Leo ni sherehe sherehe naacha pombe nakunywa mara ya mwisho sitaki pombe Natusheherekee, naacha pombe nalewa mara ya mwisho sitaki pombe Leo ni sherehe sherehe naacha pombe nakunywa mara ya mwisho sitaki pombe Tusheherekee naacha pombe nalewa mara ya mwisho sitaki pombe VERSE 1 Jamani pombe pombe hivi ililetwa na nani heee yaani tam tam mpaka kisogoni hee Alogundua pombe moja kwa moja peponi, aende peponi, aende peponi Kwanza nikishalewa inanikata aibu (aibu) alafu inanipaga vibe (vibe) Hakuna swali linakosa jibu ule ugonjwa wa kingereza bhana pombe inatibu Leo kamkesho kamnyweso mbona nasweti sana jamani nipe kaleso Kama unanidai naomba tuonane kesho, hela nayotuma leo ni marejesho BRIDGE Tukishalewa si walevi tunapendana hata tukigombana pombe ikikata tunapatana Tukishalewa si walevi tunapendana hata tukigombana pombe ikikata tunapatana CHORUS Leo ni sherehe sherehe naacha pombe nakunywa mara ya mwisho sitaki pombe Natusheherekee, naacha pombe nalewa mara ya mwisho sitaki pombe Leo ni sherehe sherehe naacha pombe nakunywa mara ya mwisho sitaki pombe Tusheherekee, naacha pombe nalewa mara ya mwisho sitaki pombe VERSE 2 Leo nakunywa mara ya mwisho kesho mi naokoka, tatizo kubwa nikilewa huwa naropoka Na kama nna siri zako jua ushaumbuka nakua mwongo mwongo Pombe inanifirisi pombe na ibilisi hapa nakuacha leo ile kesho tunakumis Nikishalewa nakuwaga mzee wa fix naahidi ajira wakati sina hata ofisi Hooo! Leo kalewa leo leo acha nilewe leo, hooo! Leo kulewa leo leo mtanibeba leo! BRIDGE Tukishalewa si walevi tunapendana hata tukigombana pombe ikikata tunapatana Tukishalewa si walevi tunapendana hata tukigombana pombe ikikata tunapatana CHORUS Leo ni sherehe sherehe naacha pombe nakunywa mara ya mwisho sitaki pombe Leo ni sherehe sherehe naacha pombe nakunywa mara ya mwisho sitaki pombe
I always say @Nay is underated. I think it's because he's always real and sings sense. Nyimbo za Nay ni maisha yetu ya kila siku. #Trueboy in the building... Fireeeee 🔥🔥🔥🔥🔥 #966
Kamanda unaiongoza mitaa vizur km unamkubali ney wamitego gonga like yako hapa twende sw na raisi wa kitaaa
Pulezdent wa kitaa,,,,,!
Uhakika Yan mitaa inamkubal
🤣🤣🤣🤣🤣Kiongozi mzuli anaiongoza vizuli mtaa
Mimi sio mlevi Lakini napenda nyimbo zako, heshima kwako raisi wa kitaa🔥
Like me❤️❤️❤️❤️🙏
Jamaa fundiiii🔥🔥🔥🔥🔥
Unyama mwingi 🔥🔥💯 Raisi wa kitaa a.k.a. Baba yaga✊🇰🇪..
Yaaan hapo umeimba tabia zangu zote nikiwa nmelewa naadi kuwapa vijana ajira hahhhhhhaha #rais wa kitaaa we n fundi sana mzazi
Hakuna anayefanya mziki wa club kumfikia Mr Ney bongo hii
He never back down as seen in the video despite being underated for me he is a King of bongo....love from Zambia
Ngoma moja clean sana si eti nini ama nini much respect bro 🇰🇪❣️👊
We ndio mkuu Ndugu yangu Mitego, one love from Kenya
Tukisha lewa sisi walevi tunapendana unyama big much respect 👊👊
Aliyegundua pombe moja kwa moja yupo peponi................
Tukishalewa si walevi tunapendana hata tukigombana pombe ikikataa tunapatana😂✊...Rais wa kitaa babayaga🔥✊
We sikupingi kila ngoma kali
Point mr naye 💥🌟 sherehe🥂🥃🍹🍺🍻🍾
The true boy daah...!! Kmmk uzeeki mwamba bado upo hot 🔥🔥🔥 wacha leo tusherekee ya mwisho leo kesho church tuokoke 🙌
Nay wamitego rais wa kitaa umeuwa 🔥🔥🖖🖖
Wanangu wa k vant msiniache....#sherehe
Noma Sana Kaka rahisi WA kitaaaa
Alooo mwagilia moyo ipasavyoooo
"kamnyweso" balaaaa..
Maufundi na shubamiti munanichekesha wallah 😅😅
DR BENNY FROM KENYA MR NAY NEVER DISSAPPOINT BIG FROM TZ DR BENNY THE REGGGEA ARTIST NEED COLLLABORATION ONE DAY JAH BLESS MR NAY WA MITEGO
Greetings from 🇺🇬 To 🇹🇿 🇰🇪 🇷🇼 🇧🇮 🇪🇹 🇸🇴 🇲🇼 🇸🇸 DRC
Big tune
Nakubali kamanda pamoja xana
Nakukubali bro Mozambique yenyewe tunakutambua 🇲🇿🇲🇿
Upo buza mbwa wewe
Wimbo wa taifa wa walevi👽👽👽
Kaka ngoma Kali sana ujawahi niangusha. 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kenya twasikiza...Kali sanaa
Da! Hatar unaacha pombe wakati huo unaisifia
Leo kama Friday huku Kenya hii ngoma itakuwa anthem back to back😅
New drunkard's anthem in the streets of Nairobi
imekosa tu mejja😁
Collabo na mejja itaweza
Ina bidi remix itoke na Mejja👍
I tell you
Hahaaaaaaa
Bonge la kazi kaka big up sana my brother🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Nimejifunza kitu ukiona.....ujue mtego
New Anthem in Streets of Kenya🇰🇪🇰🇪🔥🔥
Imekosa mejjh
True boy in the building never disappoint 🔥🔥🔥
After Naiboi's one?
Nakubar sanaaa Rais wa kitaaaa
Ngoma kubwa sana hii... mzikib unapita masikioni mpka kwa moyo...#kubwa kunyaka#
Mau fundi katisha humooo ndy pngz kwa wote walio leta wazo la watuu wa talent kama ya mau fundi
Pombe mbaya n'a ni Nzuri Bwana
Miondoko tu!!🍻🍺🍻🥃inatesa Nairobiiiiii 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥🔥
Noma sana naitwa japhetizo nafanya mzik inga youtb andika japhetizo utapata ngoma kali zote
mejja missing on this big tune....hii inataka just a blend and it will be a maad tune...💯..big up @nay wa mitego...
Goma Langu La Kufunga Mwaka😂😂😂
Tukishalewa Sisi Walevi Tunapendana
Hata Tukigombana Pombe Ilikata Tunapatana😂😂😂😂Hatarriiiiii Mamamae
sherehe lazima tupige tena mapemaaaaaa....love from Kenya Jujamaica
For this my bro umeonesha uhalisia wa mziki wa kizaz kipya....ni jinsi unavyobadilika badilika ladha tofautitofaut💯💯💥 umeua kaka
Hata before nione hii video nilijua tu kobelo mpaka atakuwepo ndani
Bongo la sherehe mr Ney
Kweli wewe rais wa kitaa,,🔥🔥🔥💯
Kubabake Nay streets zitakutambua .mzuka huu 🔥🔥🔥🔥 sasa tafta @Iyani msanii fanya kitu
#966 True boy!! Nakupata kindaki ndaki pande za huku Elite Britain South Africa. Big up sana 💪
Nahasha bombe nakunywa mara ya mwisho nihashe bombe❤❤
Dundo kali... Club anthem... Ila watoto warembo naona hapo
Kuna mistari mengine haifai tena haifai,Alogundua pombe mojakwamoja peponi
Always FREE NATION 🔥🔥🇰🇪 Full love
Huyu jamaa ni kama ameibiwa nyota na diamond.
Nyimbo zake ni kali sana lkn haziendi zaidi ya 1m views.
Bana 🤨🤨🤨
Ahit that tells all about alcohol walevi tunapendana.... big up pombe hatuachi saii>>>>>>>>>>>
Rais wa kitaa nakubali sana jeshii letuuu bigapu sana Mani 👍👍✌️💥
Mlemle wana tunalukanalo wayaaaaaa
💪🤘🔥 NayTrueboy
Sherehe iko pow
Nani kama raïs wa kitaa.🔋🔋🙊🙊 Nice song my favorite
Ney ww kweli ni mbunifu ngoma tamu sana hii yani sipati picture ungempa kolasi stamina ndio mana ingekua fare sana
BROTHER NAY, AISEEEEE.... AISEEEE, AISEEEEEEEEE.....
Your Genius Brother. No matter whats Happen to u.
You Still Street President. Bless
street anthem....True boy ii itaingia mitaani
Umetisha boss🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Keep going my bro that is the best to my customer
Mipombe iyoooooo imezidi hahahahahahaha Atari sana
Salute sana ila natamani corabo yako na madee nahs itakua babu kubwa atariii
Duuuuh! huu mzigo aisee bonge moja la ngoma
More love from kenya🇰🇪🇰🇪
very good music, congratulations, you have done your best
Eti aliyegunduwa pombe mojamoja mbinguni daaaaaah nimekubali kaka 🍷
Wooow....naacha pombe ila siachi kubwanda 😂
The video director, on the anthem part, I love it
Daaaah nyimbo kali baba yagaah
Mark this, hii itakua a club banger in Kenya! Watch this space!!
Now uko fire umerudi mzee kiwashe
🇰🇪 Kenya na ulevi tumesema hii ngoma ni yetu 🔥
Ooooooiiiii hiki kichwa msikichukulie POA Wazee!!!!
Rais w masala one love mamen
Raisi wa kitaaaa give me like from kenya
Now this is the kenyan sound😮💨🔥
Leo ni sherehe sherehe naacha pombe nakunywa mara ya mwisho sitaki pombe
Natusheherekee, naacha pombe nalewa mara ya mwisho sitaki pombe
Leo ni sherehe sherehe naacha pombe nakunywa mara ya mwisho sitaki pombe
Tusheherekee naacha pombe nalewa mara ya mwisho sitaki pombe
VERSE 1
Jamani pombe pombe hivi ililetwa na nani heee yaani tam tam mpaka kisogoni hee
Alogundua pombe moja kwa moja peponi, aende peponi, aende peponi
Kwanza nikishalewa inanikata aibu (aibu) alafu inanipaga vibe (vibe)
Hakuna swali linakosa jibu ule ugonjwa wa kingereza bhana pombe inatibu
Leo kamkesho kamnyweso mbona nasweti sana jamani nipe kaleso
Kama unanidai naomba tuonane kesho, hela nayotuma leo ni marejesho
BRIDGE
Tukishalewa si walevi tunapendana hata tukigombana pombe ikikata tunapatana
Tukishalewa si walevi tunapendana hata tukigombana pombe ikikata tunapatana
CHORUS
Leo ni sherehe sherehe naacha pombe nakunywa mara ya mwisho sitaki pombe
Natusheherekee, naacha pombe nalewa mara ya mwisho sitaki pombe
Leo ni sherehe sherehe naacha pombe nakunywa mara ya mwisho sitaki pombe
Tusheherekee, naacha pombe nalewa mara ya mwisho sitaki pombe
VERSE 2
Leo nakunywa mara ya mwisho kesho mi naokoka, tatizo kubwa nikilewa huwa naropoka
Na kama nna siri zako jua ushaumbuka nakua mwongo mwongo
Pombe inanifirisi pombe na ibilisi hapa nakuacha leo ile kesho tunakumis
Nikishalewa nakuwaga mzee wa fix naahidi ajira wakati sina hata ofisi
Hooo! Leo kalewa leo leo acha nilewe leo, hooo!
Leo kulewa leo leo mtanibeba leo!
BRIDGE
Tukishalewa si walevi tunapendana hata tukigombana pombe ikikata tunapatana
Tukishalewa si walevi tunapendana hata tukigombana pombe ikikata tunapatana
CHORUS
Leo ni sherehe sherehe naacha pombe nakunywa mara ya mwisho sitaki pombe
Leo ni sherehe sherehe naacha pombe nakunywa mara ya mwisho sitaki pombe
Sherehee from Kenya 🇰🇪
Rais wa kitaaa nouma sana
Ney wa mitego rais wa manzese
The true boy in the building lakini pombe siwachi🇰🇪🚨
I always say @Nay is underated. I think it's because he's always real and sings sense. Nyimbo za Nay ni maisha yetu ya kila siku. #Trueboy in the building... Fireeeee 🔥🔥🔥🔥🔥 #966
Hiii hit ya mwakaaa mwanangu nay umetishaaa
Noma sana
Mr mwanya jaman
Ney
Mzik was est afrika tayar Sasa nenda intarntional
😂😂😂😂😂 napapenda sana hapa 3:00
Sherehe Isha kuwa tatzo mtahani uku 🍺🍺
Street Presida. You nail t bro
PIN KALI SANA HILIII NOMA SANAAAA
Ai jamani uku Kenya ishakua big tune. Wakenya na ulevi😂😂
Salute kwa raisi wa kitaa Mr Nay big tune Ni mwotooooo
Moja ngoma kali xana kaka ata video saruti
Ney wa mitego rahisi wa kitaa Kali sana
Unyama sana yaani hilo vibe sio kidogo
Mr mwanya na vest yake ya blue 💙😎😍 all the way from kenya
Mbona kama maudhuhi inafanana na ngoma ya lava lava