Mwana mshamba sana card iligoma we ulitaka kutoa pesa yote daaaah we fala ujinga unakusumbua anataka kuaminisha watu we mjuaji wakati mjinga mmoja,halafu maisha yautafutaji sio lazima upate ukitoka kurudi nyumbani ukiwa mzima jambo la kumshukuru Allah, acha ujinga
Acha kusema hivyo bank hawajuwi wakati wewe ndio ujuwi english ,hiyo english anayoongea sijuwi english ya wapi!Wajiliwa wa bank graduate huyu kumbalu kwa lugha yetu
Wamakonde washamba sana , yaani South tu hapa anaona kahustle mpk anasimulia 😅😅😅😅😅 sisi miaka zaid ya 15 tupo hapo Gauteng -Jo'berg na hatuoni stori 😅😅
Ichi kijamaa yeye ela zake hazipungui ila zinaongezeka maana alisema ana rand 550 na aka request tax nyingi mpaka kufika kapilimposhi lkn still alikuwa na rand 550 na dollar 37 na euro ngap uko .. itoshe kusema ww GABI na uyu PIMBI wako nyote matako yenu waongo 😅
Kwa miaka 15 anayosema yes inawezekana but hawa jamaa kamba nyingi, hakuacha shilingi wala Mia ya karatasi au Mia mbili. tumuulize katoka lini toka rais alikua mwinyi au😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂
@@kalengashoppingcenter1108 sawa miaka 15 na izo pesa alizokuwa anamtumia mtoto wake..inamana alikuwa anatuma tu bila mahesabu yaan ata hajui bongo ni sh.ngapi😆😊😊
Huyu jamaa nilipomuona muongo ni pale aliposema alienda kwenye ufunguzi wa uwanja wa taifa kipindi mkapa yupo madarakani akapata pesa baada ya kujichora chora ivyo ikamsaidia kwenda south mara anasema kipindi icho alipewa cheo na mkubwa fella kuwasimamia yamoto band wakat yamoto band walianza miaka ya 2015 kama sikosei inshort uyu ANDUJE (Mtu mfupi) ni muongo na pia ni mshamba ww uende south zaman na ushindwe kuongea kiingereza vzr??
Nimejaribu kufutilia hii story ili walau nielewe lengo lake but bado sijajua lengo la huyu jamaa kuhojiwa .....pengine ana cha kusimulia ila hajui kusimulia.hopeless story.
Uyu jamaa muongo mwanzo alisema alipewa kaz na mkubwa fella kuwasimamia wakina aslay kipnd hicho ya moto band hapa anasema aliacha mia mbili ya noti mia ya noti mmh Aslay kipnd icho alikua anaimba 😂😂😂
Mmh aisee kuna muda hata ukidanya unajua kabisa kua hapa nimeenda chaka inamaana wewe uko south ulikua hufutilii hata yanayo fanyika Tanzania 🇹🇿 kwamba hujui stendi haipo ubungo dah huu uwongo mwingine tuuwache
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Mwana mshamba sana card iligoma we ulitaka kutoa pesa yote daaaah we fala ujinga unakusumbua anataka kuaminisha watu we mjuaji wakati mjinga mmoja,halafu maisha yautafutaji sio lazima upate ukitoka kurudi nyumbani ukiwa mzima jambo la kumshukuru Allah, acha ujinga
Acha kusema hivyo bank hawajuwi wakati wewe ndio ujuwi english ,hiyo english anayoongea sijuwi english ya wapi!Wajiliwa wa bank graduate huyu kumbalu kwa lugha yetu
Amefika magufuli Terminal asubui lkn alivyoshuka tu kwenye basi imekua saa 12 jioni mida imeenda manina uyu musimhoji tena😅
Mshamba sana
Wamakonde washamba sana , yaani South tu hapa anaona kahustle mpk anasimulia 😅😅😅😅😅 sisi miaka zaid ya 15 tupo hapo Gauteng -Jo'berg na hatuoni stori 😅😅
Mzalam uyo cyo mmakonde
😂😂😂😂😂😂
English yake Sasa 😅😂
mshamba huyo muongo sisi maisha ya kaburu tushakaa sana
Ichi kijamaa yeye ela zake hazipungui ila zinaongezeka maana alisema ana rand 550 na aka request tax nyingi mpaka kufika kapilimposhi lkn still alikuwa na rand 550 na dollar 37 na euro ngap uko .. itoshe kusema ww GABI na uyu PIMBI wako nyote matako yenu waongo 😅
Ivi kweli uzaliwe bongo ukulie bongo uondoke bongo mtu mzima urudi usahau mahesabu 😢aaaah huyu jamaa nae mengine anazidisha😂😂😂😂
Kwa miaka 15 anayosema yes inawezekana but hawa jamaa kamba nyingi, hakuacha shilingi wala Mia ya karatasi au Mia mbili. tumuulize katoka lini toka rais alikua mwinyi au😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂
@@kalengashoppingcenter1108 sawa miaka 15 na izo pesa alizokuwa anamtumia mtoto wake..inamana alikuwa anatuma tu bila mahesabu yaan ata hajui bongo ni sh.ngapi😆😊😊
Yah huyu jamaa ni mshamba sijawahi ona😂😂😂
Huyu kichaa asihojiwe tena maaana hajielewi
Uyo jamaa anaonekana sio mkweli kama Mimi Niko miaka kumi na nne Asia siwezi kusahau pesa za nyumbani tz
Huyu jamaa nilipomuona muongo ni pale aliposema alienda kwenye ufunguzi wa uwanja wa taifa kipindi mkapa yupo madarakani akapata pesa baada ya kujichora chora ivyo ikamsaidia kwenda south mara anasema kipindi icho alipewa cheo na mkubwa fella kuwasimamia yamoto band wakat yamoto band walianza miaka ya 2015 kama sikosei inshort uyu ANDUJE (Mtu mfupi) ni muongo na pia ni mshamba ww uende south zaman na ushindwe kuongea kiingereza vzr??
Uyu jama nimshamba arafu ni muongo kweri kweri
Huyu jamaa kamba kishenzi
Nimejaribu kufutilia hii story ili walau nielewe lengo lake but bado sijajua lengo la huyu jamaa kuhojiwa .....pengine ana cha kusimulia ila hajui kusimulia.hopeless story.
Matangazaji hizi video zake shuka zote ktk account yako TH-cam !Ni aibu sana clip zote
Wee mwenyewe lugha huijui😂
😂😂😂😂
Sehemu kibao za kuchange Pesa....
😂😂😂😂😂
Uyu jamaa muongo mwanzo alisema alipewa kaz na mkubwa fella kuwasimamia wakina aslay kipnd hicho ya moto band hapa anasema aliacha mia mbili ya noti mia ya noti mmh Aslay kipnd icho alikua anaimba 😂😂😂
Nilivyofika apo u hevu nido nikaacha kusikiliza 😂
Miaka 16
Acha kusema hivyo bank hawajuwi wakati wewe ndio ujuwi english ,hiyo english anayoongea sijuwi english ya wapi!
Daah 😂😂
Mmh aisee kuna muda hata ukidanya unajua kabisa kua hapa nimeenda chaka inamaana wewe uko south ulikua hufutilii hata yanayo fanyika Tanzania 🇹🇿 kwamba hujui stendi haipo ubungo dah huu uwongo mwingine tuuwache
Anazingua huyu kiumbe