Vaileth Mwaisumo - Ni Mimi (Official Music Video) SMS SKIZA 8089706 to 811

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • Mawazo ya MUNGU sikuzote ni tofauti na mawazo ya wanadamu. MUNGU anatuwazia mema wakati wanadamu wanatamani ushindwe ili wao washinde. Ni Mimi ni wimbo unasimama kwenye kweli kwamba hakuna mipango ya mwanadamu itakayofanikiwa kwako. Na mpango wa MUNGU kwenye maisha yako hauwezi kuzuia na chochote.#vailethmwaisumo #naonamnashangaa #NiMimi#MusicVideo

ความคิดเห็น • 2.2K

  • @amanikiwale8221
    @amanikiwale8221 2 ปีที่แล้ว +463

    Hongera sana my wife nyimbo nzuri sana, video nzuri, umeimba vizuri sana, maneno mazuri, na wewe mzuri 🥰😍,Na ni mke mzuri,unampenda Mungu, Mungu azidi kukuinua viwango vingine.

    • @vailethmwaisumo
      @vailethmwaisumo  2 ปีที่แล้ว +83

      Amina my husband

    • @bella6551
      @bella6551 2 ปีที่แล้ว +33

      na mimi naipokea nyota kama yake🥺maana nina wivu na aliyemwinua pia na mimi aniinue

    • @barakadnx4298
      @barakadnx4298 2 ปีที่แล้ว +6

      True bro I liked the song inspire me alot

    • @harrietmwashi5902
      @harrietmwashi5902 2 ปีที่แล้ว +6

      huu wimbo ❤️❤️❤️

    • @cecileatimango3799
      @cecileatimango3799 ปีที่แล้ว +4

      Thank you so much for the song Mungu keeps you going and rises you up katika jina la Yesu.

  • @aishaelias9071
    @aishaelias9071 ปีที่แล้ว +28

    Kama umeletwa hapa kutoka tik tok kama mimi tujuane, nyimbo bombaaaaaa👍👍👍👍

    • @vailethmwaisumo
      @vailethmwaisumo  ปีที่แล้ว +2

      Amina

    • @SharonSande
      @SharonSande 11 หลายเดือนก่อน +1

      💪💪

    • @Mutheu-o6v
      @Mutheu-o6v หลายเดือนก่อน

      Kabisaa na hurudi uko TikTok unifollow pia🙏

  • @hellenbarasa3261
    @hellenbarasa3261 ปีที่แล้ว +3

    Hakika walitamani nife nitupwe mbali nifutike kwenye ukoo wao, nisaaulike zaidi, lakini MUNGU amenikumbuka katika kila hali, ni Mimi ni Mimi mlie pangia mabaya na kunikataa na kuniondoa katika ndoa yangu sasa mnaahangaa ninavyoishi bila msaada wenu, ni Mimi ni Mimi

  • @ChristineNthenya-fx3mt
    @ChristineNthenya-fx3mt 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Wimbo mzuri , mungu azidi akubariki

  • @CatherineGithui
    @CatherineGithui 7 หลายเดือนก่อน +2

    Very nice song,may good lord grand you favor from above,Amen

  • @philesotondi6857
    @philesotondi6857 2 ปีที่แล้ว +122

    She can't disappoint us ...much love mom from 🇰🇪 🇰🇪

    • @johnkaranja1712
      @johnkaranja1712 2 ปีที่แล้ว +2

      Your BLEESSING people with your song God give you power

    • @jamessabai6530
      @jamessabai6530 2 ปีที่แล้ว

      Be blessed with this song
      th-cam.com/video/1vQ1Hp6fJ7g/w-d-xo.html

    • @marysaituni4584
      @marysaituni4584 2 ปีที่แล้ว +1

      We love you 🇰🇪🇰🇪😍😘💕❤️

  • @tiyavictoria6402
    @tiyavictoria6402 2 ปีที่แล้ว +136

    I can't control my tears 😭, i degree and declare that my testimony is on the way. As i sing this song I'm in agreement with God He is preparing a table in front of my enemies.

  • @faithkomen2258
    @faithkomen2258 2 ปีที่แล้ว +96

    Finally I was waiting for this song so much, nimeipenda Sana huu wimbo imeniguza mno Barikiwa sana mtumishi 🙏🏼🙏🏼🥰🥰🥰

  • @Unclebenniekablakii..254
    @Unclebenniekablakii..254 ปีที่แล้ว +2

    2:02 what a happiness, I like it.

  • @promiseshiku8435
    @promiseshiku8435 2 ปีที่แล้ว +1

    Najipata nikiwatch hii Song 10 times a day

  • @aarpp4907
    @aarpp4907 2 ปีที่แล้ว +9

    Mungu naomba upanguse machozi yangu ,,wasio n majina unawapa majina Yesu nipe jina ipo siku watabaki wakiulizana ila itakua NI MIMI umenifanikisha ,,baraka zako hazikawii ila huja kw wakati wako Ee Mungu wangu ukifika ukaziachilie ili watambue kuwa Mungu wangu wwe n Mkubwa🙏

  • @lydiaadhiambo7262
    @lydiaadhiambo7262 2 ปีที่แล้ว +8

    Ave played this song 100times and ave cried so much in saudi but all going thru only God knws but i knw i will sing this song soon with tears of happiness and blessings 🙏

  • @janetandisi3481
    @janetandisi3481 2 ปีที่แล้ว +16

    Amina ni mmi Mungu amenifuta machozi,kaondoa aibu na pia kabadilisha majina yangu.God bless you

  • @faithndanu8543
    @faithndanu8543 ปีที่แล้ว +2

    I'll come with a testimony #mrs

  • @rachelbukosia5276
    @rachelbukosia5276 ปีที่แล้ว +1

    My first time kuskia nyimbo zako ila nazipenda kwanza huu wimbo "ni Mimi" umeupenda Sana huu mwaka umekuwa mgumu ila bwana ameniteandea much love from 🇰🇪🇰🇪ni mm niliitwa majina ya Kila aina but God changed the story

  • @victoriousfaith3113
    @victoriousfaith3113 2 ปีที่แล้ว +20

    I hardly comment but for this song it's a thumb up, anyone listening i speak blessings and a financial breakthrough, it is well🙏

  • @tabybde1287
    @tabybde1287 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu ni mimi niko mbele zako Nami nipe ushuhuda ee bwana yamekuwa mazito 😭😭😭😭

  • @AliMalanga-c6o
    @AliMalanga-c6o ปีที่แล้ว +3

    Yaani mungu akiamua kukpandisha daraja hadi daraja hakuna wakupinga 🙏

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa Massage nzuri, zenye ukweli, na hisia nyingi. Mungu akuzidi kukubariki. HERI MWANZO MBAYA KULIKO MWISHI MBAYA.

  • @chosengeneration6892
    @chosengeneration6892 2 ปีที่แล้ว +1

    human beings vs God,
    We have a BIG GOD(He wins aAlways ….#Godabove#Everything….Sit and watch(He’s The Time Master🫶

  • @bridgitadhiambo690
    @bridgitadhiambo690 2 ปีที่แล้ว +5

    This song reminds me vle nilipata mtoto wa kwanza na ckuwa na pesa adi rafiki zngu walikuwa wananiongea vibaya adi nilikuwa kama mzigo kwa familia yetu bt nashukuru mungu alifungua njia sai nko gulf naendelea vizuri adi mm ndo sai macho ya familia yetu,,,I thank God anaendelea kunifungulia njia 🙏🙏🙏🙏cku moja watanishangaa

  • @flyboylimcy4311
    @flyboylimcy4311 2 ปีที่แล้ว +32

    This is gonna be my song for God knows how long 😢 God's going to change my history and my family's very soon and I'll look back to where we've come from and sing this song with absolute joy,,,,Asante Sana vaileth Mungu akubariki❤️🙏

    • @vailethmwaisumo
      @vailethmwaisumo  2 ปีที่แล้ว +1

      Amina

    • @jamessabai6530
      @jamessabai6530 2 ปีที่แล้ว

      Be blessed with this song
      th-cam.com/video/1vQ1Hp6fJ7g/w-d-xo.html

  • @claireomari9001
    @claireomari9001 2 ปีที่แล้ว +16

    You'll never dissapoint Mum,your songs are real touching and inspiring,be blessed🙏👏Mungu ataendelea kuwashangaza wenye walitarajia our downfall IJN🙏🙏🙏much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪hope mko site kuenjoy hii song

    • @judithphiliptvKenya
      @judithphiliptvKenya 2 ปีที่แล้ว +2

      This is my song ,uuuuuuuuuuuuwi nimepitia ili last and this month nikaitwa mchawi na devil worshipper by my in-laws ,Mungu I glorify your name ,unainua wanyonge na kuwatia nguvu ,jitukuze kwa mwanao ,Ni Mimi tu mlionisema vibaya

    • @claireomari9001
      @claireomari9001 2 ปีที่แล้ว +1

      @@judithphiliptvKenya Amen,God will continue to ashame them

  • @irenejohn8194
    @irenejohn8194 2 ปีที่แล้ว +2

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭Mungu asante kwa ulivyobadilisha aibu yangu kuwa furaha

  • @leahkagusa1029
    @leahkagusa1029 2 ปีที่แล้ว +2

    Dada ubarikiwe sana maana umegusa historia ya maisha yangu nilio pitia mungu akubaliki sana

  • @frifamapenzi1601
    @frifamapenzi1601 2 ปีที่แล้ว +6

    Amen mum yaan naona mungu akinifuta machozi barikiwa sana mum

  • @nabothosia4117
    @nabothosia4117 2 ปีที่แล้ว +79

    As a Muslim your songs touch me coz they generalize the message. They are moving.. We all serve one living God.. 🤲🏽🤲🏽

    • @ronahemmajay1477
      @ronahemmajay1477 2 ปีที่แล้ว

      Amen

    • @lizmass3437
      @lizmass3437 2 ปีที่แล้ว +2

      Jesus Christ is the way the truth and life to GOD 🙏

    • @nabothosia4117
      @nabothosia4117 2 ปีที่แล้ว +1

      @@lizmass3437 respect mine n I respect yours. Nobody told u to change or nobody came here to argue which way is the way.. We will all die and and as long as we r serving one living God, your beliefs don't matter.

    • @lizmass3437
      @lizmass3437 2 ปีที่แล้ว +1

      I respect ur faith so high

    • @nabothosia4117
      @nabothosia4117 2 ปีที่แล้ว

      @@lizmass3437 then u should understand that in my comment i didn't touch on your religious beliefs bt i was acknowledging the emotional and spiritual feeling that comes about with her songs.

  • @nick-ow2ht
    @nick-ow2ht 2 ปีที่แล้ว +12

    Everytime am playing this song in the car....naskia tu kulia😭😭😭it touches me so much

  • @dianamoraa80
    @dianamoraa80 2 ปีที่แล้ว +2

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 much love

  • @haronnk
    @haronnk 2 ปีที่แล้ว +1

    May God bless you mum I love your songs I get high sometimes but your songs remembers me who am l ❤️❤️❤️❤️

  • @monicahwamucii7259
    @monicahwamucii7259 2 ปีที่แล้ว +3

    Ni mimi ntasomwa kwa aljazera ,bbc , gunies book of records kila mahali ni mimi

  • @faithkhangatsi2187
    @faithkhangatsi2187 2 ปีที่แล้ว +15

    Much love from Kenya twakupenda sana. Nabarikiwa sana na nyiimbo za kutia moyo dada na maono makubwa mbele yaja 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @mogirifidelis7740
    @mogirifidelis7740 2 ปีที่แล้ว +6

    Panguza machozi yangu kwa jina la Yesu 😢😢.....

    • @susyameyo7768
      @susyameyo7768 2 ปีที่แล้ว

      From ur mouth to God's ears

    • @marynyambeki3205
      @marynyambeki3205 2 ปีที่แล้ว

      Sometimes ninafikanga mwisho but when I listen to your songs indeed there's Hope dwn my heart God bless u big dear sister

  • @shalynematinda2024
    @shalynematinda2024 2 ปีที่แล้ว +2

    Huu Wimbo unaongea kuhusu maisha yangu 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @PhilisKabarika
    @PhilisKabarika 3 หลายเดือนก่อน +1

    NI MIMI HAPA MUNGU AMEJIBU MAOMBI YANGU AMENIBARIKI TELETELE AMEN AMEN AMEN

  • @victorndemo1917
    @victorndemo1917 2 ปีที่แล้ว +7

    I have played this song 24 HR none stop.
    Ni Tamu, imenisafisha roho.
    Veleith be blessed

  • @luckydennis3666
    @luckydennis3666 ปีที่แล้ว +5

    I can't stop listening this song akiiii be blessed mummy much love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @mtumorpho2548
    @mtumorpho2548 ปีที่แล้ว +2

    Magumu napitia lakini ninaposikiliza nyimbo zako nalia na kumwona yesu msalambani thanks

  • @EsterLukumay
    @EsterLukumay หลายเดือนก่อน +1

    Nzuri sana.kupitia wimbo uu Mungu anikumbuke na mimi

  • @denniskirui7679
    @denniskirui7679 5 วันที่ผ่านมา

    Amina hii wimbo inanitia moyo sana😭😭 nikikumbuka mahali huyu Mungu amenitoa He is EBENEZER, neema tosha mama🙏🏽🙏🏽

  • @glorymathayo4898
    @glorymathayo4898 2 ปีที่แล้ว +4

    😭😭😭😭😭😭😭😭Uwiiii huu wimbo wa Taifa huu Asnte My sister 😭😭😭😭😭😭😭

  • @jerubetjoan20
    @jerubetjoan20 ปีที่แล้ว +2

    Hapa tuko wengi ambao tulikuwa tumechekwa na kupandishwa majina Lakini Mungu amependua hiyo machozi ikawa furaha.

  • @saumomar2017
    @saumomar2017 ปีที่แล้ว +8

    Wenye tumetoka tiktok kuskiza ii gonga like tujuane

  • @RosemarzMakenaNjeru-uw3mk
    @RosemarzMakenaNjeru-uw3mk 11 หลายเดือนก่อน +1

    Wakenya mbarikiwe sana we never dissapoint..fellow kind heaŕted people kiss my commet na ❤

  • @angieangie2288
    @angieangie2288 2 ปีที่แล้ว

    From tiktok mbio to here🔥🔥🔥 song I will sing tomorrow when finally God opens a new page for me🙏💯

  • @paudiawonder5977
    @paudiawonder5977 2 ปีที่แล้ว +4

    My story. Ni Mimi 😌😌. Hakuna kitu kizuri kama utulivu wa moyo.

  • @DAUGHTEROFZION67
    @DAUGHTEROFZION67 2 ปีที่แล้ว +4

    Woooooooow I needed to hear this be blessed mum lots of love 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @forceskenya4785
    @forceskenya4785 2 ปีที่แล้ว +12

    Such a nice song.....much love from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @vailethmwaisumo
      @vailethmwaisumo  2 ปีที่แล้ว +1

      Thanks

    • @jamessabai6530
      @jamessabai6530 2 ปีที่แล้ว

      Be blessed with this song
      th-cam.com/video/1vQ1Hp6fJ7g/w-d-xo.html

  • @florianminja1127
    @florianminja1127 2 ปีที่แล้ว +2

    Jamani

  • @sharonjimase-md5je
    @sharonjimase-md5je ปีที่แล้ว +1

    Much love for this song.......so encouraging🙏🙏may the testimony of the same come upon my life.....🙏🙏

  • @rororeason8507
    @rororeason8507 2 ปีที่แล้ว +16

    She is singing about my life...be blessed Maam...tumebarikiwa sana...nawe barikiwa zaidi.

  • @peterrisa8758
    @peterrisa8758 2 ปีที่แล้ว +10

    Even though it's delaying I know he's preparing what he promised.. indeed he's a faithful God

    • @vailethmwaisumo
      @vailethmwaisumo  2 ปีที่แล้ว +2

      Amen

    • @jamessabai6530
      @jamessabai6530 2 ปีที่แล้ว

      Be blessed with this song
      th-cam.com/video/1vQ1Hp6fJ7g/w-d-xo.html

  • @benmapesa219
    @benmapesa219 2 ปีที่แล้ว +15

    Such a blessing song.....much love ❤ from🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @NeemaKiria-gi4cq
    @NeemaKiria-gi4cq 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika kwa kupitia nyimbo zako dada nabarikiwa sna

  • @priscakimburi-sl9ml
    @priscakimburi-sl9ml 11 หลายเดือนก่อน +1

    Oooi glory to God hata mm wananishangaa ju waliniita majina yote machafu, asante yesu 🙏

  • @rachaelwanjiru9356
    @rachaelwanjiru9356 2 ปีที่แล้ว +8

    Eiish!I can't get enough of this song.. nafikiria waongea historia yangu.. lakini waliongoja kuona mwisho wangu.. there's God of chances..much love vaileth I like your songs🥰

    • @vailethmwaisumo
      @vailethmwaisumo  2 ปีที่แล้ว +1

      Thanks much

    • @rodhawavinya3955
      @rodhawavinya3955 ปีที่แล้ว

      You made it well I can't control my tears be blessed abundantly

  • @joycemuthui9165
    @joycemuthui9165 2 ปีที่แล้ว +15

    Wow . Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 keep winning Dya... The song speaks to me 🙏🙏🙏🙏

  • @wambuiwanyutu
    @wambuiwanyutu 2 ปีที่แล้ว +6

    This song will serve as a testimony in my life very soon.Mungu wewe waona zaidi ya yote..Ipo siku...

  • @nicenyagashyke1882
    @nicenyagashyke1882 ปีที่แล้ว +2

    Aki imebidi tu nitembee all the way from tiktok hadi huku😂..i l❤ve this song

  • @KipampiLemunke-gx8kl
    @KipampiLemunke-gx8kl 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wimbo wako umenigusa sana. Pongezi zidi kuimba unawatia wengi moyo nikiwemo

  • @samuelmwanyae312
    @samuelmwanyae312 2 ปีที่แล้ว +33

    Your songs never disappoint ,congratulations mum.much love from Kenya 🇰🇪 😍 ❤

  • @evansbaraka3255
    @evansbaraka3255 2 ปีที่แล้ว +6

    Wimbo mzuri sana... Nimependa ujumbe.. ni Mimi .. Mungu amenikumbuka

  • @dorcasnambwenya30
    @dorcasnambwenya30 2 ปีที่แล้ว +3

    From Kenya,Ni Mimi jameni bwana akabadisha history yangu,thank you Lord 🙏,mungu akupe nguvu mumy

    • @vailethmwaisumo
      @vailethmwaisumo  2 ปีที่แล้ว

      Amina

    • @jamessabai6530
      @jamessabai6530 2 ปีที่แล้ว

      Be blessed with this song
      th-cam.com/video/1vQ1Hp6fJ7g/w-d-xo.html

  • @victordeekenya3539
    @victordeekenya3539 ปีที่แล้ว +1

    pongezi Sana Mama.. Napenda nyimbo yako sana.. Una Neema ya Mungu.. Uzidi kuwa na uho mwoyo Katika utinzi wako Vaileth is @Victordee 🇰🇪

  • @FrolaManga
    @FrolaManga 4 หลายเดือนก่อน

    Ni mimi bwana umenitoa mbali sana mpaka leo naitwa mtumishi wa Mungu asante

  • @phylisgitau3748
    @phylisgitau3748 2 ปีที่แล้ว +4

    This song has a big space in my heart,,,, Lord remember me😭😭😭😭

  • @nancykariuki4278
    @nancykariuki4278 2 ปีที่แล้ว +21

    For me it's how rich her voice is, then you add the message..pure TALENT.

  • @clarahmirriam1648
    @clarahmirriam1648 2 ปีที่แล้ว +8

    Wow indeed your songs are always inspiration Mungu aendelee kukuinua dada

  • @marygitonga9961
    @marygitonga9961 ปีที่แล้ว +1

    Kwa kweli ni Mimi mungu amenitendea ata after ndugu wameniendea kwa mganga ,God alinibariki ,

  • @Becky370
    @Becky370 2 ปีที่แล้ว +1

    I think this one is 4 me! God bless you mum much love from us💗💗💗 watching you live from Germany

  • @philp3134
    @philp3134 2 ปีที่แล้ว +6

    Every song is an excerpt of my life.God bless you 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @amuchirakunyanyi5563
    @amuchirakunyanyi5563 ปีที่แล้ว +4

    I can't control my tears 😭😭😭 so powerful message I declare my testimony soon

  • @alicewangui4119
    @alicewangui4119 2 ปีที่แล้ว +6

    Lots of love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 I love your songs hutia mtu nguvu

  • @kawikyamazingira6106
    @kawikyamazingira6106 2 ปีที่แล้ว +1

    These 160k viewers in two weeks found it so hard to click subscribe button?🤔...
    This song😭😭, Dear Jesus🙏, ni wewe🙏🙏, na kufika hapo iwapo ni mimi tu, nashukuru 😭😭.

  • @lovendashihafu
    @lovendashihafu ปีที่แล้ว +1

    Ni mimi muliyekataa my testemony song barikiwa sana wanashangaa hadi sasa.

  • @Kevinmusau1
    @Kevinmusau1 2 ปีที่แล้ว +4

    My mum my herooo❤️🙏🏻thanks for this song mum it’s just blessings my heart 🙏🏻

  • @priscillawausi8214
    @priscillawausi8214 2 ปีที่แล้ว +3

    Reminds me when I closed my business ,indeed God is faithful thank you for this amazin song.

  • @sir_kelvin4121
    @sir_kelvin4121 2 ปีที่แล้ว +6

    Ni mimi🙋🙋🙋

  • @ZawadiJoel-tk4vo
    @ZawadiJoel-tk4vo 11 หลายเดือนก่อน +2

    Dah Asante Mungu hakika mtu asiyetarajiwa machoni pa watu ndiye Mungu huweka kitu Cha tofauti hivyo wabaki kushangaaa,,,,barikiwa sana

  • @joyinnocent7718
    @joyinnocent7718 2 ปีที่แล้ว +2

    The song is🔥🔥much love from 🇰🇪 currently in the kingdom of 🇸🇦🇸🇦 team strong team hammam May God lead us through this journey I know it is not easy but we will make it and go back to our country safely,,wapi likes zenu team gulf😊

  • @kruimannuel_ke4141
    @kruimannuel_ke4141 2 ปีที่แล้ว +21

    One thing I know for sure is that, Vaileth is blessed. Something that comes with grace.
    #Team_Vaileth
    #Ni_Mimi

    • @vailethmwaisumo
      @vailethmwaisumo  2 ปีที่แล้ว +2

      Thanks Team

    • @joysarah7184
      @joysarah7184 2 ปีที่แล้ว +1

      she's a bessing to may.she really consol my spirit with blessed songs

    • @jamessabai6530
      @jamessabai6530 2 ปีที่แล้ว

      Be blessed with this song
      th-cam.com/video/1vQ1Hp6fJ7g/w-d-xo.html

  • @agnesandalo6936
    @agnesandalo6936 2 ปีที่แล้ว +18

    When you're okay u dance to the beats,but when sad,you get the message,,this song hit me hard... grateful for the little things God has done for me

  • @margaretwanjeri2434
    @margaretwanjeri2434 2 ปีที่แล้ว +6

    I love this song 😭😭my testimony is alive hallelujah 🙏💖 may God bless you for me

    • @vailethmwaisumo
      @vailethmwaisumo  2 ปีที่แล้ว

      Amina

    • @jamessabai6530
      @jamessabai6530 2 ปีที่แล้ว

      Be blessed with this song
      th-cam.com/video/1vQ1Hp6fJ7g/w-d-xo.html

  • @MaggyGesare
    @MaggyGesare 6 หลายเดือนก่อน

    Dada yangu mungu hamekupanguza majosi.napenda nyimbo zako sana zinanitia nguvu nakunifundisha mengi.❤❤❤❤

  • @dorothmalekela3974
    @dorothmalekela3974 10 หลายเดือนก่อน +1

    kiukweli nyimbo zako zimegusa maisha yangu niliyopitia mungu huyu jmn .Nampenda sana mungu ajawai kuniacha niabike

  • @goddieoyier9991
    @goddieoyier9991 2 ปีที่แล้ว +4

    A day is coming when I will say,NI MIMI..,your songs are a blessing and encouragement to many broken souls,,you are our Swahili version of south Africa's Rebecca malope..

  • @levindavinodayo6708
    @levindavinodayo6708 2 ปีที่แล้ว +5

    Nyimbo zako mum on another level 🔥🔥🔥 when I serve patients natikisa kichwa polepole 💕💕💕 much love from Kenya

  • @themj4235
    @themj4235 2 ปีที่แล้ว +4

    The song I was waiting for....😳😳😻😻From Kenya nakupenda sana mamaaaa....

  • @victorblessed9502
    @victorblessed9502 2 ปีที่แล้ว +1

    I pray to God nifike hicho Cha kushanga wengi

  • @DORICASJSofficial
    @DORICASJSofficial 6 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤ nakupenda sana,endelea kushuka mbele za MUNGU naye atakuinua

  • @joynimookenya9613
    @joynimookenya9613 2 ปีที่แล้ว +7

    I can't get enough of this song,,, it's my real story

  • @bonnykitheka8299
    @bonnykitheka8299 2 ปีที่แล้ว +8

    Each morning before doing anything...I first play this song ...it keeps me moving....destined for greatness indeed

  • @cynthiambati9941
    @cynthiambati9941 2 ปีที่แล้ว +10

    It brings me so much joy to sing this song out loud “Ni mimi anenifuta machozi”amenitendea mengi

  • @joshuakabasi170
    @joshuakabasi170 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen barikiwa sana Mtumishi wa MUNGU na BWANA akuongezee mafuta ya utumishi

  • @happymwamakula8573
    @happymwamakula8573 2 ปีที่แล้ว +1

    Aminaaa mamy Mungu aendelee kukutia nguvu wimbo wako umenibariki san

  • @graciouskembz9756
    @graciouskembz9756 2 ปีที่แล้ว +6

    I decree and declare that this is going to be my testimony. In Jesus name, Amen 🙏

    • @vailethmwaisumo
      @vailethmwaisumo  2 ปีที่แล้ว

      Amen

    • @jamessabai6530
      @jamessabai6530 2 ปีที่แล้ว

      Be blessed with this song
      th-cam.com/video/1vQ1Hp6fJ7g/w-d-xo.html

  • @Alshark-p5w
    @Alshark-p5w 2 ปีที่แล้ว +6

    My favorite song🔥🔥🔥❤️❤️Be blessed 🙏🏻

  • @tembeakenyamovement6927
    @tembeakenyamovement6927 2 ปีที่แล้ว +3

    Nice song...
    Playing it more than 50 times by now. from Kenya much love

  • @susanwanyama2986
    @susanwanyama2986 6 หลายเดือนก่อน +1

    Napenda nyimbo zako n nmegundua tu juzi barikiwa sana mama ufike mbali much love mommy

  • @marynasyieki3783
    @marynasyieki3783 2 ปีที่แล้ว +2

    Yeah Wacha tuinuliwe mbele ya madui washangae🙏🙏