RC KINDAMBA APONGEZA MABORESHO BANDARI YA TANGA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • Mkuu wa mkoa wa Tanga Waziri Kindamba amefanya ziara katika bandari ya Tanga nakupongeza maboresho makubwa yaliyofanywa na serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan
    Akizungumza na wafanyakazi wa bandari Mkuu wa mkoa Kindamba amewataka watumishi kuwajibika kwa uaminifu ili kuvutia wateja kwani kwasasa bandari imefunguka na meli kubwa na mizigo kuongezeka
    Kindamba amesema lengo la ziara yake ni kuwatia moyo watumishi na kushuhudia kazi kubwa inayofanyika na kuendelea kuleta matunda kwa mkoa na Taifa kwa ujumla
    Pia Kindamba amewataka wafanyabiashara kutumia bandari ya Tanga kwani kwa sasa bandari Iko viziri kwa kupokea na kuhudumia mizigo ya aina zote.

ความคิดเห็น • 2

  • @robathkayombo7432
    @robathkayombo7432 ปีที่แล้ว

    R C wetu, kaka Kindamba. Endelea kupiga kazi, mwanzo mzuri, Wana Tanga na CCM mkoa wa Tanga tuko pamoja nawe,
    Endelea kufanya hivyo kwani utatufanya tuufurahie ujio wako..

  • @raymaakijangwa3347
    @raymaakijangwa3347 ปีที่แล้ว

    Ukitoka hapo katembelee jengo la kitega uchumi kange stendi utacheka haliishii lina miaka minne kila siku unaskia ujenzi utakabidhiwa mwezi ujao🙆