Masanja Mkandamizaji Asema Kwake Ugali ni Maarufuku

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 40

  • @cagemzee1834
    @cagemzee1834 6 ปีที่แล้ว +2

    sawa broo me ni mtoto wa mama nyangi kazana utafika mbali sana mungu pamoja na we

  • @emmanuelmkalawa9242
    @emmanuelmkalawa9242 6 ปีที่แล้ว

    mtumishi nimekuelewa vzr mnoooo kula unachotaka na kula unacho kipata

  • @nasmafarmsltd9146
    @nasmafarmsltd9146 5 ปีที่แล้ว

    Mìýè nķo Oman nime miss ugal wal kinachosha

  • @isaacmgaya2067
    @isaacmgaya2067 6 ปีที่แล้ว +1

    Emmanuel. You are very crazy. Ange ndisi baho. Ugali is food. Believe me. One day you wll come back to it.

  • @catenzeki678
    @catenzeki678 6 ปีที่แล้ว +1

    Uko juu bro...mm binafsi nkukubali...kipaji apo kipo

  • @happinesssteven1155
    @happinesssteven1155 6 ปีที่แล้ว +2

    heshima ya mwanamke iko ktk kukua ktk kumjua kristo.

  • @christophermgoli1236
    @christophermgoli1236 4 ปีที่แล้ว

    Piga kazi Mchungaji😄😄😄🙏🏼

  • @michaelrungwe3716
    @michaelrungwe3716 5 ปีที่แล้ว

    Masanja kanyea kambi

  • @enockmtepa6972
    @enockmtepa6972 6 ปีที่แล้ว +1

    Maisha ni haya haya

  • @joshuahamisi9988
    @joshuahamisi9988 6 ปีที่แล้ว +2

    Nikatika comed tuu najua unakula broo

    • @bonifacembilinyi5576
      @bonifacembilinyi5576 5 ปีที่แล้ว

      bora wewe umemuelewa message nyingi zinamponda bila kujali ye ni comedian

  • @ngometvarusha4030
    @ngometvarusha4030 6 ปีที่แล้ว +1

    Kwan ugali siyo chakula mhiiii sasa

  • @dawillygene
    @dawillygene 5 ปีที่แล้ว

    Nimecheka mpaka machozi

  • @mwendwajohn3922
    @mwendwajohn3922 6 ปีที่แล้ว

    Kwan ugal sio chakula au

  • @catenzeki678
    @catenzeki678 6 ปีที่แล้ว +1

    Hahahahaha...eti kwni kuna manabii...mmejuaje😂😂😂

  • @musadaud652
    @musadaud652 6 ปีที่แล้ว +1

    Hahahaha wadada miguu imepinda kwjili ya ugali dagaa hahahaha

  • @ibrahimmfundo8383
    @ibrahimmfundo8383 5 ปีที่แล้ว +1

    Ukisikia kufuru ndio hii

  • @delartone3016
    @delartone3016 7 ปีที่แล้ว +2

    The man is so fun 😁😂

    • @dangeloelliot960
      @dangeloelliot960 3 ปีที่แล้ว

      you probably dont care but if you are stoned like me during the covid times you can watch pretty much all of the new series on InstaFlixxer. Been watching with my girlfriend during the lockdown =)

    • @rolandryder5811
      @rolandryder5811 3 ปีที่แล้ว

      @Dangelo Elliot yup, have been watching on instaflixxer for years myself :D

  • @berithachumila9368
    @berithachumila9368 6 ปีที่แล้ว +1

    Hahahahaaaaah ubarikiwe mtumishi wa mungu

  • @majmadramas5726
    @majmadramas5726 6 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hahaaaaaaa like you more ma bro😍😍😍😍

  • @roseboniphace5143
    @roseboniphace5143 5 ปีที่แล้ว

    mbona ulikula mihogo shambani kwani ugali unatofauti gani na mihogo?

  • @kajaymopao1672
    @kajaymopao1672 5 ปีที่แล้ว

    Wewe wacha zako ugali ni chakula cha tamaduni yakiafrika mimi mwenyewe millionaire tena millionaire mkenya na siezi kosa ugali wiki moja na nimelelewa na ugali tangu nikiwa mdogo usitharau ugali wacha zako unashukisha tamaduni zetu zakifrika

  • @queencharles4823
    @queencharles4823 5 ปีที่แล้ว +1

    Waswahili wengine bana, yupo kazini apo, kula ana kula ila ni kazi ya kuchekesha! Mimi nimecheka kabisa hahahhahahhaahahahha! Muache unegativity nyie wabongo!

  • @dicksonsheja9376
    @dicksonsheja9376 6 ปีที่แล้ว +1

    Hahahaaaa

  • @gwantwaseke8406
    @gwantwaseke8406 7 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂

  • @yassinabdy8962
    @yassinabdy8962 6 ปีที่แล้ว +2

    Hovyo ugali ndio staple food ya Africa ,pumbav

  • @nanawish851
    @nanawish851 6 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂 spare my ribs

  • @mwidinijuma1580
    @mwidinijuma1580 6 ปีที่แล้ว

    Mchungaji wewe unashangaza, ugali ni chakula kama chakula kingine Sasa wewe unaupondea ugali mimi sikuelewi aliyekupa wewe wali ndie aliyempa mwezio ugali

    • @JOHN16verse33
      @JOHN16verse33 5 ปีที่แล้ว

      1. Easy man its comedy
      2. Amesema ameshakula sana ugali..amezaliwa Njombe na kule ugali ndio chakula kikuu wananywea chai hata asubuhi.
      Mke wangu amezaliwa Moshi hali ndizi zikipikwa kabisaa kwa madai hayo hayo. Msukuma anaweza kukwambia the same thing habari ya samaki
      Waliozaliwa Dar tu ndo walikua na variety ya vyakula na ugali ulidharaulika. Utanielewa kama umri wako ni rika letu yaani mi na Masanja otherwise watoto wa siku hizi wamezaliwa kwenye vyakula vingi wanajichagulia

  • @kevohmsangi649
    @kevohmsangi649 6 ปีที่แล้ว +2

    The thing you are talking about is not alright kabisa, coz ugali ni chakula pia haina haja ya mtumishi wa Mungu kujigamba kuwa hali ugali, that's not God's way

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 6 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo sio Comedy ni Arrogance. Kuwa Humble, Yesu is not all about money, Mavazi, na Mali. Huo ni Ujinga.

    • @queencharles4823
      @queencharles4823 5 ปีที่แล้ว

      Its comedy, hujawai kula ugali wewe asubui mchana na jioni, ndani ya mwaka, huli tena maishani! Alafu unaenda kula sehemu nyingine kubadili mazingira wanakupa dozi hehhehehehehe! He is fine na watu wamexheka, chekesha na wewe!

    • @mussaismaili3717
      @mussaismaili3717 5 ปีที่แล้ว

      Nakubali