Ahmed Ally hatafuti umaarufu bali umaarufu wenyewe ndio unaomtafuta AHMED,Semaji letu piga kazi baba,wanasimba wote tuko nyuma yako.Bigup sn bro,unafanya kazi iliyotukuka
Katuyumbisha sana huyu mzee muhuni yeye ndo kawaaribu wachezaji chama ,manula ,inonga, saido,baleke alafu kwa makusudi kabisa akaaribu kipaji cha phiri
Huyu TRY again mnafki maana yy ndye alie sababisha timu kufungwa 5 na yanga pia huyu jamaa hatumtaki simba anklets mgawanyiko pale klabu hatuta kiongozi mwenye tabia za kike.
Try again aangalie sana kihere here cha kupiga simu na kumfariji huyo mkuu wa mkoa smbae tayari ahmed ally .alishamuachia taa nyekundu.asiturudishe huko nyuma hii simba ni ya ubaya ubwela
Wengine sio watu wa mpira ni vituko wakati wa simba ipo vibaya hawakuwa wana sema chochote alikuwa ahamedi peke yake sasa leo simba imekaa vizuri wanataka kuwa wasema huko ni kujipendekeza wewe ahamedi piga kazi wewe ni mkweri mungu yupo atakusimamia kira jambo hapa duniani
Kwa semaji la caf msiguse kabisaaaaaah,maana wanachama wa simba tutaandamana nchi nzima, mwacheni kipenzi chetu sisi wana ubaya ubwela Ahmed Ally ndio furaha yetu sisi wapenda soka especially wanasimba.
Try again yupo tokea friends of simba kipindi icho hizi timu ziko taaban , try again ye mwenyewe anapesa kibao pili ni mtu wa mo , mo anahela mara mia ya huyo gsm atumike vp sasa hizo mistake tu msisingizie watu
@@fahadfaraj6474helaa sio shidaa imani na mpaka.pikoo hatunaaa miaka 3 timu chini yakee tunajivunia nn zaid3 ya goal 5 zakee za mchongooooo......!!! Mpaka pikoo mpigajiii na asitakee tuashee yaliyopitaaaa......
Si aende na pesa zake,huwezi kumshusha msemaji ambaye ana mamlaka ya kuongea,kama amekosea sio Try akurupuke kumkana Ahmed mbele ya halaiki,angemuita kama kakosea@@fahadfaraj6474
Ahmed ally alitutia nguvu sanaa wakati tuna hali mbaya ya matokeo. Sahivi tunainjoy ,wewe try again wataka kumbunja moto semaji wetu hatutaki michezo hiyo😮
Akuna msemaji. Mwenye moyo wa subra kama ahmed ally kapitia wakati mgumu sana miaka mitatu tulipoteza lakini alisimama na sisi kutupa moyo angekuwa msemaji mwingine tungepoteana
Simba inahujumiwa na viongozi wa serekali na itazidi kuhujumiwa kama watakuwa na woga wa kuwaanika ma RC Kama alivo fanya msemaji Simba lazima wajiamini
Huyu rudia Tena ni mshamba Mmoja tu nanimsenge na ndo mtu Ambae anatuhujumu pakubwa sana hajui kama Hamed ndo kaishikiria Simba Tena we rudia Tena mbwa kabisa
Tena ktk kiongoz wana simba imani yetu ndogo kwake ni yeye...!!! miaka 3 club chini yakee ni upigajii tuuuu.... Mpaka pikooo angalia yakoo tafazali ....!! Simbaa kubwaa kulikoo mtu yoyote yuleee........!! Tunasimama na msemaji wetu mpambanajiiii.....!!
Nafikiri try again ni wakala wa nyuma mwiko, ndo maana kwa miaka mitatu mfululizo alikuwa anatusajilia wachezaji wa mtumba ili kuipa nafasi Utopolo ya kuchukua Ubingwa, kiufupi hafai hata kuwa mjumbe wa Bodi
kwenye ili jambo sio kutumia ushabiki alichokia ahamedi ally sio sahihi acheni ujinga juzi zanziabar singida brak star waliingilia mazoezi ya yanga kabla ya mechi je mliona anashutumiwa mkuu wa mkoa yanga waliziachia mamlaka na badae singida walipigwa faini na shilikisho kwaiyo makosa ya simba kwenye ili tukio ni mengi sana simba tangu msimu uanze wamekuja na mpango kazi wa propaganda kila kabla ya mechi yao
Mungu yupo na Ahmed ally inshaalah atamsaidia katika Yote
Ahmed Ally hatafuti umaarufu bali umaarufu wenyewe ndio unaomtafuta AHMED,Semaji letu piga kazi baba,wanasimba wote tuko nyuma yako.Bigup sn bro,unafanya kazi iliyotukuka
Mzee mtitu uko sahihi kabisa 👏👏👏👏👏👏🙏🙏
Duh..!?
Again Again Again.Mzee MTITU big up sana
Mzee Mtitu Umeongea vizuri sana.
Mzee nimekuelewa vzr Simba nguvu moja
Mzee mtu wa maana sanaaa apewe maua yake
Basi mzee kamaliza
Katuyumbisha sana huyu mzee muhuni yeye ndo kawaaribu wachezaji chama ,manula ,inonga, saido,baleke alafu kwa makusudi kabisa akaaribu kipaji cha phiri
Msomi wa zamani yupo vizuri
Kweli kabisa mzee mtitu kapewa uwenyekiti miaka 3kafeli sasa hivi analeta choko choko ogea ukweli mzee
Mzee mtitu upo sahh, try again na mangungu ni wana siasa tuu sisi mashabik tunasimama na msemaj wetu Ahmed Ali
kabisa pia try agein alinhindwa kuongoza uwenyekiti naa alitufelisha ndio maana amechukua mwenyewe mo
Huyu TRY again mnafki maana yy ndye alie sababisha timu kufungwa 5 na yanga pia huyu jamaa hatumtaki simba anklets mgawanyiko pale klabu hatuta kiongozi mwenye tabia za kike.
Katika viongozi wote wa Simba,ninayempenda mno ni Ahmed Alli na Mo Dewji BAASI,❤❤
Mm pia
...hata mimi nampenda mo dewj na Ahmed ally semaji la CAF
Nampenda ahmedi Ali na mo pamoja na Simba yangu wengine sijawasoma Wana rangi nyingi
Try again aangalie sana kihere here cha kupiga simu na kumfariji huyo mkuu wa mkoa smbae tayari ahmed ally .alishamuachia taa nyekundu.asiturudishe huko nyuma hii simba ni ya ubaya ubwela
Try Again aache Majungu.
Wengine sio watu wa mpira ni vituko wakati wa simba ipo vibaya hawakuwa wana sema chochote alikuwa ahamedi peke yake sasa leo simba imekaa vizuri wanataka kuwa wasema huko ni kujipendekeza wewe ahamedi piga kazi wewe ni mkweri mungu yupo atakusimamia kira jambo hapa duniani
Uko sawa sawa mzee ❤
Uyo try atuacheeeee sio kiongozi aimba..alitufikisha apa miaka mitatu..ameona usajl unalipa sasa anaanza mdomo..alifel na akae kimya
Tena huyo try asiingilie mamlaka ya msemaji wetu tunampenda mpaka mwomisho kila mtu aplay kwenye part yake
Nikweli mzee mtitu
Ahmed ally asiguswe la sivyo huyo mtu tutakufa nae wamwache huyo kijana alitutoa mbali wasimguse la sivyo try again aanze safari ya kutoka haraka sana
😂😂😂
Kwa semaji la caf msiguse kabisaaaaaah,maana wanachama wa simba tutaandamana nchi nzima, mwacheni kipenzi chetu sisi wana ubaya ubwela Ahmed Ally ndio furaha yetu sisi wapenda soka especially wanasimba.
Anajifaragua tu aliuza mechi kwa kuwatumia wachezaji wa simba tumetimua wote kabaki tray again na manula ndo waujumu walobaki
Try ni chawa atuachie semaji letu tupo pamoja mwanzo mwisho mkitaka vita mumsakame semajiii letu tunampenda sanaaa ♥️🎉🎉🎉🎉
Try again.Ulikuwepo kwenye tukio???.Mwache semaji afanyekazi
Wala hakuwepo shobo tu zimemjaa hana jipya
HUYOO TRY AGAIN SISI WANASIMBA HATUMTAKI.
Nikuulize swali,we unajuwa kuwa ahmedy ally Kaz ya kuimba tarabu pale Simba amepewa na nani?
Unataka kujuwa ili iweje@@hassanrashid-l3u
HUYO NILIWAAMBIA ANATUMIWA NA GSM NI YANGA KABISA TRY AGAIN NDIO MAANA MIAKA 3 KAWAUZIA UBINGWA
Try again yupo tokea friends of simba kipindi icho hizi timu ziko taaban , try again ye mwenyewe anapesa kibao pili ni mtu wa mo , mo anahela mara mia ya huyo gsm atumike vp sasa hizo mistake tu msisingizie watu
Alijua kachochea kimya kimya na mkuu wa mkoa kamtaja live…uyo ni mbaya wetu
@@fahadfaraj6474helaa sio shidaa imani na mpaka.pikoo hatunaaa miaka 3 timu chini yakee tunajivunia nn zaid3 ya goal 5 zakee za mchongooooo......!!! Mpaka pikoo mpigajiii na asitakee tuashee yaliyopitaaaa......
Ni kweli jamaa anatumika huyu. Mpuuzi tu huyu atuachie timu yetu. Aliboronga miaka 3.hatakiwi kutia neno yeye ni mjumbe tu. Asimwingilie semaji
Si aende na pesa zake,huwezi kumshusha msemaji ambaye ana mamlaka ya kuongea,kama amekosea sio Try akurupuke kumkana Ahmed mbele ya halaiki,angemuita kama kakosea@@fahadfaraj6474
Mzee upo sahihi kabisa
Bwana jalibu aondoke tulisha mchoka
Nineambiwa nichague nani anapaswa kuwa makamu wa Rais SSC,NINGEMCHAGUA AHMED ALLY,nyuma ya MO
Ni kweli Mzee watu
TRAI AGEN HICHO ULICHOKIFANYA CY KIZURI SEMAJI LA CAF LIPO SAHIHI. TRAI ULITAKAJE? JAMANI MSIMVUNJE MOYO AHMED ALLY YUPO NA SIMBA IWE VIBAYA IWE VZR.
Taarifa kwa Umma ni kauli ya Club. Try Again amechemka. Apewe onyo
Huyu mzee yuko vizur mtsnda hamfikii ahmed ally ahmed anacheo kikubwa kuliko mtanda
Akae mbali sana na semaji letu
Try again chawa sana uyu jamaa mnafik anaihujumu simba kisayans sana lkin madudu yake yataonekana tu
Ahmed ally alitutia nguvu sanaa wakati tuna hali mbaya ya matokeo. Sahivi tunainjoy ,wewe try again wataka kumbunja moto semaji wetu hatutaki michezo hiyo😮
Akuna msemaji. Mwenye moyo wa subra kama ahmed ally kapitia wakati mgumu sana miaka mitatu tulipoteza lakini alisimama na sisi kutupa moyo angekuwa msemaji mwingine tungepoteana
Uko sahihi mzee has watu wasituchanganye
Huyo mzee mm na muheshimu Sana ila kwahilo amezingua kumkana semaji LA caf, kweli semaji ana mamulaka ya kuongea kula taarifa.
Simba inahujumiwa na viongozi wa serekali na itazidi kuhujumiwa kama watakuwa na woga wa kuwaanika ma RC Kama alivo fanya msemaji
Simba lazima wajiamini
Sio aache kututengenezea fitina Yan atupishe kabisa atuachie Tim tryagen mana alipewa nafasi yajuu lakin ndo alikua anatuchoma na kutuuza
Uyo tlai ageni nimsenge tu na ndio maana walimtimuwa kwakuwa alikuwa anakula mishaala ya wachezaji tapeli huyo
Huyu rudia Tena ni mshamba Mmoja tu nanimsenge na ndo mtu Ambae anatuhujumu pakubwa sana hajui kama Hamed ndo kaishikiria Simba Tena we rudia Tena mbwa kabisa
Semaji piga kazi tunakuamini
Hiyo ndio inaonekana wazo Try Agein anatumika na Yanga
Huyu try again aache huu upuuzi. Hana mamulaka kusema yeye si msemaji wa club.yeye ni mjumbe wa bod. Huyu Try achunguzwe isije kuwa anatuhujumu huyu.
mzee mtitu,ahmed leo kasema ni maamuzi ya simba sc kwa maana uongozi akiwemo na tryagain
Hao ndio viongozi ambao wapo Simba kwaajili ya upigaji tu na sio Kwa maslahi ya Simba
nikweli Mzee mtitu
Huyo niyanga mbwa kweli miaka mitatu pesa alipewa Fred umuache phiri baleke msenge
Hata sisi Wana chama wote wa Simba tunasimama na Ahmed Ally
Asitukumbushe machungu ya tano kipindi ahmedi anatufariji yeye yupo yangawezake wanakula staree
Tena ktk kiongoz wana simba imani yetu ndogo kwake ni yeye...!!! miaka 3 club chini yakee ni upigajii tuuuu.... Mpaka pikooo angalia yakoo tafazali ....!! Simbaa kubwaa kulikoo mtu yoyote yuleee........!! Tunasimama na msemaji wetu mpambanajiiii.....!!
Huyo Try Again hatumtaki
Nafikiri try again ni wakala wa nyuma mwiko, ndo maana kwa miaka mitatu mfululizo alikuwa anatusajilia wachezaji wa mtumba ili kuipa nafasi Utopolo ya kuchukua Ubingwa, kiufupi hafai hata kuwa mjumbe wa Bodi
Wengi wape maana wote hatumtaki sasa basi ajiongeze kua hana nguvu tena
Mo timua huyo Mjumbe anakuhujumu na kuihujumu Klabu
Tunasubiri hiyo taarifa ya Simba rasmi kama ile ni taarifa ya Ahmed Ally. Sasa ya Simba mbona hatuioni?
Trai ageni BIG CHAWA Hatufai pale SIMBA ila MO anambeba!
Simba si yao hao viongozi
Simba ni wamachama
wawe waangalifu sana
Kauli hiyo ni hatari kwa timu
Try kama haujielewi tutamfukuza popote tutakapomkuta asituvuruge ... Naona kama anataka kutuletea vurugu..
😂😂😂
Hajui kelele za semaji la cafndo mipango wakaahilisha kutuhujumu
Try again kajaribu tena yanga tuachie simba yetu tuachie semaji letu Ahmed Ally piga kazi mwanetu
Wanampango mbaya tutambeba popote Ally.
Hata mm binafsi nilimshang try again kwa kitu alicho kifanya try again ni msaliti huyo
Hawa ndo mafisadi .walioimaliza simba.sasa hv.anataka nn traigeni
UPO SAHIHI MZEE TIMUINAENDA VZR VIONGOZI MMEANZA KUHARIBU TIMU IMEFANYIWA VURUGU VIONGOZI MNAKANUSHA TUSHIKAMANE TIMU INAENDA VZR
Inaumiza mnafiki ni mtu mbaya kuliko mchawi huyu jalibu tena ameanza mambo yake ili tukose ubingwa
Semaji kapambania timu kwa nyakati ngumu mwacheni alilia na timu anafurahi na timu huyo jaribu asijaribu kwa semaji akajaribu kwa mtanda
Try again huyo ni yanga na ndo anaiuza simba km hamjui huyo sie simba ni mamluki huyo km hamjui kuweni macho wanasimba.
Mwanasimba mwenzangu ulimwelewa vibaya mkuu wa mkoa, alisema inawezekana hii taarifa ni ya ahamedally siyo ....
TRY AGAIN NI CHOKO TU. KWANZA HATUMTAKI PALE SIMBA SISI. HATUTAKI MASHOGA SISI
Huyo aTry again ayende tu yanga
Tufanyeni maandamano kumpinga
Kuma ni mama ako na msenge ni baba ake ila c ahmed ally,tunampenda sn semeji letu
Anautaka Ubunge try Again
Try again huyu ni mpenda pesa anauza mechi huyu ni mpenzi wa engineer Hersi
Try agen huyo ni kibaraka wa Gsm atuachie timu yetu mbwa huyo sialishindwa kusajili miaka 3 ?
AHMED ALLY PIGA KAZI !!! KILA KONA WACHAWI WAPO, ''MCHAWI MTU . PAKA KATUMWA''!!
kwenye ili jambo sio kutumia ushabiki alichokia ahamedi ally sio sahihi acheni ujinga juzi zanziabar singida brak star waliingilia mazoezi ya yanga kabla ya mechi je mliona anashutumiwa mkuu wa mkoa yanga waliziachia mamlaka na badae singida walipigwa faini na shilikisho kwaiyo makosa ya simba kwenye ili tukio ni mengi sana simba tangu msimu uanze wamekuja na mpango kazi wa propaganda kila kabla ya mechi yao
Try huenda ni Chawa
Try again ni yanga ametuuza miaka mitatu imetosha wanachama tutadili naye
Mo tuondolee huyu tray tulisha mkataa
Ww try kamaunamaslahiyako kibiyashara kafahamiyaneni hukohuko wachakumtiyamdomo kwavingozi wenxio
Sio kweli huyo rc kaamua kuwagombanisha tyr agai na ahamedy siamin tyr again afanye hivyo huyo mtanda kaamua huwavuruha tu
Manara sio nae alisema kuwa alihama kazi kwaajili ya try Again ndio kirusi pale simba
Msenge try again alishidwa asilete unafki mbwa huyo
Exactly
Kuna mshiko anapata hugo tray again kwa huyo mkuu wa mkoa
Simba yetu sio chama watuachie sisi si wanasiasa
Try agen fara tuu tena mpumbavu tuu yeye chawa ndie aliyeshirikianaa yanga kuidhurumu simba huyo msenge tuu
Hilo try again fukuza mbwaa huyooo
Acha usenge ww Mzee
Matusi ndugu
Hii nchi ukweli huwa uongo na uongo huwa ukwel
👏👏👏👏👏👏👏🦁♥️♥️♥️♥️♥️💪💪💪💪🙏🙏
Ageni. Akuwa kiereere timu. Siomari ya mama yako
Try Again ni kibaraka wa GSM anataka aitumie Simba kupata umaarufu wa kisiasa
Try Again anatumika yule mbwa
Try Again hajawahi kuvaa jezi ya Simba
😂😂