RAIS SAMIA ATOA MILION 700 KWA TAIFA STARS ,NI BAADA YA STARS KUTINGA OFCON.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 78

  • @shukranikasereka716
    @shukranikasereka716 3 วันที่ผ่านมา

    Congratulations for our good neibors.🇨🇩🇹🇿🇹🇿🇨🇩.
    tukutane Morocco❤.
    Mungu atubariki🙏

  • @mozejcs9160
    @mozejcs9160 3 วันที่ผ่านมา +1

    Kuna possibility kubwa viongozi wakuu wakawa wanachota sana kodi zetu na kujigawia maposho makubwa makubwa na hakuna wa kuwauliza! Hii serikali am sure ina harufu ya kifisadi

  • @TimothJoseph-b6c
    @TimothJoseph-b6c 4 วันที่ผ่านมา +2

    Hongera Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hasani kwa kuendeleza michezo Tanzania.

  • @AmaniRashidi-i9b
    @AmaniRashidi-i9b 4 วันที่ผ่านมา +7

    Watu wamekufa na wengne wame acha watoto lakin huja toa kauli ya kusomesha watoto hao wala msaada wowote Zaid ya maziko 😢 ila 700m kwa mchezo 😢 ujinga mtup

    • @Yohanankwabi-e9o
      @Yohanankwabi-e9o 4 วันที่ผ่านมา +4

      Maisha brother sema ote tutaludi tuliko toka acha watambe wakati waooo😂😂😂😂

    • @EmmanuelyPaschal
      @EmmanuelyPaschal 3 วันที่ผ่านมา +1

      𝑈𝑚𝑒𝑜𝑛𝑔𝑒𝑎 𝑝𝑜𝑖𝑛𝑡

    • @TumsifuSaidi-h9k
      @TumsifuSaidi-h9k 3 วันที่ผ่านมา +1

      Kaka amani pesa hainunui uhai lakini pia Kwa pesa selikali imejitolea Kwa matibabu na gharama za uokozi mazishi na kusafirisha miili , lakini duniani huwezi kumridhisha kila mtu

    • @EmmanuelLankama-wh6kg
      @EmmanuelLankama-wh6kg 3 วันที่ผ่านมา

      Wakati magufuri anawagawia viwanja dodoma ww alikupa nn?

    • @kasimkassam9565
      @kasimkassam9565 3 วันที่ผ่านมา +2

      walikufa ni watazania na walioshinda michezo ni watanzania na huyo ni kiongozi wa hali zote shida na raha sasa shida nini kwa hiyo hali hiliyo tokeya pale kariakoo je nchi nzima izimike kwa kuwa tuko na maafaa

  • @rukiafaraj1400
    @rukiafaraj1400 3 วันที่ผ่านมา +1

    Mi naomba milioni tatu tu! Ukweli bila dhihaka na shida sana na hy pesa

  • @pascalkipande460
    @pascalkipande460 4 วันที่ผ่านมา +4

    Alipe malimbikizo ya mishahara basi, watu wanadai pesa walizotolea jasho Kwa miaka Sasa lkn hola. It's unfair.

    • @WahabiAbdallah-k4v
      @WahabiAbdallah-k4v 3 วันที่ผ่านมา

      KAMA BABA YAKO HAJALIPWA MPAKA LEO HUYO HAKUWA MWAJILIWA WA SERIKALI...ALIKUWA ANAFANYAKAZI KWA WAHINDI MAPONJOLO KWAHERI

  • @ThomasMmary-r7w
    @ThomasMmary-r7w 3 วันที่ผ่านมา +2

    Hongeraaa star's ❤

  • @humoudalexy2866
    @humoudalexy2866 3 วันที่ผ่านมา +1

    Watanzania wanadhiki na njaa pesa zao mbazifanyia siasa

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo 3 วันที่ผ่านมา +1

    Watanzania ni bei rahisi sana , hununuliwa kama marahaba ili wawapigie kura maccm.
    Samia ana hela ya kununua kura na si kuleta maendeleo ya nchi....
    Rushwa ..Rushwa na rushwa kila kona ili tumpigie kura....
    Natas huo ukondoo!!

  • @LucaCharles-uf9tw
    @LucaCharles-uf9tw 4 วันที่ผ่านมา +2

    Siyo mbaya kutoa motisha lakini napata wakati mgumu...kidogo watu ambao wana-maisha mazuri naweza kusema kwa maisha ya kawaida wapo vzr halafu utaskia kila familia iliyopata janga imefarijiwa kwa kupewa 1m daaa hii Nch

    • @TomiYasu-h9m
      @TomiYasu-h9m 3 วันที่ผ่านมา

      Ajari zinatokea mara nyingi sana kwahiyo unataka serikali kila linapotokea janga walipwe sh ngap

  • @barnaba3037
    @barnaba3037 4 วันที่ผ่านมา +4

    Watu wanakula mlo mmoja hii nchi kumbukeni

    • @elimbotoraphael3940
      @elimbotoraphael3940 4 วันที่ผ่านมา

      Kucheza pia siyo rahisi kama unavyofikiri.watu wafanye kazi

    • @barnaba3037
      @barnaba3037 3 วันที่ผ่านมา +1

      @ Kwahiyo watanzania masikini wote ni wavivu?

    • @elimbotoraphael3940
      @elimbotoraphael3940 3 วันที่ผ่านมา

      @@barnaba3037 sijasema hivyo ila hakuna pesa inayotolewa bila juhudi.

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 4 วันที่ผ่านมา +3

    Unalaumu zawadi ya 700,000? Huwezi jua, kama akitoa biliini hata 2 au 3 kwa wahanga kariakoo utalaumu serikali kuwa wametoa fedha nyingi? Watanzania tuna viherehere sana na shukrani hatuna.

    • @LucaCharles-uf9tw
      @LucaCharles-uf9tw 4 วันที่ผ่านมา +1

      Brother unakumbuka wakati WA janga la Hanan'g Alitoa nini Kwa wale Wa Athirika Wa lile janga....so Leo ndo Atowe Billion broo hahaaa Ebu kuwa serious kdg ktk kuchangia hizi Mambo

  • @GodfreyMbilinyi-kx7qb
    @GodfreyMbilinyi-kx7qb 3 วันที่ผ่านมา

    Congore taifa stars 🎉🎉

  • @JohnKabuka-o7h
    @JohnKabuka-o7h 3 วันที่ผ่านมา

    Mwacheni afanye kazi. Yake acheni siasa

  • @annemkwizu6200
    @annemkwizu6200 3 วันที่ผ่านมา +1

    Sawa kabisaa

  • @jonyjaksony
    @jonyjaksony 3 วันที่ผ่านมา

    Nchi Hii ngum sna

  • @simonmwandu2214
    @simonmwandu2214 2 วันที่ผ่านมา

    Pesa kidogo san kma nchi wapeni japo milion hamsin kila mchezaji na bench la ufundi

  • @FrancisThomas-jc8wq
    @FrancisThomas-jc8wq 3 วันที่ผ่านมา

    Aliye nacho anaongezewa,asiye nacho anaongezewa kodi.,duuh!!!.

  • @TrustElbashil
    @TrustElbashil 3 วันที่ผ่านมา

    Watu wanakufa mahospital mnaosema hakuna dawa ilihali pesa mnatumika vibaya lakini mungu anakuona Samia kwa uzembe unao kufanya

    • @GivenTobago
      @GivenTobago 3 วันที่ผ่านมา

      we ni mwongo na huna research Africa mashariki na kati kwa sasa Tanzania ndiyo inayoongoza kwa huduma bora za Afya mapungufu yapo lakini sio mengi acha kupotosha truth to be told

  • @AshimHamiss
    @AshimHamiss 4 วันที่ผ่านมา +1

    Asante sana mama wewe unaejaji watu wamekufa tamko halijatolewa eatoto watasomeshwa kumbuka hini michezo na hii widhara yamichezo haihusiani na watukufa

  • @emmanuelmasabo8194
    @emmanuelmasabo8194 4 วันที่ผ่านมา +3

    Duuu! Haya maisha jamani, mil.700

  • @herberthatibu8439
    @herberthatibu8439 4 วันที่ผ่านมา +1

    Tunaomba mgao uwafikie wote hata wale wachezaji walioachwa kipindi hiki

  • @abdallahkaskas6168
    @abdallahkaskas6168 4 วันที่ผ่านมา +2

    Kwani Mama KARIAKOO katoa pesa ngapi ... Mbona kama limenipita hv😂😂

    • @gervaslukaya
      @gervaslukaya 4 วันที่ผ่านมา

      Awajielewi hao wanaosema mabaya tu

    • @gervaslukaya
      @gervaslukaya 4 วันที่ผ่านมา

      Awajielewi hao wanaosema mabaya tu

    • @gervaslukaya
      @gervaslukaya 4 วันที่ผ่านมา

      Awajielewi hao wanaosema mabaya tu

    • @MaguguStore
      @MaguguStore 4 วันที่ผ่านมา

      Anampa nani? Hiyo ni kamati ya mahafa

    • @LucaCharles-uf9tw
      @LucaCharles-uf9tw 4 วันที่ผ่านมา

      Usitegemee KUTOA zaidi ya 3m Kwa familia Athirika jikumbushe kdg Yale maafa ya mlima Hanan'g Kule katesh Staz ilizawadiwa nini na wale wafiwa walifarijiwa Kwa Kiasi gani...Kama hukumbuki nadhani walipewa 1m Kwa Kila marehem Kama nitakuwa sijasahau Sana

  • @EmmanuelJeremiah-r2s
    @EmmanuelJeremiah-r2s 4 วันที่ผ่านมา +1

    Ipo kaz alieshba anaongezewa chakula ngoja tuone panaanza kuchangamka

  • @allykimeru944
    @allykimeru944 4 วันที่ผ่านมา +1

    Duuu vipi wahanga wa kariakoo na maendeleo ya barabara mbovu za mitaani

  • @ramadhankatto9517
    @ramadhankatto9517 4 วันที่ผ่านมา +1

    Kwenye mgao wapewe wote hata walioachwa mfano Ally salim amecheza mechi 4 manula amecheza mechi 2 kuna himidi mao kuna Edwin balua. Seleman mwalim wote waliochaguliwa kweye timu waliopo na walioachwa mgao uwe sawa bin sawa

    • @MeshackManoja
      @MeshackManoja 4 วันที่ผ่านมา +1

      Ali salimu asikose jaman

    • @esterkessy6940
      @esterkessy6940 4 วันที่ผ่านมา +1

      Kweli kabisa jaman wote walioitwa toka mwanzo wasikose

  • @hamisidd8124
    @hamisidd8124 3 วันที่ผ่านมา

    Mama yetu usimuangalie kwa jicho la kawaida huyu mama ana maono ya mungu ,hakuna rais aliye wahi kufanya anayo yafanya mama yetu kipenzi Dr Samia suluhu hasani nani Kama mama

  • @RashidHamis-o6w
    @RashidHamis-o6w 3 วันที่ผ่านมา

    Wooote mnaongea sana kuhusu hizo m700 alizotoa mama kwani mnahisi amefanya makosa, na kabla maafa hayajatokea alikuwa akitoa zile m5 Kwa kila goli mbona hamkuzijadili? Ebu tuacheni unafki jamani au mnataka tuludi nyuma wakati tunasonga mbele,tusiige vitu ambavyo havinamsingi katika nchi yetu 🇹🇿 mungu ibariki Tanzania oyeeeeee 🇹🇿

  • @ANNAKISIGA-pc5qs
    @ANNAKISIGA-pc5qs 4 วันที่ผ่านมา +1

    Wwwe kweli bwege msuva kakosa mara mbili fei toto kapaisha

    • @JosephChrisant
      @JosephChrisant 4 วันที่ผ่านมา

      Kwanini mnapenda kutumia lugha chafu pasipo stahili?. Sasa waziri hapo ana kosa gani!?.

  • @Khaleed5767
    @Khaleed5767 4 วันที่ผ่านมา +2

    HII NCHI .. NGUMU SANA.. KESHO KWA MWENYEZI MUNGU TUNA MENGI SANA YA KUJIBU...

    • @gaudencemhagama7216
      @gaudencemhagama7216 4 วันที่ผ่านมา

      Ndugu yangu upo sahihi sana hakika Mungu atusamehe sana dhambi zetu

    • @HusseinMaarufu-zf1kc
      @HusseinMaarufu-zf1kc 4 วันที่ผ่านมา

      Kwaiyo hawa sio watanzania hawastairi kula keki yataifa? mbona hivo ndugu zangu

    • @gaudencemhagama7216
      @gaudencemhagama7216 3 วันที่ผ่านมา

      @HusseinMaarufu-zf1kc inatakiwa ujiulize kupitia hilo wew na mimi tunapata faida gani?

  • @emmanuelmwashinani3617
    @emmanuelmwashinani3617 3 วันที่ผ่านมา +1

    La!!!!! ????? MUNGU ASAIDIE NCHI HII

  • @IbrahimMahmoud-em1np
    @IbrahimMahmoud-em1np 4 วันที่ผ่านมา +1

    Hatuna jema

  • @sulaimanalmaskari1715
    @sulaimanalmaskari1715 3 วันที่ผ่านมา

    Ww haujui nn serical inafikiria sulala la kariako.

  • @WahabiAbdallah-k4v
    @WahabiAbdallah-k4v 3 วันที่ผ่านมา

    ULIIZWE WEWE MAMBO ÑCHI HII KWANI WEWE UNADHAMANA GANI...ZAIDI YA KUANDIKA UNAFIKI MITANDAONI...HUNA KAZI YA KUFANYA...KAA MBALI ..ACHA UNAFIKI WAKO...KENGE BLUE...TAFUTA KAZI UFANYE

  • @IsakaKinyonga
    @IsakaKinyonga 3 วันที่ผ่านมา

    Kunawatu akilizao zinawaza uchanguzi 2 kuliko hata majukumu yao yamsingi hii ndio tanzania

  • @kaesarka3243
    @kaesarka3243 4 วันที่ผ่านมา +1

    Sisi Congo tuna fula

  • @Pelegrinoemanuel
    @Pelegrinoemanuel 4 วันที่ผ่านมา +1

    Milioni 700 si wangelipwa wahanga wa gorifa😢

    • @fahadrashid9754
      @fahadrashid9754 4 วันที่ผ่านมา

      Watapewa zaid ya hyo... acha mama ajitengenezee mazingira kw vijana

    • @fahadrashid9754
      @fahadrashid9754 4 วันที่ผ่านมา

      Kumbe ukiskiliza adi mwisho utataman ufute coment

  • @PeterMwalusanje
    @PeterMwalusanje 4 วันที่ผ่านมา

    Milioni 700 dah hatar Sana

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 4 วันที่ผ่านมา

    Kina ali salimu wasisahauliwe

  • @MusaJuma-y6s
    @MusaJuma-y6s 4 วันที่ผ่านมา +1

    Duuu

  • @NeemaDaud-fl3xe
    @NeemaDaud-fl3xe 4 วันที่ผ่านมา

    Mmmmh

  • @AbediTwaha
    @AbediTwaha 3 วันที่ผ่านมา +1

    Acha upumbavu wewe, unadhani kila anacho kifanya lazima akitangaze?kwani ujui kua kila jambo lipo mikononi mwake?kwenye michezo ametoa,na kwenye maafa pia ametoa tena zaidi ya iyo

  • @SidatiSaidi
    @SidatiSaidi 4 วันที่ผ่านมา +1

    sisi huku barabara mbovu ikinyesha mvua tu hakuna gari inaweza kutoka nangurukuru kwenda lwl

  • @BensonKibet-s3m
    @BensonKibet-s3m 4 วันที่ผ่านมา +2

    Kampen hizo

    • @BensonKibet-s3m
      @BensonKibet-s3m 4 วันที่ผ่านมา

      Wanapiga kampeni😂😂😂

  • @WahabiAbdallah-k4v
    @WahabiAbdallah-k4v 3 วันที่ผ่านมา

    ACHENI UNAFIKI WENU KILA KINACHOTOLEWA NA MHESHIMIWA RAIS KIKO KWENYE FUNGU LAKE...NA MAAFA YANA FUNGU LAKE KITAIFA...

  • @nemeskimbe376
    @nemeskimbe376 4 วันที่ผ่านมา

    Aiseee!!!!