- 33
- 8 322
sekoutoure rrh
เข้าร่วมเมื่อ 28 พ.ย. 2022
KITENGO CHA HUDUMA KWA WATEJA KATIKA HOSPITALI YA SEKOUTOURE
Ufikapo katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekoutoure utakutana na watumishi wa kitengo huduma huduma kwa wateja waliopo kwa lengo la kukusikiliza, kutatua changamoto, maoni na malalamiko mbalimbali wakati upo Hospitalini.
มุมมอง: 47
วีดีโอ
HUDUMA YA UPASUAJI WA VICHWA VIKUBWA YAZINDULIWA HOSPITALI YA RUFAA YA SEKOUTOURE - MWANZAmp4
มุมมอง 367 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Dr. Bahati Msaki Kwa kushirikiana na Hospitali ya Kanda ya Bugando yazindua Huduma ya Tiba ya Upasuaji wa Watoto wenye Vichwa Vikubwa na Mgongo wazi,
ZIARA YA KIMICHEZO KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA SIMIYO
มุมมอง 239 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Watumishi wa Hospitali ya Rufaa Sekoutoure watembelea na kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu
WADAU WA USALAMA BARABARANI (RSA) WATOA MSAADA WA VIFAA KWA WAGONJWA HOSPITALI YA SEKOUTOURE MWANZA
มุมมอง 469 ชั่วโมงที่ผ่านมา
WADAU WA USALAMA BARABARANI (RSA) WATOA MSAADA WA VIFAA KWA WAGONJWA HOSPITALI YA SEKOUTOURE MWANZA
MASHINE ZA KISASA, KITENGO CHA FIZIOTHERAPI, HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA MWANZA - SEKOU TOURE
มุมมอง 64หลายเดือนก่อน
MASHINE ZA KISASA, KITENGO CHA FIZIOTHERAPI, HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA MWANZA - SEKOU TOURE
MABORESHO YA KITENGO CHA FIZIOTHERAPI KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA MWANZA -SEKOU TOURE
มุมมอง 93หลายเดือนก่อน
MABORESHO YA KITENGO CHA FIZIOTHERAPI KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA MWANZA -SEKOU TOURE
ZIARA YA KAMATI YA BUNGE YA AFYA NA UKIMWI WATEMBELEA HOSPITALI YA SEKOUTOURE
มุมมอง 136 หลายเดือนก่อน
Ziara ya Kamati ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekoutoure na kukagua Ubora wa huduma unaotolewa kwa wananchi, Vifaa Tiba na Miundombinu ya Hospitali.
KARIBU KATIKA HUDUMA YA MATIBABU YA SIKIO, PUA NA KOO
มุมมอง 1476 หลายเดือนก่อน
Dkt. Aggrey Kibuta Daktari Bingwa wa Sikio, Pia na Koo kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekoutoure anashauri kama una changamoto yoyote ya Sikio tafadhari karibu Hospitali ya Sekoutoure Kwa ajili ya uchunguzi, ushauri na Matibabu.
HUDUMA YA TIBA JUMUISHI
มุมมอง 596 หลายเดือนก่อน
Katika Kuendeleza kutoa huduma bora, Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekoutoure imeanza kutoa huduma ya Jumuishi za Tiba Asili. Huduma hii inatolewa kila siku za wiki
MABALOZI WA USALAMA BARABARANI KANDA YA ZIWA WATEMBELEA WAGONJWA SEKOUTOURE.
มุมมอง 256 หลายเดือนก่อน
Mabalozi wa Usalama Barabarani Kanda ya Ziwa wametembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekoutoure na kuwajulia hali wagonjwa mbalimbali walioathirika na ajali. Akimuwakilisha Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Sekoutoure, Dr Furaha Munema Daktari Bingwa wa Upasuaji amesema kuwa matendo ya hiyari kama ya kuwajulia hali na kuwafariji wagonjwa ni jambo Jema.
JITOKEZENI KUCHANGIA DAMU
มุมมอง 156 หลายเดือนก่อน
Ndg. Aidan Mtatina Afisa Mhamasishaji kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekoutoure anawaomba wananchi waendelee kujitokeza kuchangia Damu ili kuokoa Maisha ya watu wenye uhitaji
DENIS KASHAIJA AFISA MUUGUZI MWNDAMIZI KUTOKA HOSPITALI YA SEKOUTOURE RRH
มุมมอง 776 หลายเดือนก่อน
Elimu juu ya Huduma za Hospitali namna ya kujikinga na Magonjwa ambukizi ukiwa Hospitalini.
Dr. JAMES MAKORERE DAKTARI BINGWA WA UCHUNGUZI KWA KUTUMIA MIONZI.
มุมมอง 1077 หลายเดือนก่อน
Mkuu wa Idara ya Mionzi Kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekoutoure Dr. James Makorere anakukaribisha katika Idara ya Mionzi kwa Vipimo mbalimbali kama CT Scan, X-Ray, Echo, ECG na UltraSound
DR MESHACK SAMWELI DAKTARI BINGWA WA MAGONJWA YA AKILI AKIELEZA KUHUSU MAGONJWA YA AKILI
มุมมอง 64ปีที่แล้ว
DR MESHACK SAMWELI DAKTARI BINGWA WA MAGONJWA YA AKILI AKIELEZA KUHUSU MAGONJWA YA AKILI
WAFAMASIA MUENDE MKATOE ELIMU NA MATUMIZI SAHIHI YA DAWA, FRANCIS KASSENYE AFISA UTUMISHI.
มุมมอง 30ปีที่แล้ว
WAFAMASIA MUENDE MKATOE ELIMU NA MATUMIZI SAHIHI YA DAWA, FRANCIS KASSENYE AFISA UTUMISHI.
HOSPITALI SEKOUTOURE IMEANDAA HUDUMA ZA AFYA KUELEKEA KILELE CHA SIKU YA MWANAMKE DUNIANI.
มุมมอง 50ปีที่แล้ว
HOSPITALI SEKOUTOURE IMEANDAA HUDUMA ZA AFYA KUELEKEA KILELE CHA SIKU YA MWANAMKE DUNIANI.
IDARA YA MAGONJWA YA AKILI KUTOKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA SEKOU TOURE MWANZA.
มุมมอง 83ปีที่แล้ว
IDARA YA MAGONJWA YA AKILI KUTOKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA SEKOU TOURE MWANZA.
JUA UGONJWA WA SHINIKIZO LA DAMU DR. OSWIN MWEMEZI KUTOKA HOSPITALI YA SEKOU TOURE ANAELEZA
มุมมอง 72ปีที่แล้ว
JUA UGONJWA WA SHINIKIZO LA DAMU DR. OSWIN MWEMEZI KUTOKA HOSPITALI YA SEKOU TOURE ANAELEZA
DR BAHATI MSAKI KUHUSU BIMA YA AFYA KWA WOTE.
มุมมอง 112ปีที่แล้ว
DR BAHATI MSAKI KUHUSU BIMA YA AFYA KWA WOTE.
Bi. VERONICA MPONZI MUUGUZI MFAWIDHI WA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA SEKOU TOURE - MWANZA
มุมมอง 249ปีที่แล้ว
Bi. VERONICA MPONZI MUUGUZI MFAWIDHI WA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA SEKOU TOURE - MWANZA
DR ENGELBERT RAUYA MKUU WA KITENGO CHA ENDOSCOPY
มุมมอง 470ปีที่แล้ว
DR ENGELBERT RAUYA MKUU WA KITENGO CHA ENDOSCOPY
DR. GRAHAME MTUI DAKTARI BINGWA WA MAGONJWA YA NDANI KATIKA HOSPITALI YA MKOA WA MWANZA SEKOU TOURE.
มุมมอง 485ปีที่แล้ว
DR. GRAHAME MTUI DAKTARI BINGWA WA MAGONJWA YA NDANI KATIKA HOSPITALI YA MKOA WA MWANZA SEKOU TOURE.
IDARA YA DHARURA KUTOKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA MWANZA SEKOU TOURE.
มุมมอง 893ปีที่แล้ว
IDARA YA DHARURA KUTOKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA MWANZA SEKOU TOURE.
DR INNOCENT KAIZA DAKTARI BINGWA WA MAGONJWA YA AKINA MAMA NA UZAZI.
มุมมอง 1.4K2 ปีที่แล้ว
DR INNOCENT KAIZA DAKTARI BINGWA WA MAGONJWA YA AKINA MAMA NA UZAZI.
DR CASMIR RICHARD DAKTARI BINGWA WA KINYWA NA MENO.
มุมมอง 2.8K2 ปีที่แล้ว
DR CASMIR RICHARD DAKTARI BINGWA WA KINYWA NA MENO.
KATIBU TAWALA WA MKOA MWANZA Mhe. ELIKANA BALANDYA AMEFUNGUA KAMBI YA MADAKTARI BINGWA SEKOU TOURE.
มุมมอง 722 ปีที่แล้ว
KATIBU TAWALA WA MKOA MWANZA Mhe. ELIKANA BALANDYA AMEFUNGUA KAMBI YA MADAKTARI BINGWA SEKOU TOURE.
Mhe ADAM MALIMA AMETOA TAARIFA JUU YA KAMBI YA MADAKTARI BIGWA SEKOU-TOURE MWANZA
มุมมอง 332 ปีที่แล้ว
Mhe ADAM MALIMA AMETOA TAARIFA JUU YA KAMBI YA MADAKTARI BIGWA SEKOU-TOURE MWANZA
❤
EXACTLY
Tunaomba namba yako plz
Habari Yako doctor na kupunguza urefu wa meno na upana bei gani samahani
Inapendeza zaidi
Samahani doctor mm ni mama wa watoto wawili lakini nilisha fanyiwa opareshen 4 watoto wawili ni bahati mbaya nimekuja huku naomba ushauri kwamba nilisha funga kizazi lakini pia natamani kupata mtoto ama watoto wengine je naweza funguliwa kizazi nilicho fungwa please naomba ushauri wako doctor
Seketure .mukoagani
doctor naomba kujua me ninamwanya na siuped naomba kuziba gharama yake ni shgp
mmmmmmmmmmmmmmh we nawe
Asante sana uduma zenu ziko vizur
Asante doctr wng
Tunaomba namba doctar
Nateseka jamani meno yameisha munisaidie mi sio skari yanatoboka nakuuma na kupelekea kungoa
Samahan dokta vidonge vya uzaz wa mpango vinasaidia kupanga homon ?
Naomba namba yako
Mnasafisha meno kwa pesa ngapi
shukrani sna, unakaribishwa kuonana na daktari kila siku ya jumatatu hadi ijumaa saa moja na nusu hadi sa tisa na nusu kwa ajili ya uchunguzi wa kinywa chako na ushauri zaidi karibu sana
Doctor naomba namba yako
nahtaji mawsiliano yako
Tunaomba namba yako
Ninaomba namba yoko doctor
Jino lakuto kutoa shingapi na mnapatikana wap
Dr mm mbona nakojoa sanaa nn shida naomba msaada
Dr mm nashida mbona nakojoakojoa sana Sina mimba wala
Dactar nina shida naomb namb zako
Nashukuru, Karibu hospitali
#Great
shukran sana
nataka kumuekee baba yangu
doctor mimi nauliza kuweka meno ni bei gani
Tsh 25000 kila jino. Karibu sana
yakuweka bila kuyatoa bei gani
Jeyale yakkuweka bila kutoa shingapi doctor @@sekoutourerrh
2:13 @@sekoutourerrh