@@AlfredMgoben I know that Sasa unajua Kuna hapa wenye wanafanyia hivyio mabwana zao so wakisoma comment watajua hiyo hawafanyi poa so tuko hapa kujifunza na najua hii ni movie
Yani uyu mwanamke nikama akuzaliwa alifanya kuokotwa ana roho mbaya sana sipendi ajui kama dunia inazunguka ajui kama yaye piya inawezekana wakati wowote akawa mlemavu nayaye sijui ateswe piya namchukiya sana
Wangapi wanatabiri baba sele atamuoa Mary,shogake kidawa,love from 254
Inatufundisha sana Nakuombea kaka uwe na mwisho mwema!🙏🙏🙏
Amina yarab alamin
Dogo sele endelea kusaidia babawako kama una mkubali dogo sele rusha mauayake❤❤❤
❤❤❤❤❤❤
Dogoseleendele❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Aise Huyo mtoto anaweza kuigiza
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤ dogo Sele Mungu akubariki
I really like sele...big up sele
Napenda sana movies zako❤
Dogo selee nakukubalisana nakutakia maisha malefu dogo langi❤❤❤❤❤😂
From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi Kaka mkubwa tupia like zangu apo atakama nimechelewa kidogo team madevu
Hadi nimeliya jamani MUNGU awalinde wanao pitiya kipindi hiki 😢😢
Sele mtoto mzuri mwenye adabu na mapenzi ❤❤❤ya kweli Kwa Babake
Madevu Respect 🔥🙌🏿Anajua na hii game ataitendea haki 🙏🏿💯
Twende naloo tunangoja episodes zinginee zikujee
Tuned from kenyaa
Dogo smart boy 🎉❤ much love from+254
Kusema kweli.....watoto huharibiwa na wazazi wao
ndiyoo kabisaaa
Nmeisubiri kwa hamu hii 💯💯💯💖
Courage ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mimi donaba mujakulahki nahbalaki zagu Uyama Kaka👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👍🏿👍🏿👍🏿👍🏿
FUBUFILMS ❤❤❤❤ nipo kwaajili ya steve mweusi namkubali sana kaka angu anajua ❤❤ like zangu wapendwa🎉
Kuna la kujifunza... Mungu atupe sibira
KAZI NZURI 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kama unapenda wazazi wako ata kama walifariki nipeeni like na love ya +254
❤❤❤
❤❤❤❤❤❤@@FatumaBakari-c4m
❤❤❤😢😢
🎉🎉🎉🎉❤
Nawapenda sana jameni 😭😭
Sere nakukubal kinoma mdg wangu forever content zako hakika nzuri vibaya
Hadi Paka aliogopa kula.. Steve sio level Yao.. Simba Kiraka🔥🙌🏿
Naomba kujua mwenye nyimbo from +254 what an educative movie 👌
🇹🇿❤❤❤+257🇧🇮from Burundi kama unampenda Baba nipe like🙏🙏🙏
Wewe mama sele hufanyi poa baba sele atakua tajiri utalia machozi haya
Haya ni maigizo tu
@@niclassicsound871 yeah najua dada
jaman kumbuka hili ni igizo jaman,,
🖐️❤️
@@AlfredMgoben I know that Sasa unajua Kuna hapa wenye wanafanyia hivyio mabwana zao so wakisoma comment watajua hiyo hawafanyi poa so tuko hapa kujifunza na najua hii ni movie
MAIGIZO HAYA 😅
Jitahidini kutoa mara kwa mara mnachelewa sana, mnatuweka sna mashabik zenu
Baba sele pole san n mda tu utaisha kwa uwezo wke Allah
Napenda jinsi sele hua na huruma woiiieee 😢😢 ameonea bbke huruma
Mimi wa Kwanza toka 🇰🇪
😢😢😢yaaani Kidawa amezidi roho mbaya ,hafanani na alivyo😢😢
Yani sele nani anamkubali uyu dogo😢😢
Mnatuweka sana washikaji
Kazi nzuuriiii
❤❤❤❤ enedleni kutowa ep zingine kwa wakat tunapenda comedy zenu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ wanaopenda dogo sele na brai gonga like❤❤❤❤❤
Thanks guys for the update, but mnatuwekea sana halafu Mnatoa kanusu
Mwenyenzi Mungu ndo atamlipa mama yangu kwa kazi aliyo ifanya kwa baba yangu mpaka kufika alipi...I love you mom🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Huwa inaiingilia sana,,najiuliza tu kama yule ninae mpenda atanifanyia hivi nikiwa na shida,,?ama binadamu hawafana kitabia..😢😢
mmmh Aise mie nafikiri itakuwa basi
Leo nimewahi kucheki kabisaa ina dakika 17 😂😂😂😂😂
Kama kweli ulikuwa umeisubiri ya Leo angusha like yako hapa
Steve wewe ni baba lao
Mama sele zijapenda vile wamkandamiza babake sele 😢 ....from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ongezeni vipande iwe refu please ❤
Niliisubiri sana kwa hamu sehem ya 3
Pia nami nina video mpya naomba ukaangalie❤❤❤
Dada kaweza acting kwasababu ninavyomchukua now. Natamani nikamchukue baba na Sele. Kha!!
Mauwa Yako tokea Zambia🎉🎉🎉
Steve the Best❤
Nampenda sanaa sele chukua maua yko ❤❤
Muongezage dakika bad n nyie😏
Nzuri Sana🔥🔥 na mwache kuchelewesha Sana hivo
Kwakweli mna kazi nzuri ela baba sele ulivyo achiwa ukanguka mtakuja vunjana mgongo
Leo wakwanza mm
Please another part. Love from Uganda
Mungu akupe Moy wakusaidia sel
Dogo SELE mtu wa maana kabisa anaujua sana 🎉
😭😭😭kuna vitu vyengine vinaumiza kweli Baba sele mungu atakupa nguvu
Paka mshenz kwel kanasema kama umesusa sisi twala😂😂😂😂😂
Sema mwanatu Cheusi unatuchelewesha sana ujue
Kazi nzuri sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kweli kidata ana endana na mama karobo tu wote wanoko
Jaman Kama kunawanawake wanafanya hv kwel naalaaniwe ad huruma jaman
Nawapenda sana kabx mimi natoka Bd 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 like ❤
Bite
@@DivaKhamis Nisw umez neza,??
Mbn jmnii sielew inatok kila baada ya sku ngpii😊😊
mama sele ufanyi poa ipo siku uta kuwa mlemavu tutafanya jee kweli
Waaah This Is Very Creative Brother
Yani Inagiza Mahali Bali Sio Tu Video Au Movie Ila Inagiza Mazito Kwa Miyoyo Yetu Kind Of My Life 😭😭😭😭😭
usije kuogopq kuoa
@@trophywilson7211 🤣🤣🤣🤣 Siwezi Ila Part 7 Waah Noma
Kama unawapenda wazazi weka ❤❤❤❤❤
Alafu sele fresh akili yakiutuuzima umeeza dogo achana nahuyo mtoto wa mama
Sijachelewa jaman
Bonge la move ase madevu unaweza sana kaka nimemuona na paka wa dazeti 😂😂😂😂😂
This content is educational
Not really Good I hate the Lady
Wakwansa kwa Kenya 💖💖💖💖
Usiombe mwanamke akuchoke mzee utajuta kwann wameitwa hawa 😂
Naku kubali sana sele chali yangu.❤
Nzuri lakini mnachelewa kutoa mpya
Kwel haya sio aisha jaman
Movie nzuri sana master ❤😂😂🎉😢😅😢😅😊
Gai! Wakati mwingine tukuwe na huruma jamani
I'm from moçambique 🇲🇿🕶️🕶️🇲🇿🇲🇿🇲🇿 cazi nzuri sana steve mweusi nipe like zangu
Funzo zuri Sana ❤❤
Jamani huruma Alafu kuna wanawake wana watreat wanaume zao ivi yani hadi huruma 😢😢
Aki honger sele mungu akueke n iyo iman hdi uzeeen ila brain semsem n mmke roo mbay
Sele na baba ake wa mchongo watafka mbali,
Mume firisika au pata maradhi tukujue tabia ya mkeo😂😂😂😂 pole sana baba sele Mungu anakuinua tu siku 1😢😢😢❤
Jamani igizeni kawaida mtatufanya tuogope kuoa tuishie kuzarisha tu Hawa wan awake. Kama haya yapo ni hatari
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢huyu mama achinjwee Christmas tuu umbwa xile sio kwarohoo mbayaa hiyoo pamoja na mwanae mshari kweli 😢😢
Good job
Kazinzuri sana Mr steven 👍 👍 👍
Dah muvi kali🎉
Kazi nzuli ila mnachelewesha sana mpk tunasaau
Kazi nzuli
Hongera sana sele
Kazi nzuri sana
Movie nzur sana inaujumbe mkubwa sana 😢
Hii kazi hadi mtu unalia aiseee duh😭
Poleni kwau jamaa
Dah 😢 najikuta siwezi kuwagalia tena wanawake wengine wanaroho mbaya hadi wana Mshinda shetani 😢
Kazi nzuri
Yani uyu mwanamke nikama akuzaliwa alifanya kuokotwa ana roho mbaya sana sipendi ajui kama dunia inazunguka ajui kama yaye piya inawezekana wakati wowote akawa mlemavu nayaye sijui ateswe piya namchukiya sana
Good job my friend
Mbn hamuendelezi jaman
Hiii kasi nzuri sana❤❤❤❤❤❤
Mnachelewesha sana🎉🎉
Steve mweusi mbona inachelewa sana
Mnachelewesha sana