#LIVE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ต.ค. 2024
  • #islaamic #drsulle #tanzania #live

ความคิดเห็น • 259

  • @lilhydon452
    @lilhydon452 4 หลายเดือนก่อน +7

    Sule anaandliwa kuwa mahubili wa neno la Mungu..ningeomba Mungu kabla ya Mimi kufa nimuone Sule akihubili neno lako katika Roho na kweli Amina

  • @HassanAli-wq7rn
    @HassanAli-wq7rn 4 หลายเดือนก่อน +12

    Allah ana SEMA ewe doctor sule(kulikuwa Kuna vijana wa kibinadamu wakitafuta ulinzi kwa vijana wa kijini waliwazidishia kupotea)

    • @eiddykenga5816
      @eiddykenga5816 4 หลายเดือนก่อน +1

      Umeelezewa kuna sura ya 72..imezungumzia kuhusu majini...wapo wabaya na wazurii...wazurii niwaliosilimu..na waislamu woote nimatundu kwa Imani..so siokuwaabudu majini ila kuwajua kama ndugu ..kwani mwanadamu ndio mtawala wakila kiumbe ...

    • @SaidKaros
      @SaidKaros 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@eiddykenga5816 shehk unappealing kweupe na Kam na ww ndo wale wale mnaotumia Majin Sina kauli

    • @eiddykenga5816
      @eiddykenga5816 4 หลายเดือนก่อน

      @@SaidKaros mukiwa mbele zawatu munajifanya watakatifu..wakati nyumbani munaishi nao kwakuwaamrisha madhara..Dr sulle kaeleza ilmu alionayo juu ya majini..ww njoo pia utupe ilmu yako yatokupinga ila kwa maandiko
      ..usiwe kama mkristo..hapa tunamsoma kwa waliombele zetu kiilmu..so ww kama unayo tupe acha mdomo..ama ndio nyinyi wale vibaraka wawazungu miongoni mwawaislamu wanaosema yesu ni bwana

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mwanasayansi wangu uyo dokta sure..profesa uyo ... mashalah

  • @dullahdullah2344
    @dullahdullah2344 4 หลายเดือนก่อน +9

    Mimi sikubaliani na hayo maneno yake cz sisi waisilam tumefunzwa majini wema kazi yao ni kufanya ibada tu sio kumtumikia mwanadam dr kwakweli umeikosea sana dini ya uislam 😢😢😢😢

    • @fundimagari5825
      @fundimagari5825 4 หลายเดือนก่อน

      Lete ushahidi wa aya au hadithi....kama ulimsikia sheikh anasema maneno hayo uwenda alikupanga tu

    • @eiddykenga5816
      @eiddykenga5816 4 หลายเดือนก่อน

      Ww na majini ninani anatawala ulimwengu...na anatawala nianaetumisha anao watawala..sema hutaki kusoma

  • @ramazaniboggard8813
    @ramazaniboggard8813 4 หลายเดือนก่อน +12

    Kwa kweli anapotosha umma ,wew sio nabii Suleiman !

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul 4 หลายเดือนก่อน

      Kila mtume alipewa uwezo wake. Sisi mengine sio yetu, mfano nabii musa fimbo yake ilikuwa inabadilika kuwa nyoka sisi hayatuhusu. Kutegemea na kutumia majini kwa manufaa yako ni dhambi, qur'an ipo wazi inakataa, mashekh wetu wanachafua hali ya hewa, sasa wakristo wanatushambulia bila kusoma muuongozo wa uislamu,
      Al Quran: Al-An'am/6:100
      ---
      وَجَعَلُوا لِلَّهِ شُرَكَاءَ الْجِنَّ وَخَلَقَهُمْ ۖ وَخَرَقُوا لَهُ بَنِينَ وَبَنَاتٍ بِغَيْرِ عِلْمٍ ۚ سُبْحَانَهُ وَتَعَالَىٰ عَمَّا يَصِفُونَ
      Translations:
      ---
      Bado wamemfanyia Mwenyezi Mungu majini kuwa washirika wake, na hali Yeye ndiye aliye waumba. Na wakamzulia, bila ya ujuzi wowote, kuwa ana wana wa kiume na wa kike. Subhanahu, Ametakasika na ametukuka juu ya hayo wanayo mbandikiza nayo!
      -- Ali Muhsin Al-Barwani
      ---
      Al Quran: Al-An'am/6:128
      ---
      وَيَوْمَ يَحْشُرُهُمْ جَمِيعًا يَا مَعْشَرَ الْجِنِّ قَدِ اسْتَكْثَرْتُم مِّنَ الْإِنسِ ۖ وَقَالَ أَوْلِيَاؤُهُم مِّنَ الْإِنسِ رَبَّنَا اسْتَمْتَعَ بَعْضُنَا بِبَعْضٍ وَبَلَغْنَا أَجَلَنَا الَّذِي أَجَّلْتَ لَنَا ۚ قَالَ النَّارُ مَثْوَاكُمْ خَالِدِينَ فِيهَا إِلَّا مَا شَاءَ اللَّهُ ۗ إِنَّ رَبَّكَ حَكِيمٌ عَلِيمٌ
      Translations:
      ---
      Na ile Siku atapo wakusanya wote awaambie: Enyi makundi ya majini! Hakika nyinyi mmechukua wafuasi wengi katika wanaadamu. Na marafiki zao katika wanaadamu waseme: Mola Mlezi wetu! Tulinufaishana sisi na wao. Na tumefikia ukomo wetu ulio tuwekea. Basi Mwenyezi Mungu atasema: Moto ndio makaazi yenu, mtadumu humo, ila apendavyo Mwenyezi Mungu. Hakika Mola wako Mlezi ni Mwenye hikima, na Mwenye kujua.
      -- Ali Muhsin Al-Barwani

    • @fundimagari5825
      @fundimagari5825 4 หลายเดือนก่อน +3

      Qur an inasema kama kuna jambo geni kwenu alipo katika qur an ...waulizeni waliotangulia kabla yenu katika wale waliopewa kitabu kabla yenu...

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 4 หลายเดือนก่อน

      hapotoshi ndo hivyo

    • @sleyumngolo
      @sleyumngolo 4 หลายเดือนก่อน

      Heh kama hujaelewa na apo hem nenda katufute dawa zako umeze kwanza

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul 4 หลายเดือนก่อน

      @sleyumngolo daah mnapotoshana sana. Qur'an inakataza kushirikiana na majini eidha kwa manufaa, ili kh'ari unashirikiana nayo.
      Al Quran: Al-An'am/6:128
      ---
      وَيَوْمَ يَحْشُرُهُمْ جَمِيعًا يَا مَعْشَرَ الْجِنِّ قَدِ اسْتَكْثَرْتُم مِّنَ الْإِنسِ ۖ وَقَالَ أَوْلِيَاؤُهُم مِّنَ الْإِنسِ رَبَّنَا اسْتَمْتَعَ بَعْضُنَا بِبَعْضٍ وَبَلَغْنَا أَجَلَنَا الَّذِي أَجَّلْتَ لَنَا ۚ قَالَ النَّارُ مَثْوَاكُمْ خَالِدِينَ فِيهَا إِلَّا مَا شَاءَ اللَّهُ ۗ إِنَّ رَبَّكَ حَكِيمٌ عَلِيمٌ
      Translations:
      ---
      Na ile Siku atapo wakusanya wote awaambie: Enyi makundi ya majini! Hakika nyinyi mmechukua wafuasi wengi katika wanaadamu. Na marafiki zao katika wanaadamu waseme: Mola Mlezi wetu! Tulinufaishana sisi na wao. Na tumefikia ukomo wetu ulio tuwekea. Basi Mwenyezi Mungu atasema: Moto ndio makaazi yenu, mtadumu humo, ila apendavyo Mwenyezi Mungu. Hakika Mola wako Mlezi ni Mwenye hikima, na Mwenye kujua.
      -- Ali Muhsin Al-Barwani.

  • @josephwainaina6442
    @josephwainaina6442 3 หลายเดือนก่อน

    Nasikiza Dr sure sababu huongea peupe naanapenda kuku Bali akiwa na dacha hakuna jaziba wanapendana atakama wako na Imani tofauti this guy is human

  • @jabirkasunzu6841
    @jabirkasunzu6841 4 หลายเดือนก่อน +6

    Yeyote hadi wewe Dr. Sulle, naomba utafute mawaidha ya Sheikh Nassoro Abdallah Bachu Mungu amrehemu, mada “Kuipa Dunia Mgongo”, sehemu ya 1 hadi ya 4, inshaallah, Allah s.w. ataongeza elimu kwetu waislamu.

  • @fidel7im
    @fidel7im 4 หลายเดือนก่อน +7

    Mtume Muhammad s.a.w anatuambia tujitahadhirishe na viburi vya aina tatu,
    1. Kiburi cha Mali
    2.Kiburi cha madaraka na
    3. Kiburi cha Elimu.
    Nabii suleiman aliomba utajiri na mamlaka yote na Allah s.w. Kisha Allah s.w akampa atakavyo yeye. Hakuomba utajiri kwa majini .
    Wala hakuwafundisha watu elimu za kichawi wala kutengeneza pete bali ni majini ndo waliwafundisha watu, kama Allah anavyo mtetea nabii suleiman katika suratul baqara.
    Mashekh wawe makini wanabeba dhima kubwa kwa Chao Kiburi cha ilmu

  • @shabanizayumba5432
    @shabanizayumba5432 4 หลายเดือนก่อน

    Dr sule mungu azidi kukuongoza vema katika dunia hii uzidi kutuelimisha.

  • @HassanAli-wq7rn
    @HassanAli-wq7rn 4 หลายเดือนก่อน +7

    Doctor sule Allah akuongoze lakini doctor unapoteza umma wa kiislamu tubia nanrudi nyuma na maneno

  • @xenioribra3765
    @xenioribra3765 4 หลายเดือนก่อน +5

    Mungu akupe maisha maref....wabongo vichwa panzi........ Mungu ni waajabu

    • @warshysaid8564
      @warshysaid8564 4 หลายเดือนก่อน

      Wakwanza ww

    • @NaseMangala
      @NaseMangala 4 หลายเดือนก่อน +1

      Ni kwl wabongo hawajielewi

    • @joycedimoso8648
      @joycedimoso8648 4 หลายเดือนก่อน

      Wewe mkenya?

  • @AbdalahMussa-xo6fh
    @AbdalahMussa-xo6fh 4 หลายเดือนก่อน +14

    DOCTOR MIMI NAKUELEWA SANA

  • @khamissiasa-s7f
    @khamissiasa-s7f 3 หลายเดือนก่อน

    yan mm shekh nakukubali sana japo kuwa wengine wanakupinga wasiekuwa na elimu haoo

  • @hananabeid5962
    @hananabeid5962 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo shekh ana hitaji pesa ndo asisitiza Jambo hili Nakuombea Allah akuogoze insha'Allah

    • @amisafaraji5796
      @amisafaraji5796 4 หลายเดือนก่อน +1

      Allahumma aamin 🤲

  • @ShukriGufu-ec3gk
    @ShukriGufu-ec3gk 4 หลายเดือนก่อน +3

    Shekhe kutwist maneno ya mwenyezi Mungu ina adhabu kali sana

    • @eiddykenga5816
      @eiddykenga5816 4 หลายเดือนก่อน

      Tufunze katwist wapi

  • @joventjohansenmushwaimi1988
    @joventjohansenmushwaimi1988 4 หลายเดือนก่อน +1

    Naaam Dr Sule uko sahihi kabisaaaa watu wengi hawakuelewi ,na hapo ninachokiona hapa watu wanamshambulia Kwa sababu kasema ukweli ambao walio wengi hawakutaka usikike wakati wao wanatumia

  • @robertgeofrey4118
    @robertgeofrey4118 4 หลายเดือนก่อน +1

    Yohana 14:
    6 Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.

  • @HabibuUrasa
    @HabibuUrasa 4 หลายเดือนก่อน +3

    Hafai kushirikiana na majini kwa lolote hamsomi Qur'an siku ya kiama ALLAH atawauliza majini Kwanini mliwapoteza wanaadamu watasema tulikuwa tukijinufaisha ss kwa ss hasara ya kutumia majini

  • @qurankareem582
    @qurankareem582 4 หลายเดือนก่อน +2

    Dr. Sule nakuelewa ila inataka ubongo mkubwa kukuelewa....❤

    • @robertgeofrey4118
      @robertgeofrey4118 4 หลายเดือนก่อน

      Yohana 14
      6 Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.

  • @ashrafumbawala
    @ashrafumbawala 4 หลายเดือนก่อน +4

    Doctor sulle, watanzania wengi akili zao n finyu sana, kuwaelewesha n kazi sana....

    • @warshysaid8564
      @warshysaid8564 4 หลายเดือนก่อน

      Ww umeelewa nn

    • @NahimanaMwamini
      @NahimanaMwamini 4 หลายเดือนก่อน

      Kitu kisicho eleweka ninini?

    • @joycedimoso8648
      @joycedimoso8648 4 หลายเดือนก่อน

      Mungu Gani anasema watu wategemee Majin badala yakumtegemea yeye?

  • @zenaahmedi8857
    @zenaahmedi8857 4 หลายเดือนก่อน +3

    Dr Sule nakuelewa pia wew sio mshirikina

  • @salmaabdu5011
    @salmaabdu5011 4 หลายเดือนก่อน

    SubhanaAllah huyu si shekhe jamani waislam tuwe makini hii ni duniya ya mwisho tuloambiwa

  • @Nily-kz3db
    @Nily-kz3db 4 หลายเดือนก่อน +1

    Dr Sule Hpa Umekosea Rud kw Allah,Ww Cio Nabii,Waka Huna upeo wakujua ,Mdudu chungu Anaongea nn,Na huna ufalme b Na bii Sule Iman alkua mfalme, Na Allah Amesema tuje Kumuabudu ,kw nn Tuwategemee Majin,tucmtegemee Allah,

    • @NADUAonlineTV
      @NADUAonlineTV 4 หลายเดือนก่อน

      Ukimtuma mtu ujamtegemea mungu au sababu jini soma elimu bahari

  • @AwamuAmry-jq9fq
    @AwamuAmry-jq9fq 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu anakuona unay fanya

  • @NiyonkuruAdamu-e4q
    @NiyonkuruAdamu-e4q 4 หลายเดือนก่อน

    Sahihi dr wace waseme naroho zawo zinadjuwa

  • @akilimali8726
    @akilimali8726 4 หลายเดือนก่อน +1

    Dr ukweli unadanganya unaposema simu ya touch ina mguso wa majini, inaonekana huna uelewa wa teknolojia ya mawasiliano kabisa. Unatafuta kudanganya watu ila hii dunia hapa ilipofikia uwezo wa kudanganya watu ni shida.

  • @KabebeMazambi-o6b
    @KabebeMazambi-o6b 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mswaili anajiona mwenye eliimu kuliko wote duniani 😂😂😂😂 hataki kukosolewa, sule acha ushirikina kijana utakufa vibaya. Acha inshallah. Acha kutumiya majini hawo si kama sisi, Allah yupo mtegemee yeye tu

    • @robertgeofrey4118
      @robertgeofrey4118 4 หลายเดือนก่อน

      Yohana 14
      6 Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.

  • @abdallahkimbute1255
    @abdallahkimbute1255 4 หลายเดือนก่อน +1

    Minara ndo inatumia signals za kila mtu kusafirisha mawimb ya saut, kutok mnar m1 mpk mwingine, mnara mmoja una cover 50km, so ikidakaa sautu yako inatuma 50km mbele kweny mnara mwengine hivo hivo mpk saut yako inafika geita, sio kwel kwamb electronics ni shirk, mbon chaj ikiisha hamn saut inayoenda

    • @joramdymisster
      @joramdymisster 4 หลายเดือนก่อน

      Technology imejificha hapo kwenye hilo la mawimbi ya sauti kuhama kutoka kwenye kifaa hadi mnara kwa mnara bila waya na kwa haraka zaidi....si tetei kuhusu mada ya majin hapo juu ila technology inasiri nzito.

  • @Abdulrahmanhassan18
    @Abdulrahmanhassan18 4 หลายเดือนก่อน +1

    Alafu zile interview unazohojiwa na channel zingine muwe mnaziweka na hapa kama zilivyo bila kukata kipande maana wakati mwingine naweza kuona interview ya Dr sule kwenye Channel nyingine nikija hapa siipata au nikiipata itakuwa imekatwa katwa ahsanteni.

  • @bakarimuhammed-wl8uz
    @bakarimuhammed-wl8uz 4 หลายเดือนก่อน +3

    Doctar sule uko sahihi hawa mashehe wengine ni wakupandikizwa na wazungu wasikuumize kichwa.

    • @joezeno8
      @joezeno8 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @ShukriGufu-ec3gk
      @ShukriGufu-ec3gk 4 หลายเดือนก่อน

      Suleimani kasema yoyote asipewe baada yangu

    • @KabebeMazambi-o6b
      @KabebeMazambi-o6b 4 หลายเดือนก่อน

      Huyu atakuwa jini anamtetea babayake. Niushirikina uwo, yeye sio suleiman. Na ww jini wa sule acha ujuwaji

  • @rashidmasunzu9998
    @rashidmasunzu9998 4 หลายเดือนก่อน +1

    ,DR SULE tutaaminije kua pete imerudishwa na majini una wahyi wewe??? au uliwaona?? mche allah
    majini wameumbwa kwa ajili ya ibada si kututumikia ewe sule mche allah

  • @michaeljoseph3118
    @michaeljoseph3118 4 หลายเดือนก่อน +2

    Toa Uchawi Wako ,Wewe Unapotosha Watu ,Unatangaza Majini Kuliko Mungu

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 4 หลายเดือนก่อน

      hahaha Ndo ukweli huo siri haipo tena

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 4 หลายเดือนก่อน

      waislamu sio wapumbavu wewe​@@trophywilson7211

    • @eiddykenga5816
      @eiddykenga5816 4 หลายเดือนก่อน +1

      Toka alipokutangazia Mungu..umegeuka sibadi unaabudu misalaba

  • @issaswai1694
    @issaswai1694 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kasome waves and vibrations japo kidogo upate ABCs za wireless communications. Acha ushamba kwenye Dunia ya leo kuwadanganya watu bila majini hakuna ICT. Huna mtoto wa form six akupige pindi la physics? Shekh unafanya waislam tuonekane mambulula.

    • @adamhashim3352
      @adamhashim3352 4 หลายเดือนก่อน

      Tumia internet bure tukuone ulivosoma ICT vitu vyote we si umeletewa na wazungu na hayo maelezo umeyatoa kwao. Unaaminije unachoelezwa km ndo uhalisia

  • @yunuskhams7216
    @yunuskhams7216 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa kwa maswal hayo si ndio mzunguko wa maisha utatokaje katika maswal hayo au ww mwenyewe kati hayo ww huna ata moja

  • @Abdulrahmanhassan18
    @Abdulrahmanhassan18 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kipo kisa Cha swahaba mmoja mkubwa aliuwandikia barua mto naira ( river ) ili utoe maji , huwo mto nikama maji yalikauka au maji yalikuwa machafu basi huyo swahaba aliandika barua Kisha hiyo barua ikatupwa kwenye huwo mto na baada ya muda mto ukatoa maji safi kwa ajili ya kunywa na matumizi mengine, simkumbuki vizuri hicho kisa.

  • @emanuelanderson4483
    @emanuelanderson4483 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hahahaaa jini linakula ganja...jini lingine teja..
    Shikamoo docta

    • @robertgeofrey4118
      @robertgeofrey4118 4 หลายเดือนก่อน

      Yohana 14
      6 Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.

  • @AdawaTV
    @AdawaTV 4 หลายเดือนก่อน

    Sisi wale hatuna elimu tuna changanyikiwa sana ya rabbi ila tu tuna kuomba ya Allah utuelekeze sote amiin

    • @maalimjuma10
      @maalimjuma10 4 หลายเดือนก่อน

      dawa ni kusoma dini yako, usijubali kutapeliwa na Watu ambao hata kusoma Qur an hawajui

    • @robertgeofrey4118
      @robertgeofrey4118 4 หลายเดือนก่อน

      Yohana 14
      6 Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.

  • @AbuuZalmay
    @AbuuZalmay 4 หลายเดือนก่อน

    Kwaiy uyo Habib bin sumeit alikuwa noma sana 😀😀😀mbona hatar

  • @FatwimaZahrau
    @FatwimaZahrau 4 หลายเดือนก่อน +5

    Hilo SWAli mm nnalielewa yani sio kwamba watu wanayatumia majini
    SWAli lenyewe ni
    jee inafaa kuyatumia?
    Dr anaonesha kama hajalielewa

    • @Abdulrahmanhassan18
      @Abdulrahmanhassan18 4 หลายเดือนก่อน +1

      Hapo Kuna swali lingine je yule Habib alipotoa barua kwenda kwa majini Kisha thahabu ikarudishwa kitendo hicho ni uaramu?

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul 4 หลายเดือนก่อน

      Kutegemea na kutumia majini kwa manufaa yako ni dhambi, qur'an ipo wazi inakataa, mashekh wetu wanachafua hali ya hewa, sasa wakristo wanatushambulia bila kusoma muuongozo wa uislamu,
      Al Quran: Al-An'am/6:100
      ---
      وَجَعَلُوا لِلَّهِ شُرَكَاءَ الْجِنَّ وَخَلَقَهُمْ ۖ وَخَرَقُوا لَهُ بَنِينَ وَبَنَاتٍ بِغَيْرِ عِلْمٍ ۚ سُبْحَانَهُ وَتَعَالَىٰ عَمَّا يَصِفُونَ
      Translations:
      ---
      Bado wamemfanyia Mwenyezi Mungu majini kuwa washirika wake, na hali Yeye ndiye aliye waumba. Na wakamzulia, bila ya ujuzi wowote, kuwa ana wana wa kiume na wa kike. Subhanahu, Ametakasika na ametukuka juu ya hayo wanayo mbandikiza nayo!
      -- Ali Muhsin Al-Barwani
      ---
      Al Quran: Al-An'am/6:128
      ---
      وَيَوْمَ يَحْشُرُهُمْ جَمِيعًا يَا مَعْشَرَ الْجِنِّ قَدِ اسْتَكْثَرْتُم مِّنَ الْإِنسِ ۖ وَقَالَ أَوْلِيَاؤُهُم مِّنَ الْإِنسِ رَبَّنَا اسْتَمْتَعَ بَعْضُنَا بِبَعْضٍ وَبَلَغْنَا أَجَلَنَا الَّذِي أَجَّلْتَ لَنَا ۚ قَالَ النَّارُ مَثْوَاكُمْ خَالِدِينَ فِيهَا إِلَّا مَا شَاءَ اللَّهُ ۗ إِنَّ رَبَّكَ حَكِيمٌ عَلِيمٌ
      Translations:
      ---
      Na ile Siku atapo wakusanya wote awaambie: Enyi makundi ya majini! Hakika nyinyi mmechukua wafuasi wengi katika wanaadamu. Na marafiki zao katika wanaadamu waseme: Mola Mlezi wetu! Tulinufaishana sisi na wao. Na tumefikia ukomo wetu ulio tuwekea. Basi Mwenyezi Mungu atasema: Moto ndio makaazi yenu, mtadumu humo, ila apendavyo Mwenyezi Mungu. Hakika Mola wako Mlezi ni Mwenye hikima, na Mwenye kujua.
      -- Ali Muhsin Al-Barwani

    • @xenioribra3765
      @xenioribra3765 4 หลายเดือนก่อน

      ni vilevile hata majini wanawatumia binadam

    • @muddathirkassim2407
      @muddathirkassim2407 4 หลายเดือนก่อน

      Ameelewa lakin amelemewa kwasabab haiwezekani waislam wotee wanampinga yeye,kwaivo inamaana,waislam wotee hawana ILM niyeye tu,.....jib nirahisi yeye niawatumie hao majin ila ajue ni shirq....Eti ajitetea na nabii Suleiman,,alikuwa akiwamrisha majin...tambua yakuwa YULE NI NABII NA WEWE NI WEWE,,

    • @alnourlnnajah7723
      @alnourlnnajah7723 4 หลายเดือนก่อน

      Nilichosikia kasema inafaa ila ukiyatumia vibaya unapata zambi na ukiyatumia vzr haina shida na akatoa kisa cha Habib huko Zanzibar

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 4 หลายเดือนก่อน

    sema Kabisa Yesu anakusaidia Kufunuq maficho ila hujitambui tu

  • @ErickWankuru
    @ErickWankuru 4 หลายเดือนก่อน +1

    Jini ni jini tu hakuna jini mbaya wala mwema wote Hao ni mashetani

  • @HassanAli-wq7rn
    @HassanAli-wq7rn 4 หลายเดือนก่อน +1

    Subhana Allah doctor sule hakuna mamlaka ya mtu yeyote kumtumia majini kwa kitu chochote si katika Quran Wala Sunna unapotosha watu

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 4 หลายเดือนก่อน

      msikilize Vizuri Anatoa mpaka Aya ndugu yangu msimtoe kwenye msitari,na wazuri mnawatumia vizuri,na Mabaya mnayatumia Kwa maovu pia watu wale wale

    • @Annalisejg2ur
      @Annalisejg2ur 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@trophywilson7211aya gani aliyotoa

  • @zahorokasentisenti6761
    @zahorokasentisenti6761 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sule upo sahihiiiiiii watu wangu wanaangamia Kwa kukosa maalifa

    • @robertgeofrey4118
      @robertgeofrey4118 4 หลายเดือนก่อน

      Yohana 14
      6 Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.

  • @kijitamfyomi5598
    @kijitamfyomi5598 4 หลายเดือนก่อน

    Duh leo Dr Sule kamwaga madini sio mchezo
    Maana mie nilikua nampinga siku zote leo sina pakuanzia labda niwasubiri masheikh wengine watasemaje kuhusu haya anayoongea dr sule

  • @ummulhussein
    @ummulhussein 4 หลายเดือนก่อน

    salam aylkm all muslims haifai kuamini mambo za jinn ...niukwl walibwa jin... nacc binadamu faida yake nn wapta khasara thuma wallahi wangapi walikua wamini nunua kufugaa jin... kisha wanabeba watu wote kwa nyumba kumaliza watolewa duniani 😭😭😭🔥👀💔😰🙌🙏wallah masuliya yoim mahashar cku ya hisabu ...utamuangalia vp mola uso wako waweza kwl atauliza utajibu nn uliuwa famly ati kma wataka mali subhana allah

    • @ummulhussein
      @ummulhussein 4 หลายเดือนก่อน

      waliumbwa wao na cc binadam

  • @abdullahiahmed7981
    @abdullahiahmed7981 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sheikh gani huyo tapeli tu wa kawaida

  • @azizaramdan5879
    @azizaramdan5879 4 หลายเดือนก่อน

    Wewe dokta majini wapo wazuri na wabaya lakini sisi wanadam hatuna uwezo wa kufaham wazuri na wabaya hiyo ilikuwa kwa nabii seleman na wangine

  • @petermutuku1289
    @petermutuku1289 4 หลายเดือนก่อน

    Naona mashehe kuna kitu wanakifisha nyuma ya pasia, lakini Dr. Sule amefanya kazi zuri ya kusema ukweli.

  • @ShabaniAbdi-bn1gz
    @ShabaniAbdi-bn1gz 4 หลายเดือนก่อน +1

    Shekhe piga kazi sasa uislamu una pigwa na waislamu wenyewe na sasa wana tumiwa na makafiri sisi tunalijua hilo muda

  • @abdullahiahmed7981
    @abdullahiahmed7981 4 หลายเดือนก่อน

    Unaongeya sana tunataka aya kupitiya Quran kwamba inasema utumiye jini mzuri kwa uzuri wake

  • @nchimbuke7261
    @nchimbuke7261 4 หลายเดือนก่อน

    NAFSI MALI NA HAPA ITAKUA NJAA IMEHAMIA KICHWANI SIKU ZOTE NJAA KWAKE TUMBONI SHEIKH ALLAH AKUONGOZE

  • @rashidjuma9774
    @rashidjuma9774 4 หลายเดือนก่อน +1

    Haja toa haya hata moja katika Quran au hadith inayo thibitisha kuwa kutumia majini kwa njia halali imeruhusiwa

    • @mussamtupa
      @mussamtupa 4 หลายเดือนก่อน

      واهوشيرا ليسولايمانا جونودوهو.

  • @HamisiMwalimu-pp9ci
    @HamisiMwalimu-pp9ci 4 หลายเดือนก่อน

    Docta sule weye unachokijua ni nyuki na hao nyuki pia huwajui hata iyo sayansi elimu huna docta sule

  • @jumu1964
    @jumu1964 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sule muogope allah usipotoshe watu unapenda pesa kupita kiasi

    • @mahfudhhamisi6504
      @mahfudhhamisi6504 4 หลายเดือนก่อน

      Kwani ww hupendi pesa

    • @ShukriGufu-ec3gk
      @ShukriGufu-ec3gk 4 หลายเดือนก่อน

      Usiwai bebewa akili hii ushirikina tupu

  • @adamhashim3352
    @adamhashim3352 4 หลายเดือนก่อน

    Mimi bado natafuta elimu juu ya hili sahv sina upande wowote elimu ni pana hasa ya ghaibu na kuna vitu utabisha km hujawahi kukutana navyo. Kikubwa hii mada mashekh wazid kuifafanua

  • @KhalfanMakota
    @KhalfanMakota 4 หลายเดือนก่อน

    Uyu mwehu sana muislam haping uwepo wa majin......muislam tunapinga jini mwema au mbaya kumtumikisha

  • @ummulhussein
    @ummulhussein 4 หลายเดือนก่อน

    nabi suleman yy tuu alijua badaa kufa kile kitaab bada chukuliwa na mola akitaka jin... kawa aenda akifuata pepar moja kma chapter ...dunia hali hini ss watu waharibiwa dhulma mtu apewa jin ...akufeee jee ile book mzima ingekuwa duniani cc sote tungefanywa mchanga imagine one pepar tuu katupwa chni kwa ardhinnni jin kaona complet book watuu wako hvi😢😢 haram haofai weka jin dhambi

  • @husseinshehuna68
    @husseinshehuna68 4 หลายเดือนก่อน +1

    اتق الله يا أخي
    Muogope Allah ndugu yangu...Ww ni mtupu katika Tawhiid...Kaa usome uijuwe tawhid kisha ndipo itakubainikia shirk...
    Kwasasa unaongea bila ya elimu...Nani Aliyekutangulia ww aliyeelewa huo uelewa wako katika wema waliotangulia...
    Hatuwezi kutegemea pete wala kuyatumikisha majini...Hilo litatupeleka katika upotevu...
    والله المستعان

  • @tahirnephessalum3678
    @tahirnephessalum3678 4 หลายเดือนก่อน

    Dr sulle acha uongo Hakuna binadamu anawexa kumjua jini mzuri/Mwema.

    • @odilomwemeziernest646
      @odilomwemeziernest646 4 หลายเดือนก่อน

      Si kitabu chenu kinasema hivyo?lakini pia mnaabudu nayo ktk ibada na kushiriki nayo katika shughuli mbalimbali?kwa hiyo ni ndugu zenu ktka imani mnajuana vizuri sana,nilisoma kitabu kimoja kiliandikwa na shehe mwanazuoni mkubwa kutoka Kenya kinaitwa ulimwengu wa majini na vituko vyake kimeeleza mnavyoshirikiana nao .mbebe vitu vyenu ndo unaona mashehe wote wasomi wamekaa kimya.ulishamuona prof.mazinge mtaalamu wa Qur'an anabisha?lakini angalia Hamza alivoleta kuchanga uisilamu na ukristo walivyomkalia kikao mashehe wasomi kukanusha,mkojan alipoigiza fatwa a akakosea kidogo aliitwa mpaka kwa mfiti.mpaka sahizi wanaojitokeza ni Mwaipopo alitoka kwenye ukristo kaidandia gari kwambele hajui undani wa dini yenu,shafii kwa kuwa yeye kajifunzia mitaani wala hana ilimu yoyote kuhusu Qur'an. Wote hao sule anawazidi ilimu ya kitabu ukimuondoa mazinge maana kasoma vyuo sita vikubwa vinavyoaminiwa na waisilamu ulimwengun.ndivyo kilivyo kitabu chenu kinafundisha uchawi na vimo kwa hiyo ni maazi unaweza kuwa mganga ni kawaida kwenu poleni.

  • @AhmedMahoni
    @AhmedMahoni 4 หลายเดือนก่อน

    Jamani musokuwa na elimu munyamaze ,alha anasema sisi wanadamu ndio mahalifa sasa jiuze ww kama khalifa kwanini usitumikiwi na majini soma kwanza usiwe mpingaji tu

  • @rehemaomar4924
    @rehemaomar4924 4 หลายเดือนก่อน

    NIMEKUELEWA DOC

  • @MaGhmar
    @MaGhmar 4 หลายเดือนก่อน

    Shehe 1000 sio noti kubwa ya komoro

    • @MaGhmar
      @MaGhmar 4 หลายเดือนก่อน

      Umepitiwa kidg

  • @RamadhanAlly-qg9hq
    @RamadhanAlly-qg9hq 4 หลายเดือนก่อน

    Jaman me nakuamin dokta suke ingekuwa Kama halam Suleiman asingewamiliki nabiibw mungu

  • @Saidfadhil-o3o
    @Saidfadhil-o3o 4 หลายเดือนก่อน

    Kasema kweli Dk sule

  • @rahmaomar9137
    @rahmaomar9137 4 หลายเดือนก่อน

    Wacheni malumbano mashehe enezeni deni ya allah, haya malumbano ya kila siku tujifunze nini kwenu. Nyinyi ndio kioo lkn mnakiwa waovyo rudini kwa muumba wenu ndio mbora wa watu wote hakuna mbora mbele yake

  • @bashiruamri2167
    @bashiruamri2167 4 หลายเดือนก่อน

    DR Sule bahati mbaya unatoa Elimu kubwa kwa watu wenye elimu Duni na wasio kuwa na Elimu kwa sababu matilio unazo towa niwachache kama sisi waoweza kuzielewa

  • @saidiathuman-og6bc
    @saidiathuman-og6bc 4 หลายเดือนก่อน

    Alooo wew sule na elimu yako kweli umekosea saaaana

  • @peterroge2448
    @peterroge2448 4 หลายเดือนก่อน

    Ivi mestukia kila dr sulle akiulizwa swali ambalo linambana ananza kukohoa kwanza 😂😂😁😁😁😁😁😁

  • @stargalinya5135
    @stargalinya5135 4 หลายเดือนก่อน

    Jamani tusomeni sana

  • @dancanangwenyi224
    @dancanangwenyi224 4 หลายเดือนก่อน +5

    Unasema ukweli, lakini wengi akili ni ndogo,hawaelewi na hawataelewa😅

  • @RASHIDIMPOTO
    @RASHIDIMPOTO 4 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni shetani,,, lakini ipo siku utakuja kulipa..... Maana Leo hii wakujifananisha na Nabii suleiman?
    Kweli dunia ipo mwisho😢😢😢😢

  • @technicalgearboxenginebysc1360
    @technicalgearboxenginebysc1360 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu sio sheikh mpumbavu simu na sauti ni jini atuambie toka anafuga majini amevumbua kitu gani cha technology mchawi tu hamna sheikh hapo

    • @eiddykenga5816
      @eiddykenga5816 4 หลายเดือนก่อน

      Ww tuambie..ukiristo na ushetani kanisani nivipi..elezea sasa kama sule..usitoroke ukasema hamna mashetani kanisani..tuelezee munaishi nao vipi

  • @HamzaRenge-s7p
    @HamzaRenge-s7p 4 หลายเดือนก่อน

    Hata muingiya mpaka Allah atake

  • @Tabibuibrahimu
    @Tabibuibrahimu 4 หลายเดือนก่อน

    Inachotakiwa ni mdaharo WA Sule na Mashekh umma umegawanyika

  • @shabanihugo8332
    @shabanihugo8332 4 หลายเดือนก่อน +1

    Pumbavu stafatilia tena hii chanel

    • @hamisimkoma7380
      @hamisimkoma7380 4 หลายเดือนก่อน

      pumbavu mwenyewe,,sasa unaamua nn?

    • @shabanihugo8332
      @shabanihugo8332 4 หลายเดือนก่อน

      Kalia pesa za sule tu lakn moto unakuhus kama hutotumia,au utakuwa syo muislamu ndo maana unamuunga mkono ili muuchafuwe uislam

    • @shabanihugo8332
      @shabanihugo8332 4 หลายเดือนก่อน

      Pia ww ndo huna akili

    • @JumaaHassan-jp9qg
      @JumaaHassan-jp9qg 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@shabanihugo8332 wewe huna elimu

    • @mussamtupa
      @mussamtupa 4 หลายเดือนก่อน

      Kama Majini wange kua wabaya Madina usinge jengwa Msikiti ukaitwa Msjid ljinni.

  • @ummulhussein
    @ummulhussein 4 หลายเดือนก่อน

    mtuu hafkirii dhambi atauwa famly kwann wote waliwa nayy alionunua ajaa liwa faida yke nn kwann mtu asiamini mola tuu aone rizki kubwa ndogo akipta aseme alhmdulilah ujingaa kabisaa

  • @jamalkarissa7216
    @jamalkarissa7216 4 หลายเดือนก่อน

    Dr.sule umetufeli,kama unaeza amini pete inaeza kupa mali, hapo umepoteza.elimu uko nayo alhamdulillah lakini njia unaitumia elimu hiyo ndio makosa

  • @YusufSwaibu
    @YusufSwaibu 4 หลายเดือนก่อน

    Doctor watu wanajua madini yapo mm nadhani achana na maada za elimu yaajini hebu elimisha Islam ktk bibilia watu wengi unawachanganya naajini na Pete Mungu ametutenganisha na makini sasa unapo sema kuna wema na wabaya hiyo Kwa watu wengi watakushangaa unaonekana unaleta shilik acha maada hizi

  • @Rukaka_jr
    @Rukaka_jr 4 หลายเดือนก่อน +1

    Acha kujifananisha na manabii chaguo la Allah wewe ni sule, hakuna ushirikiano wa mwanadam na jini ukimtoa nabii suleiman, wewe ni MSHIRIKIN ni kwel majin wabaya na wazuri wapo ila kwa jicho lako wewe au macho yetu sisi hakuna anaeweza kujua jini jema na jini baya, huo ni USHIRIKINA

  • @AbdallahOmar-bp8ij
    @AbdallahOmar-bp8ij 4 หลายเดือนก่อน

    Ww huja wahii tapeli wajuwa Mungu ana mfanya mtu adhalilike hapo hapo.. Anafikiria kuongea

  • @rajabuthabiti4302
    @rajabuthabiti4302 4 หลายเดือนก่อน

    kweli elimu ndo shidaaa hpo

  • @sharifnassor4417
    @sharifnassor4417 4 หลายเดือนก่อน

    Kwanini docta sule anayatangaaza majini yaombwe wakati Allah anasema tumuombe yeye! Wewe unaomba jini hio nishirki,
    Muombe Allah tu

  • @msemakweli243
    @msemakweli243 4 หลายเดือนก่อน +1

    Waisilam hamtaki hila ukweli ndo uho uisilamu bila majini hakuna dini

    • @Putin331
      @Putin331 4 หลายเดือนก่อน

      Ntakufira nkuuwe kumaamako

    • @msemakweli243
      @msemakweli243 4 หลายเดือนก่อน

      @@Putin331 dini yenu inawaruhusu kufanya hivo njoo

  • @hamzaalliy8210
    @hamzaalliy8210 4 หลายเดือนก่อน

    Basi wote tuna majini because tuna otaa vitu vyote hivyo

  • @muhsinkimaro4283
    @muhsinkimaro4283 4 หลายเดือนก่อน

    Huo mfano wa shekh huko zanzibar anakupa uwezo gan wa kumtumia km ushahid ktk din

  • @suleymanmrutu9498
    @suleymanmrutu9498 4 หลายเดือนก่อน

    Watakuelewatu wape elimu

  • @MariamAbdalla-d3z
    @MariamAbdalla-d3z 4 หลายเดือนก่อน

    Ikiwa huajapata matatizo au mtihani wa majini wabaya kuumwa na kuhangaika mahospitalini mpaka kusomewa na bado mgonjwa kufa na kupuna pia hujui basi.mutapinga binadamu wote wa ulimwengu mzima.

  • @Muhidinimngazija
    @Muhidinimngazija 4 หลายเดือนก่อน

    Akhy wewe huna Aqida sahihi ya ahlu sunna waljamaa, hujui kwakweli, nibora usiendelee, maana unazidi kuanika upotofu kwa umma

  • @abuujihad8411
    @abuujihad8411 4 หลายเดือนก่อน

    Majini wote ni wabaya na kumuita jini lazima ufanye mkata na jini unaemuita kwahy hakuna kuita jin bila ya makubaliano

  • @ashrafumbawala
    @ashrafumbawala 4 หลายเดือนก่อน

    Sas watu hawaelew nn hapo?

  • @rashadally6871
    @rashadally6871 4 หลายเดือนก่อน

    Hivi elimu ya kiroho ni pana sana...na imefichwa haikufundishwa tangu zamani naniwachache wa naofahamu ndio maana wengi wao wapinga na kuto kuamini.....lakini elimu ipo.. chengine km mtume muhammad s.a.w ni kiongizi wetu na kigezo chetu pamoja na mafundisho au tufuate yale alio yafanya....km urisi mwema, na hapa tushaambiwa mtume alimcholea sahaba wake duara ili awalinganie majini ili wamche mungu aliinana nao na swahaba aliwaona vip museme majini hawaonekani mi makataa katakata....

    • @eiddykenga5816
      @eiddykenga5816 4 หลายเดือนก่อน

      Ww ushawahi waona majini

    • @rashadally6871
      @rashadally6871 4 หลายเดือนก่อน

      @@eiddykenga5816ndio nishawahi kumuona kaja kuu kwa sula ya bimaadamu baadae ndio nikatambikishwa na na mhusika wa eneo baada ya mm kupewa salamu kumfikisha, muhusika ndio akaniambia kuwa yule alikua jini

  • @ewaldchambua
    @ewaldchambua 4 หลายเดือนก่อน

    Sas kama waisilamu mnatumia majini kwa ajili ya kipato sisi wa kristo tunamtumia roho mtakatifu

  • @HamzaRenge-s7p
    @HamzaRenge-s7p 4 หลายเดือนก่อน

    Mashekh inatakiwa wamfanyiye fikra huyu bwana maanake anavyo pigiya debe utajiri ni kama anakemeya ike habari ya Allah alosema maskini ataingiya peponi miaka mia tano kabla tajiri

  • @habibiddy8096
    @habibiddy8096 4 หลายเดือนก่อน

    Hakika ya elimu ni ile yenye kumfaa yule aisomae imkurubishe kwa ALLAH ﷻsio ile itakayomuweka mbali na ALLAH ﷻ..........Tizama jinsi unavyodharirika kuonyesha kuwa ni mtu wa nadharia usiyejua vitu "Uhusiano wa mawimbi kusafirishwa kutoka sehemu moja kwenda kwengine na kuhusika kwa majini wapi na wapi?" Muongo KADHAAB wewe! ELIMU YA DINI HUNA hata ELIMU YA MAZINGIRA PIA HUNA??? Na kujitunuku udokta kwa nukta hizo unazoongea mbona haviendani?
    Nishawahi kuambiwa kuwa HAJIINGIZI KATIKA USHIRIKINA ILA YULE ALIYE MJINGA na hapa ujinga wako unaonekana!!
    Sule ni kadhaab Sule ni Muongo Sule ni Mshirikina

  • @salimabdul4424
    @salimabdul4424 4 หลายเดือนก่อน

    Majini wameumbwa kama watumishi wetu .daa.hapohapo unasema majini wameumbwa kabla yetu.

  • @salumhamed5074
    @salumhamed5074 4 หลายเดือนก่อน

    Wewe unaleta uzushi mbaya

  • @juvenalymwanalyela202
    @juvenalymwanalyela202 4 หลายเดือนก่อน

    Allahnishitwani namajini ndio malaika zake

    • @hassanmitayo1875
      @hassanmitayo1875 4 หลายเดือนก่อน

      Ukikua utaacha,na hasa ukikutana na misukosuko ya dunia

  • @rahmasalum1317
    @rahmasalum1317 4 หลายเดือนก่อน

    Kivyovyote haifai kuwatumia majini kwa njia yyte hio ni shirki

  • @salumhamed5074
    @salumhamed5074 4 หลายเดือนก่อน

    Wanzako wakupinga

  • @ewaldchambua
    @ewaldchambua 4 หลายเดือนก่อน

    Hata ukikagua bibilia nzima hutaona hata nukta moja imeandikwa habar ya jin wakirsto hawajui jini wào wanajua roho mtakatifu na roho mchafutu bas