DARASA LA UMEME jifunze kuwasha taa mbili kwa tumia swich ya njia mbili

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 เม.ย. 2021
  • katika darasa la leo tutajifunza jinsi ya kuwasha taa mbili kwa kutumia two geng switch baada ya kungalia video hii utakuwa umeweza.

ความคิดเห็น • 36

  • @user-xr7hi3lx8s
    @user-xr7hi3lx8s 13 วันที่ผ่านมา

    Kazi nzuri

  • @MusaIzengoJrMAXTv-qi3qi
    @MusaIzengoJrMAXTv-qi3qi 5 หลายเดือนก่อน

    asante xn mtema

  • @S2IZZMATATA
    @S2IZZMATATA หลายเดือนก่อน

    Nimekuelew mwalimu

  • @telymedia2508
    @telymedia2508 2 ปีที่แล้ว +1

    Brooh nakubal sana Kazi zako

  • @user-jq7yn7ug2f
    @user-jq7yn7ug2f 4 หลายเดือนก่อน

  • @allyhamisikau9255
    @allyhamisikau9255 3 ปีที่แล้ว +1

    Akika mwalim mtema kuna kitu unatupa sisi vijana wezako mungu akubaliki xn mwalim wangu mtema

  • @imanmbwaga1223
    @imanmbwaga1223 2 ปีที่แล้ว

    Ahsante Sana boss uko vzr Sana

  • @LegendyKoy-bs4ud
    @LegendyKoy-bs4ud 7 หลายเดือนก่อน

    Nmekuelew sanaaaaaaa... 🙏

  • @imanangelo4904
    @imanangelo4904 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana kwa mafundisho mazuri

  • @luqmanialpha283
    @luqmanialpha283 3 ปีที่แล้ว +1

    Bro nashukulu Sana kwa darasa lako

  • @user-up3qm3dv2o
    @user-up3qm3dv2o 5 หลายเดือนก่อน

    Nina kuelewa sana fund

  • @kjmoney9812
    @kjmoney9812 6 หลายเดือนก่อน

    akika we mwalimu mzuri

  • @kevinmanyasa5754
    @kevinmanyasa5754 ปีที่แล้ว

    Cool

  • @tz1564
    @tz1564 2 ปีที่แล้ว +5

    Jaribu kufundisha kwa mfano mzuri usifundishe wanafunzi kosokota tu nya tumia connecting block pia usitumie earth bear wire kupeleka moto ni hatari

  • @pendonoel7300
    @pendonoel7300 2 ปีที่แล้ว

    Very goog

  • @Solaboy-xy1ff
    @Solaboy-xy1ff ปีที่แล้ว +1

    Mm nakubali sana nimekuwa fundi kupitiya ww t ticha shukurani

  • @jamesobedy3940
    @jamesobedy3940 ปีที่แล้ว

    🙌🙌🙌🙌

  • @omarrashid8764
    @omarrashid8764 2 ปีที่แล้ว

    Nimekusoma Sana kutoka kenya

  • @sanged.c8182
    @sanged.c8182 2 ปีที่แล้ว

    Tunakuelewa

  • @user-io6fp6pk3r
    @user-io6fp6pk3r 11 หลายเดือนก่อน

    Asante ila ningependa kabla ya kufundish njia nyengn uanze na ya kawaida hii ni kwa sababu cc wengine ni wapya kbc

  • @shabanabdallahnkumba2797
    @shabanabdallahnkumba2797 8 วันที่ผ่านมา

    Hyo sio ya 2 gang 2 way maana inavibonyezeo viwil vya kuwashia na kwa ndan Ina njia mbil ama ikoje

  • @hassansingano1150
    @hassansingano1150 ปีที่แล้ว

    Swali, kwaiyo EARTH haina umuhimu sana?

  • @freddymancheddy3875
    @freddymancheddy3875 ปีที่แล้ว

    Asante mungu atakuzidishia

    • @Rajabu.dobeye-qw7fq
      @Rajabu.dobeye-qw7fq 5 หลายเดือนก่อน

      mungu akubaliki san ticha,tunakufatilia kwa uzur sana.

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 ปีที่แล้ว

    Asante Mwalimu.

  • @wilsonalphameck3218
    @wilsonalphameck3218 2 ปีที่แล้ว

    Tunaomba michoro

  • @joskimmaro1556
    @joskimmaro1556 2 ปีที่แล้ว

    Naweza kutumia hili darasa hapa badala ya kuwasha taa nikaweka feni??

  • @suleimansalum.7816
    @suleimansalum.7816 2 ปีที่แล้ว

    Nahitaji group la wasap unaofunza umeme

  • @hajjimanyikahp979
    @hajjimanyikahp979 2 ปีที่แล้ว

    Asnte mwlm mtema

    • @elphazemuria5233
      @elphazemuria5233 2 ปีที่แล้ว

      Hi, mwalimu mtema have tried to reach you but you are not reachable on WhatsApp on the number provided in the tutorial....kindly advice accordingly
      Thanks in advance

  • @surekingu5719
    @surekingu5719 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwalimu na swali, kwa hyo katika mfumo huu earth wire inakuaa hakuna..?

    • @surekingu5719
      @surekingu5719 3 ปีที่แล้ว

      @@darasalaumeme7421 shukran xnaa kwa majibu mazur

  • @jacksonmilinga2225
    @jacksonmilinga2225 3 ปีที่แล้ว

    Jee Kam m2 anaidia na umeme na anaitaji ajuwe unamxaidiajeee

  • @nahtv7526
    @nahtv7526 3 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri