YESU WANGU ASANTE SANA NIMEFURAHI HADI MACHOZI YANANITOKA ASANTE YESU NILIUMIA SANA NA HILI JANGA LAKINI MUNGU UMETUFARIJI❤mama Samia Mungu akulipe mema kwa kutoa ushirikiano na hii familia.
Alhamdulillah, tunakushukuru Mungu kwa muujiza uliyoitendea familia hii, na pongezi kwa jeshi la polisi, Mungu tunakuomba uendelee kuilinda familia hii
Namshukuru Mungu kwa huruma yake...lakini hongereni Watanzania kwa umoja wetu katika kumlilia Mungu. Kaka umenitia moyo...hongera kwa upendo...Mtakatifu Yoseph akuombee. Umekuwa baba bora mlinzi kwa mama na mtoto. Wababa mnaokataa watoto..jifunzeni Upendo kwa huyu baba.
Mungu ni mwema sanaa una hakii yakufurahiii kaka na kesho muende kanisan mkamtolee Mungu sadaka ya kumshukuru Mungu kwa malaika wetu kurud salama salimin 🙏🙏 Asante Mungu 🙏🙏
Mimi niko kenye,niliifwatilia sana hili tukio tangu mwanzo,lkn kwa sasa nikusema tuu Mungu asante,nahao wanaoongea mengi hayajawakuta bado,pongezi zangu nikwa serikali ya Tz imefanya juhudi kumbwa sana,wanastahili pongezi nyingi sana,sio kazi ndogo
Yesu asante kwa kumrejeshea rafiki angu mtoto wakee,kweliii wewe Mungu ni mkuuu sana Mkono wakoo ni mkuu sana na upo kila mahali nikitafakari jambo hili namuona Mungu kwa halisi❤
Kukaa ndan ya YESU Kuna raha sana hata ukutane na mtihan mkubwa vipi MUNGU ana namna yakukuepusha nilichojifunza huyu kaka ana IMANI sana adi anajua nguvu ya mfungo,tuishi ndan ya YESU Kuna uhakika ktk yote
Nilitaman kumuona rafiki yako aliyemtuma mtu aje kkuangalia adi akakkuta kwenye shimo la choo naamin yeye ndo aliyepewa wazo na MUNGU la kkuokoa katika maisha yenu wewe pamoja mkeo 😢 tumshukur sana huyo mtu
Alhamdullah Alhamdullah Alhamdullah shuqran kwa Allah ndio muokozi wetu Yaa Rabby tunakuomba utulindie watoto wetu na sisi wenyewe yaa Allah tuepushe na kila aina ya mitihani amin amin amin yaarab
Nimefurahi sanaa kaka na mdogo wangu kupatikana mtoto wenu mungu ampe maisha mema mimi sikulala siku ya kwanza nilivyo sikia mlivyo fanyiwa unyama tuna mshukuru mama samira kwa kutekeleza matatizo ya watu mungu akulinde kwa mahasidi ampe maisha marefu ameen pia kesho la police wanajitahidi mungu awalinde ameen
Mungu wetu ni mwema sana na ashukuruwe sana. Jeshi letu la polisi mmefanya kazi njema sana hakika mmedhihirisha kuwa ni jeshi lenye weledi wa hali ya juu katika kuwalinda raia.
Tuna shukuru sana kabisa mutoto ku patakana Mungu ana sikia maombi na ishi congo goma mahali paliko changamoto ya vita nili kuwa na uchungu sana sababu ya ku potea kwa mutoto yule lakini nili musihi Mungu wazazi wrudishiwe mutoto wao na kama ame rudi muzima sifa kwa Mungu amen
Tunamshukuru Mungu kwa yote mtoto amepatikana akiwa salama. Pia nalipongeza Jeshi la Polisi kwa kazi kubwa walioifanya Mungu awatunze kwa ajili yetu na familia zenu.
Mungu ni mwema Mungu yupo, anaishi Mungu wetu ni Mungu wakusikia ,amesikia kilio Cha Mama huyu na family yake, na wote waliyo Omba nijambo la kumshukuru Mungu sana
Allah akbar,Allah akbar ,Allah akbar🤲 juhudi ni zenu jeshi letu la polisi na ushindi niwake mungu na furaha ikadumu kwenye familia hii ,adhabu kali juu yao wahalifu wakubwa hao
Nikiwa Oman nimefrah sn tushukur Allah Tuseme Alhamdullah tulipongeze jeshi la police kwa kumpata mtt na nyote mkiwa wazima wa afya dhamira zao hazikutimia Allah yupamoja nanyi nawapenda sn❤
Yaani hii furaha mlio nayo wazazi hata sisi wadau kila nikitizama hii nalia machozi y furaha asante mungu bila wewe sisi. Hatuwezi endelea kutulinda na kila balaa
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
🙏
Alhamdulillah 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Mbona inasema Group does not exist 😢
Mbona inagoma kujiunga na group Mimi pia nimepoteza mtoto leo ni siku ya kuni na moja
Asante jeshi la polisi mmefanaya kazi nzuri Mungu ni Mwema sana
Mola ni mwema jaman mashaallah tuzidi kumuomba mwenyezimungu tusichoke Kila kitu mola kinawezekana ukimtegemea mungu
YESU WANGU ASANTE SANA NIMEFURAHI HADI MACHOZI YANANITOKA ASANTE YESU NILIUMIA SANA NA HILI JANGA LAKINI MUNGU UMETUFARIJI❤mama Samia Mungu akulipe mema kwa kutoa ushirikiano na hii familia.
Kikubwa amepatikana akiwa mzima, tunamshukuru Mungu kwa kutenda makuu!
Amiin
Wewe ni Baba bora hongera sana kaka Mungu akutunzie familia yako akutunzie mtoto wako akue vyema 🙏🙏🙏🙏
Hii habari imeniongeza imani, kweli Mungu yupo na anaishi.
Mungu kuwa hai niwajib wak hafi wala hazai na wala hafanan na kit chocht
Jamani tukiacha swala la mtoto je mnajua huyo mtangazi Imelda amedumu zaidi ya miaka 20 happ global..hongera sana Imelda
Watangazaji wote wa global wanafanya kazi kwa kujituma sana big up
Na muona ni mama kijacho
Hapo umetisha sana
Alhamdulillah, tunakushukuru Mungu kwa muujiza uliyoitendea familia hii, na pongezi kwa jeshi la polisi, Mungu tunakuomba uendelee kuilinda familia hii
Amiin 🤲
Namshukuru Mungu kwa huruma yake...lakini hongereni Watanzania kwa umoja wetu katika kumlilia Mungu.
Kaka umenitia moyo...hongera kwa upendo...Mtakatifu Yoseph akuombee. Umekuwa baba bora mlinzi kwa mama na mtoto. Wababa mnaokataa watoto..jifunzeni Upendo kwa huyu baba.
Possibly hii familia wana hofu ya MUNGU. Mungu azidi kuwabariki.
Exactly 💯
Sanaaa huyoo dada namjua ni mtu wa maombi sanaaa
Nani amefanya Yesuuuu nani ametenda Yesuuuuu Haleluya
🙏 AMEN
Halleluya! huyu Mungu aliye hai ni Mkuu sana, hakuna jambo asiloliweza🙏🙏
🙏🙏🙏
Hallelujah
AMEN
Mungu ni mwema sanaa una hakii yakufurahiii kaka na kesho muende kanisan mkamtolee Mungu sadaka ya kumshukuru Mungu kwa malaika wetu kurud salama salimin 🙏🙏 Asante Mungu 🙏🙏
Hongera jeshi la POLISI mmefanya kazi nzuri, big up
Mimi niko kenye,niliifwatilia sana hili tukio tangu mwanzo,lkn kwa sasa nikusema tuu Mungu asante,nahao wanaoongea mengi hayajawakuta bado,pongezi zangu nikwa serikali ya Tz imefanya juhudi kumbwa sana,wanastahili pongezi nyingi sana,sio kazi ndogo
Yesu asante kwa kumrejeshea rafiki angu mtoto wakee,kweliii wewe Mungu ni mkuuu sana Mkono wakoo ni mkuu sana na upo kila mahali nikitafakari jambo hili namuona Mungu kwa halisi❤
Kukaa ndan ya YESU Kuna raha sana hata ukutane na mtihan mkubwa vipi MUNGU ana namna yakukuepusha nilichojifunza huyu kaka ana IMANI sana adi anajua nguvu ya mfungo,tuishi ndan ya YESU Kuna uhakika ktk yote
Nilitaman kumuona rafiki yako aliyemtuma mtu aje kkuangalia adi akakkuta kwenye shimo la choo naamin yeye ndo aliyepewa wazo na MUNGU la kkuokoa katika maisha yenu wewe pamoja mkeo 😢 tumshukur sana huyo mtu
@@salmamlokela1987 umeongea point sana
Hakika bila hivyo ingekuwa hatari zaidi kukaa ndani ya shimo
Hivi shimo likikuwa na kinyesi tayari au likikuwa bado jipya?😢
@@israelkisaila8401 lilikua na maji taka ndio ila la mwanamke aliloingizwa lilikua halina kitu lilikua limekauka
@JokhaJokhaabla oooo jamani 😭
Asante mungu Kwa kuwareshea fuhaa familya hii alhamdulillah kama nilikua nawaonea huruma sana hakika hata Mimi nimepata faraja
Niruhusuni niinue mikono juu kumpa Mungu utukufu tuliomba usalama wa mtoto akatujibu apewe utukufu Mungu 😊😊
Hao washenz wangewekwe kwenye karo la choo hata masaaa 12 kwanza mbuz hao waone raha yake ,ashukuriwe MUNGU mtoto. Mzima🙏🙏🙏
Sio wawekwee kuwekwa sio adhabu balii wauliweee kabisa kwa tukio walilolifanya liweee funzooo kwa washenzii wengine
@@HappyShirima-k9twaulize wakongo ndio wataelewa nini maana ya adhabu
@@karibunyumbani3824 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Jamani poleni na hongereni sana wazazi wa mtoto huyu.
Asante Yesu.Asante Mama yetu Samia na Jeshi la polisi big up.
Dah, poleni sana. Mungu ni mwema sana, hongera jeshi letu hakika mmefanya kazi nzuri sana.
Haleluyaa!! Mungu ni mwema sana...asante pia jeshi la polisi kwa jitihada za kumatafuta mtoto
Alhamdullah Alhamdullah Alhamdullah shuqran kwa Allah ndio muokozi wetu Yaa Rabby tunakuomba utulindie watoto wetu na sisi wenyewe yaa Allah tuepushe na kila aina ya mitihani amin amin amin yaarab
Hongera baba wewe ni mlezi mzuri ❤
Kaka mzuri mungu amekuvusha jaribu kubwa sana hongera kwa iimani kubwa mliyonayo wewe na mkeo kamwe msijekumuacha Mungu❤❤❤
Hongera sana jeshi la police mmefanya kazi kubwa .
Nimefurahi sanaa kaka na mdogo wangu kupatikana mtoto wenu mungu ampe maisha mema mimi sikulala siku ya kwanza nilivyo sikia mlivyo fanyiwa unyama tuna mshukuru mama samira kwa kutekeleza matatizo ya watu mungu akulinde kwa mahasidi ampe maisha marefu ameen pia kesho la police wanajitahidi mungu awalinde ameen
Mungu wetu ni mwema sana na ashukuruwe sana. Jeshi letu la polisi mmefanya kazi njema sana hakika mmedhihirisha kuwa ni jeshi lenye weledi wa hali ya juu katika kuwalinda raia.
Nimefurahi sanaaa.
Namshukuru Mungu. Kupatikana mtoto wetu.
Mungu ni mwema kila wakati tumuelekee yeye katika kila jambo,Ashukuriwe Mungu kwa kupatikana Mtoto tena akiwa hai🙏🙏😂😂
Mungu ni mwema jeshi la polc chukuweni mau yenu nawapenda jeshi la polc mnafanya kazi nzur ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Tusichoke kumwomba Mungu kila wakati❤❤❤
Tuna shukuru sana kabisa mutoto ku patakana Mungu ana sikia maombi na ishi congo goma mahali paliko changamoto ya vita nili kuwa na uchungu sana sababu ya ku potea kwa mutoto yule lakini nili musihi Mungu wazazi wrudishiwe mutoto wao na kama ame rudi muzima sifa kwa Mungu amen
Tunamshukuru Mungu kwa yote mtoto amepatikana akiwa salama.
Pia nalipongeza Jeshi la Polisi kwa kazi kubwa walioifanya Mungu awatunze kwa ajili yetu na familia zenu.
Mungu ni mwema Mungu yupo, anaishi Mungu wetu ni Mungu wakusikia ,amesikia kilio Cha Mama huyu na family yake, na wote waliyo Omba nijambo la kumshukuru Mungu sana
Asante Mungu kwa wema wako mkono wako umerudisha furaha ya familia hii Amen
Mungu n mwema kwa kila dakika. Amina Amina Amina Amina ❤❤❤❤ 🇰🇪 🇰🇪
Mungu ni mwema kila wakati
Tunakushukuru Mungu kwa kujibu maombi yetu🙌🙌🙏🙏🙏pokea sifa na utukufu mwenyenzi Mungu
Mungu mkubwa Alhamdulillah🤲🤲 nimefurahi kuskia mtoto amepatikana 🎉🎊💞🍭🍼
Tuzidi kumpa shukurani M/Mungu kwa ajili ya family hii🙏🙏
Alhamdulillah mungu mwema ametenda nimefurahi sana nawapa hongera wazazi kwakua na subra mungu awalinde ❤❤❤
Mungu ni mwema Sanaa. Asante Yesu sifa kwa Yesu.
Kabisa tunamshukuru Mungu sana tena sana. Ila Huyo dada au mmama ashughulikiwe kisheria kabisaa
Hongera kakangu, Najikuta nalia kwa furaha ya matendo makuu ya Mungu. Hakika Mungu ni Mkuu sana!!!!
Nimeiona ROSARY hapo ndani. Ni❤ armour nzuri sana❤ TUSALI ndugu tusali sana Mungu ni Mungu.
Hongerani sana wazazi mungu amepokea maombi yenu
Mungu upewe sifa jina lako lihimidiwe. Ukitaka inawezekana baba. 🙏🙏
Mungu ni mwema nami nilitamani kujua nini kinaendelea juu ya mtoto,ashukuliwe mungu
Poleni sana familia,na hakika funga yenu imefanya kazi,
Mungu ni mwma sana.Asante Yesu kwa kumlinda mtoto.
Hakika Mwenyezi Mungu upo ande wetu
Asante tunalo jeshi
Mungu ni mwema jina la Bwana libarikiwe sana adui ameshindwa
hongera sana Mungu ni mwema sana, Mungu azidi kuwainua
Mtoto baba magari yanakuja yanapita mtoto.. ni mipango ya MUNGU.. MUNGU NI MWEMA JAMN DAAJ!!!!🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hongera sana familia kumpata mtoto wenu
Huyu baba ana busara saana mungu linda familia yke 🙏🙏
Asante bwana Yesu kwa matendo yako makuu!!!! Pole na hongera mama mwenzetu 🙏🙏🙏🙏❤❤
Hongera saana familia kumpata mtt wako akiwa mzima, Mungu ni mwema sana
Jeshi la polisi linafanya kazi nzuri sana na kama raia tukitoa ushirikiano wa kutosha hakika nchi hii itakuwa salama sana🙏🙏
Jina la Mungu liinuliwe Asante Bwana Yesu kwa kujibu Maombi jina lako Yesu litukuzwe na kuinuliwa
It was soo painful but everything to God is possible. Glory to God
Mungu mwema tunamshukuru Mungu sana sana.
Mungu nimwema kaka nawapata nikiwa oman akunakitu kinacho shindikana kwa mungu.mungu atukuzwe sana
Mtangazaji umejitoa sana kwenye hili, Mungu akubariki
Niseme Alhamdulillah Alhamdulillah Alhamdulillah Asante Allah
Mungu ni mwema 🙏
Yani Kila Kitu ni Mungu.....Mungu kwatumia sana police kuwapa moyo wa ufuatiliaji...Da Mungu ashukuriwe sana sana
Mungu ni mwema kila wakati
Mungu ni mwema kila saaa umetenda Yesu tunakushukur
Da! Mungu wangu Asante! Nna furaha sana juu ya hili
Ashukuriwe Mungu muumba wa mbingu na nchi Kwa kupatikana Kwa mtoto kwakweli
Hakika umejidhihirisha Mungu wetu kuwa upo na unasikia jina lako litukuzwe
Alhamdulhlah asante sana polis mwenyezi mungu awape nguvu mzidi kutu pambania
Jeshi la polisi hongereni sana kwajuhudi zenu bwana yesu awatunze m uwapo kazini
Yaani baba anafanana na totoo jamani angepoteza kopi yake dah. Mtegemeeni Mungu sana wapendwa
Allah akbar,Allah akbar ,Allah akbar🤲 juhudi ni zenu jeshi letu la polisi na ushindi niwake mungu na furaha ikadumu kwenye familia hii ,adhabu kali juu yao wahalifu wakubwa hao
Hongera kwa kufahamu siri ya mfungo, Mungu amesikia maombi yako
Mungu ashukuriwe Amina
Tunashukuru sana Mungu na jeshi letu ...oooh God
Tunamshukuru mungu sote,mungu ni mwaminifu kweli jamani
Nikiwa Oman nimefrah sn tushukur Allah Tuseme Alhamdullah tulipongeze jeshi la police kwa kumpata mtt na nyote mkiwa wazima wa afya dhamira zao hazikutimia Allah yupamoja nanyi nawapenda sn❤
Alhmdulillah rabi alaminah alhmdulilah tunakushkru ewe Allah
Asante YESU mtoto amepatikana
Yaani hii furaha mlio nayo wazazi hata sisi wadau kila nikitizama hii nalia machozi y furaha asante mungu bila wewe sisi. Hatuwezi endelea kutulinda na kila balaa
Hongereni sana Polisi, hiki mlichofanya ni Ibada kwa MwenyeziMungu Amina
Mung awbrki wte ambao walio shirki kumtafut huy mtoto❤❤❤❤❤
Mungu aliye HAI ni Mkuu sana.... Jamani anatenda na anajibu jamani nilikua naamini atapatikana sana
I'm soo glad the baby has reunited with the parents ❤
Kama kweli wamepatikana naitaji pia kujua wamefanywaje ili iwe fundisho kwa wengine wenye tabia kama hizo naisiweze kujirudia tena kwa wengine
Ahsante sana mungu wetu kwa kuwaongoza vyema viongozi namna ya kumpata mtoto huyo.
Alhamdulillah 👏
Hakika Mungu ni mwema. Sifa na shukrani tunamrushia yeye.
Jeshi la police nimewakubali ila utukufu Kwa Mungu 🙌
Mungu nimwemaa machizi ya furaha yalinitoka baada yakusikia mtoto kapatikanaa aksante Yesuuu
Nimependa sana Mungu azidi kumtunza na kumjalia afya njema
Ongela Sana kwakumpata mtoto mnguu nimwa Sana🙏🙏🙏
Mungu ni mwema kila wakati🙏🙏🙏
Hongera sana tena sana kwa kumpata mtoto kuwa salama