LIVE: MAOMBI YA KUKUSAIDIA // USIISHIE NJIANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024
  • Habakuki 2:1-4
    Mimi nitasimama katika zamu yangu, nitajiweka juu ya mnara, nitaangalia ili nione atakaloniambia, na jinsi nitakavyojibu katika habari ya kulalamika kwangu. BWANA akanijibu, akasema, Iandike njozi ukaifanye iwe wazi sana katika vibao, ili aisomaye apate kuisoma kama maji. Maana njozi hii bado ni kwa wakati ulioamriwa, inafanya haraka ili kuufikilia mwisho wake, wala haitasema uongo; ijapokawia, ingojee; kwa kuwa haina budi kuja, haitakawia. Tazama, roho yake hujivuna, haina unyofu ndani yake; lakini mwenye haki ataishi kwa imani yake.
    SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
    M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
    CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

ความคิดเห็น • 40

  • @janetfrancis7180
    @janetfrancis7180 5 หลายเดือนก่อน +1

    AMEEN

  • @lostanguvila7761
    @lostanguvila7761 3 หลายเดือนก่อน

    ameen mtumishi MUNGU akukumbuke wewe uzao wako kizazi cha kwanza mpaka kizazi cha nne neema ya kristo isipungue awaongoze milele

  • @collenskessy-uv9mr
    @collenskessy-uv9mr 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Amen 🙏

  • @NeemaKomba-vn6sh
    @NeemaKomba-vn6sh 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amen mtumishi

  • @ArinaitweFatuma
    @ArinaitweFatuma 5 หลายเดือนก่อน +1

    ❤🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @neemakarisa1496
    @neemakarisa1496 5 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🏼 ASANTE 🤍 MUNGU Kwa kuskia hii , Hakika mtumishi wa MUNGU Umenifungua Maskio,Nita simama Kwa Nafasi yangu 🙏🏼 ndio maana najiona narudia nyuma na sababu ni Mimi mwenyewe,, Asante sana MUNGU ❤❤❤

  • @UwizeraGabby
    @UwizeraGabby 4 หลายเดือนก่อน

    Bana yesu asifiwe Mimi nawomba mungu anisayidie naja sana yaroho mutakatifu

  • @ArinaitweFatuma
    @ArinaitweFatuma 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nakuelewa baba❤

  • @TusaKiblaga-vp9jg
    @TusaKiblaga-vp9jg 4 หลายเดือนก่อน

    Nakuelewa sana na unanibarik sana Mungu azidi kukutumia mtumishi Asante kwa kutupa neno la Uzima

  • @ArinaitweFatuma
    @ArinaitweFatuma 5 หลายเดือนก่อน +1

    Aminaa🎉🎉❤❤

  • @KeviNgailo-ex4wd
    @KeviNgailo-ex4wd 5 หลายเดือนก่อน +2

    MUNGU akubariki sana Mtumishi 🙏

  • @mariahabokea2085
    @mariahabokea2085 5 หลายเดือนก่อน +2

    Thank you God For this message! Barikiwa mtumishi!

  • @loemaangelo8779
    @loemaangelo8779 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amina mtumishi wa mungu mafundisho yako yananibariki sana endelea kutuinua wengine tulikuwa gizani mungu akutunze akupe maisha marefu ili tuendelee kufunguka zaidi na zaidi

  • @LydiaWangari-lc2tl
    @LydiaWangari-lc2tl 5 หลายเดือนก่อน

    Amen mungu akubariki sana mtumishi wa mungu

  • @MarcelBlessing-ef7rz
    @MarcelBlessing-ef7rz 5 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi kwa kwli Mungu azidi kukubariki
    Kwa sbb unayokiwa unahubiria yote nikama Mimi njo nakuwaka nayajiona eko plz naomba msaada wa maombi yenu ili yote nininayo pitia yaniache ili nishimame vzr ndni ya neno laBwana 🙏🏼

  • @SamwerEdwandi
    @SamwerEdwandi 4 หลายเดือนก่อน

    MUNGU akubariki sana mtumishi 🙏

  • @user-bv8tc3eh8m
    @user-bv8tc3eh8m 4 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏nimepatakitu mungu akubariki mutumishi

  • @witheymunis911
    @witheymunis911 5 หลายเดือนก่อน +2

    Asante sna mtumishi wa Mungu kwa mafundisho mazuri

  • @FaidaWilly-du8ts
    @FaidaWilly-du8ts 5 หลายเดือนก่อน +1

    Asante baba Mungu wangu.

  • @loemaangelo8779
    @loemaangelo8779 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu kwa mafundisho yako nafunguka sana nakuelewa mungu akutunze sana na akubariki nakukubali sana mtumishi

  • @peninahAlphonce17
    @peninahAlphonce17 5 หลายเดือนก่อน

    Thank you Jesus! This was my message and I receive this message 🙏🏾🤲🏾

  • @okayamersita7395
    @okayamersita7395 5 หลายเดือนก่อน

    barikiwa sana nimepata njia sasa yakunitoa gizani❤❤❤

  • @ALESIACHIJOKA
    @ALESIACHIJOKA 5 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba unissidie kwa maombi naumwa na mikono yangu .mtumishi Asante kwa kutulisha neno zuri

  • @MinzaMadilo-zf5yl
    @MinzaMadilo-zf5yl 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubaliki sana mtumishi hakika me nilikiuwa mmoja wao kwa walioalibikiwa lakini nashukuru kwa neno hili hakika limenifungua

  • @Marianamariana181
    @Marianamariana181 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ahsante Sana mtumishi kwa Ibada hii mungu akubariki Sana mungu atepee hafamu juu ya haya mahangaiko ya ulimwengi👏👏👏pekee yetu hatuwezi bila maarifa ya Mungu 🙏🙏🙏🙏🙏mungu tutee wanao tunaangamia kwa Kukosa maarifa 🙏🙏🙏🙏

  • @loemaangelo8779
    @loemaangelo8779 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mtumishi wa mungu nitajuaje kilichoko ndani yangu naomba unijulishe unielimishe ktk hilo mungu akutumie sana unakipaji cha kufundisha sana neno la mungu mpaka usiku nauona mfupi endelea kutundisha mtumishi mungu

  • @RameckElieza
    @RameckElieza 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu nitetee katika maombi yangu

  • @JescaMaboto
    @JescaMaboto 5 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba unisaidie napiga miayo machozi nashindwa kuomba hata nusu saa

  • @joankalegi
    @joankalegi 5 หลายเดือนก่อน +1

    ASANTE MTUMISHI KWA SIRI HII TUNGEIPATA WAPI, UBARIKIWE SANA

  • @MohamedSaid-fi4jf
    @MohamedSaid-fi4jf 5 หลายเดือนก่อน +1

    Shalom mtumishi,mungu amenionyesha ktk maono nilikua naenda kanisani wakati nilikua natembea nilikua natingisha mkono wakulia na kengele ilikua ikipiga sana kanisani,nilipofika kanisani tukaomba na nilipotoka nikaona mtt anatembea uchi barabarani mara moja nikasia sauti kutoka mbinguni usimwangalie huyo mtt angalia juu,nilipoangania nikaona mnyama mkubwa sana anafanana na chui na ngozi yake ilikua kubwa mpaka imetapakaa mpaka chini,cha kushanga ilikua na ngazi ya kupandia,kisha akanimbia twendwe mbele, nikafika stendi ya mabasi'nikasikia sauti tena umeona nini,niliona watu waliokua wanafanya starehe,kisha nikaona wale watu wanamihuri miekundu kwenye paji la uso wao.nilipojibu hivyo sauti ikatoka tena wameshachagua ufalme wao na ile ngazi ndio yakupandia ,nikaona watu wengine wana mihuri ya kijani,sauti tena hao ndio niliopiga mihuri yangu watakaoingia ktk ufalme wangu
    Nimeeleza kwa ufupi, Emmanuel dr congo

    • @user-kv7hq5mb6m
      @user-kv7hq5mb6m 5 หลายเดือนก่อน

      Unapita ndoto,au maono,Tenga muda hata siku tatu au ngapi Muulize Mungu,atakujibu maana yeye ndo amekuonyesha,Mungu hapendi tuwaulize watu,anataka tumuulize yeye, sikila mtumishi anaufahamu juu ya ndoto namaono,funga,tafakari Kaa kwenye uwepo wa Mungu atakufunulia kama Daniel

  • @SamwerEdwandi
    @SamwerEdwandi 4 หลายเดือนก่อน

    Asate mutumishi somozuru 🙏

  • @SevAl-p9k
    @SevAl-p9k 5 หลายเดือนก่อน

    Asante bwana 🙏♥️

  • @veronicabunyinyiga5248
    @veronicabunyinyiga5248 5 หลายเดือนก่อน

    Namshukuru sana Mungu maana leo nisiku yangu ambayo yeye ameichagua kupitia wewe mtumishi wake kunifikishia ujumbe ambao unanihusu asilimia %. Nimebalikiwa sana nakukijua kilichomo ndani yangu nanilicho beba, Mungu aendelee kukupigania nakukupa afya njema mtumishi.

  • @ZakinaMakokha-fe1sq
    @ZakinaMakokha-fe1sq 5 หลายเดือนก่อน

    Asante bwana kwa afya umenipa mm na familia yangu simama na ibada yako na mtumishi wko familia yke na washirika wote hapa tuongoze bwana naomba unijaze na imani yko nipate kulizikiza neno lako

  • @danielymwakalambile6095
    @danielymwakalambile6095 5 หลายเดือนก่อน

    Asante MUNGU kupitia madhabahu hii kwani inafanyika ukombozi wafahamu zangu nauponyaji waloho yangu

  • @ArinaitweFatuma
    @ArinaitweFatuma 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mtumishi Mimi natamani kuomba Sana. Lakini hata lobo saa nashindwa na Vita kikubwa kwangu❤❤🎉🎉 Amina mafundisho yako yananiballiki

    • @nonveroniquejohn
      @nonveroniquejohn 5 หลายเดือนก่อน

      Ebu inuka tena unanguvu kubwa ndani yako shetani asitie uzaifu mbelezako na ukajiona auwezi .ashindwe kwa jina lipitayo ma jina yote✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋

    • @oresteslaurian1298
      @oresteslaurian1298 5 หลายเดือนก่อน

      Njia nyingine ya kuomba ni kwa kutumia njia ya biblia mfano zile Zaburi ni njia moja kubwa sana ya maombi yenye nguvu sana hakuna kinachoshindikana

  • @HouseYoutube-z1x
    @HouseYoutube-z1x 5 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi niombee mm nimekuwa mgonchwa wiki tatu kuanzia tarehe tano nilikuwa nimepata nafuu tena sasa hivi mm ninaumwa mwili wote naomba maombi plz.