili kuliko mgombea wa chama fulani😀😂 magufuli oyeee

  • @zulfamohamed4549
    @zulfamohamed4549 4 ปีที่แล้ว +9

    😍😍😍😍tz yet yapendeza kwel kwel nafurah

  • @yeasrmsafi7152
    @yeasrmsafi7152 4 ปีที่แล้ว +17

    Tumeahidi tumetekeleza ccm oyeee

  • @KUTOKA-ep2fk
    @KUTOKA-ep2fk 4 ปีที่แล้ว +1

    Nitaenda kuomba pale chini ya hayo madaraja nilime vitalu vya mbogamboga....ili papendeze na maisha mengine yasonge.

  • @maryamjuma9816
    @maryamjuma9816 4 ปีที่แล้ว +10

    Maa shaaa allah ongezaa baba maguuuuu mpak tueshimekeee 💗💗👏👏

  • @veronicalyakurwa350
    @veronicalyakurwa350 4 ปีที่แล้ว +16

    hii ni ile dar au ni ndoto?

    • @MohammedAli-vq2dk
      @MohammedAli-vq2dk 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂

    • @swedinjaidi4658
      @swedinjaidi4658 4 ปีที่แล้ว

      𝑌𝑎 𝑛𝑑𝑜𝑡𝑜 𝑖𝑡𝑎𝑘𝑢𝑤𝑎 𝑤𝑖𝑙𝑎𝑦𝑎 𝑚𝑝𝑦𝑎🤣🤣

    • @salehestambul5535
      @salehestambul5535 4 ปีที่แล้ว

      Ndoto nyingi tulizoota miaka mingi zitatimia tu kwa Mzee magu ndugu,bado hujamuuelewa tu magu anaitakia nini nchi yetu pendwa.

  • @neemamireillegbenye7898
    @neemamireillegbenye7898 4 ปีที่แล้ว +9

    Hongereni sana Tz👌🏾👌🏾

  • @teamlovesquare3207
    @teamlovesquare3207 4 ปีที่แล้ว +1

    Najiproud kuwa mzanzibar japo tumekuwa koloni la tanganyika one day yes

    • @5facts60
      @5facts60 3 ปีที่แล้ว +1

      Hhhhh acha zako Tanganyika ni nin hapa kuna Tanzania tu

  • @xmaramoja362
    @xmaramoja362 4 ปีที่แล้ว +13

    Nina miaka 4 sipo dar nikirudi lazima nitahitaji wa kunishika mkono asee.

    • @happyjohn5882
      @happyjohn5882 4 ปีที่แล้ว

      Hahaaa utopotea ndgu Google map ipoo hahaaa,Mimi nimetembea majiji makubwa East Africa na Tanzania majiji yote while nikiwa na umri mdgo wa 13-17na toka shule Kisumu mpka Morogoro pekeangu bila ya mwenyejii wala nini na sijapotea,sasa wewe mkubwa na ni mwenyeji wa Dar utopotea hahaa.

    • @MohammedAli-vq2dk
      @MohammedAli-vq2dk 4 ปีที่แล้ว

      @@happyjohn5882 ndo unafanyaje hiyo Google

    • @malleironworks4586
      @malleironworks4586 4 ปีที่แล้ว

      @@happyjohn5882 Sasa Hivi una miaka mingapi Happy?..

    • @elizabethmwandu6937
      @elizabethmwandu6937 4 ปีที่แล้ว

      😀😀😀😀

    • @happyjohn5882
      @happyjohn5882 4 ปีที่แล้ว

      @@malleironworks4586 19 years hahaaa

  • @ipyanahmajor
    @ipyanahmajor 4 ปีที่แล้ว +1

    Awadhi Mwaipololo O level class mate......
    Hongera kwa kuitangaza Tanzania
    Hongera kwa kazi nzuri.

  • @emmanuelbonifase1114
    @emmanuelbonifase1114 4 ปีที่แล้ว +5

    Watu wa dar ole wenu msimpe kura JPM mtakua mnaboa Sana'a kura zotee mpeni

    • @svt3
      @svt3 4 ปีที่แล้ว +1

      Sasa wewe unataka kura zipewe tundu la ku jambia

    • @emmanuelbonifase1114
      @emmanuelbonifase1114 4 ปีที่แล้ว

      Ahahahahahhaha

  • @gracekuria6333
    @gracekuria6333 4 ปีที่แล้ว +3

    We have the same in kenya

    • @aloycekajula8144
      @aloycekajula8144 4 ปีที่แล้ว

      But ya mkopo Tz ni kodi ye2 io

    • @johnmlay4759
      @johnmlay4759 4 ปีที่แล้ว

      In Kenya there's no this kind of interchange

    • @samasamahani2784
      @samasamahani2784 4 ปีที่แล้ว +1

      @@johnmlay4759 There is no three levels interchange in Kenya

    • @johnmlay4759
      @johnmlay4759 4 ปีที่แล้ว

      @@samasamahani2784 exactly

    • @briant5685
      @briant5685 4 ปีที่แล้ว +1

      @@aloycekajula8144 jamani huu ujinga wa madeni,mtaanganywa mpaka lini,hakuna miradi ambayo haina madeni

  • @sayyidaseif6309
    @sayyidaseif6309 4 ปีที่แล้ว +2

    Hiyo ndo Tanzanian ya magufuli mpaka tulio mbali tunatamani kurudi home sweet home

  • @bellabakera
    @bellabakera 4 ปีที่แล้ว +5

    Tujuane ambao tuko nje ya nchi na tunatamani kurudi nyumbn lkn corona inaleta shida.

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 4 ปีที่แล้ว

      hupo nchi gani ndugu yng

  • @marianamontoedi2333
    @marianamontoedi2333 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana Magufuli tunakupa mi tena ccm oyeeee

  • @onesmojustice2348
    @onesmojustice2348 3 ปีที่แล้ว +1

    Naomba watu wa mazingira mtengeneze green look eneo ilo ili livutie zaidi

  • @msqtv8568
    @msqtv8568 4 ปีที่แล้ว +8

    I like your creativity love from 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 4 ปีที่แล้ว +2

    Inashangaza sana ndani ya Miaka mitano maendeleo makubwa sana mungu wa bariki sana hapa kazi tu

  • @hamdaniyasinimunguibarikit6734
    @hamdaniyasinimunguibarikit6734 4 ปีที่แล้ว

    Kuwekamatuta niuchafukwabarabara zetu hapohuweziweka kivukoutasababisha garinyingi kusimamakwapamoja juuyadaraja

  • @newman1906
    @newman1906 4 ปีที่แล้ว +1

    Na maendeleo ya wananch tuyaone....nchi ina wananchi
    Nchi inapendeza ila wananchi wanachakaa....JPM balance maendeleo

    • @benbenedict2720
      @benbenedict2720 4 ปีที่แล้ว

      Watu wanashobooooka utadhani hawalipi kodi. kazi imeanza tangu 2014, waloanza wamepita wamepisha wengine. Halaf sasa utasikia "atawale mileleee" kwa lipi hasa fly over moja tena la kwenye junction, nchi nzima, Karne ya 21.

  • @henryjohn2913
    @henryjohn2913 4 ปีที่แล้ว +3

    Wadau wanateleza adi kwenye mwendo kasi noma sana😅😅 afu utasikia barabara za kazi gani

    • @J4UPro
      @J4UPro 4 ปีที่แล้ว

      Halafu anafanya kampeni anapita humohumo ilifaa awe anapita polini

  • @jacobsumaye8560
    @jacobsumaye8560 4 ปีที่แล้ว

    Mbelgiji haya kwake ni upuuzi tutamkomesha tarh 28 Mgufuli hoyeee

  • @musicapprentice6682
    @musicapprentice6682 4 ปีที่แล้ว +9

    Jiji la 👑 SIMBAAAA👌😂😂😂💥🙌💞

  • @jehovandiwe1592
    @jehovandiwe1592 4 ปีที่แล้ว +1

    Kama kuna MTU anayempinga Magufuli huyo atakuwa ana chuki binafsi na uchama utakuwa umeivaa macho na maaikio yake. NG'ARA MAGUFULI.

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 4 ปีที่แล้ว +9

    hizo zinatakiwa ziwe nyingi aisee

    • @5facts60
      @5facts60 3 ปีที่แล้ว

      Zitakuua kama 10 miaka 5 ajayo Mzee kasema

  • @mao9622
    @mao9622 4 ปีที่แล้ว +1

    Kajenga uwanjaa wa ndege chato...haya kajenga na fly over Dar,njooeni tulalamike

  • @bahatimohamedi2255
    @bahatimohamedi2255 3 ปีที่แล้ว

    Hongera Sanaa Ra's wetu Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @GAYOTV2023
    @GAYOTV2023 4 ปีที่แล้ว +25

    TANZANIA HOYEEEEEEEEEEE MGUFULI HOYEEEEEEEEEEE
    CCM HOYEEEEEEEEEEE

    • @williamsville3493
      @williamsville3493 4 ปีที่แล้ว

      Oyeeee

    • @sponsor7882
      @sponsor7882 4 ปีที่แล้ว +1

      @@williamsville3493 tunataka uhuru

    • @johnmlay4759
      @johnmlay4759 4 ปีที่แล้ว +3

      @@sponsor7882 uhuru ni rais wa kenya so mfuate kenya

    • @happyjohn5882
      @happyjohn5882 4 ปีที่แล้ว +1

      @@johnmlay4759 hahaaa jibu zurii

    • @sponsor7882
      @sponsor7882 4 ปีที่แล้ว +1

      @@johnmlay4759 freedom of speech

  • @MdEmon-yn4cw
    @MdEmon-yn4cw 4 ปีที่แล้ว +4

    mora akujalie rais wetu uzidi kuijenga nchi yetu

  • @mavuzijiwe6805
    @mavuzijiwe6805 4 ปีที่แล้ว

    JPM 4 Life tutakupigia Kura Tena 5 years Again Sisi kama Watanzania Tunataka Maendeleo, Na Maendeleo Hayaji Bila miundombinu barabara so watu wafanyebiashara

  • @willimammungathia1702
    @willimammungathia1702 4 ปีที่แล้ว +4

    Tz mko sawa kwa saii......naona mnajaribu sana kukimbizana na 254,

    • @johnmlay4759
      @johnmlay4759 4 ปีที่แล้ว +2

      Tuko tunajenga miundo msingi kwa ajili ya kukuza uchumi wetu ndugu but not for competing or catching you neighbors, one love let move together as one strong east Africa

    • @augustinemzeentinginya3057
      @augustinemzeentinginya3057 4 ปีที่แล้ว

      Hatukimbizani na mtu, wala hatukimbizani na nchi fulani, mfano 254.
      Tunapambana na hali yetu, kama tutawazi, nanyi mtapambana na hali yenu mjiboreshe.
      Tanzania oyeeee

  • @binthassancollection.6308
    @binthassancollection.6308 4 ปีที่แล้ว +2

    Hongera zenu huko kwetu ni balaa tupu siasa zisizo isha.

  • @dr.erickjmazyala8905
    @dr.erickjmazyala8905 4 ปีที่แล้ว +1

    wenye wivu wa kichawi watapata taabu sana! Mungu azidi kumuinua, kumulinda, kumbariki, na kumuongoza mpendwa rais wetu pendwa sanaaana Dr. JPJ Magufuli na serikali yetu yote. Mungu azidi kukutoa kimasomaso watanzania! Mungu azidi ibariki Tanzania!

  • @brysonkaale3003
    @brysonkaale3003 3 ปีที่แล้ว

    Zijengwe flyover za watembea kwa miguu,maana magari yanatakiwa kutembea kwa Kasi stahiki,miji Kama Nairobi Ni kosa kuvuka kwa kukatza Barbara,lazima upitie kwenye flyover.

  • @wilfredmlaki822
    @wilfredmlaki822 4 ปีที่แล้ว

    Eti wanaitaji maendeleo ya watu sio vitu! Sasa sijui hizo barabara wanapita mbuzi Na kondoo.hizo ndege zenyewe wanapanda alafu wanaongea ujinga tu.Magufuli is the best president

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 4 ปีที่แล้ว +1

    Mze Magu sijuwi ata kwa nini afanye kampen kwani alama zake zipo kila kona. Ongera kwa watanzania.

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 4 ปีที่แล้ว +1

    Ila nahisi sehemu zanye Bara Bara za juu Hakunaga sehemu ya wavuka na miguu sikumbuki kwakweli. Na kama ipo basi mzungu ko wake ni mkubwa

  • @kakawamashariki8978
    @kakawamashariki8978 4 ปีที่แล้ว +2

    Moyo wa furaha pamoja nami.😁😁

  • @yusufmapesa2892
    @yusufmapesa2892 4 ปีที่แล้ว +2

    bora tu ikamilike tumechoka jiforeni la ubungo mweh!!!.

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 3 ปีที่แล้ว

    Itabidi ziwekwe njia za kuvuka za juu za waenda kwa miguu, na wala siyo kukatisha kwenye fly-over. Utawekaji speed bumbs kwenye fly-over inakuwa haifanyi kile ilichotengenezwa kukifanya. Hapa wahandisi wanahitajika kuweka njia ya juu ya watembea kwa miguu na wala watu wasiruhusiwe kukatiza kwenye flyover. Itabidi elimu kubwa sana ya matumizi ya barabara kwa waenda kwa miguu.

  • @sarahamos8524
    @sarahamos8524 4 ปีที่แล้ว

    Chonde chonde jaman binafis naona mi5 ni michache katiba irekebishwe Mbergij na bange zake asiturudishe nyuma kodi zetu tunaziona nini zinafanya kwenye sanduku tusifanye kosa Jpm no 1

  • @singingbird8540
    @singingbird8540 3 ปีที่แล้ว +1

    The beautiful and a giant President of Africa Dr Magufuli the true son of Mama Africa RIP your name shall always be on our lips greatest man of all times

  • @natafutapesa9678
    @natafutapesa9678 4 ปีที่แล้ว +1

    Sidhani kama kuna mzalendo yoyote anamkataa magufuli wamebaki wahuni tu ndio wanamkataa wakiwa wamevuta bangi zao

  • @sarahamos8524
    @sarahamos8524 4 ปีที่แล้ว

    Hatumtaki Tundu asiturudishe nyuma nchi yetu inasonga mbele kurudi nuuma hatutaki, Naomba Jpm apewe kumi tena ili Tz kuwe ulaya

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 4 ปีที่แล้ว +1

    Magu miaka 5 tena baba umepita aise coz tunaona maendeleo baba 🇹🇿🇹🇿🇹🇿tanzania mpya jmn nikija bongo lazima nipotee

  • @omarymwasiri8451
    @omarymwasiri8451 4 ปีที่แล้ว +3

    Magufuli anaweza tena sana

  • @justinngabo3058
    @justinngabo3058 4 ปีที่แล้ว +6

    Great job JPM we love u !! But I'm very disappointed with engineers Who failed to put crosswalk .!.! Thanks to this lady who mentioned it. U don't have to be educated to see something wrong. Our problem in Africa is always to have wrong people in place doing wrong things none say nothing because.....

    • @AB-ym2pu
      @AB-ym2pu 4 ปีที่แล้ว +1

      the work is still in progress, hope soon they will put the crosswalk...!

    • @salumchusi3914
      @salumchusi3914 4 ปีที่แล้ว +1

      Wataweke ujenzi bado unaendelea

  • @kenethkisoma4636
    @kenethkisoma4636 4 ปีที่แล้ว

    Kwa makubwa yanayo fanywa na rais magufuri Hakuna mpinzani ambaye anaweze shindana naye naamini watanzania wenzangu tumuunge jpm Kwa kumpatia kura ya ndio hasa vijana wenzangu mheshimiwa magufuri ni rahisi wa wanyonge hebu jiulize tokea amechaguriwa kuwa rais Ameenda Mara ngapi ulaya? Hapo tambua kuwa anatufaa

  • @mabyserolouchcraig2431
    @mabyserolouchcraig2431 4 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah mwaka juzi nilikuacha kwatengezwa..

  • @yusufumlemi8525
    @yusufumlemi8525 4 ปีที่แล้ว +2

    Tanzania inayovutia jaman

  • @nicethamanonga5855
    @nicethamanonga5855 3 ปีที่แล้ว

    Mkazo wa baba magu .bila ukauzu tusingepata maendeleo haya na tutakuja fanana wale waliomtuma lisu

  • @MWAMALUMBILI
    @MWAMALUMBILI 4 ปีที่แล้ว

    Mama; matata Ya nini tena? Matuta yatarudisha foleni tena halafu tusimlaumu Magufuli?

  • @2.0BuzzDre
    @2.0BuzzDre 3 ปีที่แล้ว

    Tanzania wah hata Kenya haifiki wako nyuma Sana mangufuli oyee

  • @morandraymond8602
    @morandraymond8602 4 ปีที่แล้ว

    Kama kagame ameongezewa miaka y kuongoza thelathini puttin thelathani kim hadi afe itakuwaje kwa Rais magufuli akiongezewa tunaitaji mtu anae badili miondombinu ya nchi na kuleta usawa kwa jamii akipewa mudaa zaidi nafikili tz itakuwa juu sana tuanche fikra hafifu za wanasiasa magu ni kiongozi sahihi ata wapinzani wanajuwa

  • @mohamediddi4425
    @mohamediddi4425 4 ปีที่แล้ว +4

    Sio kama Ulaya bado sanaa

    • @diahemedsalumdia6594
      @diahemedsalumdia6594 4 ปีที่แล้ว +1

      Mungu atajalia itakua

    • @itshaluastyle
      @itshaluastyle 4 ปีที่แล้ว +1

      Hata ulaya iliqnza kamq hivo acha uboya

    • @elizabethmwandu6937
      @elizabethmwandu6937 4 ปีที่แล้ว +1

      Wapinzani utawajua tu kwa kubeza kila kitu hata kama hatujaifikia ulaya kumbuka hata mbuyu ulianza kama mchicha.