Ahsante Mungu kwa kutusimamia tumevuka kwenda Afcon. Ahsante Watanzania,ahsante wachezaji na waalimu wetu,ahsante sana mhe Rais wetu. Mungu ibariki Tanzania.
Kwani Zanzibar na Tanganyika si wameunda nchi Moja jamani umoja ni nguvu utengano ni udhaifu nchi kama urusi, china , India , canada ni nchi kubwa sana sana
😢 ili nalo cjui limetoka burundi?? Watanganyika na wanzanzibar ndo upumbavu gan unatuongelesha hapa ??? Sisi wote ni watanzania tutolee ubaguzi wako wa kiburundi burundi
@@murattywamuratty9778 Fei hajui dini yake maskini yaani furaha ni ulevi tu engesema furaha yangu ni kutoa sadaka sana au kuwasaidia watu sana au kwa chakula muone Said Manne anavofanya Kaka
Allah akuongoze ivyo ivyo usilewe wala stareh ambazo hazinamafunzo kidini
Ahsante Mungu kwa kutusimamia tumevuka kwenda Afcon.
Ahsante Watanzania,ahsante wachezaji na waalimu wetu,ahsante sana mhe Rais wetu.
Mungu ibariki Tanzania.
Mwisho neno la muungano pia limekuwa tatizo kiufahamu, bora kungekuwa na jina lengine ili huu ubaguzi uishe na kubaki utaifa, Tanzania moja timu moja
Hongeren sn wachezaji wetu
Zanzibar oyee tanzania oyeee
Acheni ubaguzi hakuna uzanzibar Wala utanganyika sisi niwatanzania sote tunatakiwa tufiraiye acha maneno yaubaguzi 🇹🇿🇹🇿
Wwtanganyika wachukueni Wazanzibari wengi ktk Timu ya Taifa
SOTE NI WA TANZANIA ILA ZANZIBAR IKIKUBALIWA KUPELEKA TIMU MASHINDANO YA CAF KAMA NCHI INA WACHEZAJI WAZURI
Kwani Zanzibar na Tanganyika si wameunda nchi Moja jamani umoja ni nguvu utengano ni udhaifu nchi kama urusi, china , India , canada ni nchi kubwa sana sana
Mmi wallah cipendi ccm ila sijawahi kuwachukia watanzania bara siasa zachuki hazina nafasi tena tafadhali usilete ubaguzi
Kaka watakutukana ila tumekupeni Dokta Msaidizi katoka Zenji Coach katoka Zenji Fei Muda na beki wa Mashujaa kwa io sio mbaya kwa muono wako
😢 ili nalo cjui limetoka burundi?? Watanganyika na wanzanzibar ndo upumbavu gan unatuongelesha hapa ??? Sisi wote ni watanzania tutolee ubaguzi wako wa kiburundi burundi
Mashallah Amen
One love one Nation.Jahbles
Comment za ubaguzi no.
Sahihi kabisa maana Kuna mijitu haijielewi sijui wakojeee
Shida c ubaguzi shida ni sisi tuliochanganya si tutawabagua ndugu zetu
❤❤❤❤❤
Jini katoka kiti hoi
Saf san wananguwa wafaida
3:08
wana ao
All of all tz kwanza
Fei umekosea kuongea ivoo kimadil ,ungekuwa unalewa ndo nini
Swadakta si maneno ya kuzungumza ayo
@@murattywamuratty9778 Fei hajui dini yake maskini yaani furaha ni ulevi tu engesema furaha yangu ni kutoa sadaka sana au kuwasaidia watu sana au kwa chakula muone Said Manne anavofanya Kaka
Hajakosea, kasema kama angekuwa analewa