Kongo Amani itapatikana Kama UN wataondoka kongo.Majeshi ya Africa yatengeneze jeshi la kulinda kongo. UN ndio M23. Kuluna wako chin ya wazungu, Haki zabinadamu wamewekwa na wazungu kwa ajili ya kuwatetea wahalifu walio waweka. Ndio maana hata wazungu wamarekani wamekamatwa kwenye msako wa kundi la kuluna.Waafrika tujifunze tusiwe wajinga. wazungu wanatuchezea sana Afrika.
Na sisi Wakenya, tufurushe wahamiaji kutoka inchi jirani hapa Kenya. Wasomali, WaSouth Sudan, Wa Ethiopia, WaBurudi, Waganda, Wabongo, Wanyarwanda, Wahindi, Wachina, Wacongo, wote wasio na vibali warudishwe nyumbani kwao.
Warudi wafanyie nchi yao kazi .wajenge kwao.whats this.donald never give fish but he forces you to know how to fish.the best president who hates beggers and corruption.
Ndugu manahabari wa mwananchi digital tunakupata vizuri sana kwa kuenndelea kutujuza habari za ulimwengu maoni kwangu nikwamba hao wahamiaji walioko huko marekani warudi makwao na waje wazijenge nchi zao na sii kuishi kwa manyang,au maana hao ndio wanatumika kuziangusha nchi zetu kwa kutoa siri za ndani za nchi zetu na kupelekea kuisaliti
WAKENYA MUJICHUNGE SANA NA WA TZ, NIMEGUNDUWA MTU AKITAKA CHANEL YAKE IKUWE ANATUMIA WAKENYA NDIO MUFUNGUWE ILA UKISHA FUNGUWA WEKA DISLIKE, YANI KATI YA NCHI 5 NI KENYA AMEONA AZUNGUMZIE.
Fukuz wakenya wote maan ni wapumbav tu si wanajivunia kuongea kingerez wanajita wazung weus ndo wajitambue wao watumwa tu weuc na bora lugha yen yataifa iwe kijaluwo tu hap ndo tutajuw wakenya mmepat akil
Propaganda Gani?. Watu hampendi kuambiwa ukweli, mbona hii Iko wazi kabla ht hajachaguliwa? Illegal migrants watafukuzwa , period! Kwahiyo watu wafuate Sheria ,simple Prince hawezi kumfukuza
Siyo kila habari niya ukweli watu wanatafuta views kwenye mitandao ya kijamii,WA kenya ni watu wenye kujihelewa sana,mtu alitetea haki yake ndo kwamba hajatulia,duh WA bongo bwana hachatuzidi kunyonywa na wenye nguvu zao,uwoga hunatusumbua sana Hiyo habari niyauhongo tena saaaaana
@@KassimKhalaid halina ubaguzi... kwani wakenya ni kwao kulee.. wakae kwao walijenge taifa lao sio kukaaa kwa watu utadhanibni wakimbizii.. Nchi yenyew imeshachangnyikiw saiv inapokonywaa usuper power kila siku..
Mungu hakosei iwe unachosema ni utani au kweli ujue unaweza ukaamguka tu ukashindwa kusimama tena na ukifika hsptl unaambiwa huwezi kusimama tena kiuno kimevunjika
@@miltonmachage2462Si kwamba ni uzalendo. Kwa watanzania kuzamia Marekani ni maji marefu. Wengi wao wanazamia Afrika kusini na Uarabuni. Huko ndiki sailing yetu!
Dah Muongo kweli maana anaongeaga tu lakini hatimizi....Anahasira na Prince Hary Analeta na kwa watu wa mataifa mengine aache waafrica watafute maisha bana...Huku kwetu kuwakiwa jua tu na Mafisadi kuendelea kula
Jpm aliwahi kusema tujenge nchi zetu hakuna wajomba wakutusaidia tukamdhalau sasa wajomba wanatufukuza Safi sana trump
Umeona kenya ndio ikona wahamiaji wengi ama mshenzi
daah waafrika tunapenda kukaa kwa watu😱😱
Kongo Amani itapatikana Kama UN wataondoka kongo.Majeshi ya Africa yatengeneze jeshi la kulinda kongo. UN ndio M23. Kuluna wako chin ya wazungu, Haki zabinadamu wamewekwa na wazungu kwa ajili ya kuwatetea wahalifu walio waweka. Ndio maana hata wazungu wamarekani wamekamatwa kwenye msako wa kundi la kuluna.Waafrika tujifunze tusiwe wajinga. wazungu wanatuchezea sana Afrika.
Daa hio ni hatar sana bora kukaa nyumbani au angalau tukiwa nje tujenge kwetu
@stellanyamuhogota1832 livee yaan.. sijui Afrika wanaoinaje.. Boraa hata wamefukuzwaa
Masikini Kenya baba anamfukuza mtoto yoooo yoooo 😮😮😮😮
Wawatimue tu...kwnn wanakwenda kwnye nchi za watu bila utaratbu
Ukweli
Kabisa.kila mtu ajenge kwao
Hawwezi kumfukuza Prince Harry
Wakenya idadi yao iko wazi vipi kuhusu wa kwetu mwananchi
Wakenya ni wakora 😅😅😅
Safi kabisa
Wewe unasema wa Kenya but wa africa wote, na hata inchi ingine
you
It's true 💯🙏, why did they immigrate to America without following up the law as it's supposed
Kwani wa America wanaoishi nchi za watu bila utaratibu hawapo?
Ruto mbona ujaenda kwa trambu banae tulikuwa tumekuwait utuwakilishe nasi we love you so much as kenyans
God with you President Trump
Na sisi Wakenya, tufurushe wahamiaji kutoka inchi jirani hapa Kenya. Wasomali, WaSouth Sudan, Wa Ethiopia, WaBurudi, Waganda, Wabongo, Wanyarwanda, Wahindi, Wachina, Wacongo, wote wasio na vibali warudishwe nyumbani kwao.
huna akili ww,kama munajiamini fukuzeni wazungu warudi kwao,waafrica wenzako wanahusiana na nini...
Wabongo kenya😅😅😅😅😅😅 huko njaaaa Kali hakuna mtu anakimbilia zaidi ni WAKENYA kukimbilia MAREKANI kutafta mkate no:5in the world wide Kenya
Kenya njaaa sana no:5 in the world sheim on you Kenya.
Tatizo Kenya WAVIVU baadhii Yao kule MAREKANI ni Mashoga inasikitisha sana wenzenu Uganda Museveni alikataa Ushoga kwahiyo Uganda Respect😂
We watchman kabla ya kuongea tembea hizo inch uone vile wakenya wamejaa hizo nchi
Na sisi Tunawafukuza wa Americans Tz
Ubaya Ubwela 😮😮😮
Km Hawana vibali
Trump hafukuzi tu Kila mtu, ila wale illegal migrants
We mlalahoi unaongea nini utamuweza marekani hebu kale ugali na maharage ujambeeeee mpka asubuh 😂😂😂😂😂 pumbaaaff mkubwa
Bora uwaambie nahisi watu hawaelewi
Wanadhani anafukuza kila mtu.Kitu ambacho si kweli
Anasisitiza wahamihaji Haramu@@christinewomanoffaith5479
@@PanyaBuku-qo7tuwe ndo huelewi
Unaambiwa bila vibali
Acha natusi
Yani marekani kuna wahamiaji wengi wakiafrika lkn umechagua kutaja Kenya ju ya ubinafsi wako 😂😂😂 utapata tabu sana
Warudi wafanyie nchi yao kazi .wajenge kwao.whats this.donald never give fish but he forces you to know how to fish.the best president who hates beggers and corruption.
Wahamiaji haramu ni wale walio ingia nchini isivyo kisheria
Acheni uongo wabongo wageni wote ambao hawana vibali maalum wanafukuzwa sio wakenya2
Ndivyo
Yani ati mpaka wanachaguliwa uko
Gd job trump
Bila kutaja Kenya content aiendi sio
Wakenya ndo vibaka
Ndugu manahabari wa mwananchi digital tunakupata vizuri sana kwa kuenndelea kutujuza habari za ulimwengu maoni kwangu nikwamba hao wahamiaji walioko huko marekani warudi makwao na waje wazijenge nchi zao na sii kuishi kwa manyang,au maana hao ndio wanatumika kuziangusha nchi zetu kwa kutoa siri za ndani za nchi zetu na kupelekea kuisaliti
Warudi wakalime
Prince Harry haishi kinyume cha sheria, umeipata wapi hii
Kumeanza kuchangamka
Wanajua kiingereza😅😅😅😅😅.
😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
Wanachama wa NATO hao jamani msiwatimue.
Nyie DIGITAL ACHENI UPUUZI, PRINCE HARRY ANAHUSIKAJE HAPA
WAKENYA MUJICHUNGE SANA NA WA TZ, NIMEGUNDUWA MTU AKITAKA CHANEL YAKE IKUWE ANATUMIA WAKENYA NDIO MUFUNGUWE ILA UKISHA FUNGUWA WEKA DISLIKE, YANI KATI YA NCHI 5 NI KENYA AMEONA AZUNGUMZIE.
Nonsense
FUKUZA WOTE NA WAKINA PIDDY WOTE WARUDI WAJENGE AFRICA😃😃😃 wamezidi kushangaa magorofa ya mbao
Kumbe ni ya mbao tu bora ata ya kwetu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂
Wacha uongo
Warudi kujifunza kiingereza kwao
@@charlesboniphace2249 Hakikisha umefunza kizazi chako wawe na akili kama ya mama yao sababu baba yao yuko Muhimbili anaugua
Ruto na ukibaraka wake bado anadhalilika na watu wake
Warudi kwao
Timuwa wote shenzi
huwoo niwongoo awezii kuwafukuzaa wafrikaa wengi wapo jeshiniii ndiyo tena awafukuzee manenoo buree
Inferiority Idea Hujawaza kama Mashoga baadhi Yao ni Wa Kenya.
😂😂
Waingereza kutok Kenya 😅😅😅
Fukuza wote Kila mtu akae kwao
KABISA KABISA WATANJENGA KWAO LINI?
Fukuza na mangekimambi
😂😂😂
Yatakushinda
Kakosa ni?
Raisa yule afukizwe vipi?
Mshaambiwa illegal migrants muwe mnaelewa
😂😂😂😂😂😂😂
Mange ni raia mwenzio
Wakenya kiherehere chao cha kujisifia Kingereza kitawaisha kama nchi za wazungu zitapata viongozi kama Trump 😂😂😂😂
Wivu tu
I u wapi ndoo u kweli huo kajambe mbele
Mbona unauchungu jamani mwanaume mzima unaleta haja ati kiherehere Chao kujisifia kingereza ushindwe
@paulinewangila-cs6ys Punguzen kiherehere kenge nyie 😅🤣😅🤣😅🤣
Wakenya warudi wakafanye maandamano.
Kbs warud kwao si wanapend vurugu😅😅
Chuki zako zitaisha kaburini ,kwani waliko kwenye nchi zao hawaishi? Hao wasiopenda vurugu pia utawaona wakirudi uko kwenu
@fatumamwalimu5765 kenya imaejaa mbwaa ww,wakiitwa nyani ndo wa kwanz kulialia
Nashangaa waafrika kwa waafrika hawapendani
Akili pungufu
@@Anthonyzombie-d2s Tanzania nayo imejaa nguruwe, hata wakinyanyashwa hata sauti hawatoi
SEMA ripoter wa chombo kikubwa kama Mwanchi inakuaje anashindwa kutofautisha R"na "L?
Fukuz wakenya wote maan ni wapumbav tu si wanajivunia kuongea kingerez wanajita wazung weus ndo wajitambue wao watumwa tu weuc na bora lugha yen yataifa iwe kijaluwo tu hap ndo tutajuw wakenya mmepat akil
Mhhh roho yako mbaya inakufanya uteseke bure maishani pona
Wana tabia chafu sn fukuzeni duniani kote acheni wale wanaojitambua tu na wanafata sheria
Hao wakenya hawana adabu, fukuza wakenya wote huko, na bado wafukuzwe na huko uarabuni.
Wewe ni shetani wivu itakuuwa si na wewe uende heheheheeeeeeeee!
😂😂😂😂😂Na hizi viwete zenu zenye zimejaa hapa Kenya kuomba omba pesa tutafukuza zirudi huko Tanzania pili hizo nyimbo za bongo tutapiga marufuku
@@philiplugalia3724jeuri iyo hamna
@@philiplugalia3724😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂walai
Salvatory una roho chafu
you report what you don’t know
Ww mwenyewe haujui shut up
Mange Kimambi ajiandae.Wakenya rudini kwenu mkale vyakula vyenu vya GMO.
Kwani Mange Hana kibali
Havi wewe tajiri usiye kula GMO utaishi milele 😢
Waende North Korea
😅😅😅😅😅
Kweli😂😂😂😂
Habari za kipropaganda...hawajafukuzwa unasema wamefukuzwa.
Cjui wanazitoa wapi tangu wajuwe.views ni pesa basi weeeee ata kuku akinya wanaleta hapa😂
😂😂😂😂@@Sarah-e1o9k
Propaganda Gani?.
Watu hampendi kuambiwa ukweli, mbona hii Iko wazi kabla ht hajachaguliwa?
Illegal migrants watafukuzwa , period!
Kwahiyo watu wafuate Sheria ,simple
Prince hawezi kumfukuza
Watu pendeni kwenu jengen mataifa yenu yawe kama marekan ajabu nyie kazi kukimbilia kwa watu
Warudi makwao wakafanye maendeleo
Maendeleo gani?
Hatuwezi Kuja Tanzania wala mazeruzeru
Fukuza mashoga. Wapambaneji waache
Nakwelii kabisa wangekua wanatulia ingesaidia sasa wanachochea migogoro kwenye nnchi zao
Siyo kila habari niya ukweli watu wanatafuta views kwenye mitandao ya kijamii,WA kenya ni watu wenye kujihelewa sana,mtu alitetea haki yake ndo kwamba hajatulia,duh WA bongo bwana hachatuzidi kunyonywa na wenye nguvu zao,uwoga hunatusumbua sana
Hiyo habari niyauhongo tena saaaaana
ili lizee nina ubaguzi roo mbaya tu kama ataishi milele vile
Utaratibu lazima ufuatwe
@@KassimKhalaid halina ubaguzi... kwani wakenya ni kwao kulee.. wakae kwao walijenge taifa lao sio kukaaa kwa watu utadhanibni wakimbizii..
Nchi yenyew imeshachangnyikiw saiv inapokonywaa usuper power kila siku..
Kambagua nani?
Kwann uende Kwa watu bila kufuata utaratibu?
😂😂😂😂😂Watanzania mnakuanga na kinyongo sana na Wakenya anyway Hawa viwete vyenu imejaa hapa Kenya tutafukuza
Mungu hakosei iwe unachosema ni utani au kweli ujue unaweza ukaamguka tu ukashindwa kusimama tena na ukifika hsptl unaambiwa huwezi kusimama tena kiuno kimevunjika
Fake fake fake news
Fake your face it's true wamefukuzwa😮😮😅😅
Yani trump anajiona aje america ni yake
Si wanajua english jamn
Englishi niuraia? Duh mashamba kweli
@EmmanuelMlowe-u1v huwezi sikia watanzania wamefukuzwa kwa nchi za watu cz sisi ni wazalendo wa nchi yetu Aya Sasa njooo mle english yenu
@@miltonmachage2462Si sababu ya uzalendo, watanzania tunakosa uthubutu wa kukimbilia fursa, elimu na ujuzi wa kazi!
@@miltonmachage2462Si kwamba ni uzalendo. Kwa watanzania kuzamia Marekani ni maji marefu. Wengi wao wanazamia Afrika kusini na Uarabuni. Huko ndiki sailing yetu!
😅😅😅 ss km wanajua English
Ondoa uongo wako Hapa shaitani wewe
@@Jamesmutukumuteti wakeny wajing ni wazung au wajaluo nnakimbilia nch za wat tu au ndo nnakimbia mandano🤣🤣😂🤣
😂😂😂😂muongo wewe
Dah Muongo kweli maana anaongeaga tu lakini hatimizi....Anahasira na Prince Hary Analeta na kwa watu wa mataifa mengine aache waafrica watafute maisha bana...Huku kwetu kuwakiwa jua tu na Mafisadi kuendelea kula
@@KyissmaMoreenwe jua trump atafukuza
Kenya kuwatimua wahamiaji kutoja tanzania 200,000 ifikapo 2027
Unazani kunwakimbizi wa Tanzania Kenya nchi yetu ya amani bwege ww