HOUSE GIRL EP 39 | S2 | love story💞💕

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ก.ย. 2024
  • #bongomovie #housegirl

ความคิดเห็น • 777

  • @Lucy-g5v
    @Lucy-g5v 15 วันที่ผ่านมา +406

    Mama tasha, zatiti na tasha nimepata mafunzo kutoka kwenyu nani pia amesoma kutokwa kwao tuwape likes jameni❤❤

    • @user-si8ji2nw1c
      @user-si8ji2nw1c 15 วันที่ผ่านมา +5

      Mm pia

    • @Asyawaamidu-g7p
      @Asyawaamidu-g7p 15 วันที่ผ่านมา +8

      Sio kwenyu ni kwenu rekebisha kiswahili😊

    • @NeemaYohaness
      @NeemaYohaness 15 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂ata mm nilikua namuambia ivo sema tu umeniwah​@@Asyawaamidu-g7p

    • @MankaTemba-z3d
      @MankaTemba-z3d 15 วันที่ผ่านมา +1

      Wapo vizur san

    • @user-pp3vo8rw5j
      @user-pp3vo8rw5j 15 วันที่ผ่านมา +4

      Hata mimi pia nimejifunza sana katika hapa kwa zatiti tasha na mamaake ❤❤❤😂mungu awaongezee baraka

  • @IreneLudani
    @IreneLudani 15 วันที่ผ่านมา +271

    Haya sasa mda umefika ngoja nikamuone dada yangu zatiti nianze kutabasamu 😅😅😅😅 haya si ndo mambo sasa I love you zatiti kama na wewe unampenda zatiti gonga like

    • @bintijumachongoa892
      @bintijumachongoa892 15 วันที่ผ่านมา +6

      Tunawqpenda sana tu famlia ya tasha❤

    • @EliwazaBetweli
      @EliwazaBetweli 15 วันที่ผ่านมา +3

      ❤🎉

    • @IreneLudani
      @IreneLudani 15 วันที่ผ่านมา

      @@bintijumachongoa892 sana

    • @saumodzumbo9671
      @saumodzumbo9671 15 วันที่ผ่านมา +2

      Mm nafurahia hatarii ❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @UsuiliMilangitoni-gm.c
      @UsuiliMilangitoni-gm.c 15 วันที่ผ่านมา

      ❤❤❤🎉🎉

  • @shivobs4485
    @shivobs4485 15 วันที่ผ่านมา +87

    Penzi la Tasha na zatiti linafanya team viewers TH-cam tutabasamu tu., like zenu jamani wenye mnatabasamu

    • @SAUDAALI-n6o
      @SAUDAALI-n6o 15 วันที่ผ่านมา +1

      penzi lao limefanya house girl imenoga sana zatiti aolewe na Mr tasha

    • @shivobs4485
      @shivobs4485 15 วันที่ผ่านมา

      @@SAUDAALI-n6o sanaaaa ka movie kamenoga sana

  • @MinnahPetra
    @MinnahPetra 15 วันที่ผ่านมา +288

    timu zititi mko wapi gongeni like tujuane

    • @NYUNGIJAMES-vo1ep
      @NYUNGIJAMES-vo1ep 15 วันที่ผ่านมา +1

      Jaman maliza kwanza house girl ndo muanze my mother et

    • @user-fg5pd4ku3i
      @user-fg5pd4ku3i 8 วันที่ผ่านมา

      Zatiti sio zititi​@@NYUNGIJAMES-vo1ep

  • @RiroAmmison
    @RiroAmmison 15 วันที่ผ่านมา +33

    Ila zatiti apo kwa love story❤ umeweza mbaya hadi kwa iyo season ya my mother we aki uko na talent ya iyo character yani unakacheza mbaya🇰🇪👊👊

  • @AnnaAmanda-v4q
    @AnnaAmanda-v4q 15 วันที่ผ่านมา +171

    Ukisema cha nn wenzako wanasema watakipata lini ambao tunawaza chiko atajuta kumuacha zatiti like kidogo 😂😂😂😂😂😂😂

    • @RizikiStadza
      @RizikiStadza 15 วันที่ผ่านมา +3

      Wape michapo😂😂nimependa hio

    • @AnnaAmanda-v4q
      @AnnaAmanda-v4q 15 วันที่ผ่านมา +2

      @@RizikiStadza 😂😂🤣🤣🤣

    • @user-qe2uq8mr5h
      @user-qe2uq8mr5h 13 วันที่ผ่านมา +1

      🤣🤣🤣

  • @purityrotich1703
    @purityrotich1703 15 วันที่ผ่านมา +63

    Nampenda huyu mama tasha jamane wanao mwamini mpeeni likes 🎉🎉

    • @MachoMesa
      @MachoMesa 15 วันที่ผ่านมา +1

      Tupooo

  • @user-sy9cu5ef5q
    @user-sy9cu5ef5q 15 วันที่ผ่านมา +88

    Hatimaye kwakina Tasha Kuna furaha sana mauwa yao❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤

  • @KilaindmbapeJnior
    @KilaindmbapeJnior 15 วันที่ผ่านมา +96

    Jamani Léo ni wa mwisho najuwa sita Pata like

    • @Paskalina-d3d
      @Paskalina-d3d 15 วันที่ผ่านมา +2

      Me nakupa mdog wangu like ❤

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 15 วันที่ผ่านมา +117

    Nampenda Zatiti jamani anavyo ongea naanavyo ceka wanao mpenda kama mimi tujuwane❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

    • @FatmaAli-wr7mm
      @FatmaAli-wr7mm 14 วันที่ผ่านมา

      Nice🎉🎉🎉😊

    • @killyjumax
      @killyjumax 13 วันที่ผ่านมา +1

      at mm nampenda sn jamn❤❤❤❤❤

    • @mwajumazakaria
      @mwajumazakaria 11 วันที่ผ่านมา

      Hata mm namenda mnooooooo unit nimrembo na anatabasamu bury jmni

    • @mwajumazakaria
      @mwajumazakaria 11 วันที่ผ่านมา

      Nampnda mno anatabasamu zury

    • @HusseinBakari-rm7gm
      @HusseinBakari-rm7gm 8 วันที่ผ่านมา

      Zatiti mzuri mno jamen kwakwel

  • @jumabintie
    @jumabintie 15 วันที่ผ่านมา +91

    Upendo wa mama tasha kwa zatiti me ndo I like❤❤ mapema tu na atuombi like

    • @nasrachimamy
      @nasrachimamy 15 วันที่ผ่านมา +3

      Duh huu msemo ushaleta mpak huku kweli chado kashawaaribu wadau wake me hiyo ndo l like 😂😂😂😂😂

    • @mamTee-yq2jr
      @mamTee-yq2jr 15 วันที่ผ่านมา

      ​@@nasrachimamy😂😂😂😂😂😂jamani

    • @jumabintie
      @jumabintie 15 วันที่ผ่านมา

      @@nasrachimamy teeeeeh

  • @SaulCharles-w5f
    @SaulCharles-w5f 15 วันที่ผ่านมา +168

    Wanao mkubali zatiti gonga like hapa

    • @samsonkaboko5137
      @samsonkaboko5137 15 วันที่ผ่านมา +1

      Mim nampenda Sana

    • @gastonlwabira6736
      @gastonlwabira6736 15 วันที่ผ่านมา +2

      Namiye'nampenda zatity jamani hahowane Natasha.

    • @gastonlwabira6736
      @gastonlwabira6736 15 วันที่ผ่านมา +1

      Hi samiya hahumbuke nahapate haya.

  • @JbmtekaMteka-u3h
    @JbmtekaMteka-u3h 15 วันที่ผ่านมา +73

    Leo wa kwaz jaman naombeni like hata 2

  • @Rizikialiamechannel763
    @Rizikialiamechannel763 15 วันที่ผ่านมา +68

    Leo msipo nipa like nakua roho mbaya

    • @RizikiZiki
      @RizikiZiki 15 วันที่ผ่านมา +2

      Nimekupa kua roho neuri😂😂

    • @Rizikialiamechannel763
      @Rizikialiamechannel763 15 วันที่ผ่านมา

      @@RizikiZiki😂😂😂 asante simo halafu mm kila cku huwa nakupa kwakweli

  • @BarakaBaraka-n2y
    @BarakaBaraka-n2y 15 วันที่ผ่านมา +20

    Tasha Kama naiina furaha yako😊❤ ...mama Tasha big up kwako mama ...Kuna meng najifunza kutoka kwako...bila kumsahau zatiti nakupenda❤❤

  • @EuniceWavinya-uf1cl
    @EuniceWavinya-uf1cl 15 วันที่ผ่านมา +40

    Mm kila siku lazima ni tazame hii kipindi naipenda sana

  • @MamuOmary-zw6bn
    @MamuOmary-zw6bn 15 วันที่ผ่านมา +43

    Jmn wanaopenda zatit na mr tasha piga lake apochn

  • @Rania-q6u
    @Rania-q6u 15 วันที่ผ่านมา +39

    Mama tasha nakupenda sana

  • @irene-pw4dw
    @irene-pw4dw 15 วันที่ผ่านมา +63

    Jamn leo nimewah na naipenda furaha ya zatiti Ambao mpo na mm like kwang🎉🎉🎉🎉

  • @RehemaMwakisyala-k9u
    @RehemaMwakisyala-k9u 15 วันที่ผ่านมา +24

    Mama Tasha we saf sana❤❤❤

  • @NuruenezaJosephEnock
    @NuruenezaJosephEnock 15 วันที่ผ่านมา +14

    Jaman familia ya Tashà inapendeza sana kuwa hivo piah Keina ana mama mkwe mzuri sana

  • @ShamimAbdul-tf3fw
    @ShamimAbdul-tf3fw 15 วันที่ผ่านมา +12

    Baba Kay tumurudishue mungu shukurn hayawi hayawi leo yamekuwa zuuu Kawa mkwee mauwa kwa baba Kay 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤

  • @shabaniidrisa6792
    @shabaniidrisa6792 15 วันที่ผ่านมา +8

    Dahhh noma sana nawapenda wote tunao tizama house girl ❤❤

  • @Akimanacedrick-io1yx
    @Akimanacedrick-io1yx 15 วันที่ผ่านมา +13

    Jamani naomba sana doa ya zu nakayi.musipime mutuoneshe matatizo muemunatuonesha mahaba tu mugonge lik bagupenda zu nakay

  • @Nailaty564
    @Nailaty564 15 วันที่ผ่านมา +7

    Zuu mzuri Masha Allah wanawake wote ni wazuri tofauti ni matunzo Tu🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @user-yw9tb6vl9g
    @user-yw9tb6vl9g 15 วันที่ผ่านมา +7

    Napenda sana vile mama tasha anashauri zatiti 💯 perfect said,na ni ukweli mr tasha alifunzwa ombea na Sania 😂

    • @lilianonyango5417
      @lilianonyango5417 13 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @user-en6ch1uv7w
    @user-en6ch1uv7w 15 วันที่ผ่านมา +5

    Jamani kwasasa naona zuu hasemw ten mud wot ni zatiti lakin weny kupata mafunzo kutoka kwa zatiti zuli tasha pa moj na mama yake tasha gong link❤❤❤❤

  • @LighySteven-gd8wo
    @LighySteven-gd8wo 15 วันที่ผ่านมา +32

    Jamani nimefrahi sas zatiti kuwa pamoja na tasha...ila candy anaigiza uhusika wake vizuri yan haonywi mtoto skio la kufa yan hasikii busati tv kazi nzur sana

    • @mbwankilobwa7941
      @mbwankilobwa7941 15 วันที่ผ่านมา

      🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @Lovekidoti32
      @Lovekidoti32 13 วันที่ผ่านมา

      Yani candy anachangamsha movie 😂

  • @SAADESAID-wc3bw
    @SAADESAID-wc3bw 15 วันที่ผ่านมา +6

    Anaemkubali zatiti awe mke wa mr tasha mungu ambariki

  • @SemeniJuma-vm9jd
    @SemeniJuma-vm9jd 15 วันที่ผ่านมา +3

    Candy, miguu ya kuku 😂😂😂

    • @RaelDiana-d3w
      @RaelDiana-d3w 15 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂😂pia ww umeona

  • @MilkaMziray
    @MilkaMziray 15 วันที่ผ่านมา +19

    Mtuwekee vipande viwili kwa siku mshatuzoesha❤

  • @user-wc3ke7ee3y
    @user-wc3ke7ee3y 15 วันที่ผ่านมา +27

    Wakwanza Leo naombeni like🎉🎉

  • @BadriaMaulid
    @BadriaMaulid 15 วันที่ผ่านมา +9

    Nyieee mumeuon Zuri💕💕 alivybdlik na kupndez baad ya ndoa yke😍😍😍

  • @NicholausSadick-j1y
    @NicholausSadick-j1y 15 วันที่ผ่านมา +4

    Nimeflah kumwona mr tasha yupo karibu na zatiti, adi raha, ameteseka sana bora aolewe na tasha 2.

  • @AnethAntony-wu7mf
    @AnethAntony-wu7mf 15 วันที่ผ่านมา

    wp tasha weeeeee❤❤❤nimefulahi sana kukuona upo na zatiti nawapenda sana❤❤❤❤

  • @tumyramake5416
    @tumyramake5416 15 วันที่ผ่านมา +1

    Wooooooow❤🎉 all busati mwaaaah

  • @RehemaMwakisyala-k9u
    @RehemaMwakisyala-k9u 15 วันที่ผ่านมา +16

    Jaman wanatutesa wanatucheleweshea jaman zatt na Tasha ❤❤❤

    • @user-qq6mv6vh3e
      @user-qq6mv6vh3e 15 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂umeona eee

  • @WinfridaKelvin
    @WinfridaKelvin 15 วันที่ผ่านมา +3

    Jaman family ya Tasha imezidi kupamba moto na mama mkwe anazidi kumpa somo zatiti. Mr Tasha asije akaramba asari kweli mama mkwe kampenda zatiti.wanaokubali family ya Mr Tasha gonga like na maua hayoo🎉🎉🎉🎉

  • @Johar903
    @Johar903 15 วันที่ผ่านมา +5

    ❤❤❤❤mama Tasha waoooo ongera sanaaaa nawaombea muweze kufanikiwa Tasha na Zatiti waowane mapema jamaniii mama Tasha mtu mzuriii sanaa

  • @user-te7sq5hl4d
    @user-te7sq5hl4d 15 วันที่ผ่านมา +6

    Leo nimefarijika kuona zatiti na tasha wakiwa kwenye furaha❤❤❤❤❤ kutoka 🇸🇦 🇸🇦 🇸🇦 🇸🇦

  • @Zaitunrashid-c7q
    @Zaitunrashid-c7q 15 วันที่ผ่านมา +14

    Leo nimekuwa wa kwanza like zenu plese kama mpo online

  • @Simstar7kn
    @Simstar7kn 15 วันที่ผ่านมา +3

    Candy anaigiza had kutuboa mashabiki fanyeni mmalize tu ❤

  • @saumodzumbo9671
    @saumodzumbo9671 15 วันที่ผ่านมา +5

    Time mr tashaaa na da zatiti tuwaombee mapenzi yao yasije kuharibika tena Mungu awajalie nawapenda sanaaaaaaa pamoja na mama tasha 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @KeristiStel
    @KeristiStel 15 วันที่ผ่านมา +6

    Mi namtaka kibendu kipenzi changu aky nampenda kibendu❤😂🎉

  • @BertinaCatitiAdamu
    @BertinaCatitiAdamu 15 วันที่ผ่านมา +28

    Anae mpenda zatiti kama mim ninavyo mpenda gonga like

  • @SaumuJumwa-u4v
    @SaumuJumwa-u4v 15 วันที่ผ่านมา +6

    Mama Tasha ama kweli umempenda sana zatiti 🥰🥰ila hiyo tuwaombee maana itakuwa heri ya Kai na Zuu ilikuwa na hadui mmoja ila hii niwa tatu 😭😭Chiko,sania AkA kakondee😂halafu na Malkia🥹Zatiti umeingia kwa vita vikali mungu akutangulie 🙏🙏nakupenda sana❤❤🙏🙏

  • @TeddyJames-rh6cl
    @TeddyJames-rh6cl 15 วันที่ผ่านมา +3

    Hee kumbe candy nae anaujua mrenda 😊😊😊 na mashauzi yake😁😁

  • @JenifaLameck
    @JenifaLameck 15 วันที่ผ่านมา +4

    leo nami kdg nimejitahid like zangu🎉🎉

  • @alphoncemwilolezi9131
    @alphoncemwilolezi9131 15 วันที่ผ่านมา +5

    Team. Kai tuendelee nayo mpaka tuone Mr Tasha na zatit i wanapata mtoto na kendy na Chiko wanafarakana kama umeshuti hamjafika kipande hicho mrudi location ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @HalimaJafari-yv2th
    @HalimaJafari-yv2th 15 วันที่ผ่านมา +3

    Mama Tasha nakupa maua yako mana uumenipa somo kubwa sanaaa❤❤❤

  • @OmanNizwa-uc4ub
    @OmanNizwa-uc4ub 15 วันที่ผ่านมา +3

    Kusema kweli nimejifunza mengi sana kutkana na mov hii mungu awajalie na awabaliki muendekee kutu lingania

  • @NuriatyHamisi
    @NuriatyHamisi 15 วันที่ผ่านมา +5

    Hili si kovu bonge jerah maumivu nakosa Raha ....aseee bomba la muvi chiko jipange kabsaa maan hapo n trela bado muvi 👌👌👌🤣🤣

  • @user-dp3fv2kh4l
    @user-dp3fv2kh4l 15 วันที่ผ่านมา +3

    Jana na leo mmenifurahisha sana wana busati yani nawapa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🇰🇪

  • @fatmahaji7639
    @fatmahaji7639 15 วันที่ผ่านมา +4

    Mama Tasha Nimependa kufuza Zatiti Hongera Mama Tasha Nawapenda wote nawapata vizuri oman❤❤❤❤❤

  • @QuenDidah-n5w
    @QuenDidah-n5w 15 วันที่ผ่านมา +4

    Nafurahi sana mama tasha kwa ushauri wko hata mm didah nimeupenda much love mom❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @EuniceWavinya-uf1cl
    @EuniceWavinya-uf1cl 15 วันที่ผ่านมา +12

    Mm ndio wa kwanza leo nipeeni likes

  • @jacklineteresia2629
    @jacklineteresia2629 15 วันที่ผ่านมา +3

    at least zatt amekua na raha ..ole wako chiko na sania muanza kusubua zatt wagapi wamepende zatt na tasha😂

  • @user-pu3dz7mh2f
    @user-pu3dz7mh2f 15 วันที่ผ่านมา +1

    Nakupenda sana Mama Tasha,❤❤❤❤

  • @HoHo-l1r
    @HoHo-l1r 15 วันที่ผ่านมา +2

    Mama tasha namie Leo nitakuwa mwalimu kwa mwanangu akitaka kuolewa nashukulu nimepata darasa kutoka kwenyu❤❤❤

  • @josephelemash
    @josephelemash 15 วันที่ผ่านมา +1

    Naisii Raha Sana nikiona Mr Tash akiwa Na satiti.

  • @RehemaMwatela-m1y
    @RehemaMwatela-m1y 15 วันที่ผ่านมา +3

    ❤❤❤❤naeza tuma voice maana hasikia raha kuona familia ya tasha ikiwa na furaha hivi kama pia wewe umefurahi like ata moja basi🎉🎉

  • @annayambayamba8614
    @annayambayamba8614 15 วันที่ผ่านมา +8

    Wa kwanza ni mimi kwanza nikuja kuwapongeza chiko tasha nakahi Mnajuwa kupigilia izo sutu na carvati 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @annayambayamba8614
      @annayambayamba8614 15 วันที่ผ่านมา +1

      SUTI SINAWAPENDEZA SAAN🎉🎉🎉🎉🎉

  • @khafidamkambeKhafidamk-dq7nj
    @khafidamkambeKhafidamk-dq7nj 15 วันที่ผ่านมา +5

    Jama like kwa busati jaman kazi nzuri sana mau yenu hayo🎉🎉🎉

  • @DianaDenice-py4im
    @DianaDenice-py4im 15 วันที่ผ่านมา +2

    Ila mama tashaa 😂umenifurahisha leoo , kama kunamtu amefuraish wa na mam Tasha like zenu❤

  • @AsmaJuma-rd9xl
    @AsmaJuma-rd9xl 15 วันที่ผ่านมา +30

    Jamani ee busati wanatupa raha🎉😢🎉 anaekubaliana na mm agonge like hapa ❤❤

    • @BarakaGisele262
      @BarakaGisele262 15 วันที่ผ่านมา +1

      Sanaaaaaaa

    • @BarakaGisele262
      @BarakaGisele262 15 วันที่ผ่านมา +1

      Jamani mutuoneshe ndowa ya zatiti na tasha naisubiri kwahamu

    • @BarakaGisele262
      @BarakaGisele262 15 วันที่ผ่านมา +2

      Achana na wanaosema kama wameichoka kama wameichoka wasiitazame kwani wameshurutishwa kuiangalia

    • @AsmaJuma-rd9xl
      @AsmaJuma-rd9xl 15 วันที่ผ่านมา

      Kweli kabisa

  • @user-yb6wh1bk9d
    @user-yb6wh1bk9d 15 วันที่ผ่านมา +2

    Huyo wifi alompata keina candy mbona atakoma wifi huyo km muhindi😂😂😂atatumwa huyo mpaka bc Mama Tasha anamsimamo na ht mama candy pia htk ujinga ila tu mtt hakupata

  • @AliceCharo-wz9oz
    @AliceCharo-wz9oz 15 วันที่ผ่านมา +8

    Team oman😂😂tunatazama huku tunakula sapa gongeni likes ,ila sania bna wamoja niwamoja kweli hta ukimpea ya pili yye atachukua moja tu😂😂

  • @aishaallyaishaally3220
    @aishaallyaishaally3220 15 วันที่ผ่านมา +6

    Nimenogewaa kwa huyu mpenzii❤❤❤❤ nimenogewa kumuacha siwezii❤❤❤ ak hii nyimbo n zaid ya amazing ❤❤❤❤❤

  • @Hapygideon
    @Hapygideon 15 วันที่ผ่านมา +11

    😂😂😂😂😂nimeona nicheke haya nimewahi

  • @MwaminiNgailo
    @MwaminiNgailo 15 วันที่ผ่านมา +3

    Jamn movie hiii inamafunzo mengi San haswa kwa Tasha zatit na zuli hongern San jamn mtuambie episode ya 40 Lin mnatoa MN naisubl kwa ham sana

  • @FammaMaboko
    @FammaMaboko 15 วันที่ผ่านมา +3

    Waouh dakika tu 58
    Tayari coment mia 2 n'a kitu
    Tulio toka pamoja Tik tok hadi sasa tupo you Tube muweke lik chap chap ❤❤❤❤❤
    Busati TV oyeeeeeeeeee🎉🎉🎉🎉

  • @KambaleTemauzenge
    @KambaleTemauzenge 15 วันที่ผ่านมา +3

    Mnaomba like kila siku mimi niuzieni jaman

  • @FghgRyy
    @FghgRyy 15 วันที่ผ่านมา +1

    Family ya Mr Tashaa +Zatiti +Mama Tashaa mambo mwerere mwerere 😂😂😂❤❤

  • @user-rb6kk1rz2f
    @user-rb6kk1rz2f 15 วันที่ผ่านมา +11

    Apo lazima zatiti abebe mimba ya Tasha kabla hwajafunga ndoa Nan anabisha

  • @user-jf7rs5ms1q
    @user-jf7rs5ms1q 15 วันที่ผ่านมา +4

    jamani tunaejiuta tunachek tu kwa fammiliy ya tasha kwa mapenzi yao namahaba gonga like hap

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 15 วันที่ผ่านมา +2

    Zatiti nakupenda mpaka basi we n Tasha pmj mama Tasha mwanipa mafunzo kwakweli ❤ zuu n mke Bora uwsipenda familia y Kai pmj n Kai mwenyewe ❤ ila candy kazidi jamani 😂

  • @user-hi3ts2rk8w
    @user-hi3ts2rk8w 15 วันที่ผ่านมา +6

    Leo nmewahi mapema,,,,kutoka kenya ,,jamani naomba like,😊

  • @Hapygideon
    @Hapygideon 15 วันที่ผ่านมา +18

    Tunawaomba BUSATI mkitaka twende sawa malizien kwanza hii house girl,,ndio tuendelee na my mother au wenzangu mnasemaje

    • @WitneyZulpha
      @WitneyZulpha 15 วันที่ผ่านมา +2

      Enyew

    • @Komorashehe-g3h
      @Komorashehe-g3h 15 วันที่ผ่านมา +2

      Kabisa apo mnatuzingua sana

    • @FlorenceWachira-n1i
      @FlorenceWachira-n1i 15 วันที่ผ่านมา +2

      Wanatuchanganya sana

    • @AllyBabu-kr6lg
      @AllyBabu-kr6lg 15 วันที่ผ่านมา

      Acha kufundisha watu kazi

    • @AllyBabu-kr6lg
      @AllyBabu-kr6lg 15 วันที่ผ่านมา

      Acha kufundisha watu kazi

  • @sharifanyumayo6314
    @sharifanyumayo6314 15 วันที่ผ่านมา +2

    Huku mama Tasha na Zatiti❤❤ Na huku mama Candy na Kayna mambo ni ❤❤❤ Ila nimejifunza kitu kutoka Kwao tuungane basi Kwa pamoja 🎉🎉🎉🎉

  • @LucyStephano-b3f
    @LucyStephano-b3f 15 วันที่ผ่านมา +1

    Mama Tasha amevaa uhusika halis kabisa wa mama jmn mam tasha ❤❤❤

  • @user-qm2kb1ln7p
    @user-qm2kb1ln7p 15 วันที่ผ่านมา +1

    Mama tasha .zatiti. tasha❤❤❤❤❤❤❤

  • @Slddhhh
    @Slddhhh 15 วันที่ผ่านมา +6

    Sikuizi amtupeleki vizuri sisi kama team 🇰🇪🇰🇪siku nzima tukiwa twangojea😅

  • @Haw3-v4y
    @Haw3-v4y 15 วันที่ผ่านมา +2

    Leo tasha ametowa meno yote sababu chakula tamu, hongera zatiti ,bt mume edana kwa kweli,hongereni kwa kazi muzuri wana house girl nawapeda bure

  • @ShazniiImran
    @ShazniiImran 15 วันที่ผ่านมา +1

    Nishaichoka kwakwer achaniwaache nyie mnao endelea kufatilia mm bas 🙌🙌🙌🙌

  • @user-qq6mv6vh3e
    @user-qq6mv6vh3e 15 วันที่ผ่านมา +4

    Mama tasha nampenda san❤

  • @AliJoao-pe2ur
    @AliJoao-pe2ur 15 วันที่ผ่านมา +4

    ❤❤❤ good work team busati mombasa ishatinga tayar🇰🇪🇰🇪

  • @MARYNAGUJustin
    @MARYNAGUJustin 15 วันที่ผ่านมา +3

    Uongo dhambi hii familia ya mama Tasha napenda sana❤🎉

  • @phibySeleli
    @phibySeleli 15 วันที่ผ่านมา +7

    Naomba like nmekua wa kwanza kutoa comment😅

  • @BeatriceMvaty
    @BeatriceMvaty 15 วันที่ผ่านมา +1

    Mbn m sipew like jmn duuhh hy tim zatiti tuje taratib😅😅😅

    • @BennyMabendi
      @BennyMabendi 15 วันที่ผ่านมา

      Kazi nzuri

  • @user-hp3vn4kc4s
    @user-hp3vn4kc4s 15 วันที่ผ่านมา +1

    Kazi nzuri sana team Busati🇹🇿

  • @RamlaAzizi
    @RamlaAzizi 15 วันที่ผ่านมา +1

    Habar zenu natumai ni wazima nawapenda nyote like zenu kama mnanipenda pia❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @top10bestofnyarugusucam
    @top10bestofnyarugusucam 15 วันที่ผ่านมา +3

    Filamu inanipa mood saana nikiitazama I love so much

  • @linahmalley8063
    @linahmalley8063 15 วันที่ผ่านมา +3

    Mnatuweka roho juu juu kuchungulia kila saa jaman

  • @MancerNkya
    @MancerNkya 15 วันที่ผ่านมา +1

    Jaman huko nyuma kujeni taratibu mnanikanyaga uwiiiii mnaniumiza

  • @lovenessmichael7098
    @lovenessmichael7098 15 วันที่ผ่านมา +2

    ❤❤❤

  • @user-tn5vb1zj4h
    @user-tn5vb1zj4h 15 วันที่ผ่านมา +1

    Zatiti umeunguza hapo yaan hata haujaolewa wasema mmewangu Na mume ameingia nyumban😊 badala uache kula akaoge Kwanza wew wampe atayari chakula

  • @OmanMuscut-ju3xp
    @OmanMuscut-ju3xp 15 วันที่ผ่านมา +2

    Jamani nisiwe mnafki tangu nianze kuiyangalia hii house girl hatimae leo nimewaona wana busati wanakula😊

  • @SubiraShaibu
    @SubiraShaibu 15 วันที่ผ่านมา +1

    house girl Inatup mafunzo san jamn naomba tuwasapoty sana pia nawapenda sana mung awape Kila lenye kher Kwa like 5 ❤❤❤❤

  • @BarakaGisele262
    @BarakaGisele262 15 วันที่ผ่านมา +4

    Mimi mkaaji DRC Baraka napend muvihii sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @zubedamae-ro1jx
    @zubedamae-ro1jx 15 วันที่ผ่านมา +1

    Mama Tasha yupo vizuri kwa mashauri lkn kitu moja ninaona anaenda kombo kidogo nikuangalia smile ya nje ata kbl kusoma tabia ya mtu kwa mfano ile tym ya KAMKODEFU SANIA mwisho wasiku anapata mawaidha yake au ushauri wake umegonga nguzo
    Anyway she is good 👍 napia movie nitamu sana