kwa hapa hogerini sana tuna shukuru,mume tuwekea full match sisi shabiki zenu kutoka CONGO 🇨🇩 tume furahi sababu hatupaye ile bahati yakuangali match ana kwa ana , ila ninge wasihi kila baada ya mechi muwe Muna tuwekea full match, nasi tuje tu enjoy Kawa wengine shukurani. SIMBA NGUVU MOJA UBAYA UBWELAAAA ️
Hapa mmenikosha sana kuniwekea full match, ningewaomba pia kama inawezekana na kama itawapendeza muweke na za mechi za nyuma hasa tulizofanya vizuri zaidi kama vile Simba vs FC Platnum, Simba vs Nkana, Simba vs Al Ahly nk. kuna watu tunazihitaji sana hizi mechi in full, najivunia sana timu yangu
Kuna kitu kinaitwa hakimiliki mechi za kimataifa, CAF ndo ana hakimiliki nazo uwezi kujipostia bila idhini yao, vili vile mechi za ligi AZAM TV ndo wana hakimiliki nazo hivyo huwezi kupost kwenye Channel yako bila idhini yao, vinginevyo kuwe na Makubaliano maalum, maana TH-cam channel ikikidhi vigezo kuna malipo youtube wanalipa.
kwa hapa hogerini sana tuna shukuru,mume tuwekea full match sisi shabiki zenu kutoka CONGO 🇨🇩 tume furahi sababu hatupaye ile bahati yakuangali match ana kwa ana , ila ninge wasihi kila baada ya mechi muwe Muna tuwekea full match, nasi tuje tu enjoy Kawa wengine shukurani. SIMBA 🦁 NGUVU MOJA UBAYA UBWELAAAA 🦁♥️
Simba ya msimuhu 2024/2025 inacheza kwa pasi zaalaka alafu inaonyesha ina ulinzi mzuri zidi ya ulio pita,yote kwayote simba day ilikua nzuri natumaini tutaludi kuiangalia tena game hili 2025/2026 tukiwa tumechukua taji la NBC simb day...UBAYA UBWERA.
Metch ya kwanza namuona mtale anatakiwa afungue macho anapokuwa pembeni na kuwapa mipira walio kwenye box ili wamalizie. Sababu namuona kama sio mmaliziaji mzuri makini moja kwa moja. Mwalimu ana kazi ya kumtengeneza mtale ili atoe asist nyingi za mafoward kumalizia
Subscribe Simba SC Tanzania
Nashauri muwe mnatuwekea kumbukizi za matukio ya Simba day tokea yalipo Anza 2009
YEAH MTUEKEEE HADI ZILE ZA NYUMA TUWAONYESHEE WAJUKUU SIMBA YETUU
😂😂😂
Kwasimba hii kweli ubaya ubwela
kwa hapa hogerini sana tuna shukuru,mume tuwekea full match sisi shabiki zenu kutoka CONGO 🇨🇩 tume furahi sababu hatupaye ile bahati yakuangali match ana kwa ana , ila ninge wasihi kila baada ya mechi muwe Muna tuwekea full match, nasi tuje tu enjoy Kawa wengine shukurani.
SIMBA NGUVU MOJA
UBAYA UBWELAAAA ️
Hapa mmenikosha sana kuniwekea full match, ningewaomba pia kama inawezekana na kama itawapendeza muweke na za mechi za nyuma hasa tulizofanya vizuri zaidi kama vile Simba vs FC Platnum, Simba vs Nkana, Simba vs Al Ahly nk. kuna watu tunazihitaji sana hizi mechi in full, najivunia sana timu yangu
kabisa mkuu
Kabisa kaka
Kuna kitu kinaitwa hakimiliki mechi za kimataifa, CAF ndo ana hakimiliki nazo uwezi kujipostia bila idhini yao, vili vile mechi za ligi AZAM TV ndo wana hakimiliki nazo hivyo huwezi kupost kwenye Channel yako bila idhini yao, vinginevyo kuwe na Makubaliano maalum, maana TH-cam channel ikikidhi vigezo kuna malipo youtube wanalipa.
Kabisa Simba Tunawaomba
👊👊👊👊
kwa hapa hogerini sana tuna shukuru,mume tuwekea full match sisi shabiki zenu kutoka CONGO 🇨🇩 tume furahi sababu hatupaye ile bahati yakuangali match ana kwa ana , ila ninge wasihi kila baada ya mechi muwe Muna tuwekea full match, nasi tuje tu enjoy Kawa wengine shukurani.
SIMBA 🦁 NGUVU MOJA
UBAYA UBWELAAAA 🦁♥️
asante saaaaana kwa kutukumbuka na sisi wa mbali from kenya
Ubarikiwe ww ndugu ulie pewa maono haya ya kuweka full match. Ww niwakujivunia axante axante.
Wanafaa watuekee hivi kila siku kuna sisi tuko mbali na hatuna azam
Simba ya msimuhu 2024/2025 inacheza kwa pasi zaalaka alafu inaonyesha ina ulinzi mzuri zidi ya ulio pita,yote kwayote simba day ilikua nzuri natumaini tutaludi kuiangalia tena game hili 2025/2026 tukiwa tumechukua taji la NBC simb day...UBAYA UBWERA.
Simba Sports Club is the winner.
Thanks Simba.
Simba ni Nguvu Moja
Timu moja tu Tanzania simba nguvu moja ❤❤❤❤
❤❤❤❤ naipenda simba ni hatali
So fantastic kila raheli simba Sc
Nimeipenda hii ❤❤
bora mmetuekea hii maana sie wengine hatukuangalia live🔥🔥🔥
Hongeren sana kwa kila munachotupatia ❤❤❤❤ubaya ubwela
Timu ya maisha yangu❤🤍 #nguvu moja💪
Hii ndo Simba yenyewe❤❤❤❤ neema zebedayo
Hapo sawa sasa maana niliisubiria kwa mda sAana Jamaniiiiiii
Asante sana
Simba nguvu moja❤
Asanteni sana watu WA maana kabisa sijaungalia ndo nainjoooi🎉
Hapo unyamaa Simba yangu mungu atusaidie jamaniii❤❤❤❤❤
😁Hata Mb Ziishe Mpaka Mechi Iishe leo #nguvumoja
Thx for that video
simb nguvu Moja napenda San simb ❤❤
Naipenda sana simba's
Naipenda Simba ❤
Mmetisha sana kwa hili
Kwenye hii game kama Kuna mtu mlifuatilia vizur Ally Salim hakuwa mchezon kabisa kwenye hii game
Simba nguvu moja 💪 ubaya ubwela ✌
Hongera uliyeweka full mech
Thank you for the full match🙏
Wana simbaaaaaaaaaa
Thanks Simba Sc Tanzania and Thanks AZAM TV.
simb nguvu Moja napenda San simb ❤❤ 7:32 7:34 7:41
Simba ni mzuri sana. Nguvu moja
Timu ya mpira timu isyo na siasa nyingi mpira unaongea Simba ni maisha yangu maisha yangu ni Simba
simb nguvu Moja napenda San simb
Nakumbuka chama enzi zake akiwa wa moto amefanya kazi nyingi nzuri kwenye kutoa pass za upendo za wamaliziaji(straika)
Next level
Ubaya ubwela simba nguvu moja
Sikuzote ukweli haujifichi, Simba tukovzuri
🔥🔥🔥🔥🔥🔥👏👏
Ubaya ubwela❤❤❤
Amazing 😍 😍
Hiyo ndo Ubaya ubwela brother
Just waiting for 8/8
Nguvu moja
Timu yetu ni nzuri sana aisee hao wazee fc wasijidanganye kabisa tutawanyoosha
😊😊😊😊😊
🦁Nguvu Moja💪
Kati ya wakwanza top 5 nipo wakuu ❤❤❤❤
Ubaya ubwela ahsanten kwa kutuwekea full match
Wachezaji bado wanahitaji kumsikiliza kocha wakiwa uwanjani! Bado kuna shida kubwa ya kutokumsikiliza kocha inavyoonekana kwenye mechi hii.
Na ligi kuu mtuwekee full
Nice 🙏🙏
Ubaya ubwela 🔥🔥🔥🔥
Ubaya ubwela unyama mwingi #NguvuMoja
From Qatar kiongozi mbona nimeserch Sana mwanzo wa shoo ya Simba dar sijapata
Hii Simba ahitashikika nasema tena😅😅
Kikosi cha kipindi cha pili ndio simba yenyewe haisee
Jiji Lina kiza sana
kama umemuona Morrison 8:36 weka like hapa
Wapi😮
❤❤❤❤😊
Aendelee kutuwekea match zijazo
😊😊😊
♥️❤️
Tujitaidi kufosi kwenda mbele na huku tukipiga pasi za uhakika zimfikie mlengwa na tuongezee mazoezi ya nguvu, mipira ya nyumanyuma haitupi vaibu
Tunashukuru kutuwekea full
hii ndo simba tulio kuwa utaitaka
Metch ya kwanza namuona mtale anatakiwa afungue macho anapokuwa pembeni na kuwapa mipira walio kwenye box ili wamalizie.
Sababu namuona kama sio mmaliziaji mzuri makini moja kwa moja.
Mwalimu ana kazi ya kumtengeneza mtale ili atoe asist nyingi za mafoward kumalizia
Ubaya ubwera
Let him speak swahili the go translate your self guys
KAZI mnayo 8 8
Vikombe tunaviitaj msimu huu we2
🔥🔥🔥
❤❤❤❤❤
❤❤
Muje mnatuwekea na mechi zingine
Wa kwanzaa leoo 😅😅
UBAYAA UBWELAAA 2024
Hapa saf naenjoy tyu na hii mechi
❤❤❤❤🎉🎉🎉
Admin ukifanya hivi kwenye hata mechi za ligi hakuna atakar tukuta kwenye kufatiliwa you tube
Ichi natazamia kukuona zaidi
Vingine vyote yuko ok
Khaaaaaa😅
Aliesikia palestick disier nani😂😂😂😂 baraka bna
NGOMA NA FREDY WATATUCHELEWESHAA SANAA
Kweli wanacheza mpira wapolepole aana kama wameshapata matokeo
Ubaya ubwela tuu
hii yanga lazim waige
Nawashauri mtuekee full ivi kila game
Haki ya azam😮labda clip tu
wAWEKE WATU WASIENDE UWANJANI,NA AZAM WAKOSE HELA🐱
Timu tunayo na tunatamba nayo ubaya ubwela
Picha Azam boresheni
Nouma kipaji anacho ila aache mapepe akikutana na watu kama yanga wenye spidi na nguvu itakuwa tatizo
Siku hizi tuwekeeni mechi zote full
Mtuwekee na zile za live
Huu ndo ubaya ubwela
Tarehe nane kupima umri wa vibabu vishika viuno all the time
hii ndo simba sasa
nimepend hiyo natak na ya taleh nane weken hivi hivi 2waon hao yanq matopol
Hii ni mali yetu ila ya Tarehe 8 ni mali ya Azam Media kama sikosei
🤍❤️🤍❤️🤍❤️🤍❤️🤍
Simba nguvu moja❤
😊😊😊