JIONEE MAAJABU YA BARABARA ZA JUU UBUNGO "TUNAMPA 'BIG UP' MAGUFULI"
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2025
- JIONEE MAAJABU YA BARABARA ZA JUU UBUNGO "TUNAMPA 'BIG UP' MAGUFULI"
Leo Jumamosi, Mei 30, 2020, barabara za juu (Flyover) zinazojengwa katika makutano ya Barabara za Morogoro, Sam Nujoma na Mandela (Ubungo Mataa) jijini Dar es Salaam zimeruhusiwa kuanza kutumika leo, ikiwa ni Barabara ya Morogoro kutoka na kwenda Kimara/Mbezi/Magomeni.
Huku barabar za kuelekea Buguruni na Sam Nujoma, zikiwa katika hatua za mwisho mwisho....Global Tv imetembelea eneo hilo....
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...
Asante Mungu kwa kutupa Raisi Magufuri pili asante Raisi wetu kwa kusimamia rasilimali za nchi nne wananchi wa Tanzania hongera sana kwakutoa kodi kwa moyo wote.
Mungu wabariki watanzania na watunze pia Mungu mbariki na uwalinde Raisi, serikali nzima viongozi wote, Bunge ma mahakama Mungu ibariki Afrika
Mimi mkenya na nimewafurahia watz...Magufuli kweli wewe raisi wa africa. Natamani africa Ingekua nchi moja tukamchagua huyu magufuli. Proud of you Magufuli
Hapa kenya magufuli Hawezi pata hata udiwani
Watch from Boston USA Hongera sana Tanzania yetu upendo na Amani kwa watu wote peace.
Haki ya mungu asie mpenda maguful ni mnafki. Kama unampenda raisi wetu jemedar wetu anko magu gonga like
Mm ni mkenya Toka mombasa. Pongezi magufuli. Ua the real choice of the Tanzanian people
Ahsante sana Omar kwa kuliona hili..Mungu akubariki.. Karibu TZ..
Kalibu sana tz
Mungu akulinde rais wangu JPM
kura yangu chukua 💯✅✅✅✅✅✅✅
Tanzania oyee Tanzani juu. Mungu amlinde Raisi wetu. Azidi kuiweka Tanzaniyetu mbere.
watanzania kitu cha kwanza unamshukuru Mungu kwanza ndio tunasema asante magufuli mungu ndio aliyetupa magufuli kwanza Mungu tunamshkuru tunampenda raisi wetu
Kwa yeyote anayesoma hii..
nakuombea Baraka na maisha marefu yenye mafanikio tele. siku njema iwe kwako na kwa familia yako YOTE.!
Kwanini kila sa tu shukuru mungu this is progress hamna kitu cha mungu China is developed people there don't believe in God but themselves
Nikweli mkuu
Brilliant Vision by the Government of Tanzania and it's people. Drove thro the intersection in Jan while visiting my aunt in Dar,,,AB boy!
Nawapata vizuri kutoka Oman hongera sana TANZANIA Mungu amtunze Raisi wetu
Amin, inshaAllah
Amina dada
Muongo wewe mtu wa nzega wewee
Oman si nchi tu kama tzd hata mm nipo oman mbona
HAKUNA UCHAGUZI WA RAISI MWAKA HUU, NI UBUNGE TU, UCHAGUZI WA URAIS NI MPAKA 2030, gongs like kama tunakubaliana twende sawa
Isaac Hayes kabisa kaka tuendere kumuombea rais wetu mwenyezi mungu akutuze mangu wetu
Kwakweli Magufuli mpaka 2035
Bado kuna watu hawamuelewi Magufuli sijui wana matatizo ya akili? Jpm tumpe mi 5 tena atutengenezee nchi
@@allymusira2153 Wale wavivu wasiotaka kujishughulisha na wapenda rushwa,Magufuli 🇹🇿 mpaka 2035
Muacheni mpaka atahitajika mbinguni.
Well done Mr Jhon pombe magufuli and your cabinet and people of Tanzanian my God bless u 🙏🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Well done China civil construction they are the ones who built it ,,,yes the president prioritizes it but that’s his job his head of state it’s not a favor it’s development.
@@zawadix9574 that is a problem with us we have engineers but don't learn from their setbacks to be the ones who work for national projects
Ahsante sana,,Mungu ibariki Afrika
Thank you ❤
Big up mzee baba,kwa kweli unafanya kazi ,.Mungu akulinde,madaraja yakipanda fresh,tawala milele tu mzee baba sina neno wallah.
Nice mungu a2wekee raic we2 mpendwa
Kwakweli magufuli nakupa hongera wewe ni mwanaume.
Tanzania nchi yang..mungu ni mwema..allha amsimamie na ampe nguvu..🇿🇦🇿🇦
Sorry we mix msauz ?
Baadae eti unasikia watu eti tunataka nchi . Midomo haijengi nchi . Magufuri mwacheni tu . Hatutaki kusikia mgombea mwingine jipangeni labda akitoka
Nawasoma vzuri sana kutoka Marekani 🙆 nilikuja kuziona hzo barabara huku bwana 🤔
Hongera sana mheshimiwa Rais Mungu aendelee kukubariki daima 🙏
Mimi pia niko thailand kuja kupiga picha.🙈🙈
Ongera Rais Magufuli❤️❤️❤️💪🏾💪🏾💪🏾
Kwa yeyote anayesoma hii..
nakuombea Baraka na maisha marefu yenye mafanikio tele. siku njema iwe kwako na kwa familia yako YOTE.!
Hongera sana kwa kazi ambayo inaendelea huko TZ, Mungu ambariki Raïs. Wakati inji letu tuta mpata Raïs kama huyu, oh Congo itakua inji nzuri Africa.
Nawapatavizuri kutoka south Africa hongera tanzania hongera mh raisi kwa maendeleo ya watanzania
President wa Tanzania anachapa kazi kweli. Wish you all the best Tanzania from 🇰🇪
Hiyo ni miaka 5 tu, Yajayo yanafurahisha;kura nyingi sana kwa JPM 2020 ili tuone yajayo si mchezo;ahsante mwenyezi MUNGU kutupatia JPM na tunakuomba mpe maisha marefu;amen.
Natamani kwa mTZ,mungu azidi kumbariki TZ, president,yeyena kagame hakiwanafanya kazi,kenya tungali ufisadi 100%
Kwani katiba unatunga na nani si watz wenyewe? Sasa mh Magufuli atafia humu hatutaki ajipendekeze mtu hapa. Magu wewe ndo baba lao
Wenzetu huko wakiwa na Rais kama huyu hawamtoi
Haswaaa..swadakta
Lucas Mhagama wapi huko?
@@mnzavachris5423 china
@@mnzavachris5423 Urusi waliwahi kufanya hivyo,Rwanda wamewahi kufanya hivyo,China nao walimitisha mpaka uhai wake utapoishia,Iceland ,Cuba kabla hajadedi
Mungu ubarikiwe kwa kutupa mangufuli,Mungu mlinde rais wetu
Asante sana Rais wetu
We appreciate for the little things we get. God bless Tanzania
Rais wetu Dr John Pombe Joseph Magufuli amefanya maendeleo makubwa Sana katika muda mfupi sana.tena kwa kutumia fedha za ndani.Rais wetu Ni mbunifu na ametekeleza dhana ya KUJITEGEMEA Ni KUJITAWALA..Tumchague kwa kura zote ili atupatie maendeleo makubwa zaidi.Bravo Dr JPM.
Ama kweli jpm mungu akuzidishie maisha marefu sana🙏🙏 kwa ulicho kifanya katika taifa hili la Tanzania mungu ibariki tz mungu tujaliee wa Tanzania😭😭🙏
Big up xn mh rais John pombe Joseph Magufuli
Nitashangaa kweli kuona magufuri anatoka madarakani jamani kabla 2040 huyo ndo baba wa taifa hili mpka afe ndo mchague raisi
duu
kweli kabisa
# wapinzani hawatoweza
Maguful ni Shujaa
kabisa
Asante Yesu Kwa akili ya Rais Magufuli
Kwani yesu ndio kamuomba magufuli? Hebu tuweke sawa kaka
Wewe yesu ni mzungu sema asante Mungu
@@lutulalihim1585 nani kasema YESU ni mzungu?
Kweli kabisa kwani alisema ombeni nanyi mtapewa nasi tuliomba tupate raisibora katupa kwanni tusimshukulu kwanni tusimshukulu yye aliyesema mmi nipo kabla hata haujaumbwa ulimwengu
@@mtitimtiti376 We shida yako nini. Kama humjui Yesu muache huyo na mheshimu na dini yake mbona Waislam wakisema Allah hamuwaambii wasame Mungu. Tusiangushane bhana Mtiti
Mungu akuzidishie miaka 1000 mbele! Magufuli baba lao!!!
Hongereni wa tz Bara. Na Shein kaa usherehekee mapinduzi.
👍👍👍👊👏Kama ujui magu baba lao.maaan izi flyover zitakua overfly
Hongera Sanaa Ra's wetu Tanzania kwa kazi
Hongera Rais wangu🙏🙏
Viva magufuli vivaaaaaaa💪💪💪💪💪
Hongera rais kwa usemaji na utekelezzaji wako mola akubariki ajabu wale waliokuwa wakibeza ndio wakwanza tumia (nakuomba unipe nafasi nije nikupe hongera)
Baba yetu makufuli mungu akupe maisha marefu kazi yako ni njema
Mungu mbariki Rais wetu
Ma shaa Allah tabarak Rahman.magu oyeeee 🥰😍💪🤝
Oman ndani tunasema Magufuli 💪 abadirishiwe katiba atuongoze Hadi umri wake utakapomzuia👍⚔️
Kwa kweli uongozi wa Awamu ya tano Mungu awalinde👏👏
Hongela. MAGUFULI Tanzania mpya hiyo abalikiwe. Mwanamke aliye kuzaa
Tunakushukuru Mungu kwakutupa Rais. Magufuli
Magufuli hoye!! 💪🏿
Oe watanzania 👊 big up bana hio ndo inatatikana angalau mutupe challengena mutupeleke mbio ili nasi tuzindi kuendelea si ati sisi tu tunaendelea na majirani hawasongi👊zidini kujikakamua tunataka compe km izo
ivo
ndugu yangu kwani Kenya na Tanzania kuna tofauti gani kubwa ya kimaendeleo mpaka ifikie kuwe na ushindani wa kupeana challenge?!
@@rayisadesigns2646 Ahsante kwa swali zuri tusubiri majibu.
@@rayisadesigns2646 Hakuna tofauti yoyte ni yeye tu hyo
Kenya mna nini, SGR ya mchina, nyie ni kupigana kila siku
Kwastail hii ni haki wapinzani wakose pakutokea
Lakini Lisu unayaona haya?
Ahahahahaha kabisa...awaoni wanatokea wapi
Kweli waaona aibu
Hizo si zile pesa zilikua zinanyanyasia masikini hawawezi kuwa na furaha
@@igilakubiwatson2382 anayaona anajifanya tui hamnazo kichwani
Much respect JPM and team ,
Kwa kwali kazi tu balikiwa raisi magufuli
Nan Kama magu jaman Tanzania hii Big up mzee
tunamshukuru sana rais wetu wa awamu yatano kwakazi nzuri
Big up magufuli wetu kazi nzur twaiyona
Jaman bado zanzíbar flyõver mwanakwerekwe maana kumeoza kishenz
Mbona Tanga hakuna flyover na hawasemi Tanga wanataka ba wao. Acha choyo ya kijinga huu mji watu wengi sn ndio maana wanajenga flyover kupunguza foleni. Huko mnafika milioni 6 kwa Zanzibar au ni kutaka ushindani tu!!!
Tunajipongeza sana japokuwa wenzetu wanazimiliki tangu vita vya kwanza vya dunia.
Ubarikiwe sana rais Magufuli uongozi uliotukuka
Congratulations John pombe Makufuli
Maendeleo
Asante mungu kwa zawadi ya rais wangu magufuli ee mungu mpe afya njema ili adumu hadi mwanangu wa form one aje awe kama wewe rais
Namp BIG AP👍👍👍👍
Mjinga mmoja utamsikia...hizo zilikuwa plans za maraisi walopita,ungepewa wewe ungetekeleza,mara si yeye ni kodi za watanzania...ungeshika wewe hizo pesa usingeingiwa tamaa ukafuja?God bless you JPM my president!
Kikwete ndio kadraft mpango huu na Tazara Magu alitia saini alipokuwa Waziri tena kipindi cha kampeni
@@RioIpo kma aliplan kwann hakujenga,,!!!???
@@RioIpo boya ata mm nisha plan kujenga gorofa tatizo vitendoo baba
WATANZANIA JAMANI tusiwe wajinga wa kupitiliza,sio maraisi waliopita NI Kikwete NDIYE aliyetafuta wafadhili msimpe Kichwa MAGUFULI kwa kitu ambacho yeye hakutafuta wafadhili. KUMBUKA uwanja Mpya wa mpira aliyetafuta wafadhili alikuwa NI MKAPA lakini ulifunguliwa na Kikwete lakini kazi yote ilifanywa na MKAPA , uwanja wa ndege Mpya NI Kikwete ,HOSPITALI MLOGANZILA NI Kikwete fly over ya Tazara Kikwete,Daraja la kigamboni Kikwete .Ndege MAGUFULI ,standardgauge Reli MAGUFULI ,Tuelimikeni au hata mwendo kiasi mtasema MAGUFULI ?
@@yussufnyangoma5693 Ndio mana nimeshindwa kuwajibu baada ya kuona akili zao ni broad minded
Hongera magufud
Hongera magufuli
Magu oyeeeee💪💪
Big up magu kwa kampeni au bila unarudi bila pingamizi.
Umeonyesha
Maendeleo ni vitendo sio maneno maneno.
Mungu akuepushe MH.RAIS. nawabaya wasioitakia mema TANZANIA YETU. chapa kazi mkuu.
hongera sana JPM
Kura yangu ningilimpa bila kusita uyo jama ndie Raisi wa kwanza Tanzania alie ipenda kwa dhati nchii iyo Mwenyezi Mungu amlipe kwakujitolea kujiinga Tanzania mie ni mwa Frika namjivuniya Magufuli
Kaz nzuri
Daaah hadi raha
Magufuli oyeeweeeeeeeeeee
swafe sana mh magufuliii
Big up magufuli
magufuli miaka 70 Jésus akutunze
Don’t forget china they built it
@@zawadix9574 wamejenga buer?
Asante magufuli
Shime magufuli
Wooow nimefurah sana aisee yaan kama ulaya vile
Good job
Good start...zipigwe kama 100 hivi kila kona la jiji
tukazane kulipa kodi tutapandisha hata mji mzima tukitaka kaka
Tehe.. Tehe.. Tehe.. Tulia kijana.. Kuna kwanza kwenye upara wangu.. Halafu cheka kidoogo
😀😀 zingine zaja na ndogo ndogo nyiingi hasa kwenye barabara ya kuelekea kibaha
Serikali ya CCM imefanya kazi
Barabara 10 da balaa hilo
Sasa Kiduku akija kuomba kura utaanzaje mm naona uchaguzi ufanywe kwa wabunge tu mjombaa aapishwe tu maan saiv wabongo hawadanganyiki
Hiyo barabara au daraja
Magufuli safi sana Mheshimiwa
Nice
Namuona mwarabu Sharif
Nom xan JPM
Ma shaa Allah tabaraka'Allah,big up rais wa TANZANIA
Siamini kwa mda nilioenda ubungo tunashuka river side tunazunguka songazi kwa nyuma darajani ila leo pako hivyo Tanzania nakupenda anko asanteee
HONGERA KWA WATANZANIA WOTE KWA KULIPA KODI.TUNAMSHUKURU MUNGU KWA KUTUPA JEMBE MAGUFURI .KODI ZA WATANZANIA ZINATUMIKA IPASAVYO.HONGERA KWA KAMPUNI ILIYOPEWA HIYO TENDA YA KUJENGA BARABARA.
Daa,,, daraja zuri sema muonekano wake mzuri auendani na mazingira ya pembeni ,,,,ni ya kimasikini sana vibanda vya malailoni bwana sijiu ni vya kuuzia nyanya au
Nampa mzee wetu Kongole Mungu azidi kukusimamia jpm tunakupenda Sana Asubuhi tu naamsha na wewe mzee kura yang
Magufuli babalao
Mi nawapa big up walipa kodi na mafundi
Kwani huko nyuma kulikuwa hakuna walipa kodi?.na mafundi?. Utagundua mafundi walikuwapo na walipa kodi walikuwepo.tatizo nini?.jibu alikuwa nalo Jpm pl'se mpe kongole yake.
Ukijibu hivo maana yake vitu vyote vilivyopo vimeanzishwa na pombe?
Safi sana
Gharama yake ni bilioni 230 bwana.. Na siyo hizo ulizotaja... Mbona mara kwa mara rais huwa anatamka gharama yake.. Au hamumfuatilii anapozungumza
HAKI HUINUA TAIFA BALI DHAMBI NI AIBU YA WATU WOTE,HII NDI HAKI YA WATAWALA WENYE HOFU YA MUNGU,HAYA WALE MAHODARI WA KUHESABU MABAYA HAYA HESABUNI NA MAZURI BASI,TUONE MAZURI NI MANGAPI NA MABAYA NI MANGAPI?AMEN,
I like this magufuli
Alafu kunawapinzani wanasema 2020 nchi yao.. Uuwiiii wakatafute kazi mapema
Mmmh! Wanachekesha. Yaani mwenye nyumba awaachie chumba CHOKORAA, akalale sebuleni?!
@@elminakalunga4030 🤣🤣🤣🤣🤣