Muvi iko nomba Sana kwa kweli ila taizo ni moja tu kipande inaisha dakika zenyewe chache ila zile sini muhim ambazo tuna ham nazo hamuchezi munazinguwa munaweka Mambo mengi hayana ata maana. tulio pamoja na hili tujuane kwa like apa.
Jamani now days mmekua na Kazi nyingi mnatuma kidogo sana mjitahidi basi mfanye kama zamani busati tv movie Ni nzuri Ndio ila sasa ikichelewa kama hivi inakosa radha
SCRIPT ZA KUONGEA ZIMEKUWA NDEFU SANAA, YANI EPISODE NZIMA KUNA SCRIPT MBILI TUU MPAKA CHARACTERS WENGINE WANASHINDWA KUONEKANA DIRECTOR PLZ REKEBISHA HILI, FUPISHA MAZUNGUMZO KWA CHARACTERS. though ni kazi nzuri sanaa.. keep it up team💯
Candy doa ni ufumilivu na kuomba sana mwenzi mungu ailinde sasa. Ww ulionelea ukatafutane na mizimu ona sasa umepoteza kila kitu samahani dada tujifunze na kendi
Kazi za hawa ni danger ni nzuriii hatari ukiangalia huwezi acha angalia kiukweliiii ziko na mvuto tuliopak movie nyingine na kufatilia hii comment chochote
Hahaaa mapenzi ya dawa simapenzi jamani nimejifunza mengi hapa kheri nijikibali nilivyo mtu akinipenda anipende asiponipenda nikipendwa na wazazi wangu inatosha wallah hii movie inamafunzo mazuri sana hongerani sana Wana busati kwa maelimisho yenu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Kai uko sawa bt Tasha why Sania?? Halaf 😂😂😂😂😂mama candy jamani nipe nafasi nipumue hta kidogo,,aty ndevu kama mbuzi za nini eishy hyu mama Ako on next level 👏👏 very interesting show nawapenda sana mie jirani wenu 254🇰🇪🇰🇪
Tangiya nimeza kuangaria hii move kira mtu humu ndani wakwanz sasa yupi wa kwanza na wamwishoo😂😂😂....... Niwape ongera kwa kufuariria move mzuri km hii
Mapenzi ya dawa unaishi kwa wasiwasi yakiisha huna chako iyo nzuri nimeipenda kama tuko pamoja gonga like kwa wingi
Mapenz ya Dawa hayadumu😂😂😂😂
Na mtu awezi zuia hatma ya mtu
Mafundisho,vichekesho,maelimisho mazuri tunafurahia mno kwa hii movie ❤kama unawapenda waigizaji tupa likes kwa wingi.
Hii ni noma sana kai kachukua maamuzi ya kiume ,sjawai pata like kuanzia nianze kuangalia hii muvi naombeni like
Candy gooooh goooooh harusi tunayo na tunatamba nayo wanaotaka zuu awe wifi yetu gonga like hapa❤❤❤😂😂
Wale tunao enjoy maamuzi ya kai tugonge like
❤
❤❤❤🎉🎉
😂😂😂
Woyooooo wanaofrahia maamzi ya kai gonga like hapa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉❤❤
salminaabasi
Candy Laana Ni mbaya badala unyenyekee bado unamkaripia utabaki Na Laana milele
Maake acha nicheke kwanz 🤣🤣🤣🤣🤣
Jamani ambao tulisubiri mpaka tukakata tamaa like hata kumi nienjoy kidogo please 🙏❤️😂😂
Mimi mpaka nikahisi kufa
@@YoanaNikomedi-hk7lh ahahaha jaman 🤣🤣🤭
Muvi iko nomba Sana kwa kweli ila taizo ni moja tu kipande inaisha dakika zenyewe chache ila zile sini muhim ambazo tuna ham nazo hamuchezi munazinguwa munaweka Mambo mengi hayana ata maana. tulio pamoja na hili tujuane kwa like apa.
Mie nakuunga mkono wanakera sana
𝐾𝑤𝑎𝑛𝑧𝑎 𝑚𝑖𝑚𝑖 𝑠𝑖𝑗𝑎𝑒𝑙𝑒𝑤𝑎 ℎ𝑖𝑘𝑖 𝑘𝑖𝑠𝑤𝑎ℎ𝑖𝑙𝑖 𝑐ℎ𝑎𝑘𝑜..𝑢𝑛𝑎𝑠𝑒𝑚𝑎𝑎???
Leo nmechelewa muvi zenu kiwango mambo ni moto kama unanifatilia gonga like zifike 100😃
Candy uchawi tyu kuoga aahhh hy ss tujuane ambao tupo kwny maandalizi ya harusi candy bahn candy gooo hy tjuane🎉🎉 kwa like
😅
😂😂😂
Uchawitu kusali aaaah 😂
Yani ni vigeregere kwa wingi❤
no
mo
Leo 200naomba like jamani mwenye atakuja nyuma ❤🎉❤🎉
Hii movie inafundisha , inaelimisha ,,inachekesha pia kama unakubaliana na mimi tujuane kwa like hapa
😂😂🎉🎉🎉
Sikweli inafundisha San ila kendi anaboa kama nn nasurayake mby mungu ty ndy anajua alivyo mtengeneza kweli mung nisamehe ty kama nakosea
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Sana tu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mm na enjoy tu jmn😂😂😂❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Ambao tulikuwa tunasubiri kuona sapraiz ya kai mko wap😂😂😂😂😂😂
😂😂 tupo
@@GreatestSwordsman ahahaha jaman 🤣🤣
Mi nilijuwa ni zuuu😂😂
@@ShukuruElizabeth ahahaha jaman 🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 tuko apa
Man nkajua me wakwanz enywey like kwa kai🎉🎉🎉
Any Kenyan here enjoying these beautiful episodes😑
Kai umekuwa chizi juu ya zuu utakuwa naye karibuni tu zuu wako ❤❤❤❤
Malipo n dunian candy kula chuma icho tena cha kutu😂😂😂😂
Wagapi tunawatch tukiwa Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💥💥💥
Niko😊😊
Waliekuw wakiifikiria hii suprze anaeonyeshwa kai like hap😋
Nilidhani n zuu imagine 😂
Yaan Kila moja ANAOMBA like hamna kitu chakusema
Jamani tangu niangalie hii move sijawahi kupata like nipeni na mm😊
Hiyo hapo
Jamani now days mmekua na Kazi nyingi mnatuma kidogo sana mjitahidi basi mfanye kama zamani busati tv movie Ni nzuri Ndio ila sasa ikichelewa kama hivi inakosa radha
Wakwanza jamani naombeni like zangu❤😂😂😂
Wow Leo top 100 Mashallah thanks so much
💪💪
❤❤❤🎉🎉
Tunaomuona Kai kama kachanganyikiwa tujuane Kwa like
Ajachanganyikiwa subiri uachwe na mpenz wak,alafu uwe na nguo zake ndani utajua😅
😢😢😂😂😂😂😂😂😂@@elifurahamassawe2275
Haja changanyikiwa mapenz yanauma yaan kama hujawahi kupenda huwezi elewa
@@MarianeKibada😂😂 kweli kabisa siwezi elewa
Candy kimemuramba,ujanja wa nyani kaishia jangwani.😂😂😂😂😂hapa hapa mama,hongira sana
SCRIPT ZA KUONGEA ZIMEKUWA NDEFU SANAA, YANI EPISODE NZIMA KUNA SCRIPT MBILI TUU MPAKA CHARACTERS WENGINE WANASHINDWA KUONEKANA DIRECTOR PLZ REKEBISHA HILI, FUPISHA MAZUNGUMZO KWA CHARACTERS.
though ni kazi nzuri sanaa.. keep it up team💯
Niliwah ongelea ili jambo kitambo sana scene moja inamaliza dakk nne akat muv inachkua dakk 15
Sikwa mbio hio yani imenipata humuhum tu mkuje polepol nime mop xai tu 😂😂😂
Watu mnashindahumu nyieeee like kwa wana wa burundi tujuane kwa like
Like hapa
Burundi🎉🎉mikono juu
Hakuna kisicho na mwisho..... Mwisho wa candy umefika
Yaan nmekimbilia uku karibu nianguke lkn mshawai tyr duuh 😂😂😂😂❤team zuuu tupo Yaan 😊
Am the first one to comment...I am Jose from Kenya I like the movie keep it up Kai alafu bro akh ingekua sio kuingiza ... walahi keddy angekua mtu
Hongera sana
Napenda Sana hii movie ❤
Candy doa ni ufumilivu na kuomba sana mwenzi mungu ailinde sasa. Ww ulionelea ukatafutane na mizimu ona sasa umepoteza kila kitu samahani dada tujifunze na kendi
Wale wamefurai mahamuzi wa kai wapi like yake🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤
Nyie ata one hour haijaisha like na comment km zote,, thats great work congratulations team zuu n kai kwa kazi yenu nzuri aisee 🎉🎉❤
Kimewakaaaa mamb yako motooooooo mnajua had mnajua tenaaa🎉🎉🎉❤❤❤chukueni maua yenuuuuu❤❤❤
jamani hii movie ni ipi na ipi sababu Kuna km hii haya bs naombeni hata like moja jamani
Candy waskia maneno ya mama 😭😭😭hufai tena bila baraka za mama hata huyo masozi atakutupa
dan niatar kweli yani mupaka raha 💪❤️💪❤️💪❤️💪❤️💪❤️💪❤️
Nmewah leo jmn naomben likes hat 3 ty 🎉🎉🎉🎉
Yani kendy hujui kuwa mple hata kwa mama mzazi wewe kwisha sasa mimi niko kusubiria kula ubwabwa tuna harusi mbili sasa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mashallah Allah awape nguvu zaid muzd kusonga mbele
Ameen
😊😊😊😊
😂😂kai utafika mbinguni Kwa njia ya mtandao 😅😅😅😅haya
😂😂😂😂 hata mm naona hvyo
Nimewahi Leo nipeni like
Kuomba like tu subscribe aaah😂😂😂😂
Haya basi wa mwisho kutizama nipee likes zangu 🎉🎉❤❤😂😂
Like kumi tu naomba
Kai unakwama wapi aiiii ...maamuzi ya taratbu hvo maneno makali lakini unaongea kiustaarabu ...mbona huku duniani n mateke kabsa na hawez kubaki mtu
Leo nimewa nipewa atabusu jamani😊😊😊
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
wow kai sahii bdo maandalizi y harisi n zuu 🎉🎉🎉
Tiliokua tunasubiri tangu asubuhi tujuane
Kai😂😂😂 nguo Za zuu tu umeishaaa mapezdi jameni
Hello guys jaman like ata mojaaaaaaa 😅😅
Wakwanza mie nimengojea xn house girl
Hongera mpenzi 🎉🎉🎉
Wakwanza leo naomba like zangu
Jamani na mm naomben Leo like zenuuuu❤
Masha Allah
Namba moja
Aaah nimechungulia huku leo manzee mpk nikakata tamaaa
Jamani huko kwengine sija kubaliana na nako lakin hapa hadi natoa machozi,candy ni wakumuambia mama nyamazaaaa,huyu mdada hana radhi kabca
😭😭
Kaz nzuri san mungu azid kukupa nguvu na ubunifu mtunzi🎉🎉🎉🎉
Wow
Kai maamuzi mema nakupenda sana🎉🎉🎉
candy kudanga 2 kuoga aaaaaaahh
😂😂😂
Wakwanza leo Mm ndo kontawa 🎉🎉🎉
Next inatoka saa ngap jaman maan Leo mmeanza kurusha kipande cha Jana please next mutuwaishie
MAMAN kandy shikamo mman nakusalimia maman🤗🤗 unanikosha moyo wallah bibi yetu nae Milele daima🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Jameni mnatuchelewisha aki jaribu kueka mapema maana nangoja hdi nachoka🎉🎉🎉🎉
Jamn naipenda sana hii movie mwenzenu, vituko vya candy na sania ndo vinaniacha hoi mwenzenu
Chap chap wa 6 niwekeeni like za kutosha nikuhadisieni ina malizia vip 😂 from 🇴🇲
candy pole 😂😂😂 zuu ❤️🌹🎁👩❤️👩
Pigeni vigelegele muache kuomba likes😂😂😂
Mbn umewapiga mwingiiiii😂😂😂😂❤
Exactly
😂😂😂😂 kabisa
@@SalmaKenyatta-cn8tg 🤣🤣🤣🤣
@@eversweedakemo ee wanatabia ajabu
Waooo mov kuanzia mwanzo mpka mwshoo ni kalii blaaa 🎉🎉❤❤❤❤
❤❤❤😂Nice
Kazi za hawa ni danger ni nzuriii hatari ukiangalia huwezi acha angalia kiukweliiii ziko na mvuto tuliopak movie nyingine na kufatilia hii comment chochote
Asante sana🙏🙏
@@busatitv shukuran maboss zangu
🎉🎉🎉
@@GreatestSwordsman wowoh
Aky hii nayo ni moto 🔥🔥🔥🔥
Batu ya 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 juhuuu
Big up ❤
kwan ukipewa like kinatokea nini jaman mi sijawah omba like alooo haya wa kunilike karibu ni
Mi nawapenda nyote jamn movie tamu hii❤❤
Jamani nimewah Leo nimekuwa watatu naombeni like hata tano
Viguu kama udi devu kama ndevu za nini😂😂😂😂
Huyo mama amenichekesha 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉
Hahaaa mapenzi ya dawa simapenzi jamani nimejifunza mengi hapa kheri nijikibali nilivyo mtu akinipenda anipende asiponipenda nikipendwa na wazazi wangu inatosha wallah hii movie inamafunzo mazuri sana hongerani sana Wana busati kwa maelimisho yenu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Wa kwanza mm naomba like zangu pls
Amizing 👏
Mbna sikuhizi mwachelewesha ongezi ata madakika basi 🎉🎉🎉
Tamuuu😍😍
Waw 🎉nabapend❤
Kai kweli kahamua kwa maamuzi mazuri hongera
Kimenuka leo waaah lazima kieleweke kwa kai lazima ushindi urudi kwa zuu
Wapi kelele za mama kendi 🥳🥳🥳🥳🥳🥳🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️💪
Kimemramba kendi ❤❤❤😂😂😂
Kai uko sawa bt Tasha why Sania?? Halaf 😂😂😂😂😂mama candy jamani nipe nafasi nipumue hta kidogo,,aty ndevu kama mbuzi za nini eishy hyu mama Ako on next level 👏👏 very interesting show nawapenda sana mie jirani wenu 254🇰🇪🇰🇪
🤣🤣
@@busatitv mama candy for me 😂😂
Jana tumebshana sana .. suplz n shoga ake candy 🍭🍭😅😅😅😅😅😅
Waa kumekucha 😂😂😂😂❤❤❤❤❤
Woow good
Mov nzuli San , wanaojifunza kitu chochote kupitia mov hii gonga like hapo
naomben like mbili plz
Nice❤
Tangiya nimeza kuangaria hii move kira mtu humu ndani wakwanz sasa yupi wa kwanza na wamwishoo😂😂😂....... Niwape ongera kwa kufuariria move mzuri km hii
🤣🤣🤣Asante
Wamwisho ndio mimi hapa 😂😂
Kai umenifrahisha jaman duhhhhh hongeren kwa kaz nzri wapedwa ila ombi langu msicheleweshe move ban wat hatulali tunasubir move