Yavuma ndani ya central KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉 Hola,pwani Iko central KENYA 💪💪💪💪 , African melody 💯🇰🇪🇰🇪🇰🇪 proudly of you Swahili lady, God bless you Brothers and sisters,❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Nimemtapika sina haja nae tena sadaqta maneno tosha, hapandi farasi mzoeya punda, kama huko nikupata chukua ufaidike halafu usije juta ukifika mwisho kwake. Hekooo dada mtanzania maneno kibao👏👏👏👏
We niko ndani,sina tochi,😂😂😂😂I love it from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 , ndani Friday naitengeza mwenyewe,ukiona apendeza nimemrembesha I love Swahili lady,mapishi,❤❤
Jaman Nipo hapa 2024 nan mwingine yupo hapa🎉🎉🎉🎉🎉
Mie 😂😂
Jirani ako niko piaaa
'ami ndipo hapa toka Bukavu DR Congo.
Kabisa❤
I'm here ❤
Mie🎉
Kama unasikiliza hii taarab adi sasa 2024 gonna like apo😂😂😂
jaman kama unasikiliza 2024 gonga like mambo pambe
Kama bado unasikiliza hiii taarab hadi now 2023 Sema Alhamdulillah Old Gold 😢😢
Wenye tuko ndani 2022 mkono juu,I love this song
Jinamizi...noma!
Kama unasklza hili song 2021 naomben LIKE zangu🔥🔥🔥
2023🥰
Good Taarab songs,watching from Kenya Nairobi🇰🇪🇰🇪🇰🇪
I’m 😢
Yavuma ndani ya central KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉 Hola,pwani Iko central KENYA 💪💪💪💪 , African melody 💯🇰🇪🇰🇪🇰🇪 proudly of you Swahili lady, God bless you Brothers and sisters,❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
🤝❣️❣️❣️❣️nmemtapka sina hamu tena MUNGU akupe AFYA TELEE adija yusuph wangu 2022.
💞💖❤💟💓❤️
Daah Old songs ni nzuri muda wote kusikiliza,, imenikumbusha mbali sana mpaka natamani kulia 2006 hii 😓😓
Natamani nilie
@@najmahabass8183 pole sana 😪
@@najmahabass8183 najmah usilie, ukilia utaniliza na mim
Santaaaaa Sikuambiwa Yupo,Nliambiwa Wapo,Hapooo Kawaida Mzowea Punda ,haezi panda Farasi.
If you are here #2021 listening to this great taarab song hebu niamkue kwa like ☺️😊 Great song with strong message.
"Hapandi farasi Mzoea Punda 😁"
That line gets me everytime
Taarabu pambe khadija unanikoxha hatar kama bado unasikiliza hili goma2020 gonga like hapo chini jamani noma sanaaaa
Sana mashallah
Nimemtapika sina haja nae tena sadaqta maneno tosha, hapandi farasi mzoeya punda, kama huko nikupata chukua ufaidike halafu usije juta ukifika mwisho kwake. Hekooo dada mtanzania maneno kibao👏👏👏👏
Namm nipo naittwa fatma huseni yaani napenda sana milindimo
Old is gold,khadija Yussuf doesn't dissappoint
Jmn hiii nyimbo inanihusu mujuwe naipenda hadi raha
2024 nipo apa natamba nayo🎉🎉❤❤❤
Reminds me of old days living at majengo mombasa hizo harusi mashallah...now im old living adjusent tononoka 😢 old is gold😢😢😢
Sijawahi kuichoka taarabu ujumbe mzuri mziki mtamu
Kama unaiskiliza hii taarabu huu mwaka 2020 na unampenda huyo dada na groupe yake gonga like.
Listening from Zurich. 2020 .inaniliwaza ktk kipindi hii cha CORONA
Zilipendwaaah 2020
Natafuta Ile nyimbo yaimba nimepata nimepata wangu fundi,kanipima kanipima Bila hofuu.,..
Nice song mashallah ❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Old is gold for sure!
hierdie inligting om die 🥰🥰🥰🥰🫰💯 💯 👏👏🇰🇪
❤❤❤❤❤ naipenda 2024
2024 again on this tune❤
Naipenda sana hiyo ❤
I really love this song
Mashairi jameni🤔🤔🔥🔥🔥🔥👌👌👌👌👌❤❤❤❤
when taarab was taarab, zilipendwa
Am now getting the words really well🥰❤️🌹
Awesome awesome awesome ❤💓💟💖💞
Km upo hapa 2019-10 gonga like
Namkubali sana sauti ya chiriku❤
2024 am here 😍
Wanawake waswahili mpoo.
Tupooooo✌🏻
👌👌👌
2021
Tayari mwingine ninaye wasiwasi Sina oooh ya eeeeh
Taarb itabaki kuwa juu tenaaaaa👌🏻
hukuambulia hapo alipokua na chake😁😁😁😁😁
Mi msilizaji mkubwa watarab basi nachambuwa mengi sana niko mbali na kwenye hizo nyimbo
Sikiza hiyo
Tarehe 10 /9/2021 bado ipo powa sana ♥️♥️♥️🙏
Kama unasikiliza 2021 gong like hapa
2023 October...bado tupo sana...pambe
My dad used to play this song every
❤❤❤SHARIF MOHAMOUD SHARIF MAMBOW YAKO HAYA
2023 the song aint getting old
2023 bado tupo
Nipeni like
zilipendwa zilipendwa sina haja nae tenaa👌👌
😘😘😘😘😘
Sadakta mama kutuekea mwimbo huu
2021 tupo
We niko ndani,sina tochi,😂😂😂😂I love it from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 , ndani Friday naitengeza mwenyewe,ukiona apendeza nimemrembesha I love Swahili lady,mapishi,❤❤
Asante kwa kuweka nyimbo hii full. Tuwekee na ya Zuhura Shaaban nyimbo:
(Ndio maajaliwa) Zanzibar stars album najifaragua. Haipo hapa TH-cam kabisa
Yap
I remember listening to this when I was about 12-13 and been in love with it since than
hatareeee sana uyu mdada usijifiche nakuta kivyangu vyangu kivyake
Penda sana ❤
Reminds me of my late Grandma when we used to travel all the way from Uganda to Kenya 😭
Nishakutapika bibi wee sina hamu tena.... Sina haja nawe tenaaa 7/8/2020
🤣🤣🤣
We performed this up to the nationals..2010
mashaaallah
My favorite ❤️❤️
Mashaallah
Niliyajua kitambo kama huyo baka baka sasa kama kwako yuko kwengine anapo anapokwenda.2023
Nice Song , nice voice and beautiful soul🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Zamani rahaa jamani
mwenyewe nawatengezaa
2021 mko wapi
Tuko
Taarabu Iko na mafunzo murua.
2020 bado tupo
Taarab zinanikosha dah raharaha
Wow listening 2021,June 1
Taarabu tamutamu
Taarabu mwisho wa mawazo,mafunzo na burudani tosha
Kweli
Wow this is nice
This song remind me my granny’s 😢😢 😢 nice song thow
Jamani napenda hii wimbo nita download ajee tafali😂😂
Sijitie pepo nilipendwa
Zilipendwa cna haya nae tena
🌹🌹🌹 Khadija yusup
2020😜❤️
Oyooo
haswaaa kwakweli mwengine ninae
😄😄😄😄😄 hapandi farasi huyoo zoa zoa
Nyimbo hayeshi utamu❤
Nzuriiii
Dada tarabu yako iko poa kabisa na inaeleweka na wote
The was the real Taarab. This modern Taarab we listen to these days is a raw deal
...and they keep "Modernising" it in to Bongo/Zenji Fleva.
Melody
Nan 2020
zilizopendwa kweli 💔💔💔
Imeturi dada dida nakumbuka long
Wewe moto
👌👌👌❤❤❤ swafi saaana
Duuu hizi ndiyo taarab sasa
Hewa Asanta
Nipo live na msikiliza
Ikon poa
Muloacha kama Mimi wimbo wa kukufariji ndo huu
I like this
Kama huko ndio kupata chukuwa ufaidike wewweeee,
chukua ufaidikee, halafu usije juta ukifika mwisho kwake
Bakabaka😜
Tenaaaa ninae mwingine mwenye wazifa wake
Vibao vyak nnavitafuta sana 😂❤❤❤❤❤
Bado tunasikiza tukiwa Kenya ndani ya Tudor 2021
Mungu akuongezee umri😂