DR CASMIR RICHARD DAKTARI BINGWA WA KINYWA NA MENO.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ต.ค. 2024
  • Kama unasumbuliwa na tatizo la meno kuuma au kulegea, fizi kuvimba au kutoa damu, pia kuna huduma ya kusafisha meno, kuweka meno bandia na kunyoosha meno.
    Unakaribishwa sana katika kufanyiwa uchunguzi wa kinywa na meno kutoka katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa waMwanza Sekoutoure.

ความคิดเห็น • 17

  • @MomMadam-n5f
    @MomMadam-n5f 4 หลายเดือนก่อน

    Naomba namba yako

  • @Nusra-u2l
    @Nusra-u2l 2 หลายเดือนก่อน

    Seketure
    .mukoagani

  • @HoseaMosha
    @HoseaMosha 6 หลายเดือนก่อน

    Doctor naomba namba yako

  • @Zimba509
    @Zimba509 ปีที่แล้ว

    Weka namba apo, tukutafute docta

  • @JoyceElias-pl5mo
    @JoyceElias-pl5mo 4 หลายเดือนก่อน

    Nateseka jamani meno yameisha munisaidie mi sio skari yanatoboka nakuuma na kupelekea kungoa

  • @fadhilamsagati1337
    @fadhilamsagati1337 ปีที่แล้ว

    nataka kumuekee baba yangu

  • @fadhilamsagati1337
    @fadhilamsagati1337 ปีที่แล้ว

    doctor mimi nauliza kuweka meno ni bei gani

  • @WizzyVancy
    @WizzyVancy 8 หลายเดือนก่อน

    Jino lakuto kutoa shingapi na mnapatikana wap

  • @MomMadam-n5f
    @MomMadam-n5f 4 หลายเดือนก่อน

    Mnasafisha meno kwa pesa ngapi

    • @sekoutourerrh
      @sekoutourerrh  4 หลายเดือนก่อน

      shukrani sna, unakaribishwa kuonana na daktari kila siku ya jumatatu hadi ijumaa saa moja na nusu hadi sa tisa na nusu kwa ajili ya uchunguzi wa kinywa chako na ushauri zaidi karibu sana

  • @inyasiinyasi3009
    @inyasiinyasi3009 3 หลายเดือนก่อน

    doctor naomba kujua me ninamwanya na siuped naomba kuziba gharama yake ni shgp

    • @agathamwiru7687
      @agathamwiru7687 หลายเดือนก่อน

      mmmmmmmmmmmmmmh we nawe

  • @elishamussamahesahosea
    @elishamussamahesahosea 7 หลายเดือนก่อน

    nahtaji mawsiliano yako