mnalia kwa uchungu! jaza yangu ni thawabu, Mungu kanihukumia,mambo yameshakushinda, fikiria kwa makini Mungu siwa kuchezea, ulikithirisha mabo yanuni na firauni, ukinichimba chini chini yangu kuniharibia, yote yamekwenda pombo, Mola ameniauni,fedhehani waingia,Mungu hapigii kwa fimbo ya mti wa henzirani lakini hulipa kwa zake njia
maovu ulonitenda hapa duniani mungu ananilipia sinapo nilipokwenda sikukesha ugangani langu ni kuomba dua nimekukubali sabah ahsante 😍😘💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜
2021----Fimbo Ya Mungu Haina Salama Kwa Kila Mtenda Ubaya. Karma is a BITCH. Swabaha unatuelekeza kusistiza matendo mema kwa wanaadamu wenzetu hapa duniani, malipo ya wema ni wema. "HAL JAZAAH-UL-IHSAAN ILAAL IHNSAAN?"
jamani ndg zang me nataka niwashauli kitu....hapa duniani kuna dua kama3 au2 hazina kipingamizi mbele ya allah' kwa mtu aliezulumiwa .....kama kuna mtu umeshawahi kumzulumu na bd yuko hai nenda ukamuombe radhi ili mridhianeee.....
ya cjui hata nisemaje naipenda sn sn hii nyimbo tena hl neno Alhamdulilah zng ndizo zinazokuzuru we acha kabisa nikiwa namke wng kipenz aziza malinda cc team sabaha Aaaaa love kwako
Malipo HPA duniani namtegemea yy tuuu cjui mambo ya ganga wala wapijaji ramli mburugaaa umetembea to much vibyaa mwisho badaa kuharibirikiwa maisha inkua ati mm yngu mojaa nasema niyaaaa safi yamnyanyasaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲❤💞💯molaa nilipiye nkishuhudiyaaa niyaa safii yashindaa uchawi
Alhamdulillah 🙏 bibi sabah salumu Kw wimbo nzuri fimbo y'a mungu
Fimb ya mung
Naipenda sanaaa ktk taarab zote nilizosikiliza hii ndio favorite taarab
Wa falumé wa tanzania hoyéeeeeeee....sawuti jamil ...l'm frooooom comoros wami nina penda sana wa tanzania woté
13yrs Back and the Song is Still 👌👌👌 Santaa From 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
mnalia kwa uchungu! jaza yangu ni thawabu, Mungu kanihukumia,mambo yameshakushinda, fikiria kwa makini Mungu siwa kuchezea, ulikithirisha mabo yanuni na firauni, ukinichimba chini chini yangu kuniharibia, yote yamekwenda pombo, Mola ameniauni,fedhehani waingia,Mungu hapigii kwa fimbo ya mti wa henzirani lakini hulipa kwa zake njia
Huu wimbo naupenda sana na nyimbo zako zote Masha ALLAH uko juuu yuko dadako likoni mamake Answari
Yes Azzah and Aziza family
Maneno sadakkta
Taarab zenye adabu..Watu bado tunaenjoy. Maneno kuntu ❤❤
Kabisa Yani Heshima hawaimbi matusi Yani This is Out standing superb ❤
Mungu SI wakuchezea oyoooooooo❤ hujarogwa mlimwengubusitafute sababu
Machaallah
Fimbo ya mungu haijawahi muacha mtu salama naipenda hii nyimbo mpaka naumwa
Mungu c wa kuchezea
Gosto muito de musicas desta senhora , e gosto muito dela
Cv
Um maravilhoso
ujarogwa mlimwengu usitafute sababu iyo ni fimbo ya Mungu yakushikisha adabu.santha sana muacheni Mungu aitwe Mungu jamani
Mungu ashukuriwe
maovu ulonitenda hapa duniani mungu ananilipia sinapo nilipokwenda sikukesha ugangani langu ni kuomba dua nimekukubali sabah ahsante 😍😘💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜
Mouhamad Bakri Naomba Nia Safi ya Swabah salum inaniliwazasaaana
.
Naomba wimbo wa tumerudiana ya Sabah salum
Jamani hi taarabu inatugusa wengi siwezi kukesha nkalipa kisasi mm langu dua
Nakupenda sana sabah
bi sabaha wanimaliza na nyimbo zako bibie asanta
Safi sana❤
Mama umetisha sana
Mashaalah 💤💤👍 fimbo ya mungu
Namuamini mola wangu
❤❤Bibi sabah alhamdulillah machaallah 😂😅🎉
nimemic huyu cct hakika hawa ndio walikuwa waimbaji na bi mwanahawa maneno kuntu 👌👌👌
How ni jmmm kjjjkkkjjjjmmn nnjjjjjkjj8. Jj
k riddle I pc
Maneno yauzuri asante
Ladies and Gents that was yummmm delicious thanks for sharing. Long live Music down with politicians ;)
Alhamdulillah zangu ndo znakudhuru....mungu si wakuchezewa
jamani nyimbo yako dada inanitia hamu kweli najiona kufika home ili nisikilize our nice music heko sabah mungu ndo alokupa wala hupokonyeki
2021----Fimbo Ya Mungu Haina Salama Kwa Kila Mtenda Ubaya. Karma is a BITCH. Swabaha unatuelekeza kusistiza matendo mema kwa wanaadamu wenzetu hapa duniani, malipo ya wema ni wema. "HAL JAZAAH-UL-IHSAAN ILAAL IHNSAAN?"
I love so much all music of sabah salum
Beautiful she sings from her heart
Namwamini mola wangu..silipishi...Mungu anilipia..ASANTE!
tena mungu fimbo yake kali kweli ukiwa na subra
Like twenty wawa2019. Mchaga wa kwanza kupenda raaarabuuuuu
tupo😂😂😂
So nice song. Am in love with it.
Alhmdullilah zangu ndzo zinzao kuduru mabaya fanya upooo nend kwa bidogo kwa nani wek vikao uchawi si sifa yngu namuamini mola wangu ndo atakae ninusuru
Atanihukumia mungu na kiumbe nilichoo nacho
Sinapoo niliko kwenda langu nikuomb dua mungu atanilipia na my baby tumboni
maneno hayo niyakweli kabisa , kazikusema nimerogwa na watu ,, mhhh kumbe fimbo ya mungu , mungu sio wkuchezewa
Nice
tankoboub maneno ya wakosji niamini rakini sio maneno ya wastalabu
One of the most powerful voice and great smile, I like it God bless u.
i guess it's pretty off topic but do anybody know of a good website to watch newly released tv shows online?
@Wells Benedict Flixportal =)
@Harvey Declan Thanks, signed up and it seems to work :D I appreciate it !!
@Wells Benedict glad I could help :)
Alhmdulilah naashkuru ww tuu rabana Allah pekee yako hishindwiii una nguvuuu 🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤐😥😰💔
mabaya niliyo fanyiwa silipiza lakini nashukuru, nimechimbwa chinichini but yote yamekwenda pombo mungu ameniaouni
Ukijiona wewe king yupo alokuzidia very song
jamani ndg zang me nataka niwashauli kitu....hapa duniani kuna dua kama3 au2 hazina kipingamizi mbele ya allah' kwa mtu aliezulumiwa .....kama kuna mtu umeshawahi kumzulumu na bd yuko hai nenda ukamuombe radhi ili mridhianeee.....
Ismail Mjeshi nikweli kbs ila watu tunadhalau ila ukweli ndio uwo
Sabah salum mungu akuweke umrii mrefu mama 18/06/2020
aaaaaa alihamdu lilah ndizo nashukulu mabaya unayinifanyia silipili....uchaw si sifa yangu namuamin mola wangu ndiye atatinusulu..........nice
🙏🙏🙏🙏💌💌💌💌., From Norway ♥️.
Alhamdulilah zangu ndizo zinazokudhuru
I love this song ❤❤❤
2024🔥
Malipo ni hapa duniani akhera ni hesabu
Nikisikiliza nalia huu wimbo shikamoo sabaha salumu
Sana
Wimbo mzuri una mafundisho
Asanteni Sana kwa kuitendea haki sekta hiii,,,, wasasa wanatupigia makelele
Shkamo wote ! Asante bibi Sabah Salum ! Nyimbo lako na sauti, safi saana!!!😘 Endelea tu!!
Maa sha Allah Sabah you are the best
Alhamdullilah mungu utabaki ukiitwa mungu hakuna wakukushusha alhamdullilah
2021🔥🔥🔥tujuane
Wimbo wangu wa muda wote huu
sauti nyororo mashallah sabah salum
ya cjui hata nisemaje naipenda sn sn hii nyimbo tena hl neno Alhamdulilah zng ndizo zinazokuzuru we acha kabisa nikiwa namke wng kipenz aziza malinda cc team sabaha Aaaaa love kwako
Walai mola ananilipia.....Asante bmkubwa sabaha
Mungu hulipa kwa kile unachokitenda, uko mama hongera sana.
Ufisaaad na dhuluma asante mama huna mpinzani kwa kweli.
Iyoo fimbo ya mungu yakushikisha adabhu
Nakupenda:;.Tu ♥️♥️♥️💌.,. Thanks 🙏🙏🙏.,Mwenamke.,Kama wewe..🙏🙏🙏🙏💌😇.
Alhamdulilah zangu ndixo zinazokudhur.asante sabbah
woow mama sauti mashaallah maneno kuntu 😍😍
Yasalaaaaam wallah ukwl kabisa ww somo yngu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣❤❤❤❤💯👌 mungu kiboko yakooo mola cyo dhalim maishaa Hakim hapendi ukatil
Saf dada
Love this song it wonderful mwaaaa
Sina rangi ya kunguru..uchawi si sifa yangu naongopa kukufuru
Talent don't lie Sabaha hakosei bwana
mwana dada mashallah your the best lady in taarab music one day l will call you to sing for me inshaalla in nairobi,
p
Hii nyimbo naipenda sichok kuisikiliza
Sikuzote mungu atabaki kuwa mungu
Usitafute mchaw kwahayo yalokusib👌
Iddi Rashid pambe tyuu
Alhamdulillah zangu ndizo zinazokudhuru
Hn
Habari ndio hiyo ,kama hamja jua jueni sasa👌
pambeeee 2019 👌
Jaman
Is one of amongst songs which i love most."""""" Fimbo ya mungu"""""
aisee ananikosha 😇
Jamanii
Hujarogwa mlimwengu ,hvyo usitafute sababu
ahsante sana mrs sabah hakika nyimbo zako zinanitia furaha kweli me also iam from zanzibar many thank's kwa ukweli munge hachezewi
Bonge la song penda sana
mabuyamugu nikeli ounaiba
manenu mazuri sana kusilikiza keli ounafurahi merci
mashallah mwana dada upo vizur
Napenda sauti zenu viumbe inanitoa rooho
❤
Alhamdulillah zangu ndio yakudhuruuu.
Maneno ni sweety sabah verry beautiful woman my dear hiyo ni fimbo ta mungu yakushikisha adabu thank bibi sabah
Dada huna mpinzani uko juu hadi leo 2020
Maashallah
Mashallah alhamndullillah Allah akujazie
Uchawi sio sifa yangu naiepuka kufuru
😚😚penda sana hii nyimb
Dada upo juu kiukweli nyimbo zako zote nzuri
I Love this song very much.sina rangi ya kunguru.
Shedo halima ilove song of Solomon
Alhamndulilahi zangu ndizo zinazo kudhuru
Se esta senhora estivesse em Mocambique eu casaria com ela. Gosto muito dela
Not far from Tanzania bro😅😅 you can still do it 🎉🎉🎉😂😂
Mashaallah
Asomtu ana Mungu wala habaki pekee yake
Kweli kabisa
Hakika mungu kawapa sauti nzuri na nyororo
Nakupendajeee bi sabah
mungu akuzidishie maisha mama
j'aime bien cette chanson;
Tu es comorienne
Hainiishiham jaman
If you are going thru some bullshit; usijali *hiyo ni fimbo ya mungu yakushindisha adabu* Inshallah
Hahahahah lol

Weekend mood