VITA YA AHMED ALLY NA ALLY KAMWE YAFIKA PABAYA/IBWE KAA PEMBENI WEWE NI MTOTO MDOGO/UBAYA UBWELA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 88

  • @laurentmhembe9721
    @laurentmhembe9721 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Safi sana vijana. Huo ndiyo utanzania na uzalendo.

  • @JoerntonAnthony
    @JoerntonAnthony วันที่ผ่านมา +7

    Tunataka mpira wa Aman sio vitaa nmewakubar wasemaji wetu❤❤❤

  • @hamismnyagatwa4113
    @hamismnyagatwa4113 วันที่ผ่านมา +5

    Mimi huwa nawapokeza nyinyi vijana watatu huwa mnautani was kuchekesha Mbarikiwe sana

  • @MalikiKavindi
    @MalikiKavindi 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wasemaji wetu wa timu ya Tanzania. Taifa stars hongereni sana

  • @BenezethEmily
    @BenezethEmily วันที่ผ่านมา +8

    Yaani Alikamwe akiwaona Ahmed na Ibwe anacheka tu, yaan Anajionea Futuhi watupu

  • @danielzambi8993
    @danielzambi8993 วันที่ผ่านมา +20

    Hahahah! Nyie watu ni Balaa! Mna match saana alafu mna Upendo wa Ki Udugu yaani mkitaniana Mpaka Mungu anapendezwa, na mnaleta maana halisi ya MICHEZO , penda saana Semaji langu Ally Kamwe

    • @neemamshote9577
      @neemamshote9577 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Umenena vyema utani wa upendooo 😊

    • @Silvester270
      @Silvester270 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Tofaut na mzungu aliye Fanya mpira kuwa vita😢

  • @shamissuleyman4894
    @shamissuleyman4894 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Haji hana maadili kwenye kuongea anaporojo nyingi hazina maana nimropokaji tu

  • @johnmwaisunga2339
    @johnmwaisunga2339 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Si vyema Kula big G mbele mahojiano au unatoa taarifa muhimu, hiyo ishala kuwa hakuna uweledi Na professionalism Kati kazi.

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 วันที่ผ่านมา +4

    Da!hawa wasemaji ni mwendo wa vichekesho tu pale wanapokutana.

  • @alexjosephmambo6990
    @alexjosephmambo6990 วันที่ผ่านมา +5

    Sasa ushabiki wetu ndo unatakiwa kuwa hivi yaan

  • @Joyce-qf5px
    @Joyce-qf5px 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    ❤❤❤❤❤❤nyiee watuuu

  • @Kivumbisports
    @Kivumbisports 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Leo Ahmed ally katulia sana kulikuwa na Nini 😂😂😂

  • @JoshuaZakariaLevys
    @JoshuaZakariaLevys วันที่ผ่านมา +2

    Ukubwa sio kuanza kuchukua je umechukuwa mara ngapi😂😂😂

  • @jumamakonya2665
    @jumamakonya2665 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Naomba benchi la ufundi, wachezaji walioanza mechi dhidi ya Congo na kufungwa moja bila naomba waadhishwa kama wako fiti kwa kuanza sk ya kesho

  • @FatmaHamad-g6s
    @FatmaHamad-g6s 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Angekua yule sope angecharuka hapo ila nyny mmetisha sana

  • @GODWINCHOKAH
    @GODWINCHOKAH 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wewe ndio hufai kukomenti sio amedi ally

  • @godfreyraymond4464
    @godfreyraymond4464 วันที่ผ่านมา +2

    Matusi sio mazuri ila kiukweli Haji ana dunia yake kwa mpira wetu

    • @laninjeje8290
      @laninjeje8290 วันที่ผ่านมา

      Zeruzeru kwenye mpira ni zero brain labda kwenye kuoa na kuachika, mpira ni furaha sio ugomvi lakini kwa Haji Manara mpira ni ugomvi

    • @nassoromfumya7319
      @nassoromfumya7319 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hakuna cha maana alichonacho zaidi ya Ally kamwe na Ahmed Ally​@@laninjeje8290

  • @DianaBright-r2h
    @DianaBright-r2h 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    😅 yule nyuma kule ni bounsa au😅😅😆

  • @JohnSasi-oe9mi
    @JohnSasi-oe9mi วันที่ผ่านมา +1

    Hivi ,hamasa inacheza kweli and why this hamasa mbona Haina impact yoyote hii, and how kuhusu hamasa then vip mbona ikiwepo hamasa timu inazingua sana na pengine hamasa inaweza isiwe chochote...

    • @MwasitiShonasho
      @MwasitiShonasho 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Acha makasiriko

  • @absm8084
    @absm8084 วันที่ผ่านมา +1

    Msimrudishe yule mzungu bwana😅😅😅😅😅 hawa wanatosha

  • @patrickkaite3822
    @patrickkaite3822 วันที่ผ่านมา +1

    SASA hapo manyara unamuweka wp yani mpaka rahaa

  • @RukaiyMarid
    @RukaiyMarid 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Jamanii inapendeza,ila Aliy kamwe,na ibwe wamevaa jenzi za kufanana je? Ahamed Aliy mbona hajafanana

    • @SangaliPower
      @SangaliPower 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwani si jezi ya Taifa😂😂😂 jamani usimba na uyanga utatuua 😅😅😅

    • @athumanimtajih
      @athumanimtajih 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@SangaliPower😅😅

  • @emanuelyngoi4440
    @emanuelyngoi4440 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Good 💛🇹🇿.

  • @cyruskimei8546
    @cyruskimei8546 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uyu Jamaa wa Azam nikutafuna tu kama mbuzi hakuna kitu

  • @MunaMohammed-j3m
    @MunaMohammed-j3m วันที่ผ่านมา +1

    Mbona nyie mmeiga hamasa sana tu, na mlipoanza kuiga hamasa mkawa mnaujaza uwanja

  • @sajogamba1316
    @sajogamba1316 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sihami tanzania

  • @knowledgeispower1118
    @knowledgeispower1118 วันที่ผ่านมา +2

    Amhed Ally hufai kuwa mzungumzaji wa Timu kubwa kama Simba unaanza kupyaya...yanga anaukubwa gani kuliko Simba unashindwa kumjibu kwa hoja..yakwamba Ukubwa na ubora timu CAF wameonyesha kwenye rank...Ahmed Ally..hufai..Hajui Simba ndio timu ya kwanza kuchukua kombe la ligii kuu Tanzania mwaka 1965 na 1966...ukubwa wa timu sio muda wa kuanzaisha kwasababu hata pamba na coastal union zilianzishwa kabka ya mamelody SUNDOWN,Azam Belazdad n.k ila ni timy ndogo ndogo sana

    • @saidimustapha307
      @saidimustapha307 วันที่ผ่านมา +1

      Acha wivu usio kua na maana.. ultaka mama ako ndo awe msemaji

    • @LeylaSaria
      @LeylaSaria วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂

    • @mariahshechambo4034
      @mariahshechambo4034 วันที่ผ่านมา

      Senge kweli

    • @mzeemuharami5871
      @mzeemuharami5871 วันที่ผ่านมา +1

      😅😅😅 aka kakijana kaongo sana et simba ni ya kwanza kuchukua kombe ata data hakana kanaongea na kuji-contradict kenyewe Et Yanga inaukubwagani....

    • @DavidSemu-gu6wp
      @DavidSemu-gu6wp วันที่ผ่านมา +1

      Kumradhi MUUNGWANA neno Sahihi NI kupwaya hili la kupyaya ni la kiasili zaidi.

  • @DaudSichula-y4h
    @DaudSichula-y4h วันที่ผ่านมา

    Kila raheli Taifa stars tumpige mkongo

  • @vumiliamgendi148
    @vumiliamgendi148 วันที่ผ่านมา +1

    Hamed achana na hicho kishoga

    • @MwasitiShonasho
      @MwasitiShonasho 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      We ndo bwana ake

  • @richardmdee6072
    @richardmdee6072 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jmm wasemaji wetu wananipa Raha Sana Kama ally kamwe na Mohamed ally hongeren sana mnajua nn maana ya useman wa soka

  • @MustapherSamson-s6l
    @MustapherSamson-s6l วันที่ผ่านมา +1

    HAHAHAHAHAHAHAHA

  • @tondelogungulundi1523
    @tondelogungulundi1523 วันที่ผ่านมา +1

    Hivi kwa nini wasemaji wa timu zingine hawashirikishwi kwenye suala hili la kitaifa? Huu ni ubaguzi wa wazi.

    • @RosalinaMakenzi
      @RosalinaMakenzi วันที่ผ่านมา +2

      Sio ubaguzi wana aangalia watu wenye ushawishi

    • @allymnyenye8109
      @allymnyenye8109 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Thank you​@@RosalinaMakenzi

    • @gabrielmwambogo3891
      @gabrielmwambogo3891 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      kukuelewesha ni kupoteza t mda tondelogungulundi

  • @MakaNkoka
    @MakaNkoka วันที่ผ่านมา

    Me nilikuwa naisubr hii Ahmed Aliy na Aliy kamwe wakutane wamchambe Hashim Ibwe kuhusu mke wa Dkt Mwaka 😂😂

    • @fortunatafelician5625
      @fortunatafelician5625 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂alibebwa bhuana ngongoni hatareee😂😂😂😂

    • @MakaNkoka
      @MakaNkoka วันที่ผ่านมา

      @@fortunatafelician5625 😂😂😂😂🔥🔥🔥

    • @fortunatafelician5625
      @fortunatafelician5625 วันที่ผ่านมา

      @@MakaNkoka🙏

  • @Ilhankhatibu
    @Ilhankhatibu วันที่ผ่านมา +1

    😂😂😂😂😂

  • @AngelinaHassan-fe3jp
    @AngelinaHassan-fe3jp 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yani nyie watu nihatari na nusu

  • @UpdatesDocumentariesTv
    @UpdatesDocumentariesTv วันที่ผ่านมา

    😂😂 hawa jamaa lazima CONGO WAKAE

  • @narutonaruto4303
    @narutonaruto4303 วันที่ผ่านมา +1

    kwendeni huko

  • @GiftJuma-pc1xh
    @GiftJuma-pc1xh 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kaka

  • @avii9971
    @avii9971 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ubaya ubwela🔞

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uyo makame ametia dosali

  • @kamalbashir5127
    @kamalbashir5127 วันที่ผ่านมา +1

    Haji manara ,jifunze kupitia hawa jamaa😮.wanashirikiana na kua familia moja. Manara anafeli kujenga chuki na kuwapa wengine majina ya ovyo.mpira sio chuki

  • @CantonaKunona
    @CantonaKunona วันที่ผ่านมา +6

    Usenge tuu 😂 amna hamasa hapo washakula ela ...angepewa manara tu kwenye Timu ya Taifa

    • @CharlesWilliam-q7j
      @CharlesWilliam-q7j วันที่ผ่านมา +3

      huyo manara ndio anacheza au

    • @CantonaKunona
      @CantonaKunona วันที่ผ่านมา +1

      @@CharlesWilliam-q7j huijui NGUVU ya manara kaaakimyaa mshamba ww

    • @CharlesWilliam-q7j
      @CharlesWilliam-q7j วันที่ผ่านมา +2

      @@CantonaKunona jibu swali manara anacheza namba ngapi

    • @CantonaKunona
      @CantonaKunona วันที่ผ่านมา

      @@CharlesWilliam-q7j kama una D 3 huwezi nielewa kakojoe ukalale alf manara c o mchezaji mshamba ww 🖕

    • @laninjeje8290
      @laninjeje8290 วันที่ผ่านมา +1

      Haji Manara Kama una shughuli ya kuoa muite awe mc mpira hauwezi si uliona alivyomtambulisha vizuri kabisa hawala yake Aziz ki? Ile ndo kazi ya Haji Manara

  • @MikiMussa
    @MikiMussa 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Acha.matusi.tuwe.wastaarabu.

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 วันที่ผ่านมา +2

    Kumbe mechi ya Simba na Yanga huwa ni ya biashara.

  • @sikapendinakapenda4170
    @sikapendinakapenda4170 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Manara anaponzwa na makuzi alivyolelewa kutoa matusi, kejeli, kukosa, adabu ya maongezi na dharau ni Hulka yake wala sio bahati mbaya.
    Soka limerudisha taswira bora baada ya kumfagia Manara.

  • @SwailaMbaruku
    @SwailaMbaruku วันที่ผ่านมา

    Tunamtaka masaubwile

    • @laninjeje8290
      @laninjeje8290 วันที่ผ่านมา

      Sema Nina mtaka masau bwile acha kusema kwa niaba ya watu, na hujatumwa 😂

  • @JustineMtambo
    @JustineMtambo วันที่ผ่านมา

    Upuuzi tuuu

  • @alexjosephmambo6990
    @alexjosephmambo6990 วันที่ผ่านมา

    Sasa ushabiki wetu ndo unatakiwa kuwa hivi yaan