ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Bwana Mwema Hongera
Mtumishi nimesikia hiyo injili nimeipenda sana Mungu ariyeziumba mbingu na nchi akubaliki sana zaidi yasana❤❤
Barikiwa sana mtumish, nmebarikiwa na mahubr yako
The coming days I'll be like and more than this Man of God in Jesus name. Be blessed so more Men of God Rev. Niko & Ny TV in Jesus name amen
Mwamba wa Yesu 💪💪💪, Mungu azidi kukutunza baba
Aminaaaa.ubalikiwe.naskiya.Amani.kukusikiliza.mchungajiUbalikiwe.baba.namimi.nimeFunguliwa.naamini.nimefunguLiwa.yesu.anaweza.na.hanaUmbali.naomba.maombi.yakNipate.yafa.nipate.mtaji.
Baba ubarikiwe naomba tuwaombe watoto wangu mungu awabadilishe
Mungu akupe Manisha marefu mtumish
Yehova Mwema Ubarikiwe Mtumishi Utukufu umrudie Yehova
ameen yesu yu hai Mungu akubariki mchungaji
Amen
Am very much blessed with this service the man of God,!Hakika ni ushuhuda unao niinua kiimani ZaidiMUNGU akutunze mtumishi
Aaaaaa Raha Sana mkuuuu Mungu wetu akutumie sana
Mtoto wa mdogo wangu anafanya biashara za majini naomba afunguliwe katika JINA LA KRISTO YESU
Ehh pasta unanifurahisha sana mpaka nayasahau majaribu yaliyoko mbele yangu Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu
Kefleen nataka ndoa yangu ipone leo mme wangu aachane na lahaba Joyce JoNson NJIRA LEO WAPIGANE WADHALILIKE MCHANA
Barikiwa sana baba
NYUMBA YA NDOA YANGU IREJEE NA DUKA LA BIASHARA YA MAREHEMU MUME WANGU LIREJEE KATIKA JINA LA YESU KRISTO AMEN
Pole sana itolee sasaka
Amina Amina 🙏
Pastor ubarikiwe
Prince moze 👍👍👍👍
Wapigwe2 baba mungu akubariki
Hii ndo injili ya kweli sio akina mbalikiwa kila siku kuchunguza watu
Barikiwa mtu wa MUNGU.
Be blessed by god mtumishi
Ameen amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
BWANA WETU YESU KRISTO NAOMBA WANANGU WAFANIKIWE VEMA NA MIMI HUDUMA YANGU IFANIKIWE EE YESU NIRIDHIE HOJA ZANGU ZOTE AMEN
Amen asante kwa ushuuda
Bab nimekatwa mguu wa kulia nauchukia umasikini sana je natamani kweli
Amina mtumishi barikiwa sana
🔥🔥🔥🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Tusaidie Baba wachawi waonzi sanaaaa
AMEEN
Wapigweeeeee! Kwa jina la Yesu
Uinuliwe Sana mtumishi wa Mungu
AMEN AMEN AMEN
Karibu dar
Yesu nenda nami niko miguun pake niinue mbele ya wates wangu biashara ikue ktk jina laYesu kristo
Niombee na mm ndo yangu Ina shida hata mume wangu amenblock hataki hata kuniona na pia nafanya kaz lkn pesa hazinissaidii kabisa nahitaji maombi plz
Amina mtu wa mbinguniiii
Hahahahahaha ulienda peke yako andiko linasema wawili
Wachawi wote wapigweeeee
BABA NAOMBA WACHAWI WANIACHILIE NA UZAO WA TUMBO LANGU
😅😅😅😅 yesu ni bwana
Mchungaji hapo ulikosea huyo Mzee ungempiga na Sala ya Toba badala ya kumkimbiza.
Huo ndio ufunuo alipata unadhan mchezo
Kwani ukiongea bila kupaza sauti watu hawawezi kusikia
WEWE PIA UNAWEZA HUBIRI KWA SAUTI YAKO . CHA MSINGI UJUE UNAYEMTUMIKIA NI NANI? ZINGATIA UNAYEMTUMIKIA TU MAANA KWAKE UTATOLEA HESABU.
Jamani kivipi tena as isipanze sauti
Kwani sauti yake inakuumiza na ww upone
@@neemamatiko3745pepo hilo
Bwana Mwema Hongera
Mtumishi nimesikia hiyo injili nimeipenda sana Mungu ariyeziumba mbingu na nchi akubaliki sana zaidi yasana❤❤
Barikiwa sana mtumish, nmebarikiwa na mahubr yako
The coming days I'll be like and more than this Man of God in Jesus name. Be blessed so more Men of God Rev. Niko & Ny TV in Jesus name amen
Mwamba wa Yesu 💪💪💪, Mungu azidi kukutunza baba
Aminaaaa.ubalikiwe.naskiya.
Amani.kukusikiliza.mchungaji
Ubalikiwe.baba.namimi.nime
Funguliwa.naamini.nimefungu
Liwa.yesu.anaweza.na.hana
Umbali.naomba.maombi.yak
Nipate.yafa.nipate.mtaji.
Baba ubarikiwe naomba tuwaombe watoto wangu mungu awabadilishe
Mungu akupe Manisha marefu mtumish
Yehova Mwema Ubarikiwe Mtumishi Utukufu umrudie Yehova
ameen yesu yu hai Mungu akubariki mchungaji
Amen
Am very much blessed with this service the man of God,!
Hakika ni ushuhuda unao niinua kiimani Zaidi
MUNGU akutunze mtumishi