KUFUNGULIWA KWA NDOA ILIYOFARAKANA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 มิ.ย. 2021
- Ibada iliyofanyika Katika kanisa La Vuka Yordan Ngaramtoni Arusha Tanzania,Na kuongozwa na Mtumishi wa Mungu Bishop Elibariki Sumbe.
Follow kurasa za Bishop Sumbe,Bofya Link Hapa Chini.
/ bishopelibarikisumbe
/ bishopelibariksumbe
Website
Vukayordani.Org
LIKE | COMMENT | SHARE.
UBARIKIWE.
#VukaYordaniChurch #NgaramtoniArusha
Nami nifunguliwe kwa jina la yesu walio tamka kinyume na ndoa yangu nafuta
Afunguliwapo nami,nafunguliwa kwani jina:lucrencia la YESU KIRSTO
Mungu nimwema
Asante YESU
Shetani Ni mbaya Sana
Amen,,,, MUNGU tusimamie ulimwengu umejaa vita
Kama Kuna mtu Yuko na number ya bishop sumbe naiyomba tafazali
Mimi Niko na mtoto mwenye hatembei haongei na amemaliza Miaka miwili haketi hatembei
Amen,I connect with that testimony
Mtumishi na mm nimefunga ndoa lakini mme wangu anaowa kila kukicha naomba unisaidie baba
Amina sifa na utukufu apewe Bwana
Aisee hii imeniliza ...😭😭
Amen
Mungu naomba na mimi nifungue kila vifungo nillivyo fungwa ktk jina la yesu nipone
Kama dada huyu alivopokea ndoa yake tena na kurudiana na mume wake,na mimi napokea kwa jina la yesu....mume wangu arudi tuishi pamoja
Eeeeee mwenyezi mungu nisaidie mm katika maisha yangu kwasa babu chuo nmfelishwa nisaidie
Mungu endelea kumpiganiatumishi wako sumbe
Eemeeeee mungu naomba unifungue nami pia
Hé mungu utusaidiye si si watoto wako😭😭😭😭
amena
Mtumishi Mungu akubariki na kukuinua zaidi.ningeomba Kama itawezekana hao wanaopona na kufunguliwa warudj kuja kutoa ushuhuda ili wasioamini nguvu ya Mungu waone waamini.
Amina mungu ukanifungue na.mimi
Waibike kwa jina la yesu
Amen..I thank God for this far please Bishop naomba unikumbuke katika maombi
Nimekuku bsli mtishi rmeerr
Hata mm ndoa yangu iliharibika tu hivo shida nyingi madeni yanimaliza baba Ee,, Mungu wangu nisaidie mm na watoto wangu 😭😭
Mtumishi fungua uchumi wetu na kazi ya mme wangu
Ameeeen Ee,, Mungu naomba unifungue nami pia😭😭😭😭
Naitwa peter niko lindi Tanzania nabarikiwa navuka jordan ubarikiwe mtu wamungu
😅Ameeeen 🙏 🙏 🙏 Amen 😊
Amen amen amen
Amen 🙏 kubwa
Amen from kenya
Bwana yesu asifiwe
Amen baba nami napokeya mumewangu kupitiya maombi aya
See
My name is too free
Cyo yyee jamani anafanana nae
Aamina mungu nifungue
Amen.amen
Saidiya bote beko kwelini mungu baba
Hata..mm.maisha.yangu..hiko.hivyo..heee.mungu.ni.saidie...na.ya.pili.hata.watoto.hatuelewani..heeee.mungu.nisaidie.madeni.kimbao
mchungaji sumbe nakupata
🙏
Amen..
Ft
Pastor thanks pray for other families Joel's family
Peta nyaga
Niko nafata mawumbiri Yako macozi inatoka
Mimi mme ame nivunja mikono mimba kuaribu naku niacha mikono wazi. Jamani naweza je kuhusiliana na mtumishi?? Hizi number kwenye screen napiga hawajibu.
Funga safari uwende kanisani kwao cjui wp
Amen
Amen,I connect with that testimony
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen