Nawakubari sana lakini nikukumbushe mitaji wakati Zambia anatwaa Afcon captain wao Christopher Kitonga alikua anacheza ligi ya china kwa hiyo sio wote walikua wanacheza ndani ya Afrika
Chagamba. Dortmund na Bayern München sio Derby kabisa... Bora uiite Classico, Derby Ya Dortmund ni Leverkusen, Schalke, Köln, ushaelewa. Bayern Derby na 1860 München
Ivi chagamba huumii hilo nega unapokua unamuhoji miraji mara Moja maana kiukweli kazi unayo ila kama unaumia mtuambie apunguze kupiga makofi yani anapiga makofi kama nyani dah
Makocha wa kigeni miyeyusho sana !! Bora kubaki na mzawa tu tunajuana wachezaji wetu ndo hawa hawa!! Hao wa kigeni wataleta kachumbari nyingi mwisho wa siku timu inawaelemea !!
@@fahadfaraj6474 Bisha kwa hoja! Na Mimi matusi nayajua bro! Kwani Tanzania tumefuzu mara ngapi!? Tumefika wapi kwenye hayo mashindano!? Kwanini hutafikagi hata robo fainali!? Ni kwasababu TAIFA STARS chini ya TIFUATIFUA (tff) inaendeshwa kihuni! One, TAIFA STARS is lowly funded!( ( Inawezekana ela zipo zinapigwa),PILI, selection ya Wachezaji wa TAIFA STARS kwa miaka mingi, unachaguliwa na tff SIO kocha,hujui MTU tff ,huichezei TS! Tuliona selection tulipocheza na Ethiopia! Ukikorofishana kiongozi tff,huchezi! Tatu,QUALITY ya makocha Tz bado NI ya chini,ndo maana huwezi kuona hata vilabu vya nje ya Tz vikimchukua kocha yoyote from tz! Nne,maandalizi ya TAIFA STARS huwa ni ya Hali ya chini! Wachezaji wengi wasingekua wanatoka Simba na YANGA( wanaandaa Wachezaji wao vizuri) hatuna timu!( SIO kusema hatuna vipaji) Tanzania tutaandaa Afcon 2027,nambie tff inaandaje viwanja vyetu!!? Mafanikio katika haya mashindano kama afcon,world cup qualifications NI maandalizi na maandalizi SIO kwenye mdomo! Mimi nasema tuaenda Morocco kutia aibu kama huko awali! Tanzania SIO mpira Tu,hata mchezo mwingine,kwanini tunakuwaga wasindikizaji??HAYO NDO MJIULIZE! FACTS ARE FACTS!
Ongera Fisto Kalala Mayere umempambania Msuva mpaka katupeleka Morocco 🇲🇦 🙌
Miraji uko vizuri. Endelea kutupa uchambuzi wa maana. Wewe ni mtu wa mpira kweli. Nipo pamoja nawe.
Kuhusu rais wa nchi kusapoti mpira wa miguu rais Samia s hasani kawafunika Marais wote waliopita maua yake apewe salute Kwa madam president
Hongela saimon Msuva Mungu akubarii sana umetuvusha salama Taifa stars asante sana Amen
Unaposema hivyo unamaanisha Msuva amecheza peke yake?
Nawakubari sana lakini nikukumbushe mitaji wakati Zambia anatwaa Afcon captain wao Christopher Kitonga alikua anacheza ligi ya china kwa hiyo sio wote walikua wanacheza ndani ya Afrika
Nawakubali sana finest miraji umechambua vyema san😅
Chagamba pole sana miraji unavomfanyia mwenzio kwa mdadi wako sio vizuri unamuumiza ilo bega mwenzio
Ameshaota sugu mabega yote🇬🇷🇬🇷🇹🇿
Miraji unamuumiza chagamba bro unampiga sana mpaka naumia mimi
Chagamba na miraji nawakubali China moja hiiii miraji Anajua mpaka basi
Big up sana ma bro!!!!
Toka burundi miraji uwa nakukubari timu yote ya finest online tuko pamoja kabisa murahawe ikaze
Much respect gambaaaa🎉
Nimeshindwa cha kucomment kwa furaha nilionayo
Bega la Chagamba lishakomaa hivyo hata ukichukua kisu huwezi kulikata
😂😂😂😂😂😂
Chagamba.
Dortmund na Bayern München sio Derby kabisa...
Bora uiite Classico,
Derby Ya Dortmund ni Leverkusen, Schalke, Köln, ushaelewa.
Bayern Derby na 1860 München
Mie wa kwanza leo
Nakubali chagamba na miraji
Chagamba kachukue lori lako la mazagazaga mabibo
Nakubari
Nakufatilia sana gambaa na milajii mm ni yanga
p1 wadau
Kama Kawa na makochali
Nakukubali sana miraji❤
Dah Mraji baba mbona makofi mengi
Miraji unajua mpira nakukubali san
UTOPOLO NDOO WANAOLOPOKA LOPOKA NA MCHOME ILI UTOPWAX WAJE WATUFUNGEE 5
Nawakubal ila mzee said pleas
Ivi chagamba huumii hilo nega unapokua unamuhoji miraji mara Moja maana kiukweli kazi unayo ila kama unaumia mtuambie apunguze kupiga makofi yani anapiga makofi kama nyani dah
Atakua na sugu mabegani
😂😂😂😂😂😂
Nataman kipindi kisiichage kinanipa lahaa sna
Kaka umesahau kibu
Chagamba na wewe uwe unampiga piga miraji bega ukiwa unaongea ili iwe ngoma droo
Ila wacongo hawakua Wana tutaka tuingie
Acheni sifa mingi
😂😂😂😂
Acha ujinga wewe apewe timu hana lolote mjinga huyo sialimuacha msuva huyo pumbavu kabisa
Makocha wa kigeni miyeyusho sana !! Bora kubaki na mzawa tu tunajuana wachezaji wetu ndo hawa hawa!! Hao wa kigeni wataleta kachumbari nyingi mwisho wa siku timu inawaelemea !!
Chagamba ww ndio unafulaa 2 moja afukoni yapili mzigowako mabibo
MIRAJI MTU NA NUSU ANACHAMBUA MPIRA SIO UCHINGA
Manula atutak akàe golin
Wewe bora ukae kimya mjinga
Kashangilie tenis mpira una watu wake
k
Kipofu kaona mwezi kelele kibao
Kwani we ulitakaje Ngombe wew!! Kama wew ni raia wa guinea ndo kama hivo tushawashenyentha!!
Kwa maoni yangu Stars bado ni mbovu,tukienda na kocha huyu ,itakua kama kawa,kusindikisza!
Kaifundishe wewe
We jamaa lazma utakua unanuka mdomo
@@fahadfaraj6474 ni kweli
@@ummukuluthumuqurantv7177 we mtu anaroho mbaya ka nini