nilichokigundua ni kuwa Wasikilizaj weng wa kumi za Maangamizi watasema Wakiafrika kafunikwa ila Wakiafrika ni Bonge la Lyrical Technician.... salute kwake
+Mwika Abas yap yupo vzr Boshoo ila cyo kwa Credit wanazompa. ukimsikiliza Maarifa unaeza jiuliza hzo mistar anazitoa wap ana Technics za uandish... boshoo ana Shomboshombo 2 as u said ila anajua
Kwa moyo mkunjufu jamani mimi nasema huyu bishoo ni kwere duuuh.. Hongera sana kwake.. Pia ahsanteni sana PLANET BONGO KWA BURUDANI.. MWAKA WAISHA VIZURI ATII!!
wote ni hatari apo... simuoni wakukaa juu ya mwenzie apo... HAIITAJI KUMUWEKA MMOJA JUU YA MWENZIE WAKATI WOTE WAPO JUU... respect waki"afrika, respect boshoo
Kuna watu wanajidai ma mc lakn hakuna ktu.....salute kwko boshoo ninja,nchma the best, P the mc,wakiafrika,sele mental,Godzilla king,country wiz na nikki wa pili
Boshoo una punch line saaana. .....tena punch zako zina shombo na u cartoon. .....dahhh hii ni zaidi ya nowmah. ........BOSHOO. ....WAKIAFRIKA SALUTE WANA.
nime like kabla cjackiliza ,nilivyomuona boshooo tu
Hasan Zuberi dah boshooo ni noumaaaaaaaaaaaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Noumaaa sanaaa
nilichokigundua ni kuwa Wasikilizaj weng wa kumi za Maangamizi watasema Wakiafrika kafunikwa ila Wakiafrika ni Bonge la Lyrical Technician.... salute kwake
Huyu dogo yuko poa Sana mtundu Sana Wa maneno he is just like Maarifa the big thinker
Boshoo yuko poa ila ana maneno mengi ya shombo
+Mwika Abas yap yupo vzr Boshoo ila cyo kwa Credit wanazompa. ukimsikiliza Maarifa unaeza jiuliza hzo mistar anazitoa wap ana Technics za uandish... boshoo ana Shomboshombo 2 as u said ila anajua
mohamed musa sure broo wakiafrika anaandika kiufundi saaana. ......me naona ngoma droo. ....vyuma vimeumana.....wana wamechinja saaana. ....boshoo sema ana punch flani nyepesi zinazoeleweka........na zenye kufurahisha. .......ila wa kiafrika ni fundi kuanzia floo. ...lyrics technical.
+Abbas Rashidi yap yap umetisha askar, credit ziende kw wote,.. wote wanang najua jins wanavyoumizaga kwenye vilinge ila Wakiafrika huwaga akishika kinasa #brotherz wanakubal yan
Kingine huyu fifi anakosea anaonyesha mizuka sana Kwa huyu bo shoi
Wakiafrika is a talent...Boshooo is electrical...a like here to all of them.
Wakiafrica lyrical wizard Watoto hawawezi elewa kwa sababu sikuiz Wana amini Yale maneno ya kwenye kanga ndo hiphop
Bosho ninja ninouma sana anaflow Kali Na mistari kwenzi
Boshooooo ninjaaaaa,, unajua mnooo nasemajeee? Boshoo hufaiiii,, u nailed the show hurudii mistariii big up ninjaaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥
nice
Kama unakubali Boshoo ni Ninja Gonga like Twende sawa
Boshoo hatari
Boshooo💥💥💥
Shabani Idd baba kauwaaa
@@davidndunguru9500 tena hatari xana
Kwa moyo mkunjufu jamani mimi nasema huyu bishoo ni kwere duuuh.. Hongera sana kwake.. Pia ahsanteni sana PLANET BONGO KWA BURUDANI.. MWAKA WAISHA VIZURI ATII!!
Sema Boshoo Ninjaaaaaa
Boshooo ninjaa
Hii freestyle nimeipenda sana....all rappers enyoyed fully, so the listeners... Maarifa🤓🤓 na Boshoo😎😎
Msikilizaji😍😍😄😄😝😝🤗🤗
Like boshooo ninjaa big up snaaaaaaa
Wa kiafrika ni ana mistari yenye ustadi zaidi....anajua kuandika
wote ni hatari apo... simuoni wakukaa juu ya mwenzie apo... HAIITAJI KUMUWEKA MMOJA JUU YA MWENZIE WAKATI WOTE WAPO JUU... respect waki"afrika, respect boshoo
Aisee boshoo umeuwa mpaka ukanikumbusha mdau wangu wanguvu ingawa kwenye game amepotea ila heshima kwake roho 7
Mwalimu wa hip hop
Roho saba aliend jeshini uyoo jmaa akaachna na mzik kabsaa ...nguzo ilioptea alikuwa anajua sanaa
roho saba kawa mjeda aisee
Ogaaah! Jamaaa yupo jeshini ni captain nw
Kweli mziki mgum boshoo eti hajatoboa
oya Boshoo ninja unamistari hatari balaa hivi gigy money angekuwa nani kama angenyimwa choo hahahaha umemkalisha uyo DOGO hatari
Boshooooo anajiamni anaweza big up janjaaa
Boshoo kuma mako we mthenge noumaaa yaani nyoko , 😂😂😂😂 🔥🔥🔥🔥🔥 boshoo = cassidy
Wakiafrica sounds like Maarifa big thinker
Noma sana nawaweka kando kama pushabu boshoo wakiafrika mmetishaaaa
Boshoo nouma TANGA BOOOOOOY
Napenda sana midondoko ya wakiafrica
Daaahh huyu boshoo nahis analaana ya mistar alopewa na ubongo wake..Nouma sn
#Boshoo 2samehe 2sio kufatlia..
Mwanangu unajua hatareee
Boshooooo,,, hufai hata kufuga,, #ujamaa Shari #ujamaa ulimuuwa yesu
Kitaalamu ni kwamba Wakiafrica ndiye bora hata flow yake iko quality zaidi.
Mc toka Tanga... Rap hsabati nakokotoa napiga bandaaa #km_unaijua_hii_mistar_ya_#boshoo gonga like
Boshoo ninjaaaa nomaaa hip hop
Ya mwisho awekwe selementary vs skoda vs boshoo
Wawe watatu
Wapo vizuri wote but boshoo more than other halaf bits Ipo chini Sana all in all show kalii sana keep it up East Africa 📻
Kaka #dullah ebu mtafutien dak 10 uyu wakiafrika dg mzik umekua Saiz n mixtari kuntu
Boshoo ww noma daaaaaahh umelana ya kuchana mamaeee
Undergrounds wanafanya hiphop inang'araaa #BO-shoW
Wote vizuri sema anae malizia ndo anapataga wadau sema bosho unakufuru misitari
Mm nawaambiaje hakuna km boshoo km unakubali like twende sawa
Sema Boshoooooo ninjaaaaaaaa umetishaaaaaaa
MLETENI DIZASTW VINA KWA MARA NYINGINE..HAKUNA KAMA @dizasta vina
Remmy Hyazint hakuna kama dizasta vina💪💪💪💪💪
una akili sana mwana,,,dizasta MTU mmoja kuliko rappers wooote,,MTU wa kutunga visa na kuvileta ktk uimbaj,,,huyu MTU hatari
hii ni best of the best ktk siku 10 za maangamizi.
Live
Emb ntajieni majina ya nyimbo za boshoo📌 ni hatari
tafuta mixtape yake inaitwa ujamaa shariafu singles lulu nzuri50 barsnilipotokana for my baby girl
dah sema boshoo ana mistari flan mitamu mitamu sn... na anavo change floow ndo kwikwi kbs
Boshoooooo
Da Boshoo cyo pouwa wa Kiafrika mtamu kwenye maandishi noumaa
Anita man b
Sana
Wakiafrika anaandika sanaaaa
Tangu dk 10 zianze haijawah kutokea kama hii, nnachoweza kisema ni kuwa boshoo ninja kajifunika mwenyewe round hii......
sio kweli anglia ya were mulah utakubariiii
@@charlesbeatus1229 were mulah ameua sana, hasa kwenye flow, ila kwa punch bado nampa boshoo
Boshoo kaja tofauti na nlivyomzoea,,, hii ni tofauti inayotakiwa ktk dk hizi za maangamizi
oya sema nn piga chini leta selle mentary na uyo boshoo alafu uone Toto ya mbeya inavochafua umo ndani noma kama boshoo hatotoka nduki nomaaaaa
oyoooooo wana wa korogwe Tanga piga kelele
tisha sana boshoo ninja
#boshoo haujawahi niangusha #wakiafrika aminia salute #planetbongo
Oyaaaa we nouma sana
#Boshoo, you need to get Tongwe Record..., haiseee..kkkkkkk on fire
Mwafika salute chaliii kwako pia boshoo nijnja!
uyoo boshoo muachen 2 anajua sana
boshoo ninja oiyoooo!!!!!
#Wakiafrica🔥🔥🔥🔥🔥🔥tishaaaaaa sanaaaaa
#boshooo🔥🔥🔥🔥🔥🔥tishaaa sanaaaa
#maalifa mkali kulikoooooo🔥🔥
boshoo..u realy know..comedy hiphop..utafka mbali..
once again boshooo kawanyoshaa.. jamaa n nomar. habahatshi jamaa. wakiafrika n balaa lnginee
Dogo nyie..hatari..pia fukisheni challenge.huku kenya..tubarizi..kali zaidi napenda💥💥💥💥
Wakiafrika Yuko vizuri ila abuni zaidi kubadilisha flows
Boshoo Noma nomaa ,huyo jamaa ni motoo
Huyu Wakiafrica dakika zenyewe tano alafu anapoteza na "Nani Kataka Nani Kataka"
Boshoo ni noma sana
Hakika mmeztendea haki hzi dk 10 kazi mzuri #waafrica $ boshoo
Huyo dada anaesema huhuuu ana mzuka Sana hadi raha
Boshoo ninjaaaa nomaaa sanaaaaa
Semaaa boshoooo ninjaaaaa
Nakubali bosho toka T.A
boshooooooooo MTU mbaya sanaaaaa
dahhhhhh hh hh heshima sana boshoooo
Boshoooo boy ooyoooo
boshoo bhana et gigy angekuwa wap angenyimwa choo ha ha mi naitaj mixtape yke
Bishoo ninja anajua mnooo upo mbele dogo full swaggz flow kali
daah boshoo noma sana asee afungue mwaka tena na dk 10
Kuna watu wanajidai ma mc lakn hakuna ktu.....salute kwko boshoo ninja,nchma the best, P the mc,wakiafrika,sele mental,Godzilla king,country wiz na nikki wa pili
Boshooooo NINJAAAA in big CAPITAAAAAAAL kapitaliiiiiiiiii
Mtoto shidaaa boshooooo👉👊🏻👊🏻
boshooooo sumu wakina youung wakae vzuri
Boshoo una punch line saaana. .....tena punch zako zina shombo na u cartoon. .....dahhh hii ni zaidi ya nowmah. ........BOSHOO. ....WAKIAFRIKA SALUTE WANA.
boshooooooo ninjaaaaaa unajuaaa mbyaaaaaa
Bishop ni master
Huyoo boshoo hatarii
Boshoo kaua mbaya
bosho ungempa hata dakika buku bana
Hahahaha huyo jamaa Bingwa wa kipindi hiki
Bishoo ninja sio poa.. umetisher
Oya Uyu boshoo nipapa kwenye hip hop anampinzanii sijajutia mb zang
Kama unamkubali boshoo njoo na like apa
Yes mwanangu hata tulioko nje ya bongo tunapata ladha ya vijanaaa
BOSHOO ninja noma sana wacha tu nikutukane we Mbwaa kama kuna kombe Dullah akupe tu
Boshoo Ninja ni noma uyoo jamaaaa
Boshoo hatari Like hapa
Huyu boshoo...anajua sana aisee...punch kila baada ya line moja...what the hell
Amazing sana mkuu
Hii ni best battle ever ya dk 10 za maangamizi
S/O to Wakiafrica na Boshoo
Uyu jamaa mkali sana.#Boshoo noma sana
Boshoo we sio wa kawaida kabisa
Boshoo firee
Flow ya boshoo iko so cool.. Asee
Boshoo ninja ni kichwaaaaaaa
Boshoooo%%%% ukinidic utakua bull utagongwa kila keteee
no comment Salute 0nly!
Bosho danger
dah wana mmetisha nomaaaaa akiwemo maarifaa ndo wakali wamwakaa
Washkaji em niambien hyo beat aloanza nayo apo dullah wakat anaongea ni ya ngoma gani.. nmeutfuta sana nmekosa..msaada tafadhali
Sijui ngoma inaitwaje Ila ni ya Bou Nako ft Belle 9
Bosho umetisha kaka