NENO LA SIKU | Mathayo 19 | Maombi Ya Kushinda Mambo Yasiyowezekana

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Leo tunasoma kitabu cha Mathayo sura ya kumi na tisa, na tunaenda kufanya maombi ya kushinda mambo yasiyowezekana. Kuna vitu tumevikatia tamaa kwenye maisha kwa sababu tumeona haviwezekani.
    Lakini biblia inasema, hakuna lisilowezekana kwa Mungu. Na hii inatupa ujasiri wa kusimama mbele za Mungu na kumuomba atusaidie kufanikisha yale tuliyoshindwa kufanikisha kwa nguvu zetu na uwezo wetu.
    Hivyo basi, katika maombi ya leo, tunaenda kumuomba Mungu aingilie kati maisha yetu, na atupe ushindi katika mambo yaliyoshindikana kwetu. Nami nakuombea upate majibu ya maisha yako siku ya leo.
    Mungu akubariki sana na ajitukuze kwenye maisha yako. Mungu akupe mwanzo mpya. Yaliyoshindikana kwako yakaanze kuwezekana. Na furaha yako ikawe timilifu katika KRISTO YESU. Amen!

ความคิดเห็น • 26

  • @cesiliamasumu432
    @cesiliamasumu432 5 หลายเดือนก่อน +2

    Bwana Yesu Asifiwe Namshukuru Mungu sana kwa ajili yako na familia yako maana umewezeshwa na Mungu ,kufungua masikio yetu ili tufahamu tusiyoyajua
    Mungu akutunze babangu Tunashukuru sana

  • @bethstanford9840
    @bethstanford9840 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nimechoka na dhik zangu Yesu ingilia kati nimechoshwa na maangaiko yangu Yesu nisamehe nilipokosea ponya uchum wangu nione sina pa kwenda ila kwako Yesu nisaidie nirehem

  • @sarahsongole485
    @sarahsongole485 6 หลายเดือนก่อน +1

    Amen 🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌

  • @user-hz6se7vh4h
    @user-hz6se7vh4h 6 หลายเดือนก่อน

    Amen barikiwa saidi mtumishi 🙏🙏🙏🙏

  • @EmelineEben
    @EmelineEben 5 หลายเดือนก่อน

    Amen.Ahsante YESU

  • @PendoMatemba-ql1ng
    @PendoMatemba-ql1ng 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu Akubariki sana

  • @victoriaaman6628
    @victoriaaman6628 6 หลายเดือนก่อน

    Amen Mtumishi 🙏

  • @NeemaaliceK2546
    @NeemaaliceK2546 6 หลายเดือนก่อน

    Amen nimebarikiwa sana kuanzia sana nakiri kwamba Mungu ni mkubwa zaidi ya matatizo na milima ninayopitia , be blessed man of God, Shalom

  • @everlinekenga437
    @everlinekenga437 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏 🙏

  • @Carolynewamalwa-fc4tp
    @Carolynewamalwa-fc4tp 3 หลายเดือนก่อน

    Amen , 🙏🙏 Mungu akubariki sana pst,.

  • @pamelabracedes9600
    @pamelabracedes9600 6 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen

  • @tinnermosha6980
    @tinnermosha6980 6 หลายเดือนก่อน

    🙏🏽 Amen and thank you

  • @user-fz8my4kz8j
    @user-fz8my4kz8j 6 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen napokea ushindi wangu barikiwa sana mtumishi wetu asante sana kwa huduma

    • @EliethPeter-cp7py
      @EliethPeter-cp7py 6 หลายเดือนก่อน

      Mungu akutubze daima mtumishi

  • @serinaserina9639
    @serinaserina9639 6 หลายเดือนก่อน

    Ameen Ameen baba

  • @luciakimaro5252
    @luciakimaro5252 6 หลายเดือนก่อน

    Asante Mtumishi!!

  • @rhodamwakatundu5226
    @rhodamwakatundu5226 6 หลายเดือนก่อน +1

    ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @maseaJoe8676
    @maseaJoe8676 6 หลายเดือนก่อน

    Asante Yesu naamini kila kitu kinachozuia maisha yangu kusonga kimetoka katika Jina La Yesu Amen Amen Amen

  • @dianamkombe8767
    @dianamkombe8767 6 หลายเดือนก่อน

    Nàmuomba mungu anirejeshee upendo kweny ndoa, familia zangu zote mbili, zaidi upendo uliochukuliwa nawanawake wa nje ya ndoa alipotengeneza familia nyingine, na vilivyochukuliwa katika ulimwengu wa roho navirudisha kwa jina la yesu na damu ya yesu amina.

  • @leahtheo3922
    @leahtheo3922 3 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏🙏

  • @mkailivin4050
    @mkailivin4050 6 หลายเดือนก่อน

    Amen amen

  • @amissilulinda2166
    @amissilulinda2166 6 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen Amen

  • @Africanah100
    @Africanah100 6 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @soleilsosolove6479
    @soleilsosolove6479 6 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @user-ql2lz2hh8e
    @user-ql2lz2hh8e 6 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @gallanjeff7237
    @gallanjeff7237 6 หลายเดือนก่อน

    Amen