KAPTENI JOHN KOMBA AKITUMBUIZA KWENYE MIAKA 38 YA KUZALIWA KWA CCM

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.พ. 2015
  • Kapteni John Komba akiwa na band yake ya TOT wakitumbuiza kwenye sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM kwenye uwanja vya Maji Maji mjini Songea.
    Wimbo huu umewaacha na simanzi wana CCM hasa baada ya kupata taarifa za kifo cha Kapteni John Komba Mbunge wa Jimbo la Mbinga Magharibi kilichotokea tarehe 28 februari 2015.

ความคิดเห็น • 40