Simulizi ya nahodha Mtanzania aliyeokoa raia 5000 vitani Msumbiji

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
  • “Tulisikia milio ya risasi, mabomu. baada ya muda mchache umeme ulikatika huku risasi zikiendelea kurindima’’
    Nahodha kutoka Tanzania Josiah Mwakibuja alihusika katika misheni ya kuokoa wataalamu na wananchi zaidi ya 5000 kutoka Palma Msumbiji hadi katika mji wa Pemba.
    Je zoezi lilikuaje, amezungumza na mwandishi wa BBC Alfred Lasteck
    🎥Munira Hussein
    #bbcswahili #tanzania #nahodha
    Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili

ความคิดเห็น • 1