IRADA MAHADHI: Alivyoacha MSHAHARA mnono AZAM TV na kuanzisha BRAND ya mavazi ya stara IRADA STYLES

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • Pakua Application ya Upawa ili ujifunze jinsi ya kupika vyakula mbalimbali na kusoma makala muhimu za chakula na lishe
    play.google.co...

ความคิดเห็น • 26

  • @babaloisethan7010
    @babaloisethan7010 8 หลายเดือนก่อน +1

    Safii Sana,Kichwa ina madini mengi sanaaa kwa tunaoelewa .so smart

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 8 หลายเดือนก่อน +1

    Masha'ALLAH 🎉🎉🎉🎉🎉
    Hongeraaaaaa... Dada We Love You.. Endelea Kufanya....

  • @azizaalihamad4910
    @azizaalihamad4910 8 หลายเดือนก่อน

    Hongera dada uko vizuri mashaallah. Nimependa sana

  • @maryamsuleiman6340
    @maryamsuleiman6340 8 หลายเดือนก่อน

    Nafurahi kukuona wewe nimtt wangu 🎉❤❤❤ hongera frm Zanzibar

  • @joramsimon1187
    @joramsimon1187 8 หลายเดือนก่อน +2

    Dizasta Vina said "Usinipime kwa tuzo niko certified kwetu, mtaani niko verified so am very fine thank you"

  • @mariusisavika7535
    @mariusisavika7535 5 หลายเดือนก่อน +1

    Akili kubwa sana

  • @marymlewa8682
    @marymlewa8682 7 หลายเดือนก่อน

    Uko vizuri sana mdada

  • @mohamedismail2662
    @mohamedismail2662 8 หลายเดือนก่อน +1

    Namuelewa sana kaz nzur keep it up sister

  • @shabanijuma4887
    @shabanijuma4887 18 วันที่ผ่านมา

    Mzurii huyuuu mwanamkee

  • @musason1680
    @musason1680 8 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani mbona kingereza kingi sana

  • @abdulbiro7656
    @abdulbiro7656 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera

  • @Abdulrahmanhassan18
    @Abdulrahmanhassan18 6 หลายเดือนก่อน

    Nakipenda sana hiki kipindi huwa kinanipa maarifa makubwa ya kujiandaa kumiliki biashara yangu siku moja

  • @abdallahmvungi3566
    @abdallahmvungi3566 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nimemuelewa🐥

  • @neemakessy7527
    @neemakessy7527 8 หลายเดือนก่อน +1

    Congratulations

  • @mwajumabinwa604
    @mwajumabinwa604 8 หลายเดือนก่อน

    tuwape wa congo mauwa yao wanajuwasana kushona.

  • @Alyaapi-kb6mm
    @Alyaapi-kb6mm 8 หลายเดือนก่อน +1

    Sky kafunikwa leo 😂

  • @makukamakaveli6581
    @makukamakaveli6581 8 หลายเดือนก่อน +2

    Aisee ana Pride sana of which is not good for inspiration

    • @salhawaziri1668
      @salhawaziri1668 8 หลายเดือนก่อน +1

      Hahahah acha nicheke mwenzang

  • @alexmnogi1822
    @alexmnogi1822 8 หลายเดือนก่อน +2

    Sema sasa unajiskia snaa...kama kwenye media upo hvyo je oficn na nyumbani?

    • @babaloisethan7010
      @babaloisethan7010 8 หลายเดือนก่อน +2

      Duuuu we noma,Yani katika yote aliyoyasema umeamua Kuona anajisikia😮😮😮

    • @Jifunze_Kiswahili1
      @Jifunze_Kiswahili1 8 หลายเดือนก่อน +1

      Kalale bana, kwani umelazimishwa kumsikiliza. She is not of your level @alexmnogi1822

    • @babaloisethan7010
      @babaloisethan7010 8 หลายเดือนก่อน +1

      @@Jifunze_Kiswahili1 trueee

    • @marymlewa8682
      @marymlewa8682 7 หลายเดือนก่อน +1

      Huo ni wivi wako. Hapo nikujiamini sana . Wewe una nini cha kuhojiwa?