A very smart conversation and a very smart doctor! My question is: how much do I pay for a consultation with this dentist if I don’t have a Tanzanian citizenship?thank you SnS for hosting this dentist ❤️❤️❤️
I’m retired GP , lakini huyu kijana anaongea science ya kufamika Kiswahili rahisi, well done Oral expert. Nimependa sana hii topic thanks, Retired GP from Isle of Man 🇮🇲/ UK 🇬🇧 Zanzibar TZ
Stones na tonsils zinasababishwa na nin na jinsi ya kutoka kwenye tatizo hilo maana mim sio mtumiaji wa sukari lakini vitu hivi viwili vimekua tatizo sana
A good presentation na hongera kwa kumleta daktari. Nashauri next time ungemwachia daktari kwanza atoe elimu yote ya afya ya meno na kinywa, then uanze ku-prob kutoka kwenye kile alichokisema na maswali mengine ambayo unayo. Mfano, ameongelea kuhusu suala la ugonjwa wa fizi, hajalifafanua vizuri kwa sababu umejikita ku-prob zaidi kwenye maswali ya meno.
Congratulations to the Doctor and the presenter, ninatatizo kwamba nimezoeya dawa moja tu nikitumia dawa nyengine kuwa meno yatowa damu. Je tatizo ni dawa au meno yenyewe? Thank you
Mimi.niling'oa jino juzi juzi kwa mara ya kwanza. Sikusikia maumivi hata kidogo wakati napigwa sindano ya ganzi na wakati jino linang'olewa. Siku hizi technologia iko mbali sana. Nilipona haraka sana only pain killers for a few days when necessary.
Wallah uyo Doctor 👨⚕️ yuko sahihi utasema alikuwepo kipindi nawekwa mvuma mimi sikuvimba hatakidogo dawa aliniyandikia Doctor 👨⚕️ wangu zilinisaidia sana kwakweli mimi niliulizwa tulitowe awo tulifarakatie niliwambia lifarakatie ichokipimo nilikiwekwa mmeno kabisa mpaka ivi nina video yawakati Doctor 👨⚕️ alikuwa akinipa matibabu yani inanikumbushaga mbali sana 🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️
Doctor mimi lakwangu lilivimba jino la juu la kuliya la nyuma lili vimba lakini likawa haliniumi kabkbala ya kuvimba lilikuwa likiuma sana lakini lilipo vimba likawa haliniumi likaanza kukatika wenyewe lote likamaliza hadi leyo limebaki fizi tu nimwaka wakumi hu sasa unafika je nije dokta uweze kuliangalia zaidi au hakuna tatizo lolo
Kaka sky naomba tulete na madaktar wa tonsils tujue jinsi yakujilinda nahaya magonjwa. Lkn tunashkur sn doctor amejua kutuelimisha mno asant sn watu km hawa tunawaitaji mno ili tupate kuepukana nabadhi yamagonjwa mbalimbal.
OMG! So this guy never been to the Dentist...Thats crazy. In real life you need to go wash your teeth once a year. The Dentist will wash your teeth and floss. You always have to brush your teeth in the morning, floss after lunch, brush after dinner and floss it. Change your teeth brush every 3 months. That is how I keep my clean healthy teeth all the time.. Nawapenda my Tanzanian🇺🇲
I read somewhere kwamba wengine wenye kunuka mdomo hata kama wanasafisha mdomo kila mara anaweza akawa na magonjwa mengine makubwa kama Ugonjwa wa Ini.. and It has been proven.
Jamani huyu doctor amenigusa mimi nimeng'oa meno 6 na yameoza 7 yaan tunateseka twenye maumivu ya meno na kweli hii ya meno kuwa pamoja pamoja nayo ni shida yaani haya wawili ndio yameisha kabisa bado visiki kutoa mtihani
@@christinewomanoffaith5479 asante kwa ushauri nikirudi nitafanya taratibu za kumuona kwa sababu hospital nyingi ukisema jino linauma jana sijalala wanakwambia dawa yake kung'oa kasheshe haya 3 ya mbele yaliooza ukiongozana na mwenye miaka 70 hajawahi kung'oa ww ambaye haujafikia umri mbele za watu kucheka mtihani
Mm swali lngu n hili kuna baadh ytu meno yana rangi ya unjano japo tunapga mswaki kutokana na maelekezo tunayoelezwa na madaktali .je tunapaswa kutumia dawa aina zp ungetuweka waz
Madaktari wa zamani walikuwa wanatung’oa meno bila sababu, me Nikiwa mdogo niliumwa tu jino tena kwa mbali saana, nikaenda hospital daktari akatoa jino langu, wakati amelitoa ndo analiangalia, analiangalia alafu bila aibu anasema mbona jino halina tundu hata moja, Dah inaniuma sana hadi leo miaka zaidi ya 20 baadaye
ok huo weusi ni dalili za mwanzo za meno kutoboka sababu uchqfu uliokaa mda mref ndio hutengeneza uo weus na usipoendelea kusafish kwa usahihi patatoboka jitahd uwe unaendeleq kufqny usaf 2ce a day....na pia jitahd ufanye check up 2ce a year
Mimi nilikuwa naomba kujua kwamba meno yangu ya mbele yametoka yenyewe kama ulivyosema kwamba mfupa wa meno umekufa swali langu naweza kuwekewa meno ya mbele ya kudumu siyo yakutoa
haishauriwi sana kutumia mouthwash bila maelekezo ya daktr..maana matumiz ya mda mref husababisha kuua bacteria wanaosaidia mdomon..hivo unaeza kupata matatzo mengina
Unatatizo kama langu kabisa! Ila mimi now fizi zimepona nilipewa dawa! Ila meno ndo yameachana mengine yamekaa hovyo nataka nikayatoe yaliyokaa vibaya niweke ya bandia! Yaan nimekuwa kama vampire🤣
@@stanslauschatata3483 🙆 ilimtuma dawa gani fizi zikapona ? Mm pia nimetumia dawa lakin sioni kupona na meno zangu zote chini na juu hazifanyi kazi lakin pia zilipishana utazani mapengo vile
polen wote kila ugonjwa wa kinywa unatibiwa vzur kama ukifikankwa dr akakufanyia uchunguz na kukukupa dawa. na kukusafisha..unavozd kutumia mit shamba na dawa za mitaan hazitawasaidia zaid kuongeza matatizo
Asante Daktari,ingekuwa vizuri ungeleta vifaa hili watu waone wapate kununua,na ungeonyesha kwa vitendo kusafisha Meno
Asante Dactar kwa somo Zuri mimi pia nina matatizo ya meno,Dawa nzur ya kuswakia ni ipi.
Dr uko vizur sana tunakuelewa hasa
A very smart conversation and a very smart doctor! My question is: how much do I pay for a consultation with this dentist if I don’t have a Tanzanian citizenship?thank you SnS for hosting this dentist ❤️❤️❤️
FF
Wtf
Good question 👍🏾
Shukran Doctor 👨⚕️ Ahmadi 🇸🇦🇸🇦🙏🇧🇮🇧🇮🥰🥰🥰🥰🥰🥰
I’m retired GP , lakini huyu kijana anaongea science ya kufamika Kiswahili rahisi, well done Oral expert. Nimependa sana hii topic thanks, Retired GP from Isle of Man 🇮🇲/ UK 🇬🇧 Zanzibar TZ
Thank you very much Senior🙏
Kazi nzuri sana bro, nimejifunza mengi!
Brother sky ur too creative
ila just bring back our #SMART-TALK
nikisikiliza hapa naona kabisa nasikiliza makubwa so nice
🤣🤣 🤣🤣 ati mnatupiga mswaki au 🤣🤣🤣,kipindi kizuri nimekifurahia sana maana nimejifunza kitu mrudishe tena kwakweli thanks sky 🙏
Mashallah... asnt doc kw maelez mazur
Dah elimu kubwa sana hii👏
Asante sana kazi nzuri
Habari doctor...samahani kama limemeguka nafanyaje
Daktari yuko vizuri sana sana. Excellent. 😍👏👏
Saana
Dr ada ya mzee wako ilienda halali
❤❤❤❤ safi sana!!!!!
Stones na tonsils zinasababishwa na nin na jinsi ya kutoka kwenye tatizo hilo maana mim sio mtumiaji wa sukari lakini vitu hivi viwili vimekua tatizo sana
asante sana dokta mda mlfu nilikua nasumbuliwa na meno nili dondoka yote yanalegea ya naniuma yote naomba namba tafadhali🙏🏾😭💔
Daah Safi sn doctor me pia Nina changamoto ya meno sana
A good presentation na hongera kwa kumleta daktari. Nashauri next time ungemwachia daktari kwanza atoe elimu yote ya afya ya meno na kinywa, then uanze ku-prob kutoka kwenye kile alichokisema na maswali mengine ambayo unayo. Mfano, ameongelea kuhusu suala la ugonjwa wa fizi, hajalifafanua vizuri kwa sababu umejikita ku-prob zaidi kwenye maswali ya meno.
Elimu hii safi sana.
Sky Thank you and Bring more healthy Content.
Asante doctor mimi nimekukubali nilikuwa naomba nikulize swali nitumie dawa gani ilikuondoa harufu mbaya kinywani
Karafuu the best
Congratulations to the Doctor and the presenter, ninatatizo kwamba nimezoeya dawa moja tu nikitumia dawa nyengine kuwa meno yatowa damu. Je tatizo ni dawa au meno yenyewe?
Thank you
Dah natamani niwekewe meno ya bandia nimengoa sana kuanzia mdogo nimekuwa kibogoyo
Interview nzuri
Shukran kwa elimu nzuri ila no plzzz
Mimi.niling'oa jino juzi juzi kwa mara ya kwanza. Sikusikia maumivi hata kidogo wakati napigwa sindano ya ganzi na wakati jino linang'olewa. Siku hizi technologia iko mbali sana. Nilipona haraka sana only pain killers for a few days when necessary.
Uling'olewa jino hospital gani ndugu yangu
Wallah uyo Doctor 👨⚕️ yuko sahihi utasema alikuwepo kipindi nawekwa mvuma mimi sikuvimba hatakidogo dawa aliniyandikia Doctor 👨⚕️ wangu zilinisaidia sana kwakweli mimi niliulizwa tulitowe awo tulifarakatie niliwambia lifarakatie ichokipimo nilikiwekwa mmeno kabisa mpaka ivi nina video yawakati Doctor 👨⚕️ alikuwa akinipa matibabu yani inanikumbushaga mbali sana 🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️
Doctor mimi lakwangu lilivimba jino la juu la kuliya la nyuma lili vimba lakini likawa haliniumi kabkbala ya kuvimba lilikuwa likiuma sana lakini lilipo vimba likawa haliniumi likaanza kukatika wenyewe lote likamaliza hadi leyo limebaki fizi tu nimwaka wakumi hu sasa unafika je nije dokta uweze kuliangalia zaidi au hakuna tatizo lolo
jitahd uende hospital sababu bado sehem ya mzizi ipo.kwaio ipo cku litavimba tena so nenda hospital waondoe io miziz
Namba ya Dr. Tafadhari
Doctor yuko vzr sana...tunaomba no zake jmn..
Kaka sky naomba tulete na madaktar wa tonsils tujue jinsi yakujilinda nahaya magonjwa. Lkn tunashkur sn doctor amejua kutuelimisha mno asant sn watu km hawa tunawaitaji mno ili tupate kuepukana nabadhi yamagonjwa mbalimbal.
🔥🔥🔥Good work!Bless u
OMG! So this guy never been to the Dentist...Thats crazy.
In real life you need to go wash your teeth once a year. The Dentist will wash your teeth and floss.
You always have to brush your teeth in the morning, floss after lunch, brush after dinner and floss it. Change your teeth brush every 3 months. That is how I keep my clean healthy teeth all the time..
Nawapenda my Tanzanian🇺🇲
jamani mimi jino langu la mwisho linamea na linauma sana mpaka siwezi kumeza chochote hata mate yenyewe ni shida kumeza naomba dawa plz
Your smile is your Logo 🤗
Shukran
Ahsante doctor
Dakitari wasafi sana
Professional questions Sky
Meno yanauma sana jamani🙌😫
Nashukuru umetuletea mtaalamu kuongeza maarifa tz tuna madini ya watu wengi hatuwatumii
I read somewhere kwamba wengine wenye kunuka mdomo hata kama wanasafisha mdomo kila mara anaweza akawa na magonjwa mengine makubwa kama Ugonjwa wa Ini.. and It has been proven.
Doctor, huko wapi Mimi ninashida ya jino limetoboka dawa Nini linauma sana
Jamani huyu doctor amenigusa mimi nimeng'oa meno 6 na yameoza 7 yaan tunateseka twenye maumivu ya meno na kweli hii ya meno kuwa pamoja pamoja nayo ni shida yaani haya wawili ndio yameisha kabisa bado visiki kutoa mtihani
Ndo kamuone Dr
@@christinewomanoffaith5479 asante kwa ushauri nikirudi nitafanya taratibu za kumuona kwa sababu hospital nyingi ukisema jino linauma jana sijalala wanakwambia dawa yake kung'oa kasheshe haya 3 ya mbele yaliooza ukiongozana na mwenye miaka 70 hajawahi kung'oa ww ambaye haujafikia umri mbele za watu kucheka mtihani
Namba tafadhari🙏.
Na hizo keki tunazo kula siku hizi,baada ya miaka 10,wote tutakuwa vibogoyo!!😢😢
🤣🤣
Hehehe
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣kabisa
SNS mmecheza kama pele kutuletea interview Bomba ya mafunzo muhimu 🔥🔥🔥🏆
Mm nina matatizo ya meno yameoza pia fizi zimevimba pia jikipiga mswaki damu zatoka
Dokta Je ni kweli,kupiga mswaki bila kulazimisha kutoa makohozi kohoni kunasababisha mdomo kunuka?
Kiukweli meno wengi tuna n'goa kwakua madaktari wahivyo hawapo kabisa zaidi ya kun'goatu
Duh hiyo professional cleaning balaa mbona hatujui jmn!
Mi nahitaji kwakweli
Habari
Mimi nimesha subuka sana na meno yani maumivu makali
shukrani sana lakini naomba namba yako ili tuwasiliane nan nateseka sana
Mm swali lngu n hili kuna baadh ytu meno yana rangi ya unjano japo tunapga mswaki kutokana na maelekezo tunayoelezwa na madaktali .je tunapaswa kutumia dawa aina zp ungetuweka waz
Mie fizi yangu ya juu imevimba kwandani na km imeachia kutoka kwa meno na meno yangu mawili yanalegea
Je mwenyevjino imekatika katikati anaweza kuweka ingine
Madaktari wa zamani walikuwa wanatung’oa meno bila sababu, me Nikiwa mdogo niliumwa tu jino tena kwa mbali saana, nikaenda hospital daktari akatoa jino langu, wakati amelitoa ndo analiangalia, analiangalia alafu bila aibu anasema mbona jino halina tundu hata moja, Dah inaniuma sana hadi leo miaka zaidi ya 20 baadaye
Samhn doctor mm jin lang limetobok half limefany kitu kama ufizi kati kati ya jino shida nin
Dokta kuzima jino je huwa mnampa mgojwa dawa ya gazi ili asihisi kitu au inakua vp inamaumivu au 😢😢
Nina swali kwa Doc mm magego ya mwisho yana weusi km mistari na hua napiga mswaki 2times a day
ok huo weusi ni dalili za mwanzo za meno kutoboka sababu uchqfu uliokaa mda mref ndio hutengeneza uo weus na usipoendelea kusafish kwa usahihi patatoboka jitahd uwe unaendeleq kufqny usaf 2ce a day....na pia jitahd ufanye check up 2ce a year
namba zenu jaman
Abari docta mimi nimenkowa jino la nyuma imepita mwaka sasa hivi lingine linauma nanipo Congo mbali na tz sijuwi infante nini
Kuna binamu yangu alisoma na godizila
Mimi nilikuwa naomba kujua kwamba meno yangu ya mbele yametoka yenyewe kama ulivyosema kwamba mfupa wa meno umekufa swali langu naweza kuwekewa meno ya mbele ya kudumu siyo yakutoa
inawezekan kabisaa ukarudish tabasam lako..fik hosp upate maelekezo zaid
The smart dentist
Mko sehemu gani jamani
Naomba link niweze ku'book appointment na celebrity dentist
University of Dar es Salaam (Mbeya College of Health and Allied Sciences) wanatoa "Doctor of Dental Surgery"
No day pass without SNS❤️
Unfortunately nishatoa 5 , sitaki tena
Madaktari waliopita hawakunitendea haki kulikuwa na option nyingi hivi looo
Ni nini kinasababisha watoto kuotameno yasiyokuwa nampangilio?
kuna sababu nying sana..zikiwemo kuchelewa kutoa meno ya utoto..taya kua dogo so meno hayapangan vzurr..na pia geneticially yan vina saba vya wazaz
Docta upo wapi naomba no zako mi nashida Sana ya meno
Very spiritual jmn
Mtt akiwa na miezi 3 tumboni meno ndo yanatengenezwa🤔
Akizaliwa Hana meno kinachosubiriwa ni process tu ya kuota!
Aisee🤔
Me naomba nomba yake jmn maan nashinda ya meno sana
Dear,, ungetoa namba docter aisee watu wanashida yameno namba hujatoa ,,,,,,!¡!!
Bro bundala naomba namba za doctor hapo Nina shida ya meno jmn plz
Wajina,nakushauri safisha meno mara kwa mara na kabla ujaenda kulala na sukutua na maji ya chumvi,mara moja kwa wiki😁😁
@@fatumazangu8727 mm meno hayajakaa sawa nataka yawe sawa afu nusafishe yawe meupe
Mwakani naenda mtafuta.. We need his contact information.
Namba zake tunapataje
Ndio namba muhimu
Huduma ya Kusafisha kinywa au meno ni kiasi gan?
Tafadhali mwendelezo jamani nimejifunza mengi
Mi huwa nasafisha hivyo lkn sasa meno yangu y magego ya mwisho yanakatika yenyewe na kisha mpaka nimeenda kutoa moja na now lingine limekatika lote
Please naomba namba ya doctor
Hongera Sana Dr Mgaya
Kwaiy wale weny miak 30 hawawez kuvaa blacelet weny men yalioachian yanawez kulekebishwa
bracelet anavaa mtu wa umri yoyote dear..haijalish unakua tu sawa
Wenyewe hata hamjibu coment zetu mimi nataka namba ya huyo Daktari
Vep doctor naweza nikakuuliza kidogo samahan
Hilo dude la jino utazan keki
Hongera Doctor tafadhali tunaomba namba
Dodoma, we need your clinic
Doctor utupe namba ya simu pls
Kaka ningependa kujua ndugu yetu Sitiv Moyo Mchonvu yupogo wapi ?
Je? Ukitumia antseptic mouthwash kuna haja ya kuswaki tena
haishauriwi sana kutumia mouthwash bila maelekezo ya daktr..maana matumiz ya mda mref husababisha kuua bacteria wanaosaidia mdomon..hivo unaeza kupata matatzo mengina
@@jojotz1210
Nisaidie namba ya sm doct mnganya
Nikweli mm fizi siku hizi zinatoa mpaka USAA na meno yamepeana nafasi mengine 6 yote yananega kutoka kabisa 😭Ila Sina hizo pesa zakutengeneza meno
Unatatizo kama langu kabisa! Ila mimi now fizi zimepona nilipewa dawa! Ila meno ndo yameachana mengine yamekaa hovyo nataka nikayatoe yaliyokaa vibaya niweke ya bandia! Yaan nimekuwa kama vampire🤣
@@stanslauschatata3483 🤣🤣🤣pole
@@stanslauschatata3483 🙆 ilimtuma dawa gani fizi zikapona ? Mm pia nimetumia dawa lakin sioni kupona na meno zangu zote chini na juu hazifanyi kazi lakin pia zilipishana utazani mapengo vile
polen wote kila ugonjwa wa kinywa unatibiwa vzur kama ukifikankwa dr akakufanyia uchunguz na kukukupa dawa. na kukusafisha..unavozd kutumia mit shamba na dawa za mitaan hazitawasaidia zaid kuongeza matatizo
Tafadhali naomba unisaidie na mm ulitumia dawa gani mpaka ukaona mm nasumbuliwa na fizi sina hata raha
Namba ya doctor please wazee wamekua wamekua hawana meno
Tunaomba mtuwekee namba za simu mm nina tatizo la meno yambele yote yameregea pia ufizi umechimbika na yanakua na nafasi kubwa pia yananiuma
Yaani wewe ndio mm kabisa kuhusu hili tatizo la fizi na meno vp mwenzangu ushapata dawa na umepona nijuze