DUH! ARUSHA YAFURIKA! MAPOKEZI YA PAUL MAKONDA ABEBWA NA PIKIPIKI YA MLEMAVU WA MGUU.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ม.ค. 2024
  • www.youtube.com/@Wasafi_Media...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 35

  • @user-un1lh2rk5x
    @user-un1lh2rk5x 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sisi wanaarusha tumshikilie makonda sana na tulinde na tumuombee sana haweze kufanya kazi na hasafishe ufisadi arusha

  • @stellaphilipo5112
    @stellaphilipo5112 5 หลายเดือนก่อน +1

    Pls namba za muheshimiwa kwa aliye nazo PAULI MAKONDA. NAOMBAENI JEMENI

  • @timamulituto
    @timamulituto 2 หลายเดือนก่อน +1

    Uyu jamaa ana nyota yakupendwa sana

  • @lunangabenjamin3121
    @lunangabenjamin3121 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani huyu jamaa alitaniwaga siku nyingi bila kujitambuwa sasa leo ameelewa anavo kubalika.ndugu yangu mweshimiwa naomba ujichunge mwenyewe kabla hawaja kulinda si kila binadamu mstaarabu.ninacho ona ni ulinzi wako kwanza njo uzidishwe zaidi.

  • @frankjohn8706
    @frankjohn8706 2 หลายเดือนก่อน +1

    WANACCM WALIOFURIKA ARUSHA

  • @user-fj5hk5kp7p
    @user-fj5hk5kp7p 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ccm inahusika asilia miamoja maana huu ni uteuzi wa mwenyekiti wa ccm taifa

  • @user-xk7vy4gb6g
    @user-xk7vy4gb6g 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu Mwamba kwakweli hana mpinzani

  • @susananyasani6526
    @susananyasani6526 2 หลายเดือนก่อน

    Maajabu Watendaji wa Serikali waonekana na Tumbo.kubwa wenye Afya nzuri katika Maandamano ya Barabarani wenye Raha na Fedha

  • @FedrickNgonyani
    @FedrickNgonyani 2 หลายเดือนก่อน +1

    Lemaaaaa,mbona cmuoniiiii,

  • @MasudiOmary-fs1bp
    @MasudiOmary-fs1bp 2 หลายเดือนก่อน

    Mnanikumbusha enzi hizo naenda kwa mganga wa kienyeji naitaji ndagu ya mali mpaka mumpigie makofi na kumuomba mganga ndio mfanikiwe acheni mihemko watanzania hawa ni viongozi2 wa mpito awa watu wamesoma na wamesomea kuwatawala watu ivyo msiwe mnashoboka sana hii nisili kama sili nyingine

  • @MasudiOmary-fs1bp
    @MasudiOmary-fs1bp 2 หลายเดือนก่อน

    Mnanikumbusha enzi hizo naenda kwa mganga wa kienyeji naitaji ndagu ya mali mpaka mumpigie makofi na kumuomba mganga ndio mfanikiwe acheni mihemko watanzania hawa ni viongozi2 wa mpito awa watu wamesoma na wamesomea kuwatawala watu ivyo msiwe mnashoboka sana hii nisili kama sili nyingine 13:20 13:20 13:20 13:20

  • @browntv1119
    @browntv1119 5 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu ndiyo kiongozi ninayemkubali nchi hii

  • @Zubaiba
    @Zubaiba 5 หลายเดือนก่อน

    Magufuli.mdogo.🎉🎉🎉🎉🎉

  • @user-rc1dp6ux3k
    @user-rc1dp6ux3k 5 หลายเดือนก่อน +1

    Watanzania wengi kama mazuzu upuuzi mtupu

  • @ericrukamba6802
    @ericrukamba6802 5 หลายเดือนก่อน +2

    Niseme kitu,sijui kama mnaelewa kuwa Makonda amekuwa na mvuto kuliko viongozi wengine wa CCM ukimtoa Rais, kwa sababu, Watu wengi wanaona ndo suruhisho la matatizo yao kama ulivyokuwa Magu, mkubali msikubali Makonda anapangusa machozi ya watu wengi wakimkumbuka Magu, Makonda chapa kazi hii nchi inatakiwa kuwa na viongozi kama wewe sio kulindana na kufanya ufisadi ambao ulishaanza kukithili mpaka Mama wanamchanganya sasa chuma hichoooo 👌👍

  • @adamsimba4886
    @adamsimba4886 2 หลายเดือนก่อน

    Ccm inahusika na nini na mkuu wa mkoa haina aja ya uchama kwenye kuongoza watu wote

  • @YoelBeda
    @YoelBeda 2 หลายเดือนก่อน

    Piga kazi makonda usirudi nyuma

  • @MasudiOmary-fs1bp
    @MasudiOmary-fs1bp 2 หลายเดือนก่อน

    Ujima Bado unaendelea

  • @jfanipoa
    @jfanipoa 5 หลายเดือนก่อน

    Watanzania atuamki kabisa Bado tunadanganyika sana 😢

  • @user-rc1dp6ux3k
    @user-rc1dp6ux3k 5 หลายเดือนก่อน +1

    Watanzania wengi kama mazuzu

    • @omarybakunda2554
      @omarybakunda2554 5 หลายเดือนก่อน

      Zuzu mwenyewe usilazimishe wote kuwa chadema tumia akili zako vizuri.

    • @user-qz7wz3ew8q
      @user-qz7wz3ew8q 2 หลายเดือนก่อน

      Zuzu wew mpuzii ww

  • @SanareMollel-wg7nu
    @SanareMollel-wg7nu 2 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂😂

  • @user-rc1dp6ux3k
    @user-rc1dp6ux3k 5 หลายเดือนก่อน

    Upumbavu unalemea kuliko mchanga

  • @shabanikitula645
    @shabanikitula645 5 หลายเดือนก่อน

    Wasafi ni wambea kama bosi wenu mnaogopa kusema ukweli bodaboda wamelipwa 10000 10000 wakampokee Niko kwenye mkutano soko la kilombero watu wanahesabika hakuna hata watu

    • @nkirwapeter4579
      @nkirwapeter4579 5 หลายเดือนก่อน

      Wewe ulitaka waweke mkojo kwenye pikipiki

    • @shabanikitula645
      @shabanikitula645 5 หลายเดือนก่อน

      M​@@nkirwapeter4579tusubirini mtuone wenye uzalendo wetu hatuchangiwi mafuta wala nini Peoplesssssssss

  • @abednego3876
    @abednego3876 5 หลายเดือนก่อน

    Huyu Mwambabana vibe la kipekee bwn, 😂 tuache wivu

  • @HassanHussen-pt9zq
    @HassanHussen-pt9zq 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂

  • @user-rc1dp6ux3k
    @user-rc1dp6ux3k 5 หลายเดือนก่อน

    Kweli watanzania wajinga na sijui ujinga utawaisha lini Mungu naomba utusamehe na kutokoa na upuuzi huu

    • @henryndosi2002
      @henryndosi2002 2 หลายเดือนก่อน +1

      Msenge wewe mama yako ndie mjinga kuzaa mbwa kama wewe

  • @Farasitz
    @Farasitz 5 หลายเดือนก่อน

    th-cam.com/video/I9Z4iqvdCeo/w-d-xo.htmlsi=J9eRpsskRpRwBHen iyapaii

  • @user-gc3ec9wx6z
    @user-gc3ec9wx6z 2 หลายเดือนก่อน

    Wajinga ndio waliwao

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 5 หลายเดือนก่อน

    MAKONDA PIGA KAZI