Ubarikiweee madam (Da Minza), bless you good song ❤️ melody safi vedio Kali 🔥 big up songa mbele 🎧🎹🎹🎻🎻 enjoy your day 🤗🤗🤗 Wooooooooo nimeenjoy sanaaaaa 🎶🎤
Waoohhhhh..very Surprised. .amazing thing... Hakika Mungu ni wa Viwango na ni wa Upendeleo zaidi... MUNGU akuoe hatuwa zaidi na Ufike mbali zaidi ukimtumikia na kumtumaini Yeye..
Wimbo mzuri sauti tamu sana. Hakika Bwana amenivika vazi la heshima badala ya Aibu, ni mwaka wa suprise kwangu napokea kwa Jina la Yesu. Mungu akubariki sana mtumishi uzidi kumtumikia Mungu kwa roho na kweli
Suprise!Suprise uzima ni Suprise kutoka Kwa Mungu hallelujaah 🙌☝️
Vita rejea kwa jina la yesu❤❤
Wacha Mungu awaingezeee baraka zenu kwenye huduma Yenu
Ubarikiwe.sanaaa.kwaujumbe.mzuri.haleluya
Wauuuuu jamani hongeraaaa wauuuu binge LA wimbo
Saut zimekutana bonge la nyimbo njoo uone utam wa yesu umejua kunifrahisha saprise hongera mwanangu minza bonge la nyimbo
Amen wimbo mzur minza samweli barkiwe
Wimbo mtamu,Mungu analenjesha chochote kilio potea
Haleluya kila mmoja apokee suprise kwa jina la yesu
Vizuri sana 🙏🙏
Mungu azidi kukuinua viwango vya juu mtumishi wa mungu minza samweli by = pastor. Elisante
Yaaani surprise kweli
Hongera sana mtumishi
Barikiwa mno wimbo mzuri mno.
Haleluya, barikiwa sana mtumishi wa Yehova
Wimbo una mantiki 🥰🥰🥰
safi sana mtumishi wa mungu kazi yako njema
Waooohhh dada Minza umetisha barikiwa sana
Amen hapo ndipo penyewe
Amen Amen ubarikiwe sana
Kazi nzur sana mtumishi naona unavyoinuliwa viwango vyajuu
Aweee wimbo ni mzuri sana
Nimekubali ipo siku Yesu ataniinua tu
Hongera Sana Mtumishe Barikiwa Sana
Duu Atari sana wimbo mzuri bala ubarikiwe sada dada minza
Hongera sana dada minza
Amina sana mtumishi wa Mungu akuinue zaidi mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana kwa kazi hii iliyo njema
hongera mwalimu ,hii surprise ya kusahihisha makosa na sio mtihani
Barikiwa Kwa kazi yako mtumishi wa Mungu
Wimbo wa Baraka sana
Barikiwa Sana 👏 Iko 🔥👏
my sis did it...NYC song
Nice song 🌹
Huu ni mwaka wa surprise,
Ameen amenilinda mchana usiku na hata asubuhi asant yesu wangu🙏🧎
MUNGU AKUBARIKI SANA KWA KAZI NZURII
Wow mwaka wangu nami
Nyimbo ya sifa na utukufu kwa MUNGU wetu
Nice song my sister i celebrate you
Wow wow nice job
Waoo nyimbo nzur sanaaaa mung akuabrikiii sana imenibarikiii mnooo
Surprise waaau Soo powerful song
Mungu Akubariki Sana kwa wimbo Mzuri
Good job dada
Wapi like za watumishi jamani
Nice song 🌹😍🥰👍
Dada wa Taifa uko vzr Sana Minza
Ukiwa na superstar wetu Rose
Waooooo😍😍😍😍
Napenda huu Wimbo💃💃💃💃Hongra sana dada minza pamoja na Malkia Rose Muhando 🙌🙌🙏#TRM
Waoohhh asante sana mtumishi🙏
Kazi njema Dada Minza Mungu akutunze
Mtumishi ubalikiwe kwa wimbo mzuli naona mpo na rozi hapo balikiwe sana shetani ameshindwa kwa Jina la Yesu AMINI
Ameeeeeen wimbo ni mzuli sana nimebalikiwa Sana inuliwa zaidi
Talent family 💕💕💕🙌🙌🙌🙌
Nakubali
Saimon Benjamin official JESHI l MUNGU
Ur such a wonderful singer am surprised
Be blessed sister Minza,Pastor Norris was here🙏
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 shallom mambo matamu Sana hebu njoo u see mambo Ni Moto 🎤
Minza kasong katamu sanaaa Mungu aku ariki sanaaa
Great song, Huu ni mwaka Wa Baraka kwangu
Woow.... Nice song mtumishi. Mungu azidi kukuinua mtumishi wa Mungu..
Good job 👏👍👌
Suprise!Suprise! Hallelujah! uuiii Rose u never disappoint wow! wow👏👏☝️🔥
Yeeeees vilivyoliwa vitarejeshwa
Great job
🔥🔥🔥 surprise poaa
Waohwaoh 😘❤️ surprise sebene mcharazooo🎺🎺🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😊🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🎧🎧🎧🎧🎺🎧🎹🎹🎹🎹🎹🎹🎹🎹🎹🎹🎹🎹❤️❤️👆👆❤️❤️👆👆👆🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤💪💪💪💪💪💪✔️✔️✔️💕💕💕💕💕💕💕💕nimependa mnoooo njooooo uone surprise
TALENTS FAMILY
Hakika ni suprise.. Mungu aendelee kukutumia kwa viwango vya juu Dada Minza. 🎶🎶🎶🔥🔥🔥
Barikiwa snaaaaaa
Hahahahahaha! Mniache jamaniiiiiiiii 😋 kwa Yesu kutamu Surprise ni kwa mwaka wako. Nabarikiwa jamaniii
Hakika njoo uone suprise nami nasubiri suprise mwaka huu nachoTa upako barikiwa sna kwa ujumbe huu mzuri sna
Nice song
Barikiwa sana Dada yetu, Wow🙏
Ubarikiweee madam (Da Minza), bless you good song ❤️ melody safi vedio Kali 🔥 big up songa mbele 🎧🎹🎹🎻🎻 enjoy your day 🤗🤗🤗
Wooooooooo nimeenjoy sanaaaaa 🎶🎤
Surprise... May fetch bountiful blessings this year. Amen.
Mwaka wa Suprise eeeeeeh🙏🙏🙏
Wimbo ni mtam sna siishiwi na hamu ya kuuangalia daaaaa wimbo una mafuta hatari Barikiwa sna kwa ufunuo huo dada Minza.
Ongera minza samwely mtumish wimbo wako mzuri nimebarkiw asana ameni.
Waoohhhhh..very Surprised. .amazing thing...
Hakika Mungu ni wa Viwango na ni wa Upendeleo zaidi...
MUNGU akuoe hatuwa zaidi na Ufike mbali zaidi ukimtumikia na kumtumaini Yeye..
Mungu kweli amekufanyia suplaz nimebarikiwa dada Minza naona vitu nyako sio vya kitoto
Be blessed
Wow..nice music cograts
God bless u my ccter akika Tumevishwa taji la ushindi
So nice...... Great song
Hii ngom kali hatari barikiwa sana minza wetu
Da nikweli dada hunanikonga kwa wimbo wako.
Nikweli kabisa nimwaka wakuinuliwa.
Hongera dada kazi nzr
Vizuri Sanaa
Amina sana uduma ni njema
Wimbo mzuri sauti tamu sana. Hakika Bwana amenivika vazi la heshima badala ya Aibu, ni mwaka wa suprise kwangu napokea kwa Jina la Yesu. Mungu akubariki sana mtumishi uzidi kumtumikia Mungu kwa roho na kweli
Ohhhhhh hallelujah I connect with the grace, for sure this is the year of surprise because God will surprise many. #kenya......
Mungu simwadamu hongera sana
Wonderful song
Surprise
Barikiwa sana🙏
Voice 💯
Arrangement 💯
Instrumental 💯
Message 💯
Blessed servant of God
Mungu akuinue mpendwa
Barikiwa sanaa
Amen barikiwa saana
Congratulations......wimbo mzuri sana... God bless you
Hii ni Suprise ama kwa hakika, such a beautiful song with nice beats. Congrats mtumishi!
Surely this year God will make a surprise for me... Amen.