MCH DANIEL MGOGO - ACHA KUDHARAU WATU || KIBURI CHA MAENEO (OFFICIAL VIDEO)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 35

  • @LaCharmanteL
    @LaCharmanteL ปีที่แล้ว +1

    Hallelujah barikiwa mtumishi 🙏🏽

  • @rosewoiemitau8376
    @rosewoiemitau8376 3 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji nabarikiwa Sana na mafundisho yako,juu kuna watu wengine kiburi kimewajaa mpaka kooni, Mungu tuzaidie tujue kunyenyekea

  • @luciamaganga1872
    @luciamaganga1872 ปีที่แล้ว

    Ni kweli mtumishi,,dharau ni mbaya sana aisèe

  • @renaldanjama6313
    @renaldanjama6313 ปีที่แล้ว +1

    Amina kubwa👏👏🤝

  • @ScholasticaKaswiswi
    @ScholasticaKaswiswi ปีที่แล้ว +2

    ❤❤❤❤ ni kweli kbs wanajifanya kama hawaendi choòni

  • @theresiakaruhanga364
    @theresiakaruhanga364 ปีที่แล้ว +3

    Hakuna watu wenye shida duniani kama watu wa Dar ndo maana na wenyewe wanaanza kuikimbimbia. Tunaomba mnsituletee mashoga😁😁

  • @Okoro-k2s
    @Okoro-k2s ปีที่แล้ว

    Mazingira mtu hukaa pia hutia kiburi bure,walakini watu ni wale wale

  • @hidayasaidi7872
    @hidayasaidi7872 ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏🙏Nikweli mjiwakutumianguvu nachukiaDr

  • @risperondiba7347
    @risperondiba7347 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kapisa ..Mungu atuondolee kiburi 😢😢

  • @JamesKereph
    @JamesKereph 3 หลายเดือนก่อน

    Kweli, baba.

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 ปีที่แล้ว +2

    Kutoka sehemu fulani co tija,nawaambiaga kila cku maisha na jinsi umejijenga ndo issue,mtu yuko Dar lakini choo cha ajabu,ukija home kwe2 kijijini Marangu utafikiri ni ikulu.

  • @deborahmgedzi632
    @deborahmgedzi632 ปีที่แล้ว

    Ni kweli kabisa mtumishi wa Mungu Baba.

  • @allanmajanga756
    @allanmajanga756 ปีที่แล้ว +2

    Pastor napenda mafudishow Yako sana

  • @MathayoMelubo-i9m
    @MathayoMelubo-i9m 13 วันที่ผ่านมา

    Kweli baba

  • @baghabaghaingwengwe1750
    @baghabaghaingwengwe1750 ปีที่แล้ว

    Lkn mchungaji c hata hawa waliotuletea Mungu walikuwa na maeneo wa watu wenye hadhi ya juu

  • @godfreyobadiah7892
    @godfreyobadiah7892 ปีที่แล้ว +2

    Well, don't judge a book with its cover

  • @hamismabula9934
    @hamismabula9934 ปีที่แล้ว +1

    Kabisa!!!
    Kuna watu wanajisifu kwa maeneo wanayotoka, na kujiona eti ni bora zaidi ya wengine🤣🤣🤣kwa sababu tu yuko sehemu fulani anayoona ni maarufu!

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 ปีที่แล้ว +2

    Unasema Ukweli kabisa

  • @godfreyobadiah7892
    @godfreyobadiah7892 ปีที่แล้ว +1

    Sweat after a minute !

  • @alexpangani1944
    @alexpangani1944 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa neno

  • @ScholasticaKaswiswi
    @ScholasticaKaswiswi ปีที่แล้ว +1

    Sisi wamikoani wana2ona kama siyo binandam

  • @godfreyobadiah7892
    @godfreyobadiah7892 ปีที่แล้ว +1

    AMEEN ! 😂

  • @sylvesterambokile9593
    @sylvesterambokile9593 ปีที่แล้ว

    Sasa na wewe Mgogo utajifNanisha na wa Kyela?

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 ปีที่แล้ว

    Mafundisho ya masimango

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 ปีที่แล้ว

    KKKT imekosa mwelekeo

    • @ellymzalendo4517
      @ellymzalendo4517 ปีที่แล้ว

      Mwelekeo upi

    • @merekwangujati158
      @merekwangujati158 ปีที่แล้ว

      Labda mwelekeo wako ndio imepotea , ila kkkt sahau

    • @simongwandu7392
      @simongwandu7392 ปีที่แล้ว

      @@merekwangujati158 kama bado uko huko itakula kwako
      Msikilize Hanajana Kimaro
      Kkkt ni ya Maaskofu wanajitukuza wenyewe Roho za waumini hawajali

    • @hajiameir8688
      @hajiameir8688 ปีที่แล้ว

      Makanisa yote hayana muelekeo na kwa taarifa yenu kwanza bwana yesu hakuwahi kuingia kanisani achilia kufanya ibada kama unabisha lete andiko wapi bwana yesu alienda mji gani na wapi kuhubiri injili

    • @zawadiibrahimuseme1482
      @zawadiibrahimuseme1482 ปีที่แล้ว

      ​@@hajiameir8688shee baki kwenye swala huku unakanyaga moto