wille mdachi
wille mdachi
  • 50
  • 4 683
JINSI YA KUENDESHA GARI YA AUTOMATIC AINA YA SCANIA
Jifunze kuendesha gari kubwa aina ya scania ambayo ni automatic kwa muda mfupi fuatilia video hii tujifunze pamoja kwa msaada zaidi usisite kuni cheki 0689514204
มุมมอง: 84

วีดีโอ

Jinsi ya kuendesha gari ya automatic aina ya scania R450 yenye pedal mbili,
มุมมอง 314 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Ni somo zuri sana kwa wapenda magar na wenye ndoto ya kuendesha magari makubwa basi hili ni darasa lako la kujifunza mambo ya magar makubwa cha msingi nakuomba ufuatilie kwa ukaribu ukurasa wetu kila tunapo upload video mpya kama una swali lolote usisite kuni cheki kwa msaada 0689514204
PROTOTYPE DESIGN OF HYDRO POWER PLANT..,!
มุมมอง 149 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Jinsi umeme unavyo zalishwa kutokana na maji kuanzia generation kwenda transmission had distribution kwa mtumiaji una weza kufuatilia kuangalia na kujifunza
NUNUA HII FLAMPENI NI NZURI SANA KWA MATUMIZI YA NYUMBANI
มุมมอง 9416 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Flampeni yenye technology kubwa ambayo ina fanya kazi nyingi pia ina zingatia muda na usafi wa hali ya juu vilevile ina matumizi madogo ya umeme
ROBOTI NDANI YA VIWANYA VYA SABASABA
มุมมอง 3616 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Mfano wa roboti ndani ya viwanja vya sabasaba
SABABU ZA PLUG NYINGI KUUNGUA MARA KWA MARA
มุมมอง 21916 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Zijue sababu zinazo pelekea plug nying kuungua mara kwa mara
JUA KAZI YA ELECTRICAL PLUG
มุมมอง 4016 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Ulisha wahi kujiuliza electrical plug ina fanya kaz gan na je ni kitu gani basi fuatilia video hii ili tujifunze pamoja
MAMBO YA KUZINGATIA KWENYE NYUMBA ZA HIDDEN ROOF
มุมมอง 15619 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Hakikisha kwenye hatua za kwanza za kuweka umeme kwenye nyumba za mapaa ya ndani una zingatia mambo muhimu hivyo nakuomba ufuatilie video hii ili ijue mambo muhimu ya kuzingatia kweny hatua za kuweka umeme
MAMBO 10 YA JINSI YA KUTENGENEZA JINA NA KUPATA WATEJA WENGI KWA MUDA MFUPI KAMA FUNDI
มุมมอง 5519 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Namna itakavyo kusaidia kutengeneza wateja wengi na kwa muda mfupi kwa mafundi wanao anza jitahidi kufuatilia video hii kwa ukarbu zaidi
JINSI YA KUSET METAL BOX ZA TWIN KWA KUZINGATIA VIPIMO.
มุมมอง 8214 วันที่ผ่านมา
Hivi ndivyo vipimo sahihi vya kuset metal box na kufanya kazi yko kua nzuri na kwa kuzingatia standard zinazo kubalika
JINSI YA KUCHORA WIRING YA 3 PHASE.. Part.02
มุมมอง 2214 วันที่ผ่านมา
Jifunze namna ya kuchora michoro ya three phase kwa matumiz ya viwandani bila hata kua na computer au program yeyote itakayo kuwezesha kuchora
JINSI YA KUSET METAL BOX YA SINGLE KWA KUZINGATIA VIPIMO VINAVYO KUBALIKA..,!
มุมมอง 7114 วันที่ผ่านมา
Namna sahihi ya kuset metal box ya single kwa kuzingatia vipimo vinavyo kubalika kwa hyo naomba ufuatilie video hii ili tujifunze pamoja
JINSI YA KUCHORA WIRING YA THREE PHASE...,!
มุมมอง 4714 วันที่ผ่านมา
JINSI YA KUCHORA WIRING YA THREE PHASE...,!
External Lights decoration and Electric fance...,!
มุมมอง 2614 วันที่ผ่านมา
Una weza kututafuta kwa kazi mbali mbali za umeme na zenye ubora popote ulipo tuna kufikia tupo kama team una weza kutupata kwa namba hizi 0689514204
JINSI YA KUCHORA MICHORO YA UMEME WA MAJUMBANI KWA URAHISI NA KWA HARAKA. Part.02
มุมมอง 7514 วันที่ผ่านมา
Jifunze njia ya haraka na rahisi ya kuchora michoro tofauti tofauti ya umeme wa majumbani il uweze kutumia michoro hiyo kweny shughuli tofauti tofauti za kiofisi
JINSI YA KUCHORA MICHORO YA UMEME WA MAJUMBANI KWA URAHISI NA KWA HARAKA. Part 01..,!
มุมมอง 4214 วันที่ผ่านมา
JINSI YA KUCHORA MICHORO YA UMEME WA MAJUMBANI KWA URAHISI NA KWA HARAKA. Part 01..,!
VITU SABA (7) VYA KUZINGATIA KABLA HUJA NUNUA POWER BANK.
มุมมอง 2814 วันที่ผ่านมา
VITU SABA (7) VYA KUZINGATIA KABLA HUJA NUNUA POWER BANK.
JINSI YA KUJUA KAMA MITA YA TANESCO INA TATIZO BAADA YA KUONA UMEME HAUINGII NDANI KWAKO
มุมมอง 17114 วันที่ผ่านมา
JINSI YA KUJUA KAMA MITA YA TANESCO INA TATIZO BAADA YA KUONA UMEME HAUINGII NDANI KWAKO
HUHITAJI KUMUITA FUNDI UKIWA NA VIFAA HIVI NYUMBANI KWAKO..,
มุมมอง 6121 วันที่ผ่านมา
HUHITAJI KUMUITA FUNDI UKIWA NA VIFAA HIVI NYUMBANI KWAKO..,
MAKOSA WANAYO FANYA MAFUNDI KUTOFUNGA REGULATOR YA FAN NA KUPELEKEA MADHARA KWA MTUMIAJI..!
มุมมอง 3221 วันที่ผ่านมา
MAKOSA WANAYO FANYA MAFUNDI KUTOFUNGA REGULATOR YA FAN NA KUPELEKEA MADHARA KWA MTUMIAJI..!
HATUA ZA KUCHUKUA BAADA YA KUPIGWA NA SHORTI YA UMEME...,
มุมมอง 2821 วันที่ผ่านมา
HATUA ZA KUCHUKUA BAADA YA KUPIGWA NA SHORTI YA UMEME...,
JINSI YA KUJUA KAMA KUNA UPOTEVU WA UMEME BILA WEWE KUJUA NA KUSABABISHA BILL YA UMEME KUA KUBWA..!
มุมมอง 10621 วันที่ผ่านมา
JINSI YA KUJUA KAMA KUNA UPOTEVU WA UMEME BILA WEWE KUJUA NA KUSABABISHA BILL YA UMEME KUA KUBWA..!
MAKOSA WANAYO FANYA MAFUNDI WANAPO FUNGA TV...,
มุมมอง 3521 วันที่ผ่านมา
MAKOSA WANAYO FANYA MAFUNDI WANAPO FUNGA TV...,
ZIJUE SABABU ZA KUPIGWA NA SHOTI YA UMEME BAADA YA KUSHIKA KIFAA CHA UMEME
มุมมอง 5521 วันที่ผ่านมา
ZIJUE SABABU ZA KUPIGWA NA SHOTI YA UMEME BAADA YA KUSHIKA KIFAA CHA UMEME
MAMBO MATANO (5) YA KUZINGATIA KABLA HUJA NUNUA KIFAA CHOCHOTE KINACHO TUMIA UMEME...,
มุมมอง 3621 วันที่ผ่านมา
MAMBO MATANO (5) YA KUZINGATIA KABLA HUJA NUNUA KIFAA CHOCHOTE KINACHO TUMIA UMEME...,
MADHARA YANAYO TOKANA NA MATUMIZI YA FENI...!
มุมมอง 2528 วันที่ผ่านมา
MADHARA YANAYO TOKANA NA MATUMIZI YA FENI...!
SABABU ZA TAA KUUNGUA MARA KWA MARA
มุมมอง 127หลายเดือนก่อน
SABABU ZA TAA KUUNGUA MARA KWA MARA
JINSI YA KU VERIFY YOUTUBE CHANNEL YAKO
มุมมอง 22หลายเดือนก่อน
JINSI YA KU VERIFY TH-cam CHANNEL YAKO
JINSI YA KUFUNGUA YOUTUBE CHANNEL...,
มุมมอง 14หลายเดือนก่อน
JINSI YA KUFUNGUA TH-cam CHANNEL...,
JINSI YA KUANGALIA KIASI CHAKO CHA UMEME KWA URAHISI ZAIDI NDANI YA DAKIKA MOJA
มุมมอง 117หลายเดือนก่อน
JINSI YA KUANGALIA KIASI CHAKO CHA UMEME KWA URAHISI ZAIDI NDANI YA DAKIKA MOJA

ความคิดเห็น

  • @jumaomary923
    @jumaomary923 วันที่ผ่านมา

    Mamb vip me naomb uanze kutoa elimu ya kuhusu batani na matumizi yake kabla ya kuanz kuendesh

    • @willemdachi
      @willemdachi วันที่ผ่านมา

      @@jumaomary923 usijal kipindi kinacho fuata nitafundisha, endelea kutufuatilia🙏🏻🙏🏻

    • @jumaomary923
      @jumaomary923 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@willemdachi OK sawa tupo pamoja

  • @NasoroGwaho
    @NasoroGwaho 4 วันที่ผ่านมา

    Safi sana brother

    • @willemdachi
      @willemdachi 3 วันที่ผ่านมา

      @@NasoroGwaho 🙏🏻🙏🏻

  • @SikudhaniSefu
    @SikudhaniSefu 4 วันที่ผ่านมา

    Thanks bro

    • @willemdachi
      @willemdachi 4 วันที่ผ่านมา

      @@SikudhaniSefu same to me 🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @Mwangaza-yc8ph
    @Mwangaza-yc8ph 5 วันที่ผ่านมา

    👏👏👏 nice

    • @willemdachi
      @willemdachi 4 วันที่ผ่านมา

      @@Mwangaza-yc8ph 🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @nairobitv6161
    @nairobitv6161 6 วันที่ผ่านมา

    Ulienda nyumba ya wageni kula futa

  • @MKANYIA
    @MKANYIA 9 วันที่ผ่านมา

    Mpiga-picha wako hawezi kufanya video shooting, na inaonekana ninyi sio wataalam wa video editing, halafu pia mjitahidi ku-zoom video zenu ili mnapotoa maelekezo ya hicho kitu kiweze kuonekana kikiwa very clear kama wewe mwenyewe unavyokiona.

  • @BashiruChako-rd9rq
    @BashiruChako-rd9rq 10 วันที่ผ่านมา

    Kazi nzur sana

  • @BashiruChako-rd9rq
    @BashiruChako-rd9rq 10 วันที่ผ่านมา

    Kazi nzur sana

  • @melckmbuya3518
    @melckmbuya3518 11 วันที่ผ่านมา

    Kwakweli umenisaidia sana kaka maana nashangaa mpaka kifua kinanisumbua kumbe nikuacha fen on usiku

    • @willemdachi
      @willemdachi 11 วันที่ผ่านมา

      @@melckmbuya3518 🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @MartiniR0bati
    @MartiniR0bati 12 วันที่ผ่านมา

    Ticha upo sawaa nakuelewaa

    • @willemdachi
      @willemdachi 12 วันที่ผ่านมา

      @@MartiniR0bati 🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @NahnuNahnu-u6z
    @NahnuNahnu-u6z 13 วันที่ผ่านมา

    Nimeelewa

  • @NahnuNahnu-u6z
    @NahnuNahnu-u6z 13 วันที่ผ่านมา

    Keel kabisa kaka, nimepata kuelewa

  • @NahnuNahnu-u6z
    @NahnuNahnu-u6z 13 วันที่ผ่านมา

    Kazi nzur sana❤

  • @liliankiyanga
    @liliankiyanga 16 วันที่ผ่านมา

    Nashukur kwa ufafanunuzi wako kiongozi naomba uzidi kutushushia mapindi🙏🤛👍

  • @liliankiyanga
    @liliankiyanga 16 วันที่ผ่านมา

    Nashukur kwa ufafanunuzi wako kiongozi naomba uzidi kutushushia mapindi🙏🤛👍

  • @ChampezPasopa-o6u
    @ChampezPasopa-o6u 18 วันที่ผ่านมา

    Nimeelewa Sana mkuu

  • @ChampezPasopa-o6u
    @ChampezPasopa-o6u 18 วันที่ผ่านมา

    Nimeelewa Sana mkuu

  • @ChampezPasopa-o6u
    @ChampezPasopa-o6u 18 วันที่ผ่านมา

    Nimeelewa Sana mkuu, Asante Kwa darasa zuri

  • @Kikuracho
    @Kikuracho 19 วันที่ผ่านมา

    Asante sana mkuu nimepata vocha zote za Voda

    • @willemdachi
      @willemdachi 19 วันที่ผ่านมา

      Umeamka vizur leo hongeraa sana👏🙌👊

  • @user-ep7tb9cf7f
    @user-ep7tb9cf7f 21 วันที่ผ่านมา

    Maelezo marefu sanaa

  • @victormkello9575
    @victormkello9575 21 วันที่ผ่านมา

    Iko sawa

  • @BashiruChako-rd9rq
    @BashiruChako-rd9rq 26 วันที่ผ่านมา

    Kazi nzur mkuu nimeelewa sana

  • @ElevaniDaud
    @ElevaniDaud หลายเดือนก่อน

    Good

    • @willemdachi
      @willemdachi หลายเดือนก่อน

      Thanks

  • @AbdallahBinali-fv3ub
    @AbdallahBinali-fv3ub หลายเดือนก่อน

    Aaaah me nimepigwa Yani nimenunua feki

    • @willemdachi
      @willemdachi หลายเดือนก่อน

      Pole sana, nafikil next tyme hutapigwa tena

  • @WENAFLUX
    @WENAFLUX หลายเดือนก่อน

    Nice job👏👏👏

  • @AllyNduru-im5ew
    @AllyNduru-im5ew หลายเดือนก่อน

    Safi kaka kazi nzuri sana👍

  • @AllyNduru-im5ew
    @AllyNduru-im5ew หลายเดือนก่อน

    Kazi nzur sana kiongozi👊👊👊

  • @MussaSemangi
    @MussaSemangi หลายเดือนก่อน

    Nakubal kaka

    • @willemdachi
      @willemdachi หลายเดือนก่อน

      Nakubali mwanangu tuendelee kupiga kazi na kushika kama vijana🙏🏻🙏🏻

  • @BashiruChako
    @BashiruChako หลายเดือนก่อน

    Kazi nzur mkuu endelea kutupa vitu

  • @IddKiboko
    @IddKiboko หลายเดือนก่อน

    Kazi nzur sana nimepata kuelewa sana mkuu endelea kutushushia madude

  • @saidjumanne1201
    @saidjumanne1201 หลายเดือนก่อน

    nice job

    • @willemdachi
      @willemdachi หลายเดือนก่อน

      🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @willemdachi
    @willemdachi 2 หลายเดือนก่อน

    Kama una shida yeyote na bado hujaelewa usisite kuni cheki mobile no; 0689514204 na whatsapp no; 0767881796

  • @saidjumanne1201
    @saidjumanne1201 2 หลายเดือนก่อน

    Asante sana good job

  • @willemdachi
    @willemdachi 2 หลายเดือนก่อน

    Kama ww una hitaji kua mkandarasi wa Tanesco au ulisha sajiriwa na Tanesco kama mkandarasi wao ila bado hujajua jinsi ya kujaza taarifa za mteja wako kuhusu wiring ya nyumba yake basi hii clip ni kwa ajili yko

  • @saidjumanne1201
    @saidjumanne1201 2 หลายเดือนก่อน

    Thank you for sharing with us this valuable information,

    • @willemdachi
      @willemdachi 2 หลายเดือนก่อน

      Shukuran sana kwa kunitia moyo🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @JoviniFaida-uj5qb
    @JoviniFaida-uj5qb 2 หลายเดือนก่อน

    Safi sana endelea kutipositia vitu pia namba yako mkuu

    • @willemdachi
      @willemdachi 2 หลายเดือนก่อน

      Shukuran sana kwa kunitia moyo nitajitahid kuendelea kuweka video nying zaid il tujifunze zaidi, kwa swali lolote una weza kunichek kwa namba hii 0689514204

  • @MuhamedMuhamedi-ub5vn
    @MuhamedMuhamedi-ub5vn 2 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzur sana hakika nimeweza kuelewa namna ya kutumia digital multimeter

  • @user-yp1uz9os2q
    @user-yp1uz9os2q 5 หลายเดือนก่อน

    Naona,mambo ni moto,hiyo mikono yako bado migum kama wewe mwenyewe na ubishi wako.kkkkk

    • @willemdachi
      @willemdachi 5 หลายเดือนก่อน

      Hahahaaaaaa haya bhana msumbiji

  • @user-oz7cr9ei7r
    @user-oz7cr9ei7r 5 หลายเดือนก่อน

    Nzuri hyo

  • @user-oz7cr9ei7r
    @user-oz7cr9ei7r 5 หลายเดือนก่อน

    Safi mkuu

  • @user-cx1jj5dm7b
    @user-cx1jj5dm7b 5 หลายเดือนก่อน

    Safi sana mkuu

  • @user-yp1uz9os2q
    @user-yp1uz9os2q 6 หลายเดือนก่อน

    Naona,mambo ni moto kiongozi,mungu awe nawe

    • @willemdachi
      @willemdachi 6 หลายเดือนก่อน

      Shukuran sana O mussa🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @user-cx1jj5dm7b
    @user-cx1jj5dm7b 6 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzur sana

  • @kakotohamis
    @kakotohamis 6 หลายเดือนก่อน

    Hizo ni Taaa au ?

    • @willemdachi
      @willemdachi 6 หลายเดือนก่อน

      Ndio muhandisi

  • @kakotohamis
    @kakotohamis 6 หลายเดือนก่อน

    Nakubal

    • @willemdachi
      @willemdachi 6 หลายเดือนก่อน

      🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @edrisskazembe4373
    @edrisskazembe4373 7 หลายเดือนก่อน

    Kaz mzur

    • @willemdachi
      @willemdachi 7 หลายเดือนก่อน

      Asante!

  • @edrisskazembe4373
    @edrisskazembe4373 7 หลายเดือนก่อน

    Saf

  • @user-yo1nr2tf5y
    @user-yo1nr2tf5y 7 หลายเดือนก่อน

    Safi sana brother naona Mambo ya kisayansi ukiyafanya 🎉🎉

    • @willemdachi
      @willemdachi 7 หลายเดือนก่อน

      Shukuran sana

  • @user-yo1nr2tf5y
    @user-yo1nr2tf5y 7 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @user-yo1nr2tf5y
    @user-yo1nr2tf5y 7 หลายเดือนก่อน

    Safi Sana kiongoz wang Kazi nzuri Sana

    • @willemdachi
      @willemdachi 7 หลายเดือนก่อน

      Shukuran sana