ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

BANDARI YA MTWARA YENYE GATI YA UKUBWA MITA 300, MELI KUBWA ZATIA NANGA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ธ.ค. 2022

ความคิดเห็น • 14

  • @sabbob574
    @sabbob574 ปีที่แล้ว +6

    Hivi hawa viongozi wametishwa kumtaja JPM. Wananchi hawajamsahu na bado ni kipenzi. Mambo aliyofanya hakuna yeyeto aliyethubutu kufanya kwa miaka mingi. RIP JPM

    • @raffeiystar2870
      @raffeiystar2870 ปีที่แล้ว +3

      Sasa mtu ameshakufa, unataka atajwe na kusifiwa wakat sasa hv tuna uongozi mwengine?? Mbona hufikiriii?? Ina maana marekan Biden aanze kumsifia Trump kwa aliyofanya muda wote?? Muda wote Trump, Trump 🤣🤣🤣 nyie vip

    • @jofreymsigwa85
      @jofreymsigwa85 ปีที่แล้ว +1

      Magu babalao baba la baba mungu amrehem😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @sallababawill404
    @sallababawill404 ปีที่แล้ว +6

    R. I. P jpm kwa maono ya inchi yako

  • @gesambamaisori8781
    @gesambamaisori8781 ปีที่แล้ว +7

    Wapiga dili walitaka wajenge bandari bagamoyo, na hizi bandari zungine wasiziebdeleze zife, sasa tunasubiri reli toka mtwara hadi mbambabay,na kuboresha bandari ya mbamba Bay ili ihudumie nhi jirani kikamilifu. Daima tutakukumbuka shujaa wetu, JPM...rip.

  • @michaeleustach3989
    @michaeleustach3989 ปีที่แล้ว +6

    R.i.p jembe magu

  • @hatibuyusufu4668
    @hatibuyusufu4668 ปีที่แล้ว +1

    Ishu apo ni kujiuliza sisi lini tutatumia makaa ya mawe

  • @selemani.matendo4091
    @selemani.matendo4091 ปีที่แล้ว

    Hayo. Yote. WA. KupongezwA. Ni. Jpm. Wala. Sio.. Mtu. Mwingine.. Muache. Unafiki

  • @jeffkonki8279
    @jeffkonki8279 ปีที่แล้ว

    JPM ulikuwa genius umekufa ila mawazo yako yanaishia na yanafanya kazi

  • @salumjrsaidjr7150
    @salumjrsaidjr7150 ปีที่แล้ว

    Ki ki zitaanza kuja ili kuwazima wana halakati kupinga Bandari zetu kuuzwa??

  • @salumbujjo2320
    @salumbujjo2320 ปีที่แล้ว

    Nashangaa walikuwa wanataka kuanzisha mpya ilitakiwa kubolesha mtwara na bandari ya tanga kwa viwango vya kimataifa ila bado unaona uboleshwaji ni wa ujanja ujanja tuu .ni sawa mtu kujiibia mwenyewe wangeboresha hivi bandari zote kwa kiwango kibubwa wangepata manufaa makubwa sana na kuacha kufikilia kukopa

  • @salumjrsaidjr7150
    @salumjrsaidjr7150 ปีที่แล้ว

    Bandari kuu Mna binafshisha Mnatanua za mikoani nnn?? Utumwa Una ludi tena tz