VITASA | Nginjanginja za Fadhili Majiha dhidi ya Sabelo Ngebinyana - NGUMI IMENYOOKA 20/07/2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2024
  • NGUMI IMENYOOKA | Fadhili Majiha amefanikiwa kutetea mkanda wake wa WBC Afrika kwa ushindi wa pointi dhidi ya Sabelo Ngebinyana kutoka Afrika Kusini.
    Ni kwenye Usiku wa Vitasa, 'Ngumi Imenyooka Season 2', New City Pub, Mbeya.
    #Vitasa #UsikuWaVitasa #NgumiImenyooka #ChoraMstari #VitasaNight #NgumiJiwe #FadhiliMajiha #SabeloNgeminyana

ความคิดเห็น • 57

  • @Yassin-z6o
    @Yassin-z6o หลายเดือนก่อน

    Nimempenda huyo dada. Anachambuwa ngumi vizuri

  • @Hamisi-ol1nf
    @Hamisi-ol1nf 2 หลายเดือนก่อน

    Fadhili nakukubali sana mwanangu mungu akuzidishie hekima😊

  • @abdalasambe4005
    @abdalasambe4005 2 หลายเดือนก่อน

    Aah majiha ni bondia mzur uwezo wake unaonekana lakin anakosa baadhi ya mambo muhim
    Anahitaji kocha mzur
    Hongera kwa ushindi
    Mwakinyo is best and very skilled

  • @rodgersmwagu239
    @rodgersmwagu239 2 หลายเดือนก่อน +1

    Uyu dogo apambana mwakinyo tu , kwanza ana pumzi ya mbwa , noma sanaaaaaaa

  • @JosephevansLyimoo
    @JosephevansLyimoo 2 หลายเดือนก่อน +1

    Like za champion 🏆 majiha

  • @chisongastephen7299
    @chisongastephen7299 2 หลายเดือนก่อน +1

    Majiha hayupo makini sana kwenye upiganaji wake.Amekutana na Sabelo ambaye ni fala tu

  • @IssaMbaga
    @IssaMbaga 2 หลายเดือนก่อน

    Saf sana fadhili majiha kiwango kizur sn paka uko vzr sn unajua kufunga njia kwel kwel iyoo boxing umemka mkanyagia kwel

  • @Yassin-z6o
    @Yassin-z6o หลายเดือนก่อน

    Huyu bondia hakuwa sawa. Ngumi zilikuwa zinafika ila hazikuwa na nguvu

  • @MwazoaMwazoa
    @MwazoaMwazoa 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hii ndio Tofauti ya mabondia wakali na wakubwa kama fadhili na chipukizi wetu.Watoto wasichoke kujifunza kwa waliowatangulia.Kama kweli una Ari kutaka maendeleo.Ungetaka ushauri kwa wenye matangulio.

  • @Wahidabdul-xb2pq
    @Wahidabdul-xb2pq 2 หลายเดือนก่อน +2

    majiha ataftiw koch mzur zaid

  • @IddyDaruweshi-jv1fu
    @IddyDaruweshi-jv1fu 2 หลายเดือนก่อน +3

    ALAFU ACHENI MANENO MBOFU MBOFU HIVI MAJIHA APIGANE NA CHAMPEZ KWELI AU LAWAMA TU. PUNGUZENI USHAMBA CHAMPEZ NI MMOJA TU HAPA TANZANIA

    • @rajabumsuya-hg8jd
      @rajabumsuya-hg8jd 2 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe angalia rank, tanzania hakuna bondia anaemfikia majiha hayupo

    • @rajabumsuya-hg8jd
      @rajabumsuya-hg8jd 2 หลายเดือนก่อน

      majiha ana nyota nne na nusu hakuna bondia anaemfikia huyu, angalia game na pongani huyo hassan mmpeni pongani muone kama hajakaa

  • @KelvinJoseph-ix9wd
    @KelvinJoseph-ix9wd 2 หลายเดือนก่อน +1

    Majiha n bondia mzur lkn sio skilled boxer na wengne wote ndyo maan wakienda nje wanapigwa .... Na skills znafundishwa na trainer mda gan uwe offesnve mda gan uwe defensive na jinsi ya kuswitch ili uweze kushinda pambano pia shidah ambayo mabondia karbia wote wa bongo wanakwama n finishing ... Boxer ameshapigwa sawa lkn je kumalza pambano hawajui wengi wanaend enda tu na wengne unakuta wanapigwa badala ya kumalza

    • @BarnabasFabiani
      @BarnabasFabiani 2 หลายเดือนก่อน

      Kaka tu enda nje hatupigwi ila kuna mipango ambayo ina tengenezwa na wazungu ili ww upoteze

  • @sheyosquad5755
    @sheyosquad5755 2 หลายเดือนก่อน

    Majiha yuko vizuri..apigane na bwanga

  • @MwazoaMwazoa
    @MwazoaMwazoa 2 หลายเดือนก่อน

    Bondia mkongwe anawekwa fit tu kisha anapelekwa ulingoni.Mavirigiza ya Ulingo anayafanya mwenyewe.ila tuna tatizo kubwa sana nchini ya Mabondia wetu kutokua na Target.ngumi nyingi sana zinapotea hewani.Hata hivyo hongera sana kwa ushindi mkongwe.Ushauri tu msiwapende sana mabondia wa South Africa kwa sababu viongozi wa mikanda mnayochezea wanatamani Boxers wao wapande kupitia fight zetu.Ndio maana yupo Boxer wetu Anyan,ganywe ubingwa Airport.Ndio maana huyo Amekaa kwa ngumi na anagusa capert kisha anaambiwa kateleza

  • @mtengwadj9390
    @mtengwadj9390 2 หลายเดือนก่อน

    champion

  • @mcnjovu3525
    @mcnjovu3525 2 หลายเดือนก่อน

    Hapoo mbeya wanapoozwa na kabaridi ka mbeya ndo maana walipiga show kweli kweli nockdown hiyooooo

  • @mindicarrashid3131
    @mindicarrashid3131 2 หลายเดือนก่อน

    Majiha apewe pialali, tuone nani nani

  • @KelvinJoseph-ix9wd
    @KelvinJoseph-ix9wd 2 หลายเดือนก่อน

    Bongo boxer wapo lakin trainer hakuna .... Boxer wengi wanapigana kutokan na akili zao tu zinavyowatuma lkn coner zao hazina msaada .... Hvo unakuta bondia akikutan na boxer mwngne ambae akawez kumsoma vzur bondia anashindwa kubadlka na kujua nin afanye

  • @SaidiYahya-t1c
    @SaidiYahya-t1c 2 หลายเดือนก่อน

    Sijaona ngumi za ufundi ni mikota kota tu

  • @AllyAmour-nu1js
    @AllyAmour-nu1js 2 หลายเดือนก่อน

    🎉

  • @HamadBashir-bs5wo
    @HamadBashir-bs5wo 2 หลายเดือนก่อน

    Maiti imekatalia muoshaji 😂😂😂

  • @HamzaMakame-vm2tm
    @HamzaMakame-vm2tm 2 หลายเดือนก่อน

    Jaaman niwaulize huyu sindo yule alopigana na mwakinyo alopigwa knockout

  • @allymwachipanga2486
    @allymwachipanga2486 2 หลายเดือนก่อน

    Kwani mpk muoge ulingoni?

  • @mwarashakassim7381
    @mwarashakassim7381 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mnaleta mabondia wabovuili muwapige aiwezekani kilasiku sabelo mnatuletea walevi ili mshinde

    • @BarnabasFabiani
      @BarnabasFabiani 2 หลายเดือนก่อน +2

      Mlete mama yako mkwee nipande nao ngumi sio kama unavyo amini wewe ina itaji kujifunza na kuelewa huu mchezo

  • @MapeneMoshi-r2k
    @MapeneMoshi-r2k 2 หลายเดือนก่อน

    Dada mchambuzi roho mbaya hiyo unataka majiha aongeze pawa kwenye kugonga inamana hiyo bado haitoshi?

  • @allymwachipanga2486
    @allymwachipanga2486 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu majiha akikutanishwa na haidary mchanjo au mchanja yohana atapigwa sana

  • @BakariHelefu
    @BakariHelefu 2 หลายเดือนก่อน

    Kazi yenu kuletewa mabondia viazi ili muwachape kizembe😂

  • @RoseSehodi
    @RoseSehodi 2 หลายเดือนก่อน

    Amna bondi wakumpiga magia Africa

  • @careemissa2502
    @careemissa2502 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu majiha ana pumzi sana ila hana skilis za ngumi akikutana na mtu kamaa saidi bwanga au salimu mtango km uzito wao n sawa anakaaa wale madogo wanajua ngumi bwana

  • @nuhhumwakanyamale4771
    @nuhhumwakanyamale4771 2 หลายเดือนก่อน

    Acheni upuuzi kilasiku ulingo unamaji yaani mnaandaa pambano afu mshindwe kumlipa mtu wa kufuta hayo maji apo, au mpaka cku bondia avunjuke mguu?. 😟

  • @FatimaFati-pu4lb
    @FatimaFati-pu4lb 2 หลายเดือนก่อน

    Hakupashwa atetee mkanda na sabelo ilitakia aletee bondia mkali fadhili ni bondia mkali sana nampenda lakin hapa huyu sia tep yake

    • @KhamisiMohamed
      @KhamisiMohamed 2 หลายเดือนก่อน

      Boss wa ule mkanda ni msouth Kwa iyo lazima majiha akiutetea boss aninilishe anayepigana naye bondia Bora

    • @CharlesNestor-j6n
      @CharlesNestor-j6n หลายเดือนก่อน

      Unasema sio typ yake wakati kavuka round 7

  • @henrysangiwa1731
    @henrysangiwa1731 2 หลายเดือนก่อน

    Majiha akamkande mwakinyo aache mbwembwe, alafu watangazaji wa matokeo dahhh huwa wanaboa wajifunze kutoka kwa wenzetu sentence chache tu Tanzanza mshindi refa keshanyoosha wewe bado unavuta and theeeeeee winnaaaaaaaaaaaaaaaa, thethaaaaaaaaaaaaa😅😅😅😅😅fazzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz mpaka mic inatetemeka

  • @RobertsonNandime-eo9fp
    @RobertsonNandime-eo9fp 2 หลายเดือนก่อน

    Nani kasikia wimbo wa taifa ni Sawa na south africa 🇿🇦 sounds

  • @sheyosquad5755
    @sheyosquad5755 2 หลายเดือนก่อน

    MAJIHA VS BWANGA

  • @FatimaFati-pu4lb
    @FatimaFati-pu4lb 2 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu sio levo yake fadhili afadhali angepigana na mwakinyo mara 💯💯

  • @josephminja7953
    @josephminja7953 2 หลายเดือนก่อน

    Amewtahili

  • @MapeneMoshi-r2k
    @MapeneMoshi-r2k 2 หลายเดือนก่อน

    Sabero kayatimba

  • @AthumaniLenadi
    @AthumaniLenadi 2 หลายเดือนก่อน

    Mnatak mwakinyo afie ulingoni nin

  • @ShannyBrowntz
    @ShannyBrowntz 2 หลายเดือนก่อน

    Mwakinyo mwehuuu tuuu Mwakinyo awezii kufika kiwango cha Majia hata Nusu

    • @SadickHusein
      @SadickHusein 2 หลายเดือนก่อน

      We kiazi kweli yan

  • @MapeneMoshi-r2k
    @MapeneMoshi-r2k 2 หลายเดือนก่อน

    Dada mchambuzi roho mbaya hiyo unataka majiha aongeze pawa kwenye kugonga inamana hiyo bado haitoshi?