PAMBANO KAMILI: IBRAH CLASS v SIMON NGOMA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 19 พ.ย. 2024
- Bondia wa Tanzania Ibrahim Class "mawe" akitwaa ubingwa wa GBC mbele ya Simon Ngoma kwenye ukumbi wa PTA Temeke jijini Dar es Salaam.
Tazama mawe ya Ibrah Class na staili ya Simon Ngoma.
Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► bit.ly/2wB6zmR
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: www.azamtv.co.tz
Ibrahim Class, nakubali sana. TWAHA KIDUKU tunaomba ndio awe mchambuzi anatufurahisha sana sisi wasikilizaji wa LIVE AZAM TV, au AZAM TV MAX au huku you tube kwenye Channel yenu AZAM TV. Siku abazo hana mechi awe mchambuzi tu.
Tumeanza kuamka watanzania kwa.upanda vitasa maoni yangu tujalibu zaidi kutoka nje ya tz kuupata uzoefu. zaidi bg up sana ibla
1)Twaha kiduku ana mizuka sana 😆😆
2) Nimefurahishwa na support ya Twaha na Mfaume kwa Ibrah Classic na jinsi alivyofurahi kuwaona ulingoni.
3) Interview ya Ibrah Classic baada ya pambano ilikuwa safi sana.
Assessment yangu juu ya pambano hili;
1. Pambano zuri, mabondia wote ni wakali
2. Ibrah kashinda, japo refa kidoogo kambeba (kuna wakati akiona Ibrah kazidiwa anasema stop wakati hamna foul yoyote😄)
3. Wachambuzi/mtangazaji wako so biased, wakati mwingine Ibrah anapigwa ila wanatangaza yeye ndo kapiga😄😄😄
4. Ulingo kuteleza ni aibu, waandaaji mnaturudisha nyuma wakati boxing inaanza kufatiliwa na Watanzania wengi
NB: Mabondia wetu wasiendelee kujisifia sana kwa haya mapambano yanayofanyika home, nao waende nje waone ugumu wa kushinda majaji/refa wakiwa against nao
Assessment nzuri
Sa mtu kashakwambia kashinda mechi nyingi za ugenini hadi kaleta mkanda nyumbani it means ni mzuri na ezperience ya nnje na mm hapo kidogo naona na wewe uko biased au vip mzee mwenzangu😎
Unaonekana si mfatiliaji wa mabondia wetu huyo Ibrahim Class amecheshacheza mapambano mengi nje ameshinda na kupoteza pia. Sio yeye tu mabondia wetu wanasafiri sana sana kwenda kucheza nje.
Bondia wote wako vizuri saana, kuliko mapambano mengine
Nakuomba sana ubonyeze picha yangu kisha SUBSCRIBE chanel yangu. 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Congratulations classic
Twaha ameharibu uchambuzi kabisaaaa anamakelele Sana mfaume ndio anakiweza icho kiti na matumla
Laiti IBRA KLASSIK angekua anafanya combinations tumbo PAMOJA na USONI angekua anamaliza MAPAMBANO yake MAPEMAAA THAANAAA
twaha kiduku ananogesh kam baraka mpenja
Hahahaaa twaha bwana.. Leo watangazaji wamechangamshwa mfaume ye anacheka tu ad raha❤
Ni kweli kabisa wachambuzi amko freshi sio sawa kumshabikia mmoja tu kisa mwingine sio mtz
True
Sas watamshangiriaj mtu wa nje ww unajua ngumi kwel ata huko nje huoni
Kwel kaka kila mtu anatetea chake
@@huseynally1531acha ujinga
Bondia wetu hajui Uppercut? Afundishwe, angejua angemtoa mapema sana
Mmalawi
Show kali ila wanaowasema watangazaji mi nawashangaa mpaka kapewa kibali cha kuchambua na kutangaza ameonekana anaweza ss we unakalia kuwasema jiulize mbona hukupewa hicho kibali ww..... Kelele kwa ibrah wakeeeeee
Watangazaji wap sahihi uzalendo hauwez potea. Watu wafuatilie Watangazaji na wachambuzi wa uingereza kwenye michuano ya world cup ndo wataelewa maana ya uzalendo haufi ni nini....w
Uingereza inascore mtangazaji na mchambuzi wanarukaruka studio
Watangazaji wap sahihi uzalendo hauwez potea. Watu wafuatilie Watangazaji na wachambuzi wa uingereza kwenye michuano ya world cup ndo wataelewa maana ya uzalendo haufi ni nini....w
Uingereza inascore mtangazaji na mchambuzi wanarukaruka studio
Uri muzuri sana
Ibra anakimbiakimbia kama kibaka aisee yaani nafasi ya kupiga KO inaonekana ye anatimua mbio2
Kwa ngumi alizopigwa jamaa kama wakukaa K.O angekaa mapema ila jamaa sugu na IBRA aligundua hilo ndoman alikua ana score points
lazma achez vle mana uyo mpnzani yy fujo tu
Ibrah bado sana
Hujui boxing
Mnyalu uko vizuri piga hao
Twatwa kiduku na kukubali kwa kumpa msela saport
Twatwa wewe ndo unanikosha nikiwa jijini Nairobi Kenya na wapwta Barbara mkiwa na Flame mfalme Fosill hapa nikiwa jijini Nairobi Kenya 💪👊🇹🇿
KUNA MDA IBRA ALIPASWA AUNGE NGUMI,HUWA ANATELEZA NA ANAPOTEA MUELEKEO,ANGEMUUNGIA TU,MYWEATHER STYLE
ktk masumbwi ibra class ni mwana hisabati🔥
Wachambuzi hamujui kuchambua mapamabo unachambua mtu mmoja sana Unaondoa ladha ya ngumi jifunzeni kuchambua wote ili wasikilizaji wajifunz kuhusu ninyi 🤝🏿
Ibraaaaaaaaaaa
Commentators mnakosa kuwa professional Kwa sababu ya ushabiki wenu, please tangazeni pambano sio ushabiki
Hongera Ibra classic
Twaha sio mchambuzi mzuri wa pambano ni mshabiki ila Mfaume anajua anaongea real situation ya fight
Wapi chiz wew kichwan hakuna kitu vyura tu wamejaa🐸😂😂😂
Hongera ibra class
Nimekubali mwalimu wa Ibrahim yupo good lakin anzingatie San kumaliz mapem
Ibra anajua safi sana
Classic we mkali
Kwa wachambuzi wote niliowaona, Mwakinyo alifanya vizuri zaidi muendelee kumtumia japokuwa sikuile alichokosea ni kusema pambano la Dulla na Kiduku ilipaswa kuwa draw (hapa alileta ushabiki), ila ukiondoa hilo kosa ni mchambuzi mzuri. Kiduku msirudie kumleta, ni shabiki sio mchambuzi, na kelele ni too much 😁😁😁
Big up kijana wa Magufuri👊💪
Katka kazi zote hii sasa ndo KAZI
Aaah right chuma jabu inauma xana class mawe
Ibhar anajitahidi ongeza bidii kijana kuna technique anazo mwakinyo ungezipata ingekuapoa sana
Kiduku asitangaze tena, ovyo kbs.Azam heshmuni chanel yenu, c kila m2 anaweza kuwa mchambuzi. uyo Refarii pia ana ubaguzi mpaka kupelekea simon Ngoma kupgana kwa hofu.
sahihi
Nyie wachambuzi hakuna kitu, mnapiga Kelele tu na Mpo Bias..hamuwezi kuwa Wachambuzi na wakati huo huo Mnaonyesha Ushabiki wa kijinga kabisa... na huyu Refa Mwanamama bado sanaaa... anatakiwa ajifunze Professionalism.. na Amemkata Point Mzambia Kwa kumuonea kabisa na mara nyingi Mzambia akiwa anashambulia ndo unasikia ‘Stop’
SHOW SHOW HME BOY
Kabisaaaa
Kuhusu utangazaji mnajitahidi ila msionyeshe upande mnao shabikia remember ni KAZI
Nice
Twaha amenifurahisha sana jamaa anamzuka balaa🤣🤣🤣
😂😂😂Show show
Hongera Sana class
Emma john duu ama kwel mwanaharamu mnapigana bila kosa jaman kisa hela
Emma john duu ama kwel mwanaharamu mnapigana bila kosa jaman kisa hela
Nice jabs
Hatari
Twaha kiduku ezeee kudadadekiii
Twaha hafai kuwa mtangazaji
Show nzur
Show dhow
Ngoma ana power lkn hajui kurusha ngumi
Ngoma yupo vzr tatizo Tanzania mchezo wa ngumi bado sana
Jamani vitoto vimetoka mbavu sema yote heri😂😂😂
Tz kwanza ujinga ujinga baadae
mwakinyo hata kwa ibrahm class hafui dafu...
RIP
Hahahah Kiduku ametisha aisee ama kweli kila mru ana kazi yake. Mfaume Mfaume hana mbavu🤣🤣🤣
😂😂😂Show show
Ibrahim bgp
Nawakaribisha kupakua nakusikiliza nyimbo yangu Mpya mdundo.com/song/1656428
Watangazaji gani ata kuangalia hutamani..huyu anatangaza..huyu anapiga kelele...ujinga mtupu..sijui uongozi was Azam hauoni upuuzi huu...kwani ni lazima mabondia watangaze?
Kidugu ee aaaa hiyo mizuka baba
Mnaokosoa watangazaji mnakurupuka hamjui ki2 me nmesikia wakichambua pande zote mbili
Uchambuzi bado tatizo sana
Kama wamefanana ivi
game zuri
Pendo kambeba sana class
Katika marefa wazuri Tanzania pendo anaongoza anafata sheria ya ngumi ipasavyo
ujui ngumi wewe uwezo wa ibra upo juu sana
Show show
Twakiduku mpiga kerere sio mchambuzii😅
Tatizo mna kelele cna aa..
😅😅kidukuuu
Ibra kiboko yao
Utangazaji sifuri kabisa...mtangaza Kama Moira...kudadadeki ndiyo Nini...hiyo kiduku 0
Mtangazaji haitakiwi ubezi. Upande mmoja mjitasmini
Kiduku chenga sana 😂😂😂
D
Kiduku umetufulahisha
Kiduku hizo ngumi co taharabu hiyo weweeeeee ndio nn
Kiduku hizo ngumi co taharabu hiyo weweeeeee ndio nn
Weweee refa Mungu anakuonaaa huyo mtanzania kapgwaaa
Mmmmh! Kapgwa ngumi za mbavu na shngon? Maana ndo ngumi anazopiga huyo mzambia
Nakuomba sana ubonyeze picha yangu kisha SUBSCRIBE chanel yangu. 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Hapana bwana Seema huyomzambia alikua anarusharusha tu ngumi ila huyu mtz alikua anarusharusha zenye mshiko
Mmmh tuna macho tofaut
*TAFADHALI KWA HESHIMA NA TAADHIMA NAKUOMBA ANGALIA VIDEO YA WIMBO WANGU MPYA KWA KUGUSA PICHA YANGU HAPO PEMBENI LAKINI PIA NAOMBA SUBSCRIBE KWENYE CHANNEL YANGU ILI NIWEZE KUMONITIZE CHANNEL YANGU*
🙏🙏 🙏🙏
TATUA BAWASIRI KWA NJIA SALAMA
0689794748 na 0719191328
Endapo unapata choo kigumu
🥦 Unapata choo chenye damu
🥦 Unapata miwasho sehemu ya haja kubwa ,
🥦 Umeota kiuvimbe sehem ya haja kubwa
Hizo ni dalili hatarishi za bawasiri
Karibu nikupe suluhisho la kudumu la tatizo lako,Hata kama umefanya upasuaji bawasiri imerudi tena inawezekana pia tatizo lako kuisha
Wasiliana nasi kupata ushauri na matibabu
Kwa namba
0689794748
0719191328
Dj naona umekuwa mwalimu
ustuangushe i tunakuombea
uppercut co amba cut.
Dm
YtyyƁ
They robbed
show show
Pambanolajanalakidunda
Nakuomba sana ubonyeze picha yangu kisha SUBSCRIBE chanel yangu. 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Tanzania ngumi tupo vzuriii ila mpira bado
Kote badi
Hizi konde kweli,
Nakuomba sana ubonyeze picha yangu kisha SUBSCRIBE chanel yangu. 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Refaa katubeba Sana'a tuacheni unaviki
Tanzania hakuna mtangazaji wangumi ilakunashabiki wangumi
Refa aliaribu game Sana always stop akiona IBRAH CLASS ANAZIDIWA unfair game
Faulo zilikua nyingi ndio mana
@@saidsaid-tn3tu jamaa alikuwa anapigana vluluvlulu ndo mana
Kitengo cha utangazaji hapo Azam wekeni utaratbu wa wachambuzi wenye uweledi mchambuzi anapendelea sehem mojatu azungumzii pande zote akifanya vizul mgeni apongezi
Refa mzalendo
Muamuzi alikua sahihi tu
Ngumi faulo nyingi
Migumi ya hovyo hovyo
Makofi kisogoni chini ya kitovu
Refa hawezi kuacha vitendo km hivo
Hgv
ktk masumbwi ibra class ni mwana hisabati🔥
Show show
Nakuomba sana ubonyeze picha yangu kisha SUBSCRIBE chanel yangu. 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Kiduku ngumi ipo kwenye damu yaani