This song reminds me of my late wife who died five years ago, she would dance it in all weddings singing her heart out, beutiful song with meaningful words.
🎶🎶🎶🎤🎤 Jeuri ya nini wewe?? Hukujiumba umeumbwa.... Umezidi wewe?? Kiburi chako ni bure... Mlango wa Mungu uko wazi.... Riziki napata mimi.... Nina ruzukiwa mimi.... Mungu amenistiri 🎶🎶🎶 🎤🎤
nilififika nyumbani Dar es Salaam mwaka 2016 but nilikua na masikitiko sana kwani nikakuta msiba wa bibi shakila mungu amrehemu amlaze pema peponi yeye na wote waliotutangulia Amine sikua na muda mwingi huko but never mind ishallah tutawatembelea tena dada zetu wapenzi
Ukimsikiliza Sabah salum, nenda kamsikilize nasma hamisi kidogo, Rudi umsikilize mwanahawa Ally, tulia kwa Khadija kopa, Kisha Anza safar kuelekea kwa issa matona, utakubaliana na Mimi kua Hawa ndio wenye taarab yao wengine watafute tu hela taarab zilikua hizi hakuna jasho Wala kujambajamba hovyo,,,, mashaallah mliitendea haki taarab
This song was the best and still best reminds me a lot going to weddings and dancing our hearts those days neighbors were family watching news the whole plots together sweet kisauni
husikii tusi mwanzo wa wimbo mpk mwisho, anakupa ushauri na kukuonya ili ujue nafasi yako km mwanadamu, halafu anakwambia hana wasiwasi madam yuko hai mungu yu pamoja nae. Sasa sikiliza nyimbo za sikuhizi , ujumbe wa ngonongono tuuu... nyambafu kbs. congrats MAMA YETU SABAH SALUM
Sabah Salum ana sauti ya kutoa nyoka pangoni. Hutupatia tumaini kwa maisha hata kama binadamu hukazia usi , wenzao. Mashaallah!!Dr. Ogeto International
Yaaani hii nyimbo ni favourite yangu bt sikuwa najua imeibwa na nani wala yaitwaje...nipataaabu..mbaki leo nime type riziki hutoe wewe ndio nikaipata ....am enjoying it.......
Taji hulivui hili lisha pasi,sijipe uchungu choyo hakifai, na chuki binafsi wewe mlimwengu, ukiufunga wa kwako mlango,juwa wa Mungu ukowazi saddddakta bibi Sabah unajipa kazi hutoiondosha kudra ya Mungu, haya huyawezi wajihangaisha yawache majungu sote tunakadiriwa na Mungu hatujitoshi na kitu
madhali nihai sina wasi wasi kwa riziki yangu kwa mola illahi nina langu fungu, taji hunivui hili lishapassi ewe mlimwengu ukiufunga wa kwako mlango juwa wa Mungu uwazi, nalijua wazi lilokukondesha ni bahati yangu, hayo huyawezi wajihangaisha yawache majungu, sote wakukadiriwa na mungu hatujitoshi kwa kitu, saddddakta bi sabah lovely usijipe ujabari kuvaa joho la mungu atowae ni kahari kwa matamu na machungu haufai ujeuri ewe kiumbe mwenzangu tuendako nishubiri mwana ndani letu fungu, joho la mwenyezi mungu mja likufae wapi heko ndugu mtanzania maneno ni saddaqta
As pertains my comments on her is that :Nyimbo hino hunidara moyo vyema na vizuri sanaaaa , actually she unleashed her God given potential (talent) well.....I look behind for her inspiration to unleash my God given talent in another area. Kudos Mama......
Usijipe ujabari kuvaa joho la Mungu, haufai ujeuri ewe kiumbe mwenzangu,tuendako ni shubiri,mwana ndani letu fungu, Joho la mwanyezimungu,mja likufae wapi?
Nami,. Namependa,;. Music; ,. Yako,. Dada;,. Niko mbali ama uko mbali yeye,'!. Walakini nitakuja,. Tanzania na utaniibia:;. Mungu mwenyenzi atupe imani.,. Thanks.
Here in 2024 , so many lessons in this beautiful song .. reminds me of my nyanya , my mum , aunties and my childhood 💐
Uhuu wimbo nizaidi ya wimbo wadini .Dada aliimba vizuri Zaidi. Mungu akubariki zaidi
2022 who else is stil listening??? Hivi hii nyimbo nimeiskia tangu nakua lakini sasaivi ndio yaniingia
Kabsa maneno sahv ndio yananiingia pia nymbo nmeskia zaman sana lkn utasema imetoka jana nzur maashaallah maneno mazr melody nzur
Na Mimi pia wallah ❤️❤️❤️❤️
Kama umekuja Tena kusikiliza 2024🎉tujuane
Still the best taarab song. 2023 still hitting 💗
Lol
Yap !
We here until now old is GOLD
Dis sing holds my childhood memories my late mum used to love it 😢😢😢continue resting in peace mummy
Wanaosikiliza wimbo huu 2020 gonga like
jamani tupeane like kama bd tunaupenda huu wimbo
👍👍
Taarab tamu sana nyimbo za zamani zina ujumbe mzuri nasikia raha nikisikia
Kabisa
Taarab safi kabisa pongezi 2023 ya ngaa!...
This song reminds me of my late wife who died five years ago, she would dance it in all weddings singing her heart out, beutiful song with meaningful words.
Pole sana kaka
Sorry ndugu
Sorry ngugu mhsrip
Pole Sana
Pole sana
Mombasa mpo gonga like kama uko present
Kongowea kwenye Bi. Chegero!
Tupo dada,nasikiliza nikiwa Bahrain ❤
Nani bado anausikiliza huu wimbo September 2023, gonda Like
🎶🎶🎶🎤🎤
Jeuri ya nini wewe??
Hukujiumba umeumbwa....
Umezidi wewe??
Kiburi chako ni bure...
Mlango wa Mungu uko wazi....
Riziki napata mimi....
Nina ruzukiwa mimi....
Mungu amenistiri 🎶🎶🎶 🎤🎤
Nikweli, aisha apo umesema
Mama nazipenda sana nyimbo zako ❤
Reminds me of our neighbors weddings back in the 2000s likoni Mombasa😊
I still listen and watching this Old taarabu 2023 eastcost music 🎶 it's so amazing
Mimi. Nafurahia ua music n Sabah Salum , MUSSUMBIGE, NAMPULA PROVINCE, MEMBA DISTRITO.
2023 Its Just Nearby And Still She My Fav Taarab Singer & Song Writer Of All The Time ..!! Sabaha Salum Muchacho ❤
Napenda hii nyimbo sanaaaa☺
Rizik hutoi wewe mja usitakabali💃
2024 im still listening to this magical song madam Sabah
Wapi kelele ya Sabah Salim mob love from Mombasa 💛❤️💛💚💙❤️💚💛💙
Kama umekumbuka ujana wako kwa kusikiliza hii ngoma tujuane hapa kwa like...ntarudi 2021😀
Hahahaha weee mwenyewe hujui kama utafika 2021
Naaaam
HhhgghhjjkķûeiedideidqoszizezozudduddhddduddfiffididdgdduddhddieeiffughhufjfhffhhffuģihhihhigugiggigkgjggjhgjrjrjrjrjrrhgufuffugjgjtjtjtjhthturjrrjrhrjrruiieisjdvdhdvdvffhfhfjffjjqqkqJsjdjrfffkfjfvfjjfrhrjtjueiéi2oozdidvghjjjjjjjjjvjjkllkhgxxhiloĺlmmmlĺkkķkjgģfffghjjjjjkllmmmmmpkkkkllllllllĺlloppooôjjhhju
nilififika nyumbani Dar es Salaam mwaka 2016 but nilikua na masikitiko sana kwani nikakuta msiba wa bibi shakila mungu amrehemu amlaze pema peponi yeye na wote waliotutangulia Amine sikua na muda mwingi huko but never mind ishallah tutawatembelea tena dada zetu wapenzi
❤❤❤goooood Sabah penda sanaaàaa
Ukimsikiliza Sabah salum, nenda kamsikilize nasma hamisi kidogo, Rudi umsikilize mwanahawa Ally, tulia kwa Khadija kopa, Kisha Anza safar kuelekea kwa issa matona, utakubaliana na Mimi kua Hawa ndio wenye taarab yao wengine watafute tu hela taarab zilikua hizi hakuna jasho Wala kujambajamba hovyo,,,, mashaallah mliitendea haki taarab
Hahahaha hahaha wacha kabisa
Hussein Omary afua Suleiman umemsahau
Mwanaidi Shaban
Hussein Omary mzee yusuf pia ako ndani
@@walidmanek6696 zile za mwanzo mwanzo
This song was the best and still best reminds me a lot going to weddings and dancing our hearts those days neighbors were family watching news the whole plots together sweet kisauni
❤❤❤ RIZIKI MIN ALLAH
I love this taarab
Love from 🇰🇪 2:30
2024,Ahsante sana Swabah .Nakupenda sana.
husikii tusi mwanzo wa wimbo mpk mwisho, anakupa ushauri na kukuonya ili ujue nafasi yako km mwanadamu, halafu anakwambia hana wasiwasi madam yuko hai mungu yu pamoja nae. Sasa sikiliza nyimbo za sikuhizi , ujumbe wa ngonongono tuuu... nyambafu kbs. congrats MAMA YETU SABAH SALUM
Good old days when ladies are naturally beautiful ,,,no bleaching glowing naturally ❤
2024 bado nasikiliza❤
Love the song to the moon and back. True human nature depicted in the lyrics, and advise accorded to humanity. Wenye maskio na wasikiye.
The best female artist of the decade
2019 nampenda sabaha anajua kuimba vizur sana gonga like na ww unaamin hlo
Kweli
Sabah Salum ana sauti ya kutoa nyoka pangoni. Hutupatia tumaini kwa maisha hata kama binadamu hukazia usi , wenzao. Mashaallah!!Dr. Ogeto International
mama yangu nyimbo yako hiyo kila nikiisikiliza nafurahii sana, mashairi mazuri
Hakika taarab ina wenyewe,,, sauti mlipewa na mkaitumiya kwa nidhamu,,,hongera,,,
Taarab hii taamu saanaa..
Ukinisusia ww sishituki moyo wangu,nitapata mwinginewe atojali shida zangu Ukinibagua wewe hanitupi Mola Wangu 🙏🙏 kuntu tupuuuuuu👌👌👌👌
This song bird sang such a nice song , lyrically and content basics . I love it .
2021 chapa likes jameni 🔥🔥🔥
Amin:; Mungu dada,. Nami niko na wewe,,. Nikikunja. Tanzania,. Naomba mwenyenzi mungu nikukute,. Amin.
yaani hawa wasanii walikuwa imara sana nawapenda sana hili ndio kundi bora la mziki wa Taarabu
Kwel aiseee
Who's watching this in2020?
@@viviankagekha57 I here
Sio wa leo Mara kundi hili Mara lile hawa walidumu Sana East Africa Melody Taarabu Miaka Mingi
@@viviankagekha57 mpaka 2021
2020 tupo pamoja??
Mashallah Sabah
Calm, collected and composed...the massage though👌. The song got life in it decades and decades😍
Wimbo nzuri Sana Mama
Atoae ni Kahari
Kwa matamu na machungu
Usije ufahari
Kuvaa joho la Mungu
I don't know how I ended up here but I'm glad
Allah akutunze bibie maneno kuntu mashallah mashallah waambie wabaya wasio na hayaa wala awajui vibaya....
hyu mama nkabila gan nmrembo sanaaaaaaàaa
wonderful Sabah you are so beautiful na unayoyaimba ni poa
Waaaaaa, what a great voice n soul, me thinks she has left footprints in human souls n hearts. Probably she has passed a button to her daughter???????
Dada nasubiriiii maonii ukotayarii unabisha hodii unsjaruuu zahazii latakaa kuenda wasubiriwa wew SEMA yesabjahazi lisimame kikusubiri yess
Naami pia naamini humu duniani wabaya si wote...wapo wenye watanistiri
Masha Allah maneno mazito na matamu Asante bi swabaha.
Joho la mwenyezi mungu mja likufae wapi? ...deep dont assume a role only God can do
Yaaani hii nyimbo ni favourite yangu bt sikuwa najua imeibwa na nani wala yaitwaje...nipataaabu..mbaki leo nime type riziki hutoe wewe ndio nikaipata ....am enjoying it.......
Nampenda huyuu acha tu imenigusa hi nyimbo
Aaah basi itakuwa hufatilii taarab sister
Ooh kumbe you reppin +254 ndio mana
Iko juu ☝️🎼💃🏾
Kwa mola illah najua sikosi nna langu fungu, taji hunivui Hili lishapasi sijipe uchungu choyo hakifai na chuki binafsi 😍😍😍😍
Ukiufunga Wa Kwako Mlango, Juwa Wa Mungu Uwazi,Asante Maneno Yako Sawa.
Kabisa hii song najipenda mlango wa Mungu uwazi kweli kabisa
2019 gonga like
Hot News&entertainment TV kumbe nawe unaitizama kwasas
anaimba vzr
Atoae ni Kahari kwa matamu na machungu kwa matamu na machungu
Usijipe ujabari kuvaa joho la Mungu kuvaa joho la Mungu
Absolutely sio watu wote wabaya, your voice very soothing Mashaallah, ukinibaguwa wewe hanitupi mola wangu 👍
Huo wimbo unachoma roho yangu
Ciao nikisikiza. Hizi tarabù na miss home .yarabi Mola nipe. 💪💋.
Tufanyaje ulimwengu husiokuwa na haya. taji hunifuwi nilishafaa.bahati ya mwenzio husionee wivu. ujumbe hai Kweli Hii. mashallah mama Saba.
safi sana
Itaishi sana hii song
🙌💪👌mwafurani hii yakuhuuusu 🙈wanzibar tujuaane2020
Ndio sisi hahahaha wera weraaa
2023 hapa bado tunakula good Music alive
East Africa melody: homa laa Jiji nyimbo zenu zitadumu,,,🎼🎼🎼
Huu wimbo fire❤️❤️❤️
Kenya 2022 hoyee💪
Mashallah,sichoki kusikiliza huu wimbo
#usijipe ujabari kuvaa joho la Mungu,joho la Mwenyezi Mungu mja likufae wapi!?.
Joho lamwenyez mungu mja likufae wapi penda Sana jisong hilii safe mama sabahaaa
Mashala
Mashaallah
Kabisa apo umesema
Taji hulivui hili lisha pasi,sijipe uchungu choyo hakifai, na chuki binafsi wewe mlimwengu, ukiufunga wa kwako mlango,juwa wa Mungu ukowazi saddddakta bibi Sabah unajipa kazi hutoiondosha kudra ya Mungu, haya huyawezi wajihangaisha yawache majungu sote tunakadiriwa na Mungu hatujitoshi na kitu
Sakina ABD mkhhh
Yaani najiskia raha mpaka BC Mrs rashid mie kwa huu wimbo
Nashukuru mungu nasikiliza nikiwa ndani ya Oman 2020
Ukinisusia wewe sishituki moyo wangu haha2021 gonga like hapa kama tulionekanaga hatufai kwa ex wetu n sasa hvi wao ndo hawafai jaman mlango wa Mungu
Swabah salum nyimbo inanikumbusha mbali
Those beautiful old days
Maharusini utaskia sana nyimbo hizi zikichezwa
Haya ndiyo maradhi yangu wallah napenda taarabu sana.hasa bendi ya mama huyu.
Sote wa kukadiriwa na Mungu…. hatujitoshi kwa kitu#2023
Sauti nyororo dadangu nawapendeza pia.
madhali nihai sina wasi wasi kwa riziki yangu kwa mola illahi nina langu fungu, taji hunivui hili lishapassi ewe mlimwengu ukiufunga wa kwako mlango juwa wa Mungu uwazi, nalijua wazi lilokukondesha ni bahati yangu, hayo huyawezi wajihangaisha yawache majungu, sote wakukadiriwa na mungu hatujitoshi kwa kitu, saddddakta bi sabah lovely usijipe ujabari kuvaa joho la mungu atowae ni kahari kwa matamu na machungu haufai ujeuri ewe kiumbe mwenzangu tuendako nishubiri mwana ndani letu fungu, joho la mwenyezi mungu mja likufae wapi heko ndugu mtanzania maneno ni saddaqta
Maashaalaw
Sakina ABD ahsan ahsan maashallah
msabah
ukweli kabisa
Sakina ABD w
When I'm listening this songs remind me Homeland
This song 🙌🙌
Ni bure chako kiburiiiiiii.... safi sana Swabaha....enzi zileeeee
Kwa mola lilahi najua sikosi Alhamdullilah
I feel so good listening to Savana Salum songs
Sabah Salum
Mashallah. Haufai ujeur ewe kiumbe mwenzangu. Joho la m'mungu wewe likufae wapi
Love❤ you sabaha salum
TAARAB, font parties de mes véritables chansons, courage et bonne réalisation.
Heading to 2023 with the same tune 😘😋
As pertains my comments on her is that :Nyimbo hino hunidara moyo vyema na vizuri sanaaaa , actually she unleashed her God given potential (talent) well.....I look behind for her inspiration to unleash my God given talent in another area. Kudos Mama......
2019 USA nipo!!! Mutamaliza mizungu mwaka huu!!!
Usijipe ujabari kuvaa joho la Mungu, haufai ujeuri ewe kiumbe mwenzangu,tuendako ni shubiri,mwana ndani letu fungu, Joho la mwanyezimungu,mja likufae wapi?
Sakina ABD umekaelewa hako kamstari kama mimi
kweli kabisa riziki utoi wewe anaye toa riziki Allah alhamdullilah..binadamu mambo yao kombo
06/01/2019 bado nyimbo inaishi tena ninzuri kwa afya yako
Nami,. Namependa,;. Music; ,. Yako,. Dada;,. Niko mbali ama uko mbali yeye,'!. Walakini nitakuja,. Tanzania na utaniibia:;. Mungu mwenyenzi atupe imani.,. Thanks.
Mashaallah kwatu roho yangu nisikilizapo nyimbo zako, tuendapo ni shubiri mwanandani letu fungu"
Inshaallah mungu aendelee kunistiri narizikizangu zahalali
Namsikiliza huyu mama namuelewa sana 2020
Dada upo juu maneno yako hakika wanao kusema vibaya hao ni majinuni
nani atuletee Best of saban!!! Mix!!!
2022 bado Tupo Sana,,,,never left....