nakupenda sana maka tena saanaa. maana ndiko alikozaliwa mtume muhammadi saw. na walioniletea habari kuhusu uwepo wa nabii ni waarabu kutoka maka. sasa kama nimekubali hilo kwanini nikatae wakiniambia mwezi umeonekana? daima nitafunga mwezi mmoja nduniani kote na sio watanzania
Msema kweli Daima Hapendwi kabisa ndio maana Vibaraka wa bakwata Mufti wa Tanzania sheikhe wa Dar es salaam , Hawajafika katika mazishi wanapotosha watu SubhanaLLAH!!!! Ndio maana wakakutoa katika balaza la bakwata
Sheikh umejitahid kuelezea, ila nikwambie kwamba sio kweli km dunia nzima wamekubaliana kuwa skukuu ya adh-ha ifuatwe Saudia sio kweli. Mm nipo oman na wala hawafuati calenda ya saudia. Na sio oman peke yake, nchi km Algeria, masry n.k pia hazifuati calenda ya saudia. Kwa hio sio kweli kuwa dunia nzima wamekubaliana. Hata fatwa za wengi ktk masheikh wa saudia hawakubali kuwa dunia nzima ifuate saudia juu ya suala hili.
Huko nyuma Dunia ilikuwa kizani shehe unaumwa Ina maana zama za maimamu Wa nne pia Wali kuwa katika kiza na hii Dini ulipata vipi wewe hadi sasa wajiona uko katika mwangaza Dini ya uislamu hija ilikuwa, na saumu, na hakukuwa na migogoro na hakuna TV, wala internet, na waliishi Safi tu iweje useme Leo Dunia ilikuwa gizani na nyie ndie muko na migogoro kuliko kitambo tafadhali fikiria sana
utalazimishaje za hizi kurudi kama zamani kuonyesha hilo hawa wanaotutangazia mwezi wakienda hija hurukisha tarehe mbele kwanini wasisubiri mpk Siku inayofuata ndo waende arafa
hukumuelewa ww aliposema gizani akimaanisha hakuna mawasiliano ya moja kwa moja ilikua ni vigumu mtu wa nchi za mbali kupata taarifa za mwezi wa nchini saudia. Hivyo ilikuaa kama wapo gizani sasa hivi utandawazi ni kama taa mtu wa mbali anaweza kuona kinachoendelea katika nchi ya saudia kila kitu live. Chnga maneno yako kama hujaelewa tumia kauli nzuri upeo wako usihukumu usiyoyaelewa uliza, utafeli.
Hadithi anayoitoa na mafuhum tofauti hija ni arafa kwa mahujaji kwani yeye ni haji....pili matumizi mabaya ya lugha....akijibiwa atapiga kelele atukanwa
Asalamu alaykum Tumemsikiliza Sheikh Kilemile katika neno lake hili. Tunamwambia Hijja Arafah hilo halina tafauti ndani yake, lakini Arafah ni nini? Ni kisimamo cha siku ya tisa ya mwezi wa Hijja. Kwa hiyo Siku ya Arafa ni siku ya 9 ya mwezi wa Dhul-hijja. Napenda Sheikh Kilemile afahamu kuwa Kalenda ya Kiislamu inafungana na muandamo ima uandame 29 au utimie 30 na inafahamika vizuri sana kuwa kutafautiana miandamo ni jambo lisilopingika na ndio maumbile ambayo Allah ameyajaalia katika ulimwengu huu. Sheikh Kilemile hizi ibada zote zimefungwa na tarehe na sio matendo ya mahujaji. Kwa hiyo Funga ya Arafa ni lazima iwe mwezi 9 na Siku Kuu iwe mwezi 10.
sasa utaupateje mwezi tisa wakat ninyi mnakalenda zenu na mahesabu yenu wenyewe na mnapanga miandamo ya kweli na mnaendesha haya mambo mnavyotaka ninyi?
Aina hii ya Masheikh "Ndiyo chanzo cha Waislam kuwa Dhaifu na Wanyonge hapa Tanzania". Uislam HAUONGOZWI NA MAKKA, Usilam unaongozwa na Quran na Sunna. Huyu anapenda sana sana MIGOGORO utadhani Uislam ni MALI YAKE!.....
Asante shekhe hata kweny swala sisi na maka sawa kama hamuamini angalien channel ya IQRA wakiswali wao adhuhuli na sis sawa na hakuna sik 2 dunian na hakuna arafa 2 ni moja tu nyie danganywen tu
Shekh walid..hii ulishasikia au kuisoma ..??? Tutaona maana ramadhani..umejibu kuondoa manoni usoni...waislam..Allah ni ¹ ..mwezi ¹ kibla ¹.mwandamo ¹ jua¹ardhi¹ mbingu¹ dini ni ¹
@@rajabumtambo992 ndg yangu rajabu mtambo Mimi nimemuekewa vizuri sana sheikh kilemile kitu kinachonidhangaza kuenda kinyume na mapokezi kutoka kwa sheikh wake
Kupingana na mwalim wako au shekh wako mbele ya haki sio kosa hilo limetokea sana tu hata kwa maimamu zetu wakubwa wanne Shafiy ,Hanbaly,Maaliky na Abuuhanifa pia nakbla ya hao maswahaba pia walitofautiana na kutengana na wazee wao kwa kuifuata haki pale wazee wao walipogoma kufanya hivyo
@@mohamadally5732 kwasabb mwalim sio kua siku xote eti yy ndio anajua haki na kupatia tu na mwanafunzi kinyume chake Pia mwanafunzi humzidi mwalim kitaaluma pale ambapo anaposoma sana zaidi yake ndiomaana utaona mtu Profesa lakini ktk walimu wake waliomfundisha wamo wa darasa la saba tu nahapo lazima mwalim itakua amezidiwa tu kielimu na kimtazamo wa kitaaluma pia kwahiyo hicho ndicho kilichopo kwa wengine kama shekh wetu kilemile huyu رحمة الله عليه
Sheikh Suleiman umeongea ukweli mtupu kwa wenye kujua wewe msomi umekaa makkah miaka 10 achana na hawa wanaojikombakomba serikalini hata kusoma matni za kiarabu hawajui
Walikubaliana lini maneno hayo? Rejeeni kitabu kinachoitwa taudhwihu Al, ahkami juzu ya 3 muone ripoti ya wanazuoni kuhusu hayo anayosema huyo mpotoehaji ktk hili
Ninauwezo na nathubutu kusema kua huyu Sheikh ametumwa na watu fulani,khaaaa!! Mpumbaaavu sana. Kwaiyo Dhulhijja tufate kalenda ya Saudia na ikimaliza Hijja tufate kalenda zetu. Subhaanallah!! Sheikh unasoma hadithi ambayo hata haina mafungamano na hizo sikukuu.
Lakin hilo la kufuata mwezi wa kimataifa kwa maana ya kufuata mwezi unapoonekana Saud Arabia au arafa inapoisha Saud Arabia ni bidaah pia, hapo panahitajika hisan kwa kufanya muafaka sio kulazimisha,.
Abdul Mgagagigikoko hahahaaaa qur an na sunna hizo habari kawaleteeni nani na hali huko maka kwenyewe munakukejeli?? na wala hamuwaamini .kwangu mimi watu wa maka . madina ninawaani sana. kwa sababu ndio walioniletea upo wa nabii na mafundisho yake siwezi kuwakejeli au kukejeli miji hiyo. eti kwakuwa tu shekhe fulani amesema.mwezi mmoja jua moja
ndiko aliko toka nabii na wanafunzi wake. sikumuona nabii wala wanafunzi wake. mimi nimepokea kauli tu kutoka kwa watu wa huko. je wewe ulimuona nabii na wanafunzi wake au huyo unaemuona kuwa mkweli aliishi na nabii au wanafunzi wake??. kama ni kwa sababu ya mwezi , mwezi watanzania unakuwa mkubwa na unachelewa kuzama. na ndio maana watu tunafunga mwezi wa kimataifa. ishaaallah tutakuwa pamoja endapo utafanya risechi pindi unapoandama mwezi. usirizike tu kuwa umeuona la bali kaa uwangalie mpaka unazama. ndipo utapata jibu kama wa leo au jana.
Hao jamaa ni vigeugeu kila siku wanang'ang'ania kua jambo lolote ambalo mtume akulifanya au akuelekeza lifanyike hata kama ni zuri ni bidaah sasa hapa anatueleza habari ya kufuata taarifa za kwenye TV sijui mtume alielekeza hivyo au Quran imeelekeza hivyo atuambie sasa hivi.
@@kassimmgwami inavyoonekana una elimu kubwa kumzidi sheikh kilemile (rahmatullah alihi) au xio?weka bas na ww dalili zako hapo tuzione na utuambie unamustawa gani ww
Hijja inahusianaje na saumu ya arafa! Je wasipokwenda hao mahujaji huko kwenye viwanja vya arafa imamu tutamuonea wapi akihutubia hukumu ya kiislaam haihukumiwi kwa teknologia nali teknologia ndo inatakiwa ifuate hukumu za kiislaam sasa kuwaona wao sii ndo dalili wala mafundisho ya Mtume s.a.w kwani kuwaona hao mahujjaaji live ndo dalili ya muandamo? Usituletee habari ya hijja ktk saumu ya arafa
Sheikh Nadhani ni BUSARA na adabu ya elimu jambo kama hilo ungeweza kumfuata Mufti mkaongea na kulitolea fatua nzuri ikawa muongozo wa pamoja kama nia ni kumuogopa Allah . Lakini kama nia ni zaidi ya hiyo. basi ujuwe mnatuchanganya waumini na inachochea tofauti baina ya waumini. Kama kila sheikh atakwenda kwenye vyombo vya habari na kumkosoa mwenzake hakika tutadhofika. Nakuomba sana sheikh ufikirie sana hili faida na hasara zake tafadhali TAFAKARI
mzee ni nani kakuambia Saudis wanafuata calendar ya kiislamu?Saudis wanafuata calendar inayojulikana kwa jina( THE CALENDAR OF UMUL ALQURAA).Stop supporting bad elements who distract Muslims world from Makkah and Medinah.
Huo sio ukweli bali ni kuwadanganya Waislaamu ulionao na watakaokufata ni wale wasiosoma hapo. Yaani ukimuangalia tu utagundua kua analazimisha kitu. Unazungumza Arafa,unazungumza sikukuu,unazungumza wagonjwa,unazungumza kitu gani ambacho hata hao wanaokusikiliza hawakuelewi. Sasa kwani wewe hapo ulipo unafanya Hijja? Upo Arafa?
@@salumngoma8710 acha kusikiriza watu soma mwenyewe iri ujue nini tatizo napia dini yetu usifananishe na mambo ya kimtandao ibada izi zinafanyika toka mambo ya kimitandao bado
Shekhe tahadhari na heshima yako. Kwa hiyo Watu wa Newseland wakiwaona maka waswali dhuhri na wao waswali dhuhuri hata ikiwa saa nane usiku!!! Usitupotoshe tunajitambua tutashikamana na mwandamo wa mwezi wewe kalia miteknoloja na mi tv.
@@naswirutamimu914 usidandie mada bila kuielewa fatilia vizuri shekhe wako kajumuishs teknolojia ya leo kueleza umuhimu wa kufuata saudia ktk suala la arafa sasa wewe unakuja na lako hiyo teknolojia itumike kwenye arafa na id el adh'ha pekee teknolojia ukiifuata haina mipaka.
@Khalfan Sharji, "Haji ni arafa" الحج عرفة Na arafa ipo sehemu moja tu makka na hadithi nyingine ikasema "Mwenye kufunga siku ya arafa..." na wanchuoni wamekubaliana juu ya kuwa katika hili miji itaacha kalenda zao na kufuata makka ili kuafikiana na mahujaji waliopo kule. Na teknolojia inatusaidia kwa kiasi kikubwa au imeleta wepesi sasa hapo we una udhuru gani??? Halafu wewe unaleta mambo ya swala tena ambayo hukumu yake ni tofauti na hili linalozungumziwa hapa
Shehe amegusia pazuuuri kweli pale aliposema ((( kwann kwa wenzetu hatusikii haya matatizo))) Jawabu ni kua: Wenzetu wanaheshimu qauli za wanazuoni wao, na khasa ile iliyotolewa na Mufti wa nchi, Ama kwetu kila aliesoma anataka na yeye awe na wafuasi wake, hapo ndio kwenye kasheshe sasaaaa Na kama tunavyofahamu kua masuala haya yana khilaf, na kila penye khilaf kunakua na qaul yenye nguvu zaid, nayo ndio inauofuatwa Sasa ni kwann mashekhe wanalazimisha kuvunja qaul ya mufti bali hata serikali??? Kisa wanafuata khilaaaf??? Na sheikh asiifanye serikal yetu ni bunjuuuuu, serikal ipo wazi na ipo macho!!! Wito wangu kwa serikal ni kuchukua hatua wale wanaoivunjia heshma serikal na kumdharau bali kumkejeli mufti kiongozi wa waislam ktk nchi!! Kwa kujiegemeza kua nchi yetu ina uhuru wa kuabudu!! Pia wito wangu Kwa masheikh : wawe ni chombo cha kuwaunganisha watu sio kuwagawanya, na kwa vile ni masuala ya khilaf basi inakuaje kuaje kushikilia kila mmoja awe na mamlaka yake ktk maamuzi!!! Huu ndio msiba wa masheikh wetu wa kitanzania kila mmoja na kundi lake Innnaaaaalillahi wa inna ilaihi raaaaaaajiun
Naswiru Tamim fahamu kwanza matumizi ya nasaha na ujuwe kupambanua msikilize vizuri shekhe wako mimi usinisumbue wewe bado unaweza kudanganywa endelea kudanganyika mimi sina uisilamu wa video!!! Lakini khilafu fatilia zipo mawahabi wenzio Ramadhani wanaswali rakaa 20 tarawehe maka lakini wa afrika mashariki wanaswali nane au wewe upo wapi!ARAFA NI MWEZI 9 DHULHIJA SIO Wakiswali wa saudia basi umma wote waswali.KHITILAFU ZIPO NA ZITAENDELEA KUWEPO.
@Khalfan Sharji Mimi nilikuwa nakufahamisha tu kuwa hiyo swala ya adhuhuri uliyoisema na arafa vinahukumu tofauti. Sasa wew ilibidi ukatae kwa hoja au urekebishe hapo na sio kupaniki, naona pia ushaingiza uwahabi na ikhtilafu ya rakaa za taraweh duuh.. Allah akuongoze.
@@naswirutamimu914 unashangaza kama kazi za kina bahero, barahiyani,kasim mafuta n.k huzioni mtandaoni halafu utake hoja kwangu kuwa nimekufurishwa!sina kazi ya kuulizwa na kujibu muhimu ungewafatilia halafu uwe mkweli useme kama uliyaona au la ili tukuonyeshe wapi wanawakufurisha waisilamu muhimu kama sheikh muhamad Issa ameyaona maneno yangu basi aweza kufanyia kazi upande wangu au upande wa pili
@@naswirutamimu914 jambo la pili umeniombea ALLAH ANIONGOZE je wewe hutaki kuongozwa na ALLAH Mbona hujaomba ALLAH ATUONGOZE AU Labda wewe uongofu uliinao huna haja tena ya kuongozwa(ALLAH ATUONGOZE) ALLAHUMMA AMEEN.
@@khalfansharji9790 Katika hao masheikh uliowataja ni sheikh mmoja ambaye mi namsikiliza sana na nina darsa zake na mihadhara yake na wengi waliokuwa na fikra za kigaidi za kukufurisha na kupinga watawala wamebadilika kupitia ulimi wake Allah amuhifadhi Abulfadhli Kaasim mafuta sasa naomba uniwekee hapa ushahidi wako
@@khalfansharji9790 Najua huwezi kupata fikra hizo kutoka kwa masalafi. Hao wengine siwezi kuwatetea maana siwasikilizi ila huyu nimehudhuria darsa na mihadhara yake live na markazi kwake nimefika na labda ukikosa wewe nambie mi nikupe ushahidi wa kuwa Sheikh Qaasim mafuta na masalfi kwa ujumla wapokinyume na hizo tuhuma
Shekhe unacho taka nicheo lakini sii dini kwa sababu unasema serikali iko sahihi ni waadilifu kwani serikali ina hukumu kupitia qur an nyinyi mnacho ng'ang'ania ni usaudia wala sio sunna acha kudanganya watu bwana
Msema kweli Daima Hapendwi kabisa ndio maana Vibaraka wa bakwata Mufti wa Tanzania sheikhe wa Dar es salaam , Hawajafika katika mazishi wanapotosha watu SubhanaLLAH!!!! Ndio maana wakakutoa katika balaza la bakwata
mwenyezi mungu akulipe shekh wangu nadua hii nllah aipokee inshaanllah shekh asante sana tena sana Sana sana shhkrani👏👏👏
Naam aerikali wapo Sahihi , umeongea vizuri sana Sheh! Shukran
Allah atuongoze tuweze kufahamu na akulipe kila la kheri.
kwamtu muislam kwamtu Alie kua naelim yadin uyoshekhe anakupa ushaidi .kuusu uislam nauyu shekhe nimsomi mkubwa kwasasa katangulia mbele zaaki ilauyu sheke kwatanzaniaii Mimi namkubalisan nimsomi mkubwa Allah amleem
nakupenda sana maka tena saanaa. maana ndiko alikozaliwa mtume muhammadi saw. na walioniletea habari kuhusu uwepo wa nabii ni waarabu kutoka maka. sasa kama nimekubali hilo kwanini nikatae wakiniambia mwezi umeonekana? daima nitafunga mwezi mmoja nduniani kote na sio watanzania
Mungu akusameh makosa yako Sheikh
اللهم ارحمه يا ربي مع المسلمين ماتوا
Allah akupe pepo ya juu Amin
Aamiin allaahumma Aamiin
Umeondoka na ukweli wako sheikh ..
Allah akuhifadh sheh ! Jazaaka lah
Mungu akupe kauli thabiti
Allah amrehemu shujaa
Mashehe TV Hawa
Allah akuhifadhi shekhe wetu
Msema kweli Daima Hapendwi kabisa ndio maana Vibaraka wa bakwata Mufti wa Tanzania sheikhe wa Dar es salaam , Hawajafika katika mazishi wanapotosha watu SubhanaLLAH!!!! Ndio maana wakakutoa katika balaza la bakwata
Abdukadili Issa shekhe wa mkoa wa dara es salaam alikuwepo katka mazishi
TATIZO lazima mtaje screen TV simu. je kama huna TV simu. Acheni bidaa dunia haiwezi funga arafa mmoja Acha uongo
Sheikh umejitahid kuelezea, ila nikwambie kwamba sio kweli km dunia nzima wamekubaliana kuwa skukuu ya adh-ha ifuatwe Saudia sio kweli. Mm nipo oman na wala hawafuati calenda ya saudia. Na sio oman peke yake, nchi km Algeria, masry n.k pia hazifuati calenda ya saudia. Kwa hio sio kweli kuwa dunia nzima wamekubaliana. Hata fatwa za wengi ktk masheikh wa saudia hawakubali kuwa dunia nzima ifuate saudia juu ya suala hili.
Dunia haiwezi kuwa kufuata saa ya sehemu moja ikafanana kila nchi na muda wake
OMAN NA THEHEBU LENU LA MAIBADHI TENA IJUMAA MULIKUA HAMSWALI WANAFIK NYINYI NA UBAGUZI WENU NYIE MIJITU YA OMAN MNAIPINGA SAUDIA
Haya wee funga arafa yako, utajua nini chakumweleza Allah kuhusu ne÷ma alokupeni, au simu sio neema!.
Tv nazo sio neema,,,,! Mtaenda ulizwa kutokana nayo hiyo neema.
MSIKILIZE KWA MAKINI HUYU SHEKHE ANAYOSEMA UTAPATA SOMO
Huko nyuma Dunia ilikuwa kizani shehe unaumwa Ina maana zama za maimamu Wa nne pia Wali kuwa katika kiza na hii Dini ulipata vipi wewe hadi sasa wajiona uko katika mwangaza Dini ya uislamu hija ilikuwa, na saumu, na hakukuwa na migogoro na hakuna TV, wala internet, na waliishi Safi tu iweje useme Leo Dunia ilikuwa gizani na nyie ndie muko na migogoro kuliko kitambo tafadhali fikiria sana
utalazimishaje za hizi kurudi kama zamani kuonyesha hilo hawa wanaotutangazia mwezi wakienda hija hurukisha tarehe mbele kwanini wasisubiri mpk Siku inayofuata ndo waende arafa
Mtu wa bidaa wewe!!
Msiwatukane mashekh dunia ilikuwa gizani kwamaana ilikuwa si rahisi kupeana taarifa ukilinganisha na zama hizi
hukumuelewa ww aliposema gizani akimaanisha hakuna mawasiliano ya moja kwa moja ilikua ni vigumu mtu wa nchi za mbali kupata taarifa za mwezi wa nchini saudia. Hivyo ilikuaa kama wapo gizani sasa hivi utandawazi ni kama taa mtu wa mbali anaweza kuona kinachoendelea katika nchi ya saudia kila kitu live. Chnga maneno yako kama hujaelewa tumia kauli nzuri upeo wako usihukumu usiyoyaelewa uliza, utafeli.
Kuwa muelewa ww Basi
Bakwata wanatakiwa walieke sawa hili ,wawape serikali usahihi WA mambo haya
Inalillah waina illahi rajuun
Hadithi anayoitoa na mafuhum tofauti hija ni arafa kwa mahujaji kwani yeye ni haji....pili matumizi mabaya ya lugha....akijibiwa atapiga kelele atukanwa
Majala Mka ni kweli dunia ni kijiji kuukumbatia uwongo upende wewe. shekhe yuko sahihi mashaallah
Hii laana ya sheikh wake Mohammad ayoub maana kilemile anajua zaid kuliko sheikh wake
sasa kama hija haiusiani na arafa kwann ww unasali idd na kwann unafunga araf?
Allah awalipe malipo ya juu
Asalamu alaykum
Tumemsikiliza Sheikh Kilemile katika neno lake hili.
Tunamwambia Hijja Arafah hilo halina tafauti ndani yake, lakini Arafah ni nini? Ni kisimamo cha siku ya tisa ya mwezi wa Hijja.
Kwa hiyo Siku ya Arafa ni siku ya 9 ya mwezi wa Dhul-hijja.
Napenda Sheikh Kilemile afahamu kuwa Kalenda ya Kiislamu inafungana na muandamo ima uandame 29 au utimie 30 na inafahamika vizuri sana kuwa kutafautiana miandamo ni jambo lisilopingika na ndio maumbile ambayo Allah ameyajaalia katika ulimwengu huu.
Sheikh Kilemile hizi ibada zote zimefungwa na tarehe na sio matendo ya mahujaji.
Kwa hiyo Funga ya Arafa ni lazima iwe mwezi 9 na Siku Kuu iwe mwezi 10.
Acheni kuwapotosha watu ninyi mnao mpinga Shekh kilemile elimu ya tauhidi hamna elimu ya tawhidi ni muhimu sana kwenye elimu ya dini
@@jumaalmasy4336
Fuata silsila yetu ya nuru tauhidi na itikadi katika uislamu utaipata katika ukurasa wangu.
th-cam.com/play/PL1DBOnRxovrQMKIveJXcJuwb33aHB5voR.html
sasa utaupateje mwezi tisa wakat ninyi mnakalenda zenu na mahesabu yenu wenyewe na mnapanga miandamo ya kweli na mnaendesha haya mambo mnavyotaka ninyi?
Allah amrehemu!!!
Aamiin Aamiin Aamiin
Aina hii ya Masheikh "Ndiyo chanzo cha Waislam kuwa Dhaifu na Wanyonge hapa Tanzania". Uislam HAUONGOZWI NA MAKKA, Usilam unaongozwa na Quran na Sunna. Huyu anapenda sana sana MIGOGORO utadhani Uislam ni MALI YAKE!.....
Sasa kama huongozwi na makka , basi anzisha na wewe arafa yako ya morogoro tuone na uanzishe kibla chako huko morogoro tuone
Sio kweli
Asante shekhe hata kweny swala sisi na maka sawa kama hamuamini angalien channel ya IQRA wakiswali wao adhuhuli na sis sawa na hakuna sik 2 dunian na hakuna arafa 2 ni moja tu nyie danganywen tu
Shekh walid..hii ulishasikia au kuisoma ..??? Tutaona maana ramadhani..umejibu kuondoa manoni usoni...waislam..Allah ni ¹ ..mwezi ¹ kibla ¹.mwandamo ¹ jua¹ardhi¹ mbingu¹ dini ni ¹
Good
Swadakta shekh kwa darsa zuri lenye kuelimisha
Dunia ilikuwa katika kiza ????? Dah bas Kuna lengine ili :vipimo vya mimba !sijui mwananke atakaa edda au inakuajehapo?
Sheikh kilemile umemkataa sheikh wako Mohammad ayoub Allaah amhifadhi
Mohamad Ally msikilize vzr shekh bado hujamuelewa
@@rajabumtambo992 ndg yangu rajabu mtambo Mimi nimemuekewa vizuri sana sheikh kilemile kitu kinachonidhangaza kuenda kinyume na mapokezi kutoka kwa sheikh wake
Kupingana na mwalim wako au shekh wako mbele ya haki sio kosa hilo limetokea sana tu hata kwa maimamu zetu wakubwa wanne Shafiy ,Hanbaly,Maaliky na Abuuhanifa pia nakbla ya hao maswahaba pia walitofautiana na kutengana na wazee wao kwa kuifuata haki pale wazee wao walipogoma kufanya hivyo
@@mohamadally5732 kwasabb mwalim sio kua siku xote eti yy ndio anajua haki na kupatia tu na mwanafunzi kinyume chake
Pia mwanafunzi humzidi mwalim kitaaluma pale ambapo anaposoma sana zaidi yake ndiomaana utaona mtu Profesa lakini ktk walimu wake waliomfundisha wamo wa darasa la saba tu nahapo lazima mwalim itakua amezidiwa tu kielimu na kimtazamo wa kitaaluma pia kwahiyo hicho ndicho kilichopo kwa wengine kama shekh wetu kilemile huyu رحمة الله عليه
Imam Ahmad rahimahullah alisoma kwa Imam Shafii rahimahullah lakin kuna masual awalikhitilafiana
Huyo ni mwenyekit wa wanazuoni Tanzania
Na atumuogopii mtu apo mmeskia wotee au nimeskia mmi tuu? Hakii inakaa juu aikaliwi juu,,
Allah amrahamu inshallah.
Allahu Akbar Alla akusameh
Sheikh Suleiman umeongea ukweli mtupu kwa wenye kujua wewe msomi umekaa makkah miaka 10 achana na hawa wanaojikombakomba serikalini hata kusoma matni za kiarabu hawajui
Sakum Ngoma acha matusi basiii,yanini kutajiana mababa tenaa
Asante sheikh!!!
Walikubaliana lini maneno hayo? Rejeeni kitabu kinachoitwa taudhwihu Al, ahkami juzu ya 3 muone ripoti ya wanazuoni kuhusu hayo anayosema huyo mpotoehaji ktk hili
Ninauwezo na nathubutu kusema kua huyu Sheikh ametumwa na watu fulani,khaaaa!! Mpumbaaavu sana. Kwaiyo Dhulhijja tufate kalenda ya Saudia na ikimaliza Hijja tufate kalenda zetu. Subhaanallah!! Sheikh unasoma hadithi ambayo hata haina mafungamano na hizo sikukuu.
usimwite mtu mpumbavu kaka sababu khitilafu zipo tokea mtume lkn heshima walipeana hawakutukanana
Mpumbavu ni wewe usiye na hoja!!!
Inaonekana ni mtu wa bidaa wewe!!!
Waambie ukweli shekhe
Sasa vp Wale wanaoishi Canada,australia,newzeland,kwani kwao masaa tofauti na saudi,hebu sheikh fafanua kuhusu hao wa nchi hzo
@@allysururu1733 Masaa ni tofauti lakini siku ni ileile
Lakin hilo la kufuata mwezi wa kimataifa kwa maana ya kufuata mwezi unapoonekana Saud Arabia au arafa inapoisha Saud Arabia ni bidaah pia, hapo panahitajika hisan kwa kufanya muafaka sio kulazimisha,.
duuuuuh hiyo mpya ndo kwanza nasikia kwako
hakuna miezi mingi .sitafuata na sikubali hata kidogo kufunga mwezi wa tanzania
fata Quran tu wala usifate nchi fulani kaka
Abdul Mgagagigikoko hahahaaaa qur an na sunna hizo habari kawaleteeni nani na hali huko maka kwenyewe munakukejeli?? na wala hamuwaamini .kwangu mimi watu wa maka . madina ninawaani sana. kwa sababu ndio walioniletea upo wa nabii na mafundisho yake siwezi kuwakejeli au kukejeli miji hiyo. eti kwakuwa tu shekhe fulani amesema.mwezi mmoja jua moja
kwahiyo utaamini kauli ya mtu yoyote yule sharti tu awe mtu wa mecca au Madina si ndio?
Nonsense ww boss soma elimu vizuri
we umesoma wapi akhiy tutajie walimu wako
Mimi nimeshaslmeshwaa na haooo na sio hawaaa
Sheikh wako Mohammad ayoub ndivyo alivyokufundisha hvyo?
Muhammedi Ayuob nani katika dini hii.
Yeye siye swahaba wala tabii Wala tabii tabiina
Amfuate sheikh au afuate dini?
ndiko aliko toka nabii na wanafunzi wake. sikumuona nabii wala wanafunzi wake. mimi nimepokea kauli tu kutoka kwa watu wa huko. je wewe ulimuona nabii na wanafunzi wake au huyo unaemuona kuwa mkweli aliishi na nabii au wanafunzi wake??. kama ni kwa sababu ya mwezi , mwezi watanzania unakuwa mkubwa na unachelewa kuzama. na ndio maana watu tunafunga mwezi wa kimataifa. ishaaallah tutakuwa pamoja endapo utafanya risechi pindi unapoandama mwezi. usirizike tu kuwa umeuona la bali kaa uwangalie mpaka unazama. ndipo utapata jibu kama wa leo au jana.
Kwani Idi lhaji au Idi L - udhhiya?? tawireni waganga
Sheikh VP mbona kama vile hujasoma? Kitabu gn cha fiqih kimeandika Eidlhaj? Inaitwa eidhwuha
Sheikh unasikitika serikali inadanganya nyie munapendua maneno ya mtume mtukufu wa daraja kwa maslahi ya kidunia.
Hao jamaa ni vigeugeu kila siku wanang'ang'ania kua jambo lolote ambalo mtume akulifanya au akuelekeza lifanyike hata kama ni zuri ni bidaah sasa hapa anatueleza habari ya kufuata taarifa za kwenye TV sijui mtume alielekeza hivyo au Quran imeelekeza hivyo atuambie sasa hivi.
@@kassimmgwami inavyoonekana una elimu kubwa kumzidi sheikh kilemile (rahmatullah alihi) au xio?weka bas na ww dalili zako hapo tuzione na utuambie unamustawa gani ww
allah akusamehe kijan
Hijja inahusianaje na saumu ya arafa! Je wasipokwenda hao mahujaji huko kwenye viwanja vya arafa imamu tutamuonea wapi akihutubia hukumu ya kiislaam haihukumiwi kwa teknologia nali teknologia ndo inatakiwa ifuate hukumu za kiislaam sasa kuwaona wao sii ndo dalili wala mafundisho ya Mtume s.a.w kwani kuwaona hao mahujjaaji live ndo dalili ya muandamo? Usituletee habari ya hijja ktk saumu ya arafa
Huna ulijualo???
Sheikh Nadhani ni BUSARA na adabu ya elimu jambo kama hilo ungeweza kumfuata Mufti mkaongea na kulitolea fatua nzuri ikawa muongozo wa pamoja kama nia ni kumuogopa Allah . Lakini kama nia ni zaidi ya hiyo. basi ujuwe mnatuchanganya waumini na inachochea tofauti baina ya waumini. Kama kila sheikh atakwenda kwenye vyombo vya habari na kumkosoa mwenzake hakika tutadhofika. Nakuomba sana sheikh ufikirie sana hili faida na hasara zake tafadhali TAFAKARI
Huyu mzee ni mnafiki sana
Kwa hiyo unaagano jipya
@@jumakapilima5674 tujuze ww mjuaji kwa dalili za kielimu
ni vema masheikh mkae mliweke sawa hili, hawa viongozi wa bakwata ni ulamaa sui
Toa vitabu kama Sheikh Mohammed Iddy
mzee ni nani kakuambia Saudis wanafuata calendar ya kiislamu?Saudis wanafuata calendar inayojulikana kwa jina( THE CALENDAR OF UMUL ALQURAA).Stop supporting bad elements who distract Muslims world from Makkah and Medinah.
Allah skurem
F
Huo sio ukweli bali ni kuwadanganya Waislaamu ulionao na watakaokufata ni wale wasiosoma hapo. Yaani ukimuangalia tu utagundua kua analazimisha kitu. Unazungumza Arafa,unazungumza sikukuu,unazungumza wagonjwa,unazungumza kitu gani ambacho hata hao wanaokusikiliza hawakuelewi. Sasa kwani wewe hapo ulipo unafanya Hijja? Upo Arafa?
Ahmada Zubeir sasa arafa zipo mbili au
Huyu mimi hawezi kunisomesha hata kwa bakoraaa
Kwani alikwambia akakusomeshe
Pita kule
Ahmada Zubeir atakusomesha baba yako pumbavu wew
Na huwa hafundishi wajinga!!!
Sheikh hizo sio hoja Unapotosha kabisaaa nenda kabadilishe na maneno yakwenye vitabu basi yaliyoandikwa na maulamaaa
Sijarlewa shekhe unaanisha nn
Mzee wangu unajivunjia heshima unacho kisema hakina ukwer
Shekh acha kumzonga huyu Shekh tuko dunia ya utandawazi kila kinacho endelea duniani kinaonekana
Duwa Kyaka soma acha ujinga
@@salumngoma8710 acha kusikiriza watu soma mwenyewe iri ujue nini tatizo napia dini yetu usifananishe na mambo ya kimtandao ibada izi zinafanyika toka mambo ya kimitandao bado
Sheikh akiongea anasema eidlhajj akisoma hadith inasema eidladhha. Aliyemuelewa anisaidie
Ni kitu hicho hicho kimoja
Shekhe tahadhari na heshima yako. Kwa hiyo Watu wa Newseland wakiwaona maka waswali dhuhri na wao waswali dhuhuri hata ikiwa saa nane usiku!!! Usitupotoshe tunajitambua tutashikamana na mwandamo wa mwezi wewe kalia miteknoloja na mi tv.
News land wana wnazuoni wao watawasemee
Hapo inazungumziwa Arafa na idi na sio swala kila moja ina hukumu yake tofauti
@@naswirutamimu914 usidandie mada bila kuielewa fatilia vizuri shekhe wako kajumuishs teknolojia ya leo kueleza umuhimu wa kufuata saudia ktk suala la arafa sasa wewe unakuja na lako hiyo teknolojia itumike kwenye arafa na id el adh'ha pekee teknolojia ukiifuata haina mipaka.
@Khalfan Sharji, "Haji ni arafa" الحج عرفة
Na arafa ipo sehemu moja tu makka na hadithi nyingine ikasema "Mwenye kufunga siku ya arafa..." na wanchuoni wamekubaliana juu ya kuwa katika hili miji itaacha kalenda zao na kufuata makka ili kuafikiana na mahujaji waliopo kule. Na teknolojia inatusaidia kwa kiasi kikubwa au imeleta wepesi sasa hapo we una udhuru gani???
Halafu wewe unaleta mambo ya swala tena ambayo hukumu yake ni tofauti na hili linalozungumziwa hapa
We ndo umedandia mada maana ungeielewa usingesema mambo ya swala adhuhuri katika mada hii.
Shehe amegusia pazuuuri kweli pale aliposema ((( kwann kwa wenzetu hatusikii haya matatizo)))
Jawabu ni kua:
Wenzetu wanaheshimu qauli za wanazuoni wao, na khasa ile iliyotolewa na Mufti wa nchi,
Ama kwetu kila aliesoma anataka na yeye awe na wafuasi wake, hapo ndio kwenye kasheshe sasaaaa
Na kama tunavyofahamu kua masuala haya yana khilaf, na kila penye khilaf kunakua na qaul yenye nguvu zaid, nayo ndio inauofuatwa
Sasa ni kwann mashekhe wanalazimisha kuvunja qaul ya mufti bali hata serikali??? Kisa wanafuata khilaaaf???
Na sheikh asiifanye serikal yetu ni bunjuuuuu, serikal ipo wazi na ipo macho!!!
Wito wangu kwa serikal ni kuchukua hatua wale wanaoivunjia heshma serikal na kumdharau bali kumkejeli mufti kiongozi wa waislam ktk nchi!! Kwa kujiegemeza kua nchi yetu ina uhuru wa kuabudu!!
Pia wito wangu Kwa masheikh : wawe ni chombo cha kuwaunganisha watu sio kuwagawanya, na kwa vile ni masuala ya khilaf basi inakuaje kuaje kushikilia kila mmoja awe na mamlaka yake ktk maamuzi!!!
Huu ndio msiba wa masheikh wetu wa kitanzania kila mmoja na kundi lake
Innnaaaaalillahi wa inna ilaihi raaaaaaajiun
Ulipokuwa bakwata ulikuwa hufanyi hivi tena wewe ni dajali
Jahili murakkab
Naswiru Tamim fahamu kwanza matumizi ya nasaha na ujuwe kupambanua msikilize vizuri shekhe wako mimi usinisumbue wewe bado unaweza kudanganywa endelea kudanganyika mimi sina uisilamu wa video!!! Lakini khilafu fatilia zipo mawahabi wenzio Ramadhani wanaswali rakaa 20 tarawehe maka lakini wa afrika mashariki wanaswali nane au wewe upo wapi!ARAFA NI MWEZI 9 DHULHIJA SIO Wakiswali wa saudia basi umma wote waswali.KHITILAFU ZIPO NA ZITAENDELEA KUWEPO.
@Khalfan Sharji Mimi nilikuwa nakufahamisha tu kuwa hiyo swala ya adhuhuri uliyoisema na arafa vinahukumu tofauti. Sasa wew ilibidi ukatae kwa hoja au urekebishe hapo na sio kupaniki, naona pia ushaingiza uwahabi na ikhtilafu ya rakaa za taraweh duuh.. Allah akuongoze.
@@naswirutamimu914 unashangaza kama kazi za kina bahero, barahiyani,kasim mafuta n.k huzioni mtandaoni halafu utake hoja kwangu kuwa nimekufurishwa!sina kazi ya kuulizwa na kujibu muhimu ungewafatilia halafu uwe mkweli useme kama uliyaona au la ili tukuonyeshe wapi wanawakufurisha waisilamu muhimu kama sheikh muhamad Issa ameyaona maneno yangu basi aweza kufanyia kazi upande wangu au upande wa pili
@@naswirutamimu914 jambo la pili umeniombea ALLAH ANIONGOZE je wewe hutaki kuongozwa na ALLAH Mbona hujaomba ALLAH ATUONGOZE AU Labda wewe uongofu uliinao huna haja tena ya kuongozwa(ALLAH ATUONGOZE) ALLAHUMMA AMEEN.
@@khalfansharji9790 Katika hao masheikh uliowataja ni sheikh mmoja ambaye mi namsikiliza sana na nina darsa zake na mihadhara yake na wengi waliokuwa na fikra za kigaidi za kukufurisha na kupinga watawala wamebadilika kupitia ulimi wake Allah amuhifadhi Abulfadhli Kaasim mafuta sasa naomba uniwekee hapa ushahidi wako
@@khalfansharji9790 Najua huwezi kupata fikra hizo kutoka kwa masalafi.
Hao wengine siwezi kuwatetea maana siwasikilizi ila huyu nimehudhuria darsa na mihadhara yake live na markazi kwake nimefika na labda ukikosa wewe nambie mi nikupe ushahidi wa kuwa Sheikh Qaasim mafuta na masalfi kwa ujumla wapokinyume na hizo tuhuma
Acha kudanganya watu wewe sheikh au umeshahongwa? Njaaa tu inakusumbua
Wewe ni jahili hata udhu wako hujui halafu unataka kuvamia Mambo ya Arafah
Ww NINANI hujui kitu nyamaza muache Shekh wetu ASEME ukweli
Shekhe unacho taka nicheo lakini sii dini kwa sababu unasema serikali iko sahihi ni waadilifu kwani serikali ina hukumu kupitia qur an nyinyi mnacho ng'ang'ania ni usaudia wala sio sunna acha kudanganya watu bwana
Msema kweli Daima Hapendwi kabisa ndio maana Vibaraka wa bakwata Mufti wa Tanzania sheikhe wa Dar es salaam , Hawajafika katika mazishi wanapotosha watu SubhanaLLAH!!!! Ndio maana wakakutoa katika balaza la bakwata
Asante sheikh!!!
Sheikh wetu tutakukumbuka daima Mwenyezi Mungu hakufanyie wepesi kaburini na kiama