Namomba mungu allaah taabaraka wataalaah. Amrehemu shk Anuar khatwibu. Alifanye kaburi lake kuwa ni viwanja miongoni mwa viwanja vya peponi. Na Wala asijalie kuwa ni mashimo miongoni mwa mashimo ya motoni. Aamiin allahmma Aamiin yaraby
@@ABUUBAAZNYUNGU-j4x Ndugu yangu andika comment yako alafu utulie usitafute sifa kupitia komenti za watu. Mtume anasema : (من حسن الإسلام مرء تركوه ما لا يعنيه) Kama hujaelewa utaniambia nikutafsirie.
@@ABUUBAAZNYUNGU-j4x Ni vizuri ukaandika komenti yako alafu ukafanya yanayokuhusu mimi ndio nomeandika hivyo na ndio ninajua namaanisha nini kwahiyo usitake kutafuta sifa kwenye komenti za watu Yasiyokuhusu achana nayo Mtume anasema::: (من حسن الإسلام مرء تركوه ما لا يعنيه) Kama utasoma alafu usipoelewa basi utasema tukupe tafsiri yake usione aibu.
Inalillah hakika sisi niwenye kurejea kwake allaah ampe hifadhi inshallah
Mwenyezi Mungu ampe kauli thabit
Mwenyezi mungu amrehem sheikh wetu kipenzi
ALLA AMSAMEHE MAKOSA YAKE AMPE SAFARI YA KHERI
Allaahumma ghafir lahuu warhamahuu waskanahuu fil jannah
😭😭 poleni sana ndugu zanguni Alla awape subira na amsamehe shekh wetu Inalinlahi wa inna ilaiyihi rajiuuna 😭😭
Allah amsamehe madhambi yake pamoja na sisi inshallah
Allah ampe kauli dhabit sheikh hakika kifo ni mawaidha
اللهم اغفر له وارحمه وعافه واعف عنه
Allah akurehemu, akusamehe madhambi yako, akuepushe fitna za kaburini na akujaalie uwe miongoni mwa waja wema wa peponi.
Aaamiin
Aaasmiyn
Aamiin
Aamiin
Amiiin
Namomba mungu allaah taabaraka wataalaah. Amrehemu shk Anuar khatwibu. Alifanye kaburi lake kuwa ni viwanja miongoni mwa viwanja vya peponi. Na Wala asijalie kuwa ni mashimo miongoni mwa mashimo ya motoni. Aamiin allahmma Aamiin yaraby
Amiin yaarabi
Allahuma ameen
Allahumma ameen
Allah amsamehe shekhe wetu ampe malazi mema amiin
Allah akufanyie kaburi lako liwe viwanja vya peponi inshaallah akuangazie nur ndani ya kaburi lako😢😢 yaarabbal'aalamiin
Khusunul khatima ya Rabb
Innaalillahy wainnailyh raajiiun Allah ampe qaul thabit
Dah 😭😭Allah akuhifadhi pema kaka etu
Kifo kinakata ladha 😭😭😭😭 Allah akusamehe sheikh
ALLAH amsamehe sheikh
Allahumma ighfir lahu waskinhu fil jannah
Allah amsamehe makosa yake
allah amsamehe madhambi yake alibadilishe kaburilake kuamabusitani yapepo
Allah. Ampe kauli thabiti amsemee makosayake
Allahumma ghifrilahu warhamhu waskinuhu filjanna
🥺😰😓💔 Inaalillaahi Wainnaa ilayhi Raajiuun khusnulkhaatima
Sisi tulimpenda sana lakini Allah amempenda zaidi Allah amkunjulie kabri lake na amtilie Noor kabri lake inshaaAllah
Allah amsamehe makosa yake ya sheikh
اللهم ثبته بقول الثابت يا رب العالمين
😢😢😢😢😢
Innalillah waina lillah rajuuni Allah amsamehe amrahamu amtilie nuru kabuli yake in shaallah
Allah amrehemu shekh wetu
Allah mpe kauli sabith nasie utupe mwisho mwema
Mungu amrehemu
Inna Iillahi wainnna ilayhi rajiun
Amiiin
, اللهم غفر له
Bismillah
😢😢😢 Allah tujaaliye mwisho mwema
Innalillah wainnaa lillahi rajiun polen familya
Allah akurehemu shekh anuary
sema: "Allah amrehemu shekh Anuary" na sio "Allah akusamehe shekh Anuary" kwa sabab hakusikii...!!!
@@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
Ndugu yangu andika comment yako alafu utulie usitafute sifa kupitia komenti za watu.
Mtume anasema :
(من حسن الإسلام مرء تركوه ما لا يعنيه)
Kama hujaelewa utaniambia nikutafsirie.
@@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
Ni vizuri ukaandika komenti yako alafu ukafanya yanayokuhusu mimi ndio nomeandika hivyo na ndio ninajua namaanisha nini kwahiyo usitake kutafuta sifa kwenye komenti za watu
Yasiyokuhusu achana nayo
Mtume anasema:::
(من حسن الإسلام مرء تركوه ما لا يعنيه)
Kama utasoma alafu usipoelewa basi utasema tukupe tafsiri yake usione aibu.
Hichi kifo kimeniathir sana....Allah awape kauli thabit
Allah awarehemu Aamina
Innalillah waina ilayhi rajiun
Innalillah wainna ilaihi raajiuun
اللهم اغفر له
innalihal wainna ilaih rajiun
Mungu.amlazemahalipemapeponi
Kikubwa tujiandae na safari hii
Amina
Allah amuondoshee adhabu ya kabur
Allahumma ghifrillahu Allahumma thaabbitahu
😭😭😭
Allah Ampe kauli thabit amsamehe makosa yake
A.ALAYKUM ALIUMWA?
Amepata ajali yeye na mwenzake wote wamefarik ALLAH awarehemu
WALYKUM SALAM WARAHMATULLAH
Allah ampe kauli thaabit
Huo mwimbo ungeutoa
Uko wapi wimbo hapo
Nikweri nyimbo yanini nizambi hizi wangeitoatu ainamaana nahaitomsaidia nyimbo
Naww pia picha yako itself kwe profile
@@KoyJahsh sawa naitoa ndugu shukran
Kuna muwahab mpolee???
Mbona hawajazingatia sunnah hawa wamembeba kweye jneza hilo ?? Au akuwa mtu wa sunnh maana mijeneza hiyo kama gari hutumiaga masufi hivyooo