LIVE: MAOMBI YA KUOMBA UNACHOKITAKA KWA MUNGU.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024
  • Mithali 3:16
    Ana wingi wa siku katika mkono wake wa kuume, Utajiri na heshima katika mkono wake wa kushoto.
    SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
    M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
    CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

ความคิดเห็น • 51

  • @user-zg6ek5kk6z
    @user-zg6ek5kk6z 5 หลายเดือนก่อน +6

    MUNGU wangu nimeona ukuu wako katika picha mpya! Zidi kumwinua mtumishi wako huyu aliyoyanena leo aongezewe mafunuo lkn na mimi nianze upya maisha ya kukuishi leo na milele yote.Kwa YESU KRISTO naomba na ninaamini Amen.

    • @roseqafrdmdada7505
      @roseqafrdmdada7505 2 หลายเดือนก่อน

      Usiniache eehhee mungu wangu najua mm n mkosefu mbele zako baba unirehemu amen

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 5 หลายเดือนก่อน +1

    AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 5 หลายเดือนก่อน +1

    AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN

  • @JessicaKapona
    @JessicaKapona หลายเดือนก่อน

    Najiungamanisha na ibaada hii kwa Jina la yesu nikafanikiwe kwa yote niliyoyaomba yatimie amen

  • @Vanillah-lg3pn
    @Vanillah-lg3pn 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @stellaselli6287
    @stellaselli6287 5 หลายเดือนก่อน

    Ameen

  • @ChazkKasubi-le4dj
    @ChazkKasubi-le4dj 5 หลายเดือนก่อน +2

    Amen 🙏

  • @JosepherHerman
    @JosepherHerman 5 หลายเดือนก่อน +1

    Usinipite Yesu wangu

  • @chuwagoodgood3524
    @chuwagoodgood3524 5 หลายเดือนก่อน +1

    Naamini kwako yesu kristo kuna wokovu wa milele

  • @JulianaZachary
    @JulianaZachary 5 หลายเดือนก่อน +3

    • @MercyJaphet-n4p
      @MercyJaphet-n4p 5 หลายเดือนก่อน

      Mtumishi unasema na maisha yangu kabisa

  • @janehabakuki4564
    @janehabakuki4564 5 หลายเดือนก่อน

    Usiniache Mungu wangu katika majaribu yote unisamehe niambie moyo safi nikae mikononi mwako mm na familia yangu siku zote

  • @margykariuki
    @margykariuki 5 หลายเดือนก่อน +2

    Amen Amen Mungu ni mwema kwa wakati wote Amen Amen

  • @nzizadezile2452
    @nzizadezile2452 5 หลายเดือนก่อน +1

    🙏🙏🙏

  • @greacembwnwilibati8197
    @greacembwnwilibati8197 5 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani nimebalikiwa sana neno limeningusa sana 😢😢 naomba mungu nisamehe dhambi zangu zote nilizo kukosea nisamehe na dhambi nilizozisau 😢😢 mungu akuwe mtumishi unafafanua ata kama sio mtu wa kumjua mungu utamjuwa kupitia hili neno🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼😢😢😢

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 5 หลายเดือนก่อน +1

    Neno hili Lina nifaa sana

  • @reaganmtewele8880
    @reaganmtewele8880 5 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen Amen

  • @UNIQUEMASSAGEDODOMA
    @UNIQUEMASSAGEDODOMA 5 หลายเดือนก่อน +2

    Eeh MUNGU naomba usinipite 🙏

  • @happyngonde2923
    @happyngonde2923 5 หลายเดือนก่อน +1

    YESU naomba unisamehe inawezekana mm ni chanzo ya haya ninayopitia unisamehe Mungu wangu naomba nivushe kwenye haya majalibu 😢😢

  • @susanngawalanda461
    @susanngawalanda461 5 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana mchungaji kwa somo zuri la kujenga

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 5 หลายเดือนก่อน +1

    Natulia kusikia neno la MUNGU

  • @momentsonearth360
    @momentsonearth360 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amen mtumishi Hili ni somo langu juu ya zaka..Mungu anipe neema yakushinda hii dhambi

  • @gukawafly
    @gukawafly 5 หลายเดือนก่อน

    Asante mtumishi wa mungu baba

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 5 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 5 หลายเดือนก่อน +1

    I received

  • @joycemaina4975
    @joycemaina4975 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba mwanzo mpya na wew

  • @victoriaaman6628
    @victoriaaman6628 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu nisaidie niweze kutenda mapenzi yako

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hahahah kutimuliwa kazini pastor,,,,mimi ni shuhuda ukitoa zaka kamili huwezi kunyanyasika

  • @aminatatounkara2143
    @aminatatounkara2143 5 หลายเดือนก่อน

    Pitié Seigneur 🙏

  • @JulianaZachary
    @JulianaZachary 5 หลายเดือนก่อน +1

    😓😓hakika nimepona kwenye zaka hapo ndo tiba kubwa🙏🏼

  • @SekelaCholela
    @SekelaCholela 5 หลายเดือนก่อน

    Amina asnte ee Mungu kwa yote

  • @sarahfeni1866
    @sarahfeni1866 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ubalikiwe saaaaaaaaaana muchungaji

  • @VailetSilvester
    @VailetSilvester 5 หลายเดือนก่อน

    Asant yesu

  • @peninahAlphonce17
    @peninahAlphonce17 5 หลายเดือนก่อน +1

    Too much ads mpaka Inatoa moto wakuskiza… yaani ukianza kuconnect liad hilo. Is there any way to listen without ads? They making me bored cz in a minute u got to ads!!

  • @hamisichande8417
    @hamisichande8417 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu umebaki wewe tu kwangu nigusu uniponye he bwana niwewe tu tumaini langu

  • @AgnesSiliyako
    @AgnesSiliyako 5 หลายเดือนก่อน

    Naomba mung anikumbuke na mm kweny kipengele cha zaka aniongoze nifanyeje,

  • @HeriKanane
    @HeriKanane 5 หลายเดือนก่อน

    Amina kubwa kwake

  • @MarieMakiwa
    @MarieMakiwa 5 หลายเดือนก่อน

    Ee mungu nikumbuke na mimi

  • @GloryMapunda
    @GloryMapunda 5 หลายเดือนก่อน +1

    NUngamanish mikonoyangu ipokee vilivyo mema ipokee pesa zakujenga..mikonoyangu mwaka huu ikavae Pete ya ndowa na uchumba

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 5 หลายเดือนก่อน +1

    Watoto wangu tulia kwani ni muda wa ibada

  • @AikaKassa
    @AikaKassa 5 หลายเดือนก่อน

    Najiunganisha na mathabahu hii Mungu ajibu maombi yangu Amen.

  • @alicethobias932
    @alicethobias932 5 หลายเดือนก่อน

    Najiunganisha na madhabahu hii Mungu anipe hitaji la moyo wangu

  • @gervasemakwarus
    @gervasemakwarus 5 หลายเดือนก่อน +1

    Pasta ni kanisa gani unaenda kusari

  • @AsiaH-jf5fo
    @AsiaH-jf5fo 5 หลายเดือนก่อน

    Nikwrli mutumishi hayotulikua hatuyajui

  • @easterfraha5008
    @easterfraha5008 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 5 หลายเดือนก่อน

    AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 5 หลายเดือนก่อน

    AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 5 หลายเดือนก่อน +1

    I received

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 5 หลายเดือนก่อน

    Neno hili Lina nifaa sana

  • @janetfrancis7180
    @janetfrancis7180 5 หลายเดือนก่อน +2

    Amen