Allah atustiri kila mja anamitihani kubwa nikutubu kurudi kwake Mana tusiwalani Wana miziki tuangalie nafsi zetu kwanza napia tuwaombee mungu awaongoe nasi pia
Huyu shekhe hajalaani nkawafundisha. Pia ujue km shekhe huyu hajasema mnataka wasapotiwe vp hamumjui Mungu nyinyii? Au mnataka tabia yakuimba na kuweka wanawake uchi na uzinzii mmefurahiaaaaa
@@hilalhilal8400 soma vizuri comment yangu nimesema tusiwalani Yani sisi jamii nyengine kuwalani wanamziki ikiwa sisi wenyewe tunamapungufu nasikusema usiwalani Yani kumkusudia shekhe laa sinania hiyo kabisa Mimi shekhe nimekuelewa vizuri
Alhmdullh,shekh mawaidha mazuri ya kuelimisha wallah lau wasanii wote wa mziki watamgeukia Allah na kutubia na kuacha maovu yote,wallah Allah atatia Nuru ktk maish na akhira.
Asalamu aleikum shekh wangu sitaki kumwambia shekh wetu uelewa wake mdogo hapana lakini arudie tena kufanya bahthi na kuendelea kutabar kwa mashekh wenzake kwasababu hii ni dini inayoitaji maarifa makubwa sana Lakini niseme Alikiba na Diamond msivunjike moyo ktk kufanys kheri zozote kwa mungu lakin napenda kuwahusia kumcha mungu na kuepukana na haram aaamin!!!
@@meshackbenedicto4179 Ndugu Meshack Dhambi kwa Kiislamu ni tafauti kabisa navile labda wewe unafahamu. Nadhani wajaribu kufananisha Uislamu na Ukristo. Kila jambo lina dhambi yake tafauti tafauti.
Allah akuhifadhi shehe wangu unaejielewa sio wale mashehe ubwabwa wanaoalikwa kufungua misikiti hiyo na kutowa hutuba za kuwasifu kana kwamba amali wanazozifanya zinakubalika kwa Allah
Me niliwaambia ila nilicheka sana kuona diamond anajenga msikiti hatata wale wanaoswali wakijua kama msikiti umejengwa na pessa zaharamu baci nao swala zao zimashakani
Naam sheikh wangu hiyo ni kweli kabisa ila watu wasiokuwa na uwelewa na hufahamu wa akili ambao wameisha uwawa na muziki Waislam na wasiokuwa waislam hawatakuelewa but wasipomrejea Mungu kwa kuendelea kukaidi na kufanya upuuzi wa kidunia , enyi watu msije mkasema eti hamkukumbushiwagwa na walimu wenu itakapofika siku hiyo ya Qiama watu wanaanza kulishwa mikong’oto so hapo mziki na ushabiki hautokusaidia chochote hapo. Tubuni toba iliyo ya kweli ili Mungu akatuingize kwenye PEPO yake in sha Allah
Jazaka llahu khaira Allah akujalie elimu na akuruzuku kufaham maana nimekuelewa saana tena saana kharam haiwezi kuwa halal nasema tena kama kuna mwenye number ya sheikh Mussa Kundecha nipeni jameni bi idhni LLAHI
Kwa wale ambao hawajui mziki ni haramu: nawaomba wafungue Msahafu waende kwenye sura ya luqman aya ya 6 waisome na waulizie tafsiri yake kama walivyoelewa maswahaba walivyofundishwa na mwalimu wao mtume muhammad ﷺ ( وَمِنَ النَّاسِ مَن يَشْتَرِي لَهْوَ الْحَدِيثِ لِيُضِلَّ عَن سَبِيلِ اللَّهِ بِغَيْرِ عِلْمٍ وَيَتَّخِذَهَا هُزُوًا ۚ أُولَٰئِكَ لَهُمْ عَذَابٌ مُّهِينٌ ) لقمان (6) Luqman Na miongoni mwa watu wapo wanao nunua maneno ya upuuzi, ili wawapoteze watu na njia ya Mwenyezi Mungu pasipo kujua, na wanaichukulia ni maskhara. Hao watapata adhabu ya kuwafedhehesha. Watafute masheikh wawasomee tafsiri ya ibn kathir, al qurtubi,tabari,s'a3di,shanqity n.k chini ya aya hiyo ya surah al luqman...watapata jawabu kama mziki ni haramu au halali na chumo litakalopatkana na muziki litakuwa ni la halali au haramu, uislam sio dini ya mtu kuridhisha hisia zake na kufwata matamanio yake, ni dini ya kutafta radhi za Allah kwa kufwata maagizo yake na kuepekuna na makatazo yake, kujisalimisha kwa Allah kiukamilifu Sio kuchaguwa baadhi ya vitu kwa kuwa utatii amri na vyengine hutotii...Amri za Allah zote hamna khiyari muislam kutotii...
TZ inamtihani mkubwa kwa Kupenda pesa na anasa. Pesa chafu yawalevi na washerati, mara utapeli Hadi mashekhe. Yani dini TZ na maadili zinazorota kwa speed Kali sana kwa kupitia usanii, tamaa ya pesa na uasherati
Kuimba mashair sio haram kwa eneo husika uharam unaingia ukipigia vinanda ngoma kuchanganya wanawake na wanaume seema 1 nk hapo ndipo unaingia uharam wa nyimbo
Muziki ni haraam Allah amearamisha kabisa na akaidi adhabu Kali sana kwa wenye kuimba wimbo , je itakuwaje kujenga msikiti na pesa za muziki ni halali ??
Mtangazaji nakukubali sana ! Unajitambua sana! Ukisimamia huo msimamo wako utafika mbali ! Amini neno langu! Nimekufuatilia kwa muda nimeona kitu kwako! Una maswali yenye logic sana
Shekhe ni shekhe ila wametafutiana katika mapokezi kama walivyo tafautiana maswahaba itilafu zipo so Shekhe Kundecha ameongea kwa vile Allaah amemjalia kuongea sasa na hata akija kishki utamtaka aje na skekhe mwengine
Kweli ni pato la Haraam la ujenzi wa Msikiti waache Muziki na watafute pato la Halali ili wajenge Msikiti. Na haifai kuswaliwa Misikiti waliyojenga. Warudi kwa Mola Mlezi Watubu.
Shekh mzik niaram mzik ni saut ya sheetan na pia Mpira ni aram Kwasababu muda wa swala samtaim ndiyo muda wa mech mchezaji ataswal muda gan!? Na pia mchezaji anavaa nusu uchi Magot ya kiislam ya mtoto wakiume aya paswi kuonekana Au shekhe mpira wanacheza na suluwali ndefu!? Kama magoti ya mtoto wa kiislam uchi Quran yetu Inasema mtoto wakiume uchi wakwanza unaisabika magotin Sasa vip ball mpira bas ni ARAMM diamond jenga Miskito Alla monyewe ndiyo hatajua akuweke wapi siku ya mwisho
Ndugu soma Dini uzur mpira sio haramu ila uharamu utakuja pale utakavyofanya vitendo vya haramu hata maulid sio haramu ila uharamu wa maulid ni pale tunapochanganyika na wanawake na kupiga ngoma ambazo mnaita Dufu. Ila mziki ni haramu total sasa kuweni makin na kutasfir sheria ya Dini shekhe Kundecha kaongea Uzur na kaeleweka Haswa tuache ushabiki
@@abdulwahidmsellem1998 mpira sio haramu na ndo mana nikasema uharamu wa mpira ni pale utakapohusishwa na masuala ya pombe ,kamar, na mambo mbali mbali lakin mpira sio haramu hata
mungu anasema hv! wamatuqadimmu lianfusikum min khairin tajiduhu Inda Allah huwa khairan waadhamu ajra! Kila unaloliona lina kheri basi litangulize kwa Allah yy ni mlipaji hakuna zaidi yake! ss wenzio wamejenga msikiti
@@alhaddajmohammed4768 kujenga msikiti si kuonyesha Jamii ila ni khairat ambayo wameifanya ss kama kukubaliwa au kukataliwa basi ni mwenyewe Allah ndie ajuae sio sisi
@@rajabmsingwa4957 Kila jambo lina thawabu na dhambi kuvyake ina maana mzinifu hafai kuswali? au mla riba hafai kutoa sadaka? jamani someni kidogo msifuate tu shekhe fulani kasema wengine wanakosea elimu inazidiana
@@joycemallema4278 jina lako ni joyce huwez kuelewa hata nikufahamishe halafu hapa hapatoshi wenda kwa voice ungenielewa ivyo iludieludie iyo clipu hadi uelewe
Je.unauhakika kama pesa alzo jengea huo msikti ni za musiki.kwn hana shughuli nyengn za kujipatia risk..acheni kuharamisha .hata kafiri akijenga msikit unakubalika .je hao waislamu,si ndio inafaa zaid
Mziki ndio kipato chao wana kipato kipo cha halali? Kila kipato walicho nacho kimezaliwa na pato la mziki wanao ufanya mziki wanao ufanya ndio chanzo so pato chanzo ni haram
Sheikh kwamwenyekujua dini anaeleaw a ulichozungumza ila akinasisi tulitaka utupejawabu lililokua wazi kutokana navitendo vinavyofanyika nawatenda wapo navinaeleweka nahuo mziki tunaujua .kiasi yakutuambia kua ni halali au batili.
Huo ni uwazi kuwa mwenye kuimba muziki ni haramu.jee hela aliyo ipata ni yaharamu halafu unaijengeya msiikiti kwanza acha muziki tubu na hela uliyo nayo ichuje yamwisho itakayo baki ndiyo ujengee msikiti ila unajenga msikiti kesho upo juu ya jukwa unaimba usichezee na allh Kwanzaa kataa aliyo kataza allh
Na kibaya zaidi hujinadi hadharani wakihamasisha kuwa wazazi wawaruhusu watoto wao kuingia ktk sanaa ya Mziki eti kwavile mziki ni ajira nk. So dhahiri wanafanya dhihaka/kejeri kwa Allah. Haiingii akilini hujutii dhambi bali unaifanya dhambi kwa makusudi/unaelewa kuwa ni dhambi na unaifanya dhambi hiyo hadharani pasi na kujuta/uchungu moyoni ni mtihan kwa kweli!
Tatizo ambalo lipo katika jamii zetu tunazoishi MUNGU tunamchukulia kama msela au mshikaji.Lazima tusome tumu elewe MUNGU na tuzielewe dini kindakindaki au kinaga ubaga.
Shekh awo vjana wameritadi na kijana wa kiislam yoyete hapaswi kuvaa misalaba na shekh aya zpo kila cku tuaambiwa kuwa mzi ni haram kuanzua mwimbaji mchezaji mpaka msikilizaji mziki ni haraam awo vjana c wakuwatolea fatuwa.
Huyu shekh anazingua sana sasa huo uhalali wa msikiti kama wa diamond upo wapi maana amaliza juzi dua misikiti wake anaondoka kwenda kufanya shoo ilio mpeleka huko kwao kigoma
Kwakweli ni mtihani mungu atusaidie,cha muhimu ninachokiona hapo ni kufuata tu ule usemi wa dini unaosema ukitoa si lazima mtu au watu wajue nina maana ya kwamba si lazima ujioneshe umetoa kitu,toa wewe na mungu wako,kwanini nimesema hivyo kwasababu mwenyezi mungu alikuwa na maana yake maana alikuwa anajua kuna watakao pata pato kwa njia si halali,sasa ukitoa kwa siri maana yake ni wewe na mungu wako ndio mtakaojua na ndio pale mwenyezi mungu atajua yeye atakuhukumu vp,lakini ukitaka kujionesha inamana hutaki huruma yoyote kutoka kwa Allah na umedharau matakwa yake,hivyo Allah pia hawezi kukusamehe na kukuhurumia.😔
Anayemkubali Shekh Mussa kundecha Shura ya jumuiya ya maimam naombeni like zangu
Hahaha
@@salujuma6873 👃👃👃👍👍👍👍
@@mwanahamisially5234 asante
Good
Jazkaallahu shehe wetu mungu akujalie maisha marefu uzidi kutoa elimu ya kiisilaam
Huyu ndi shekhe aliye soma dini na kutenda haq za Allah ahsante sana shekhe kwa kuongea ukweli Allah akuhifadh insha allah
Am Christian and I really appreciate this shekh
Sheikh mbona unalemba utaulizwa na allaha juu ya elim yako hao watu nimakafili wameshamkufuruallah
Allah akuongoze nawe ndugu yetu
Wasio kuelewa juuyao shekh kundecha ,Diamond na Ally kiba fanyeni toba
Bc ndiyo iliyobakia
Ustadh nimekuelewa Sana tena Sana
Mashallah ufafanuz good
Huyu kundeche sio ostazi ni shekh
saidy mtenda Ubishani mwingine hauna Umuhimu
JAZAKA ALLAH KHAIRA SHEKH KUNDECHA ALLAH AKUJAALIE UMRI MREFU AMIIIN
Inshaallah jazaka Allah
Allah atustiri kila mja anamitihani kubwa nikutubu kurudi kwake Mana tusiwalani Wana miziki tuangalie nafsi zetu kwanza napia tuwaombee mungu awaongoe nasi pia
Hakika kabsaaa fatma maneno yapo sawa
Ndio ivo tusiwe tunawalaani tu wengine ikawa nasisi hatuangalii matendo yetu
Huyu shekhe hajalaani nkawafundisha. Pia ujue km shekhe huyu hajasema mnataka wasapotiwe vp hamumjui Mungu nyinyii? Au mnataka tabia yakuimba na kuweka wanawake uchi na uzinzii mmefurahiaaaaa
@@hilalhilal8400 soma vizuri comment yangu nimesema tusiwalani Yani sisi jamii nyengine kuwalani wanamziki ikiwa sisi wenyewe tunamapungufu nasikusema usiwalani Yani kumkusudia shekhe laa sinania hiyo kabisa Mimi shekhe nimekuelewa vizuri
ManshaAllah Allah akulipe kheri na hawowasani Allah awajalie wawe wenye kutubia.
Ameen
XCLUSIVE BIG UP.GOOD INTERVIEW WID A BRILLIANT MTANGAZAJI.NAWAKUBALI SANA.HIZI NDO INTERVIEW ZA MAANA SANA.KEEP IT UP
Maashaallah
Shekhe umejibu sawa kabisa
Kwakweli mungu ni rafur rahim awovijana niwaki islam kama ninema walisha pata.wafanye toba warudi kwamungu wao waace kupoteza viumbe vya allah.
Shukran sheikh Mussa Kundecha.
Amir wa Baraza kuu la Jumuiya na Taasisi za Kiisilamu Tanzania
Mwenye sikio asikie na ayatie akilini , asant sheikh kwa kutuelimisha Allah akujaze kher na barka amiina lnsha allah
Shekhe umeeleweka sana.
mwandishi katulia saana ktk maswali na ana logic nzuri za kutafuta majibu ya changamoto ya usanii na wasanii kufanya ibada za kujionyesha..big up
Alhmdullh,shekh mawaidha mazuri ya kuelimisha wallah lau wasanii wote wa mziki watamgeukia Allah na kutubia na kuacha maovu yote,wallah Allah atatia Nuru ktk maish na akhira.
Masha Allah, nimefurahi sana shekh wangu Allah akuzidishie uelewesgaji katka dini yetuu masha Allah unaufaswaha asaaa
Tena nakuambia daimondi ktk ckukuu za kiislam ukome kuzitangazia music na sherehe za kiharam
Nikweli maana laana ya inazidi kumshukia juu yake
@@abdulwahidmsellem1998 nakubali shehe
Sema wasanii wote..si diamond pekee
Asalamu aleikum shekh wangu sitaki kumwambia shekh wetu uelewa wake mdogo hapana lakini arudie tena kufanya bahthi na kuendelea kutabar kwa mashekh wenzake kwasababu hii ni dini inayoitaji maarifa makubwa sana
Lakini niseme Alikiba na Diamond msivunjike moyo ktk kufanys kheri zozote kwa mungu lakin napenda kuwahusia kumcha mungu na kuepukana na haram aaamin!!!
@@farajijongo2109 shekh Nurdinn kishik ameeleza kwa upana zaidi agalia kwa bio yake.
Mashaallah jazakallah khayran sheikh
Diamond anaenda kufungua msikiti na anaandamana na mwanamke amezaa nae haja muoa ! Si kejeli kwa Mungu hiyo !!!
Kaaput Kubwa unaweza funga ndoa ukawa na dhambi nyingi kuliko hiyo
@@meshackbenedicto4179 Ndugu Meshack Dhambi kwa Kiislamu ni tafauti kabisa navile labda wewe unafahamu. Nadhani wajaribu kufananisha Uislamu na Ukristo. Kila jambo lina dhambi yake tafauti tafauti.
We mkamilifu Mungu ndie anajua
Kisheria hafai kumuowa ata akitaka kumuowa kwasbb kaanza na uharamu na tanasha nisawa na io kujenga mskiti
@@barakamgimba2743 baraka dini ya kiislamu inaangalia Mwanzo wa kitu Na mwisho wake. Huwezi anza Na haramu ati ndio upate fadhila za Allah, NO !!
Thanks you sheikh musa You answer the question very well I’m happy
Shekhe nimekuelewa na nimejifunza kutunza kipato changu kwenye halali.Allah akufanyie wepesi katika dunia na kesho akhera.
Maa shaa Allah. Allah amjaze kheri sheikh ameongea kwa ufasaha na yakueleweka. Kila mtu akili kichwani kwake
Allah akuhifadhi shehe wangu unaejielewa sio wale mashehe ubwabwa wanaoalikwa kufungua misikiti hiyo na kutowa hutuba za kuwasifu kana kwamba amali wanazozifanya zinakubalika kwa Allah
Ni haramu iko wazi ni haramu pesa ya mziki kujenga msikiti
Allah akubarik sheikhe wetu jazaqallahu khair
UMEELEWEKA VIZURI ASHEYKH,
#BARAKA LLAHU FY KA YAA SHEYKH
Mungu akuhifadhi shekh mussa kundecha!!!
Shukrn shekhe mungu akueke utuelimishe zaidi na zaidi
Mashallah Allah akulipe pepo shekh wetu 🤲
Sheikh Kundecha nimekukubali sana. Shukran kwa darsa mujaarab. Akhsante sana, umekata mzizi wa fitna. Haramu huzaa Haramu, Nimekuelewa vizuri sana.
Maashaallaah, Professor Kundecha
Me niliwaambia ila nilicheka sana kuona diamond anajenga msikiti hatata wale wanaoswali wakijua kama msikiti umejengwa na pessa zaharamu baci nao swala zao zimashakani
Shekhe nimekuelewa sana, Shukurani
Shukran sana sheikh wangu
Thnx haroun kwa kazi nzuri
Allah awabariki na kutujaalia mwisho mwema
Mashaallah shekh Allah akuzdshie kher inshaallah
Tatizo sio wasanii tatizo ni wapokea hizo sadaka hawawaelimishi wanaotoa wao ni ishallah utaingia peponi basi
Mshirikina yoyote na mtenda moovu yoyete hapaswi kusimamia nyumba za Allah muziki kharam
ni haramu si kharamu ndugu
@@jumamlimbende9862 haramu maana yake utukufu. Kwa hio kaandika vyema tu.
@ShutterDe DON hamna kakosea ni ha sio kha
@@saeedmohammed1067 kiarabu kinategeme na sentensi mzima wala huwezi kuifanyia tarjuma kwa neno moja moja
@ShutterDe DON saw kk
Shekh ma sha allah Umeongea ukweli kabisa
Naam sheikh wangu hiyo ni kweli kabisa ila watu wasiokuwa na uwelewa na hufahamu wa akili ambao wameisha uwawa na muziki Waislam na wasiokuwa waislam hawatakuelewa but wasipomrejea Mungu kwa kuendelea kukaidi na kufanya upuuzi wa kidunia , enyi watu msije mkasema eti hamkukumbushiwagwa na walimu wenu itakapofika siku hiyo ya Qiama watu wanaanza kulishwa mikong’oto so hapo mziki na ushabiki hautokusaidia chochote hapo. Tubuni toba iliyo ya kweli ili Mungu akatuingize kwenye PEPO yake in sha Allah
Mama Dangote badili yakumshajilisha mwanayo kuacha muziki wamshajilisha ajenge msikiti mwanzo ni toba kisha mengineo
Jazaka llahu khaira Allah akujalie elimu na akuruzuku kufaham maana nimekuelewa saana tena saana kharam haiwezi kuwa halal nasema tena kama kuna mwenye number ya sheikh Mussa Kundecha nipeni jameni bi idhni LLAHI
Hakika leo umenifundisha mingi sheikh kundecha allah akuongeze katika haki na akulinde na kila baya...
Ameen
Kwa wale ambao hawajui mziki ni haramu: nawaomba wafungue Msahafu waende kwenye sura ya luqman aya ya 6 waisome na waulizie tafsiri yake kama walivyoelewa maswahaba walivyofundishwa na mwalimu wao mtume muhammad ﷺ
( وَمِنَ النَّاسِ مَن يَشْتَرِي لَهْوَ الْحَدِيثِ لِيُضِلَّ عَن سَبِيلِ اللَّهِ بِغَيْرِ عِلْمٍ وَيَتَّخِذَهَا هُزُوًا ۚ أُولَٰئِكَ لَهُمْ عَذَابٌ مُّهِينٌ )
لقمان (6) Luqman
Na miongoni mwa watu wapo wanao nunua maneno ya upuuzi, ili wawapoteze watu na njia ya Mwenyezi Mungu pasipo kujua, na wanaichukulia ni maskhara. Hao watapata adhabu ya kuwafedhehesha.
Watafute masheikh wawasomee tafsiri ya ibn kathir, al qurtubi,tabari,s'a3di,shanqity n.k chini ya aya hiyo ya surah al luqman...watapata jawabu kama mziki ni haramu au halali na chumo litakalopatkana na muziki litakuwa ni la halali au haramu, uislam sio dini ya mtu kuridhisha hisia zake na kufwata matamanio yake, ni dini ya kutafta radhi za Allah kwa kufwata maagizo yake na kuepekuna na makatazo yake, kujisalimisha kwa Allah kiukamilifu
Sio kuchaguwa baadhi ya vitu kwa kuwa utatii amri na vyengine hutotii...Amri za Allah zote hamna khiyari muislam kutotii...
Waelevu wamekuelew sheikh
Zajakunlulahun kher
Shekh yuko vizuri
Umeona eeeeh
Mashaallah uposahihi
Kabisa
Shukran
TZ inamtihani mkubwa kwa Kupenda pesa na anasa. Pesa chafu yawalevi na washerati, mara utapeli Hadi mashekhe. Yani dini TZ na maadili zinazorota kwa speed Kali sana kwa kupitia usanii, tamaa ya pesa na uasherati
Shehe sema ukwl tu iyo misikt aifai usifumbe fumbe awa wanamuzik wanazoeya vibaya naii na kwa sababu ya mashee njaa
Abbu Abbu inafaa kwa kufanyia ibada ila wao hawapat ktu
@@allyminasi520 naam
Kuwa muelewa ukiambiwa mama ujue ni mwanamke
Inafaa
Suala la uharamu wa muziki ndio lilikua liwe la mwanzo .. waandishi muwe makin na kupanga masuali!!
Kuimba mashair sio haram kwa eneo husika uharam unaingia ukipigia vinanda ngoma kuchanganya wanawake na wanaume seema 1 nk hapo ndipo unaingia uharam wa nyimbo
allah ni mzuri na anapenda mazuri.hata wakiwa na nia ya tawba mungu haezi kukubali mali yoyote yenye chumo la haramu.misikiti walioijenga haina maana
Muziki ni haraam Allah amearamisha kabisa na akaidi adhabu Kali sana kwa wenye kuimba wimbo , je itakuwaje kujenga msikiti na pesa za muziki ni halali ??
Mtangazaji nakukubali sana ! Unajitambua sana! Ukisimamia huo msimamo wako utafika mbali ! Amini neno langu! Nimekufuatilia kwa muda nimeona kitu kwako! Una maswali yenye logic sana
Aisee ana fanana na millardo ayo ningefurahi wasafi wangemchukua huyu jamaa anajua sana
Nimemkumbuka Mzee yusuph
shekh upo sahii sana
Mashallah uko vzr ao mashe wengine wabaishaji w na jua ila w na fanya haram na kuifanya hali wache na wawe w kwli na w c wavunge wtu
Huyo ni sheheha,na utaulizwa kwa unayo halalisha,ma.sheikh wengi Tanzania njaa itawauwa
Mtangazaji una saut nzr & shekh uko sw san nimekuelewa
Shekh nimekuelewa sana
Uko sahihi shekh allah akurehem
Dar 24 Mfuateni Nurdini kishki achambue zaidi please 🙏
Shekhe ni shekhe ila wametafutiana katika mapokezi kama walivyo tafautiana maswahaba itilafu zipo so Shekhe Kundecha ameongea kwa vile Allaah amemjalia kuongea sasa na hata akija kishki utamtaka aje na skekhe mwengine
Nurdin kashachambua khtba ya ijumaa zaman
Hivi kuna ambaye atafuata mfano wa Mzee yuusuph? Mungu atuongoze in sha Allah
Huyu shekhe si shekhe wa maslah,anaongea ukweli mtupu.
Mashaa Allah
Shekh Musa kundecha nakuelewa saaanaaa
Asante shekh.
Asante shekhe umesimama Kwenye ukweli
good shekhe
Sheikh na kuelewa kwa kuwaelewesha kwa darasa lako Allah akurehenu
Nipo hapa kwa sababu ya jina la alikiba
Kwasababu ya Daimond tu
Shehe nimekupt kiumakn xn mashalh
Kweli ni pato la Haraam la ujenzi wa Msikiti waache Muziki na watafute pato la Halali ili wajenge Msikiti.
Na haifai kuswaliwa Misikiti waliyojenga.
Warudi kwa Mola Mlezi Watubu.
Maashalah sheikh
Shekh mzik niaram mzik ni saut ya sheetan na pia Mpira ni aram
Kwasababu muda wa swala samtaim ndiyo muda wa mech mchezaji ataswal muda gan!? Na pia mchezaji anavaa nusu uchi
Magot ya kiislam ya mtoto wakiume aya paswi kuonekana
Au shekhe mpira wanacheza na suluwali ndefu!? Kama magoti ya mtoto wa kiislam uchi Quran yetu
Inasema mtoto wakiume uchi wakwanza unaisabika magotin
Sasa vip ball mpira bas ni ARAMM diamond jenga Miskito
Alla monyewe ndiyo hatajua akuweke wapi siku ya mwisho
Mie nilikuwa naona isichanganywe dini na kaz ya mtu maana asiyefanya kaz na asile
Bob mziki haramu mpira haram yote mwishowe ni moto mpka m2 atakapobia
Ndugu soma Dini uzur mpira sio haramu ila uharamu utakuja pale utakavyofanya vitendo vya haramu hata maulid sio haramu ila uharamu wa maulid ni pale tunapochanganyika na wanawake na kupiga ngoma ambazo mnaita Dufu. Ila mziki ni haramu total sasa kuweni makin na kutasfir sheria ya Dini shekhe Kundecha kaongea Uzur na kaeleweka Haswa tuache ushabiki
@@HassanMalik-cd9yz fuatilia chanzo cha mpira ndio utajua km mpira haram au n halali
@@abdulwahidmsellem1998 mpira sio haramu na ndo mana nikasema uharamu wa mpira ni pale utakapohusishwa na masuala ya pombe ,kamar, na mambo mbali mbali lakin mpira sio haramu hata
Pesa za hao wasanii zote asili yake haram tup maana wao wanaonekana namna walivo bc sie hatuwezi kuunga mkono mali kama watu waina hio haraaam
mungu anasema hv! wamatuqadimmu lianfusikum min khairin tajiduhu Inda Allah huwa khairan waadhamu ajra! Kila unaloliona lina kheri basi litangulize kwa Allah yy ni mlipaji hakuna zaidi yake! ss wenzio wamejenga msikiti
Kwahiyo waandelee kuipotosha jamii kwa kichaka/kivuli cha kujenga Msikiti?!
@@alhaddajmohammed4768 kwani amekufanyia ww au lazima ukasalie kwa msikiti waliyojenga? acheni hasad zenu nyie
@@alhaddajmohammed4768 kujenga msikiti si kuonyesha Jamii ila ni khairat ambayo wameifanya ss kama kukubaliwa au kukataliwa basi ni mwenyewe Allah ndie ajuae sio sisi
iko haja urudi darasani mwalim wangu. Bado fahamu yako ipo chini kuhusu khairat uwazi wake.
@@rajabmsingwa4957 Kila jambo lina thawabu na dhambi kuvyake ina maana mzinifu hafai kuswali? au mla riba hafai kutoa sadaka? jamani someni kidogo msifuate tu shekhe fulani kasema wengine wanakosea elimu inazidiana
yaaan mbwana samata tu ndo yuko sahihi ila mondi na kiba milango ya kutubia iko waz
Una uhakika gani
@@joycemallema4278 jina lako ni joyce huwez kuelewa hata nikufahamishe halafu hapa hapatoshi wenda kwa voice ungenielewa ivyo iludieludie iyo clipu hadi uelewe
Suali liliulizwa kuelekea kwa watu flani hapa anaingia kila anaefanya mambo kama hayo kwa misingi yaharamu
Hata na mipira ya sasa ni baatili Haifa
Dah shekh upo vizur sana...
Sheikh umeweka wazi.. Pesa ya mwimbaji ni haramu Iko wazi.. Lkn binadamu tushaipokea zawadi
Umeeleweka shekhe
Je.unauhakika kama pesa alzo jengea huo msikti ni za musiki.kwn hana shughuli nyengn za kujipatia risk..acheni kuharamisha .hata kafiri akijenga msikit unakubalika .je hao waislamu,si ndio inafaa zaid
Tunachoangalia kauli zao wenyewe wanasema mtaji wao wa awali ni muziki
Nilvyo ona maandishi ya jinalako nikafikiri huenda unaelimu ya dini japo kwa kiwango cha chekechea kumbe ZIRO.
Mziki ndio kipato chao wana kipato kipo cha halali? Kila kipato walicho nacho kimezaliwa na pato la mziki wanao ufanya mziki wanao ufanya ndio chanzo so pato chanzo ni haram
Lete daili
Sheikh kwamwenyekujua dini anaeleaw a ulichozungumza ila akinasisi tulitaka utupejawabu lililokua wazi kutokana navitendo vinavyofanyika nawatenda wapo navinaeleweka nahuo mziki tunaujua .kiasi yakutuambia kua ni halali au batili.
Mashaalah
Anayeijua hukum ya Diamond nimwenyeazi mungu pekea waislam wenzangu twacheni kuhukum kila kitu haram ww umefanya nn halali
Swadakta sheikh asanta
Nimekuelewa sana shekhe
Huo ni uwazi kuwa mwenye kuimba muziki ni haramu.jee hela aliyo ipata ni yaharamu halafu unaijengeya msiikiti kwanza acha muziki tubu na hela uliyo nayo ichuje yamwisho itakayo baki ndiyo ujengee msikiti ila unajenga msikiti kesho upo juu ya jukwa unaimba usichezee na allh Kwanzaa kataa aliyo kataza allh
Na kibaya zaidi hujinadi hadharani wakihamasisha kuwa wazazi wawaruhusu watoto wao kuingia ktk sanaa ya Mziki eti kwavile mziki ni ajira nk. So dhahiri wanafanya dhihaka/kejeri kwa Allah. Haiingii akilini hujutii dhambi bali unaifanya dhambi kwa makusudi/unaelewa kuwa ni dhambi na unaifanya dhambi hiyo hadharani pasi na kujuta/uchungu moyoni ni mtihan kwa kweli!
Sheikh umeleta siasa katka jambo hili!!!!,,, ,,Halal bayyin, wa haraaam bayyin!!!!
We si mwelewa
@@mohammedjuma6736 halal bayyin!! wa haraam bayyin!!!!,,,,,,,,unataka uelewa gani tena???
Tatizo ambalo lipo katika jamii zetu tunazoishi MUNGU tunamchukulia kama msela au mshikaji.Lazima tusome tumu elewe MUNGU na tuzielewe dini kindakindaki au kinaga ubaga.
Safi sheikh
Shekh awo vjana wameritadi na kijana wa kiislam yoyete hapaswi kuvaa misalaba na shekh aya zpo kila cku tuaambiwa kuwa mzi ni haram kuanzua mwimbaji mchezaji mpaka msikilizaji mziki ni haraam awo vjana c wakuwatolea fatuwa.
Al akhi tunakatazwa kuwakufurisha watu na kufaritadisha watu wachen kutoa hukmu na Allaah ndo Al Hakimu
Dah shekhe naomba msamaha wako kw comment nilio kutumia ilikuwa cjakufaham sasa nimekufaham kw makini nimekuelewa samahani shekh
Huyu shekh anazingua sana sasa huo uhalali wa msikiti kama wa diamond upo wapi maana amaliza juzi dua misikiti wake anaondoka kwenda kufanya shoo ilio mpeleka huko kwao kigoma
Masha Allah sheikh kaelekeza vzr san
Ustadhi Kundecha Umefafanua Vilivyo Na Allah Akulipe Kheir Kwa Kifupi Hawa Wanaodai Kujenga MISIKITI Hawana Jema watakalolipata Zaidi Ya Maasi Kwao
Kwakweli ni mtihani mungu atusaidie,cha muhimu ninachokiona hapo ni kufuata tu ule usemi wa dini unaosema ukitoa si lazima mtu au watu wajue nina maana ya kwamba si lazima ujioneshe umetoa kitu,toa wewe na mungu wako,kwanini nimesema hivyo kwasababu mwenyezi mungu alikuwa na maana yake maana alikuwa anajua kuna watakao pata pato kwa njia si halali,sasa ukitoa kwa siri maana yake ni wewe na mungu wako ndio mtakaojua na ndio pale mwenyezi mungu atajua yeye atakuhukumu vp,lakini ukitaka kujionesha inamana hutaki huruma yoyote kutoka kwa Allah na umedharau matakwa yake,hivyo Allah pia hawezi kukusamehe na kukuhurumia.😔
Amini hayo umetoa wapi kwa Allah kisichokubalika ni HARAMU sasa iwe SIRI au DHAHIRI mradi ni KHARAMU hakikubaliki
ni kama Kusafisha Mavazi yako kwa Mkojo. Note that
Diamond & kiba are watching...
Huyu sheikh ndio alisoma dini waisalamu vizuri