DIMPOZ ni CHAWA OFFICIAL wa ALIKIBA, Kama HUAMINI Cheki ALIVYOITAMBULISHA ( GIME DAT, Track no 11 )
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
- DIMPOZ ni CHAWA OFFICIAL wa ALIKIBA, Kama HUAMINI Cheki ALIVYOITAMBULISHA ( GIME DAT, Track no 11 )
MWANAMUZIKI Alikiba, leo Oktoba 06, amezindua Album yake mpya inayoitwa 'ONLY ONE KING' ambayo amewashirikisha wasanii lukuki ndani na nje ya Tanzania.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...
yaan king kiba maisha yke full freedom juz nimeuona znz michezan pale yaan
raha tupu hana vurugu wala mazonge big up broo
Mm ni mfurahiaji yaan nachekacheka had mashav yanauma🤗🤗🤗
😂😂
Wewe ndo kama mm
😅😅😅😅😅
Mashallah hakika Allah awazidishie upendo
Ina leta raha Sana kwa kweli, sa unaanzaje kunambia nikaishi ulaya 👌😆😆😆.
Kiba asante sana kuwakutanisha wasanii katika tukio la uzinduzi wa album yako na watu wanafuraha na kutaniana Safi sana
Hongera Sana nyote muliohudhuria mahala hapo jameni.
Dah raha Sana kwakwel yani furaha Kama zote Ally limtu lawwatu
I love the facts that ALLY he’s just doing him ,believe, stand for what his doing and believe in,committed, live his life Yani alikiba no one is perfect but the fact that YOUR’RE BEING YOU it’s all enough . All the best champ
Milady ayo sauti yako tamu sana❤
Ally yuko happy sana
Nawapenda mpaka naumwa
Jamani alikiba nim2 wawa2 sanaaa
Nimeipenda sana hii Moment.
Nawapenda zaid ya neno lenyew nawapenda ❣️
I don't know why but I love you so much my brother king kiba god blessing you. Nmeipokea album ya the only one king kwa mikono miwili.
Story of Ommy Dimpoz it's very sad but ALLAH still Blessing Alikiba the only one king . 🇰🇲🇰🇲 Comoros islands
Naomba Ali Ufanye Collabo Tena na Ommy it will be 🔥🔥🔥💨💨
Nawapenda wote ❤️❤️
Hahahahah jaman hii timu wanapendana sana daaa Mungu awasaidie
Umeonaaee yn hawana majivuno kbs hadi raha.
Nimeipenda sanaaa
Natamani ningekuepo wanaendana
Nakupendanga bure kiba
Nimekubali he is only one king
imependezasana tuwetunapendana kamaivi❤.warioshirikiwote nawapendasa
Dah kwer nimehamin sio kila utakachokifanya Kuna watu watapenda yan mataira wamedislike
Bnadam ha2pndan
@@baraka12 kabisaa
Kweli ni chawaaa
Ila Alikiba anamasihara Sanaa na dimpoz🤣🤣🤣🤣
Hii vdeo nmeangalia zaid ya mara moja
Only the king can gather all this legends together🔥🔥🔥
Kale kakusema dully unacheka nini ally alivyksema had raha🤗🤗
Love u king kiba.
Mc kaua , Millard we sio mtu wa kawaida
Nawapend sn awa watu mungu awawek sn kiba na omy
Ommy fala sana😄😄😄😄😄
Sauti ya milard sasa akicheka ndo bac tena
Love 💕❤️ you king kiba
Iko very good
Dah mwijaku kwauchawa balaa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kabisa alikiba ni legend na mimi na kubali
Wallah napenda vile wako happy inapendeza🤗🤗🤗🤗
Jomon I love it 💕💕😍
muziki ni mahusiano mungu awape umoja mzuri wasanii wa bongoflava muwe mfano wa kuigwa
Jamani king muacheni TU
Mtangazani uko na sauti nzuri 🙈
Patoranking haelewi Kiswahili hapo mpo Na mgeni ongeeni English
Kwa kweli
Atafsiriwe Ila siyo waongee English kwaajili ya mtu mmoja achen utumwa basi
@@ezeedi871 Wewe mtumwa tu nautatumwa tu kwanz unatakiwa uchomwe chanjo fake ili ufe
Ommy mbona mwijaku ywashutuka
Nice 🥰🥰🥰
Nimecheka Sana uyu ommy kumbe nae chizi
Mwijaku Kawa mpole kaitwa chawa
Mm kanitia simanz et
Jaman mwana fa na dimpoz waombe tena na Ally kiba
Tunawaomba Sana colabo ya mbuge mwana F.a na king kiba pia dimpoz
Nawapenda sana🥰🥰
Hii ghafla inakaa ilikwa na amsha amsha xana
King
Noma Sana kiba
Safi Sana brotha kiba nakubali
Daaaah mwenye namba ya miradi ayo jaman nampenda sana huyu kaka
😍😍😍🙋🔥
Ally anavyocheka 😂😂😂
Good
Mwijanku ameskia chawa akaondoka 🤣🤣
😂😂🌝😂
Only one king
Wao
Hatar king
Natamani namim ningekuepo kwenye Pat la mangwiji
Sizani kama patoranking alikuwa naelewa
jamani raha
Safiii
Nampenda ali kiba sana
Et natania😂😂
Nakubali Sana
Ila mnafanana ali na dimpo ufupi uso rangi upana wa uso kimo mmm kila kitu kosoro kibonye
Uyu ommy ni cartoon sana
Yn ilo mwijaku kaa kila kitu shono
🤣🤣🤣eti kashamsamee... afu alie eti eeeehh?
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Duh
💯👑
Namuombea kiba azidishe upend kwa omy dimpoz wametoka mbali na aonyeshe upendo kwa wasanii wote hata wasio mpenda
Yaani Sosoli au
Mbona imepowa jmn
Yakwako VP imechangamka na ni IP?
@@shecykondela726 sn yn imebamba kinoma kuliko I Ya kibakuli imepowa km mkojo
Huyu jaama nim2 wawa watu
😂😂😂😂😂❤️
Nimependa alivyosema umeshakuwa mbunge jiheshimu
Alikiba ndo chawa
Naona wageni kama wako bored sana mnvekuwa unaongea kizungu au mtafsili wageni waelewe.
Wapuuzi wamedislike 😡😡😡
😂😂😂😂😂
Karate
Ally furuhusa iyo changamkia
,😅😅😅
😆
🤣🤣🤣
Hhhhhhh
Hhhhhhhh