TRA WAMKAMATA MFANYABIASHARA ANAYEUZA MILIONI 10 LAKINI AMEANDIKA MILIONI 1 "TUMEINGIA MTAANI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ก.ย. 2024
  • Mamlaka ya mapato nchini TRA Mkoani Arusha imefanya operesheni katika maeneo mbalimbali katika jijiji la Arusha kufuatilia watu ambao hawatumii mashine za EFDS pamoja nakutokupokea risiti ambapo wamekutana na mmoja wa mfanyabiashara ambaye inadaiwa amekusanya zaidi ya million 10kwa mwezi lakini kwenye mashine

ความคิดเห็น • 150

  • @salumkhamis7818
    @salumkhamis7818 2 ปีที่แล้ว +12

    Eti ukinunua sukari dai risiti hivi mtu ana mtaji wa mil 2 atawezaje kununua e FD ya lak7
    Bado alipe mapato,leseni service levy, umeme,Kodi ya chumba,usafi watu wanateseka kweli ni shida Kodi zinazidi mtaji

  • @innocentritte1514
    @innocentritte1514 2 ปีที่แล้ว +22

    Kuepukana na yote haya, serikali inatakiwa ipunguze kodi hadi walau 9%. Kodi zinazotozwa na kulingana na jinsi biashara zilivyo, wafanya biashara wanakuwa tempted kukwepa kodi ili waweze kupata faida. Watu wanaendelea kuwa kwenye biashara kwa sababu hawana kingine cha kufanya. Mazingira ya biashara ni magumu sana, kodi za pango, leseni, uzoaji taka, ulinzi nk. Yaani shida tupu. Sijafahamu kwa nini serikali inang'ang'ana na makodi yote hayo na wakati zikiwa chini na watu wakiwa wanalipa voluntarily wanaweza kupata mapato makubwa hata kuliko sasa.

    • @salumabdallah3495
      @salumabdallah3495 2 ปีที่แล้ว +1

      Yani mzigo wako unaagizia kutoka nje na unaulipia ushuru shida inakuja tra inataka kw wanunuzi ndio wawe wanalipia kodi na sio ww unaeuza inamaana unatakiwa ww uongeze pale katika faida yako 18% ili iwe imelipwa ma mteja unalazimika kuweka bei ya juu matokeo yake watu hawanunui kutokana na bei kua juu mwisho wako mzigo unakudodea ww ulolipia ushuru bandarini na hapo hapo unatakiwa ulipie tena kwa mwaka kupitia faida yako unayoipata inamaana unalipia mzigo ukiwa bandarini na dukani kwakweli serikali ikipunguza kodi sidhani km watu hawatotoa risiti stahili

    • @victorsanga2229
      @victorsanga2229 2 ปีที่แล้ว +1

      Hivyo ndivyo akili yako inavyokutuma, uhalisia ni kwamba watanzania wengi hatulipi Kodi, ni kundi dogo sana ndo lina lipa kodi na ni mabingwa wa kupinga na kulalamika Kila kitu! Narudia tena hakuna mfanya Biashara anayeweza Fanya Biashara kwa hasara eti kwa sababu bei ya manunuzi ya bidhaa hiyo ni kubwa!

    • @kaaakwakutuliaa5179
      @kaaakwakutuliaa5179 2 ปีที่แล้ว

      serikali inatuona sisi ni mavi we upambane na wateja wezi pakia pakua foleni uweke na dawa ya kuvuta wateja wao waje wajikadilie kodi wanayotaka ,, ni usenge sana

    • @chrisstopherbasa4840
      @chrisstopherbasa4840 2 ปีที่แล้ว +1

      Correct

    • @blandinamwarabu5025
      @blandinamwarabu5025 2 ปีที่แล้ว

      Kupunza kodi sio suluhisho hata ukipunguza wanakwepa dawa fanyeni kama nchi za wenzetu wanavyofanya kodi ianajikata moja kwa moja

  • @charlesjanuary1798
    @charlesjanuary1798 2 ปีที่แล้ว +24

    Mtu aliyesoma akamaliza akapata kazi hawezii elewa Biashara ipoje Ukienda jinsi wanavyotaka TRA bora uwe mkulima tu, Mfano huyo jamaa mfanyakazii wa TRA usikute kusoma tu kachukua miaka 20 hajawahi kufanya biashara hata ya uji anakuja kupata kazi haelewi chochote kuhusu biiashara Biashara ni ngumu saana hasa kubaki kweny chat sio jambo dogo

  • @wazirmlogi7532
    @wazirmlogi7532 2 ปีที่แล้ว +8

    Tatizo kodi za hii nchi zipo juu sana utafikiri hatuna madini mbuga za wanyama maziwa bahari na vyanzo kibaaaaao vya mapato kumanina zao

  • @mohamedally121
    @mohamedally121 2 ปีที่แล้ว +3

    Weka mbali dafrita hloooo

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 2 ปีที่แล้ว +12

    WaTanzania mnachekeana sana na ndio maana mko masikini, watu wanakwepa kulipa kodi kama huyo mfanyabiashara na hamna adhabu za maana , njoo Ulaya halafu kwepa kulipa kodi uone kilichomtoa kanga manyoa yaani kosa kubwa haswa au hata nchi kama Singapore au South Korea. Wakwepa kodi ni maadui wa maendeleo ya jamii na wangefungwa au kutozwa faini kubwa sana !

    • @iamnormal8648
      @iamnormal8648 2 ปีที่แล้ว +2

      Kwani hujawahi kumsikia mtu anayeitwa John Pombe Magufuli?

    • @nitumesokoni3164
      @nitumesokoni3164 2 ปีที่แล้ว +2

      Unajua nin kuhusu Tanzania wew. Baki hukohuko Ulaya ila punguza dharau. Hivi unajua kodi ya TRA ni asilimia ngapi ya faida na huko Ulaya ni asilimia ngapi? Kwa taarifa yako huku Afrika ukisema uwe loyal kwa mamlaka kwenye ulipaji wa kodi huambulii kitu. Kwa faida gani zinazopatikana katika bidhaa za dukani unaweza kutoa income tax ya asilimia 30 kwa mwaka

    • @cosmasmkinga296
      @cosmasmkinga296 2 ปีที่แล้ว

      @@nitumesokoni3164 Ulaya Kodi ya Mapato inafika mpaka 45% huko Spain

    • @poncan1133
      @poncan1133 2 ปีที่แล้ว +1

      We unajua umaskini mbwa wewe!!!

    • @chepason7212
      @chepason7212 2 ปีที่แล้ว

      We maku tu hujui chochote wasenge Hawa wanaonea watu

  • @ahmadisalumu5049
    @ahmadisalumu5049 2 ปีที่แล้ว +4

    Wakati nikiwaa shule nilikuwa nikiona habari kama hizi nilikuwa nasema hawa wafanyabiashara wahuni sana wakamatwe tu! Lakini nilivyokosa ajira nikaanza biashara ndio naelewa tatizo lilipo! Kwa kweli mfumo wetu wa kodi ni mgumu sana hasa kwa wafanyabiashara wadogo

    • @ramsojimmykelly3379
      @ramsojimmykelly3379 2 ปีที่แล้ว

      Kwahyo mtu anauza mpaka ml 10 naye nimfanyabiara mdogo?

    • @ahmadisalumu5049
      @ahmadisalumu5049 2 ปีที่แล้ว

      @@ramsojimmykelly3379 mil 10 hata Mama Ntilie akisema aweke kumbukumbu vizuri anapitisha Bro!

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 2 ปีที่แล้ว +8

    Hii issue ni ngumu na tra hamtaki kuelewa Kuna bidhaa ni mauzo bei kubwa lakini faida ni ndogo na siku ya siku mfanyabiashara anawapa mtaji wake hapo ndipo kukataa kutoa receipt japo mtafunga watu

    • @mosesmwailenge5192
      @mosesmwailenge5192 2 ปีที่แล้ว +1

      Nikweli kabisa Hawa watu nimakatili saana Wana angalia mauzo Hawa tazami faida ndyo maana watu wengi Sasa ivi mfano boda tunduma wafanya biashala wengi wamekimbilia Zambia kwa sababu ya ukatili wap😥😥😥

    • @yordanyona1234
      @yordanyona1234 2 ปีที่แล้ว +1

      Ndio tatizo mfano Mimi nauza 100000 napata 5000

    • @victorsanga2229
      @victorsanga2229 2 ปีที่แล้ว +1

      Acha uongo, tatizo wanafanya biashara wanataka super profiti, hakuna bei ya bidhaa isiyokuwa na VAT.

    • @yordanyona1234
      @yordanyona1234 2 ปีที่แล้ว

      Tunaongea na waajiriwa waliozoea za Mwezi Kama Wana Ndoa ..mje mtaani ,,bro kaongea point Ila wewe akili ndogo sana ...nenda kamuulize TRA ilo swali Kama atakujibu amenyooka na ndio failure ya Sheria ya makadirio Tz ,,,acha kuwa limbukeni

    • @yordanyona1234
      @yordanyona1234 2 ปีที่แล้ว

      @@victorsanga2229 umekaririshwa super profit soma vizur ...mfano mzur wale wanaouza maduka ya kikinga mchanganyikeni ananunua katon ya daftar 40000 anauza 42000 harafu wa Kuna mtu ananunua kitu Cha 5000 anauza 10000 unaona nani atalipa Kodi kubwa

  • @erickmichaelmugele2107
    @erickmichaelmugele2107 2 ปีที่แล้ว +5

    Shida hii ya daftari ni maboss wanaogopa kupigwa na mfanyakazi wanakuja kupugiwa na TRA...

  • @wizzyjtz
    @wizzyjtz 2 ปีที่แล้ว +3

    TRA naomba muende na pale sinza ambiance kunawadada wanauza sana na hawatoi risiti

  • @igobekojoshuogyyouamagessa630
    @igobekojoshuogyyouamagessa630 2 ปีที่แล้ว +8

    TRA hivi nyie mlishafanya hata biashara ya kuuza nyanya? Achane kuonea watu

  • @sadikiabdallavuri1760
    @sadikiabdallavuri1760 2 ปีที่แล้ว

    t.r.a imekua mnyama zaidi ya simba inayorarua wafanyabiashara

  • @elishapaulo9749
    @elishapaulo9749 2 ปีที่แล้ว

    TRA wezi tu

  • @asheryngaiti5549
    @asheryngaiti5549 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwani TRA hawawezi kulima au kujiajiri wenyewe?

  • @japhetlinus3891
    @japhetlinus3891 2 ปีที่แล้ว

    TRA na wao wafungue biashara ...

  • @nantaembanusurupia5674
    @nantaembanusurupia5674 2 ปีที่แล้ว

    Mimi sio mfanya biashara lakini ukichukua kodi kwenye mtaji unategemea nini kama sio kufunga biashara unapohesabia milioni kumi ni pamoja na mtaji kwa hiyo akate mtaji alipe kodi au? Nadhani atoe mtaji kwanza halafu faida ndio atoe fungu la kumi hapo na sio kwenye mtaji!!

  • @igobekomagessa5463
    @igobekomagessa5463 ปีที่แล้ว

    Hivi hamjui mtu unaweza kuuza bidhaa ya 10,000,000 kwa faida ya 30,000?
    Halafu wanaojiita wasomi wanapigia Kodi kwa ulichoouza bila kujali faida yake ni shilingi ngapi! Halafu ukiwahoji wanakuambia ndiyo Sheria inavyosema....sema sjafundishwa kutukana ila inakera Sana mtu unalipa Kodi mpka inakula na mtaji wako ,ifike sehemu serikali isaidie watu wake na sio kuwanyanyasa.

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 2 ปีที่แล้ว

    Kwan mtaji mlichanga nae au hamjui mfanyabiashara ndo boss wenu.

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 2 ปีที่แล้ว

    Sitaki biashara zakufaidisha Serikali. Acha tuu, niendeler kuosha vyombo vya wazungu. Mwisho wa siku tutajua tuu

  • @mariasalumu474
    @mariasalumu474 2 ปีที่แล้ว +3

    Yaani mumeanza kusumbua wafanya biashara

  • @victorsanga2229
    @victorsanga2229 2 ปีที่แล้ว +2

    Wafanyabiashara wa Tanzania si waaminifu, TRA mna kazi kubwa ya kuthibiti wizi huu. Mkiwachekea mtavuna mabua!

  • @leinaamos
    @leinaamos 2 ปีที่แล้ว +1

    Changamoto kubwa tuliyonayo sisi watanzania hata Utawala wetu wa juu siyo wafanya biashara hata hawajui biashara ndiyo maana tunajikuta tunaingia kwenye matatizo makubwa ya kibiashara fikiria nchi za wenzetu hata uongozi wa juu kabisa wanachagua mfanya biashara nirahisi kujua,nn kinaendelea kwenye biashara kwa Mfano saiv mfuko wa mbolea ni 100,000 na kuendelea lakini mfanyabiashara huyo faida yake kwenye huo mfuko ni 1,000 huyu mtu akiunza kwa siku mifuko mitano mitano unakuta kwa mwezi ni fedha kubwa Sana ,hiyo ni mtaji siyofaida lakini TRI Akija anaasoma yote anakupigia Hesabu kubwa Sana Wala hajui Kama wewe faida yako hopo huenda Wewe hapo faida yako ni 150,000/kwa mwezi sisi niwatu wachini Sana hata sauti zetu hazifiki kokote Ila sasa wangekuwa wanachukua mawazo kutoka kwa wafanyabiashara hayo hayo mm na amini Kodi ingekuwa inakusanya nyingi Sana Kwa Mfano kila MTANZANIA anatakiwa alipe Kodi lakini wekeni Kodi rafiki kabisa mjasiliamali hata akaambiwa alipe 20,000 kwa mwaka na wafanya biashara wakumbwa ikawa hata 300,000 tu na hawa wahali ya chini 10,000 nakwambia nchi yetu ingefika kiwango Cha juu Sana sasa daaa mshike mshike ya Kodi hatari Sana

  • @mashiassenga8849
    @mashiassenga8849 2 ปีที่แล้ว +2

    Sawa lakini munataka watu wange wake nyumban mutapata ata iyo kidg

  • @sir_ENOCKMACHA
    @sir_ENOCKMACHA 2 ปีที่แล้ว +1

    Huo ni wizi wafanyabiashara wanakosea kwa makusudi mno yaan wanafanya mambo kwa uhovyo mno kwakweli

  • @davidmbwilo4954
    @davidmbwilo4954 2 ปีที่แล้ว +1

    TRA hawajui ugumu wa biashara tunafanya biashara coz hatuna kazi mbadala tuweke Kodi rahisi kwa wafanyabiashara ili tuwe tunaenda kulipa Kodi wenyew

  • @mosesmwailenge5192
    @mosesmwailenge5192 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu wasaidie wafanya biashala wapo kwenye wakati mgumu selikali yetu Kuna sehemu imekosea lakini lawama zoote wanatupiwa wafanya biashala kwa sababu yauloho wakukopa pesa ovyo nakutumia ovyo matokeo ndyo haya wafanya biashala Wana kabwa shingo 🙏🙏🙏😥

    • @godfreymasele8853
      @godfreymasele8853 2 ปีที่แล้ว

      Wakatinmhumunkuiibia serikari?. Hivinunajuwa hiyo risitinanaelipia ninmnunuaji? Hao wanataka faida mara mbili zaidi ya mauzo wanayotakiwa kuuza.

  • @phalesjoseph6604
    @phalesjoseph6604 2 ปีที่แล้ว

    T R A niwasenge tu lione hili lenye miwana

  • @rubensaitoti6839
    @rubensaitoti6839 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana kaka hiyo mzima wakinajerya

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 2 ปีที่แล้ว +1

    mfano mtu anaeuza maji ya jumla kila 8300 anapata faida ya 100 sasa mpigie kwa asilimia 18 au 10 uone kama ajabakiza mavuzi tu

  • @tausymtesigwa4567
    @tausymtesigwa4567 2 ปีที่แล้ว

    Hapo wengi tu wamejaa tena wana shirikiana na TRA

  • @darkplatnum9006
    @darkplatnum9006 2 ปีที่แล้ว +2

    Shida sio tra shida ni mikopo mikubwa ya selikal sas hzi tahaluk ya kutak nchi isiuzwe

  • @johnmasanja1762
    @johnmasanja1762 2 ปีที่แล้ว +1

    Hapa bongo hakuna kutoboa, ukipigiwa hesabu na Hawa watu, unatamani ukaishi urusau ukrean

  • @jonathankibaha8160
    @jonathankibaha8160 2 ปีที่แล้ว +3

    Unaekaje daftari ya mauzo meza hayupo makin na kazi yake hyo

  • @faidhamyovela179
    @faidhamyovela179 2 ปีที่แล้ว

    Duh huy kaisha 😂😂apo akiingia kweny kil kigar kimeandikwa STK utajuta

  • @ramsikhamis7083
    @ramsikhamis7083 2 ปีที่แล้ว

    Aaaaaahhh Maaaniiinaaa Nchii hiiii teena kwa Arusha ameandamwa kinoumaa

  • @charlesmyamba8531
    @charlesmyamba8531 2 ปีที่แล้ว

    Ni wizi mnaiba bila ktumia akuli mtaji mnajua aliupataje ninyi tra au mnaroloka tu

  • @kassimrajabu7805
    @kassimrajabu7805 2 ปีที่แล้ว

    Upuuuzi

  • @frankndendu2570
    @frankndendu2570 2 ปีที่แล้ว +1

    Sabaya alifanya haya mkampa kesi
    Unfair games rule

  • @nathaliashayo3289
    @nathaliashayo3289 2 ปีที่แล้ว +1

    Huu sasa ni unyanyasaji,mbona wanavyofuatilia wananchi wachini ,wasianze nawakubwa kwanza?

  • @makongorowassira6593
    @makongorowassira6593 2 ปีที่แล้ว

    Toeni elimu ya kodi kuanzia mashuleni

  • @winterkasela9033
    @winterkasela9033 2 ปีที่แล้ว +1

    Hizo pesa mnazokusanya ni nyingi mbona sasahivi hatuoni miradi ikienda mbio mbio kama wakati wa JPM?

  • @jamessichimata36
    @jamessichimata36 2 ปีที่แล้ว

    Sabaya aliwabana Leo anasulubishwa mahakamani

  • @kimsamespa8490
    @kimsamespa8490 2 ปีที่แล้ว

    Jamani kumbukeni pia anawafanyi kazi hawa watu ni moto wakimaliza watu

  • @coisenboy328
    @coisenboy328 2 ปีที่แล้ว

    Tatizo Kodi beijuuuu

  • @khamisishabani3155
    @khamisishabani3155 2 ปีที่แล้ว

    LAITI HAWA TRA WANGEJUA CHANGAMOTO TUNAZOPITA WAFANYABIASHARA WASINGEHANGAIKA NA SISI BALI WANGEKAGUA LESENI NA KUONDOKA

  • @michaelamosi1304
    @michaelamosi1304 2 ปีที่แล้ว

    mnafuatilia wafanyabiashara wadogo mauzo ya laki 2 na kik kibao kwa nn msiende viwAndani

  • @musason1680
    @musason1680 2 ปีที่แล้ว

    Hizo rist ukiziandika wallah TRA utaenda kuoa m1 kwa hiyo m10

  • @ashuuuaisha9122
    @ashuuuaisha9122 2 ปีที่แล้ว

    Mbuzi hawa wakamatwe. Mimi nilinunua mbao za milioni 2.40 ila listi akanipa imeandikwa milioni 1 .kimbembe anenda site askali wakatubamba uwii sitasahau. Harafu alinishanza akaongeza kesho niilejeshe hiyo listi. Waraaah nilimuachia msala na police wapambane maaana ilibidi apigiwe simu

    • @jaybzo6095
      @jaybzo6095 2 ปีที่แล้ว

      Kajifunze kuandika kwanza wewe bwege hamna chochote unachokijua kuhusu biashara unashabikia2 ujinga

  • @kedricksiame6167
    @kedricksiame6167 2 ปีที่แล้ว

    Ninyi tialaei mnao fatilia mauzo niwa baya sana mbona ninyi hatujuwi mana lipwa ngap

  • @catherineshayocwbp.2093
    @catherineshayocwbp.2093 2 ปีที่แล้ว

    Mfweeeh! Hawaa wanajiita tra wanajikuta Mungu watu...Sasa hawaoni duka lilivyokubwa mauzo yalivyomadogo apo Kuna daily expenses faid zake n 500 kwa jero aje akupe tra laki 5 mpka 7 ya Kodi si kuumizana... Hebu hili swala lisifanye kimazoea naomba lifanye kwa uhalisia hao tra msiangalie kauza shngp kokotoenj faid muone kama kwa siku ana retrun ata ya elfu 20000 mnaboaaaa...

  • @icesue6613
    @icesue6613 2 ปีที่แล้ว

    Mashine za Efd msiwauzie watu. Hata Jpm aliwahi kuwaambia. Bora hata huyo katoa Risiti za 1M .

  • @cathibetmakweta9159
    @cathibetmakweta9159 2 ปีที่แล้ว

    Kinachonishangaza mimi watu wa tar hawajawahi kumiliki biashara wao wanajua kukusanya cod tu.

  • @shaameshaame9721
    @shaameshaame9721 2 ปีที่แล้ว

    Hivi umaskin utaondoka kwa Hali hii?

  • @alymansury
    @alymansury 2 ปีที่แล้ว

    Hivi kazi ya tra wakike dukani haki yao ipii manake wanapekuewa madaftari na walitakiwa watazame mashine tu sasa Kama mtu amekopesha hivyo vitu

  • @agripinaaudax168
    @agripinaaudax168 2 ปีที่แล้ว

    Minor Sana kuthibiti kitu Kama hii,,bidhaa iko juu afu natoaje rist asee siwez ata kidogo ,,mbona king Magu alikusanya vtem tu na watu walilipa at least ninyi mtasubiri xnaa tu

  • @mwanagwakyala3213
    @mwanagwakyala3213 2 ปีที่แล้ว

    Zile ofisi zenu mnazomiliki vp zimenyooka

  • @musason1680
    @musason1680 2 ปีที่แล้ว

    Cheki hilo lenye miwani linajikuta gang star

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 2 ปีที่แล้ว

    Serikali acheni manyanyaso wekeni Kodi zote bandarini na huku mitaani acheni ubabaishaji ni kuwasumbua hata wageni na mjue bidhaa hazina faida kama mnavyodhania ninyi

  • @pastor.frank.tmwaisemba7401
    @pastor.frank.tmwaisemba7401 2 ปีที่แล้ว +1

    Daaa nyie tra nyie jaribuni kuwa wafanyabiashara sio kuchekelea chekelea Tu

  • @nampoambwana6980
    @nampoambwana6980 2 ปีที่แล้ว

    Wazee nendeni karikoo ni shida wafanyabiashara hawatoi risiti na wakito risiti sio

  • @jeremiahkavakule610
    @jeremiahkavakule610 2 ปีที่แล้ว

    Sabaya !!!

  • @Lewinglovbi6699
    @Lewinglovbi6699 2 ปีที่แล้ว +1

    Ndo maana sabaya walimzingizia case

  • @singidaone5628
    @singidaone5628 2 ปีที่แล้ว

    Wakome tu maana na wao wanapandisha vitu bei hovyo

  • @chibelube
    @chibelube 2 ปีที่แล้ว

    Wingi wa makato ya Fedha ndio unafanya watu wakwepe Ulipaji Kodi:
    Yaani Ulipe Frame
    Ulipie Hela ya Usafi
    Ulipie Farmigation (Kibali cha Afya)
    Ulipie Service levy
    Ulipie Hela ya Ulinzi
    Ulipie Kibali cha OSHA
    Ulipie Kibali cha TBS
    Nilipie Leseni ya Biashara
    Halafu mnataka mtu Alipe kodi iliyo sahihi mna vichaa nyie.

  • @elieneapalangyo6938
    @elieneapalangyo6938 2 ปีที่แล้ว

    Yani zile hela za kubangaiza huko nje zilienda wapi tena

  • @lukiasalum5556
    @lukiasalum5556 2 ปีที่แล้ว

    Kodi kubwa sana Hali ni ngumu sana

  • @aliybecka5169
    @aliybecka5169 2 ปีที่แล้ว +9

    Hawa watu ni wajinga kweli, sasa hata akaandika shilling moja si niya kwake mwenyewe hajaiba, Mimi naona hawa TRA wabadili mfumo ili kuepuka kudhulumu watu, mapato yao wakusanye kwa kuanzisha biashara zao wenyewe, sio kuwatia watu shida mtu hujui wala hutaki kujua anachopata ni mda ukifika kuchukua kodi ile ile auze asiuze ndio nini sasa, hii ni aibu unakaa kukagua mauzo ya mtu kama yako vile au mulisaidiana kutafuta, aibu huu mfumo ubadilike ni aibu aibu aibuuuuuuuuuuuu aaaaaah unamtangazia siri ya mauzo yke hadharani mhhhhhh aibuuuu hats auze ngapi ni zakee heeeeee

    • @nuranzubail8134
      @nuranzubail8134 2 ปีที่แล้ว +1

      Utakuwa hujui umuhimu wa kodi , hiyo bidhaa unayouza imefikaje dukani kutoka kwa mzalishaji

    • @issahashimu2593
      @issahashimu2593 2 ปีที่แล้ว

      Allah ndo hakimu

    • @aliybecka5169
      @aliybecka5169 2 ปีที่แล้ว

      @@nuranzubail8134 ungejua kuna watu wanashindwa kuendelea na biashara kw sbb ya kod kubwa usingesema, faida yote wanachukua

    • @makukamakaveli6581
      @makukamakaveli6581 2 ปีที่แล้ว

      Tafuta elimu acha kuropoka kwa vitu husivyovijua mauzo yana effect kubwa sana ktk kodi.

    • @aliybecka5169
      @aliybecka5169 2 ปีที่แล้ว

      @@makukamakaveli6581 Punguza uwehu

  • @sadikidaudi1223
    @sadikidaudi1223 2 ปีที่แล้ว

    Tanzania Nchi yaajabu saana alikamata Sabaya mkamchukia nakumpa kesi

  • @sylviermuhonjah8411
    @sylviermuhonjah8411 2 ปีที่แล้ว

    Africa waona ni thulma ulaya unalipa mwenyewe. Kula mwaka sehebu wapeleka zikidi warelejeshewa

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 2 ปีที่แล้ว

    ivi kwani hakuna namna nyingine mpaka rist

  • @happinnesspius9854
    @happinnesspius9854 2 ปีที่แล้ว

    Hapo wanataka tu kuchukua ela za mtu alizozipambania mda mrefu haki mtakufa vibaya

  • @eliyanorobeth8567
    @eliyanorobeth8567 2 ปีที่แล้ว

    Enyi wafanyakazi wote hasa wa T R A Kwamoyowangu waupendo wadhati kabisaa kwenu Napenda kuwashauri yakwamba inatakiwa mtambue kua baada yakaz zenu hua kunamaisha yanaendelea hvo jitahdin saaana kuepuka rawama, migogoro nawafanya biashara na nk. Badala yake taften njia ambayo nirafki ambayo hata mfanya biashara atarizka na kukuona wewe ni binadam mwema. Ili kuepuka Vita visivyo vya razimaa
    Maaana huyo mlie mfanyia hvo leo unadhani atajenga kitugani katika mfumowake wa akirii??? Tafakarin saana Kisha mchukue hatua

  • @omarjinialy3356
    @omarjinialy3356 2 ปีที่แล้ว

    Dubai wnye uchumi wa kibiashara bx vat yake iko chin 2-5% sisi maskin vat 18% wafanya biashara watabak kua na maden t

  • @dr_godfrey
    @dr_godfrey 2 ปีที่แล้ว

    Huwezi kuwa mwaminifu Tanzania wakati unaona wakubwa ndo wanakula pesa choo kinajengwa kwa milioni 50 huwezi kuwa mwaminifu

  • @kambiyusufu7709
    @kambiyusufu7709 2 ปีที่แล้ว +1

    Selekali yaudwanzi tu ilitaka mtu asiuze yani hii nchi dawa kua jambazi tu dadeki

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 2 ปีที่แล้ว

    kodi ipunguzwe wafanyabiashara wanaumia sana

  • @adam-saffi211
    @adam-saffi211 2 ปีที่แล้ว

    Unfair, wabunge nao walipe kodi jamani

  • @geoffreyssempijja7780
    @geoffreyssempijja7780 ปีที่แล้ว

    Hivi hizo laki tatu nifaida kwa cku au nimauzo yote kwaujumula

  • @faharikhamis1042
    @faharikhamis1042 2 ปีที่แล้ว

    Hamjielewi tra kila mahali kodi simmalize kodi yenu uko bandalini uku mtaani mnaandaa mazingira ya rushwa tu jamani

  • @japhetmichael2797
    @japhetmichael2797 2 ปีที่แล้ว

    TRA mda wenu nanyi utapita mnavyotendea watu ndivyo mtakavyotendewa.

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 2 ปีที่แล้ว

    TRA wanatakiwa wakae na wafanyabiashara ili wajue changamoto za wafanyabiashara

  • @sebastianshija940
    @sebastianshija940 2 ปีที่แล้ว

    Hawa ni kuwakata mapanga tu wanaleta usenge

  • @mwanaishamande8880
    @mwanaishamande8880 2 ปีที่แล้ว

    Punguzeni kiwango chamakato kuepuka haya

  • @robsonlotyloy5678
    @robsonlotyloy5678 2 ปีที่แล้ว

    Daftari sio mali ya mamlaka ya mato. Chagua risiti basi. Wewe mshaharawako ni shilingi ngapi?

  • @dr_godfrey
    @dr_godfrey 2 ปีที่แล้ว

    Yaani mnatamani kugawana mapato wakati akifilisika mnakaa pembeni ovyo kabisa

  • @nusalim3389
    @nusalim3389 2 ปีที่แล้ว

    Sasa mtamkamataje mtu kwa daftari tu Wala haliko profesion mahesabu yake,halina muhur daftar la mtu Wala sain ,Ni kumbukumbu tu za rough,je aki claim mahakaman sio la kwake mtamthibitishia vp?

  • @pascalsamson4721
    @pascalsamson4721 2 ปีที่แล้ว

    Duuuu

  • @mazengopeter8691
    @mazengopeter8691 2 ปีที่แล้ว

    Maendeleo ayata kuja hapo lazima afilisiwe

  • @sabrinamakunjalilah1438
    @sabrinamakunjalilah1438 2 ปีที่แล้ว +1

    Unaboa unatumalizia bando zetu na hiyo minamba yako inayoanza kujihesabu

  • @nkolemuya9283
    @nkolemuya9283 2 ปีที่แล้ว

    Halafu mkaguzi mpaka ashuke mtaani kweli mnamaanisha au blah blah tu as usual maana hao wakaguzi wanatumia shiling ngapi kuzurura huo
    Ndio yale yale ya kukata miti kujenga bwawa la umeme kutegemea mvua inayoletwa na nini sijui na misitu mnakata
    Technologia yote hii

  • @hallin9561
    @hallin9561 2 ปีที่แล้ว

    viongoz wenyew ndio weZi wakubwa

  • @mzunguxidde9071
    @mzunguxidde9071 2 ปีที่แล้ว

    Hao dawa ni kuwaroga tu

  • @oscargmosha3108
    @oscargmosha3108 2 ปีที่แล้ว +1

    Kosa mnalo fanya nyie TRA Nikufanya makadirio ya hovyo mnawanyanyasa wafanya biashara kila mmoja anania ya kulipa kodi kwa maendeleo ya taifa. Unapo ona mfanyabiashara ameuza laki tano na wewe TRA unaipigia % 18 je 50000 ndio patolake?je hata mtaji unalipiwa kodi?je 'garama za kujiendesha zinatakiwa pia kulipiwa kodi? Unaweza kuuza milioni ya kwako 20000 tuu

    • @gabrielsaelie8091
      @gabrielsaelie8091 2 ปีที่แล้ว

      Huu mifumo wa kodi Tanzania bado sijakuelewa kabisa. VAT yaani value added tax ngetakiwa ichajiwe kiwango cha bei iliyoongezeka zaidi ya ile gharama uliyonunulia bidhaa unayouza. Kwa mfano mafuta ya lita 20 ya kupikia ya bei ya shilingi elfu 98 unazauza laki moja. Ongezeko la bei hapa ni shilingi elfu mbili. Sasa inakuwaje VAT 18% ichajiwe shillings laki moja badala ya shilingi elfu mbili?

  • @eenpaard3915
    @eenpaard3915 2 ปีที่แล้ว

    Bado uonevu tu

  • @vincentcharles4385
    @vincentcharles4385 2 ปีที่แล้ว

    Local & primitive systems,shame...

  • @humayduwe1762
    @humayduwe1762 2 ปีที่แล้ว

    Hii nchi aliweza hayati magufuli tu

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 2 ปีที่แล้ว

    Hebu sie tunaonunua tuacheni mtu tuna mapirika yetu mengi tu msitulazimishe kua tukinunua tuchukue risiti nyie tra mtajuana na wafanya biashars tu sio sisi wanunuzi

  • @nelsonmrema7869
    @nelsonmrema7869 2 ปีที่แล้ว

    Broken fucking system!

  • @dicksonmlowezi4222
    @dicksonmlowezi4222 2 ปีที่แล้ว

    Makodi yenu makubwa sana na nyie

  • @kastomwaipopo1763
    @kastomwaipopo1763 2 ปีที่แล้ว

    😏